𝗥𝗮𝗱𝗱𝗶 𝗞𝘄𝗮 𝗞𝗶𝘁𝗮𝗯𝘂 𝗖𝗵𝗮 𝗥𝗮𝗱𝗱𝗶 𝗖𝗵𝗮 𝗔𝗹𝗶𝘆𝗲𝗷𝘂𝘇𝗶𝘀𝗵𝗮 𝗞𝘂𝗰𝗵𝘂𝗸𝘂𝘄𝗮 𝗜𝗹𝗺𝘂 𝗞𝘄𝗮 𝗦𝗵𝗲𝘁𝗮𝗻𝗶

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 дек 2024

Комментарии •

  • @salafi.
    @salafi.  3 месяца назад +1

    drive.google.com/file/d/10EUlUjGcytYvlKxdVhifjn08lKyNeiAe/view?usp=drivesdk

  • @AhmedHaji-l3u
    @AhmedHaji-l3u 3 месяца назад +6

    Wallahi wabillahi watallahi hamna hoja kwa duktur Islam!!! Hamna mambo ya misingi ya kujadiliana na duktur Islam!!

    • @jamalsaid7475
      @jamalsaid7475 3 месяца назад +1

      Swadaqta
      Hawa Majadida ni Fitinah na Chuki ndio zao lakini hawana hoja wala ushahidi.
      Allaah Awahifadhi Dr Islam Muhammad na Sheikh Muhammad Nassor Bachu
      Maa Shaa Allaah..
      Bahriy...

    • @jamalsaid7475
      @jamalsaid7475 3 месяца назад +1

      Watapata Aibu na Izara ikiwa wataendelea na Fitinah zao.

  • @ZaituniAli-q5c
    @ZaituniAli-q5c 2 месяца назад

    Allahumma staanu

  • @Machapatize
    @Machapatize 3 месяца назад +11

    Wallah , Allah akuhifadhi mwenye channel hii .... Usirudi nyuma....

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 3 месяца назад +2

      Allah ndo anapenda mnmfanyayo ninyi kumzulia mtu na kumuita majina mabaya na kunshusha heshima yake na kumkejeli we kwaakili yako Allah anapenda uislamu wa dizaini hiyo subutu, Allh ndo mlipaji na anarecod vitimbi vyenu mufanyavyo kwa ductur na mfano wake yey na mnafanya hayo kwa jina la usalafi salafi gani wenye tabia mbaya za ufezuli kama hizi kuwabeza watu na kujifanya et tupo katika man hajji siku ya hukumu Allah ndo hakimu wa kweli ataompunja kila mtu alichomfanyia mwenzie na hamumuogopi Allah mpo kiushabiki ndo yamewapelekea kufanya hayo na ibilisi raana tullah anawatia nguvu na kuwaambia kuona mlifanyalo kumbeza mtu kumtusi na kumdharau kunshusha hishima yake Allah ndo mjuzi wa kila kitu na kwake tutarejea

    • @issarajabu5696
      @issarajabu5696 3 месяца назад

      Mche mola wako

    • @saidali9255
      @saidali9255 3 месяца назад

      ​@@AbdulIssa-o7eAllah insha Allah atalipa kwa kauli hii! Si vizuri!

  • @hay3_8kal
    @hay3_8kal 3 месяца назад +6

    Siku ya hukmu itafika!.. uzuri Allah mtukufu ndie hakimu... atawalipa kwa kumzulia duktur islam حفظه الله ورعاه uongo na kumwita majina zote mbaya mlizomwita..

  • @SuleimanHassan-o6f
    @SuleimanHassan-o6f 3 месяца назад +6

    Jibuni kitabu chake musilete makelele mengi
    Au mumeshidwa

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 3 месяца назад +1

      Kishajibiwa tayari... toa tongotongo kwenye macho utaona!

    • @abuuaisha6110
      @abuuaisha6110 3 месяца назад +1

      ​​@@ABUUBAAZNYUNGU-j4x kiko wapi hiko kitabu nasi tukisome

    • @jumanneissa8226
      @jumanneissa8226 3 месяца назад

      ​@@ABUUBAAZNYUNGU-j4xkitabu gn au unafata mkumbo tu na ushabiki watu kamanyie ni kimeta katika jamii tambua ktk dini nikufata haq sio ushabiki kama ushabiki nenda simba na yanga

    • @NassorHassan-no1cr
      @NassorHassan-no1cr 3 месяца назад +1

      Jibuni kitabu wajinga nying kelele tu debe tupu 😅😅😅😅

    • @NassorHassan-no1cr
      @NassorHassan-no1cr 3 месяца назад

      ​@@ABUUBAAZNYUNGU-j4x kelele tu kitabu gani alichojibu kitumeni tukione

  • @AbdulMalik-zw1mo
    @AbdulMalik-zw1mo 3 месяца назад +4

    Unasumbuliwa na uchache waelimu jadida

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 3 месяца назад +2

    WALILLAHIL HAMDU tunaendelea vema kunufaika na darsa za Al akhiy Dr.Islam(ALLAH A'ZZA WAJALLA Amhifadhi).Hupati Daraja isipokuwa ile ulioandikiwa. Uchache wa Aqida na Elimu ndo shida yote hii. Nnakuasia badilika, khusuma na hasadi vitakusababishia maradhi ya moyo.

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 3 месяца назад +2

    Al akhiy Dr.Islam (ALLAH SUBHANAHU WATAALA Akuhifadhi) usione hii ni shari kwako bali ni kwako, ALLAH A'ZZA WAJALLA Anajua zaidi na sisi hatujui. Hiyo ndo juhudi yake, samehe na puuza. UTUKUFU Ni wa ALLAH SUBHANAHU WATAALA. HAPANA APASAE KUABUDIWA kwa Haqqi ila ALLAH A'ZZA WAJALLA.

  • @MALELEMBARIMO
    @MALELEMBARIMO 3 месяца назад +1

    Yaani apo ndo mnapojikoroga. Kuweni na adabu na heshima . Tizameni wale maulamaa wakubwa wanavyoradiana na kuheshimiana

  • @Vuyaa-v6w
    @Vuyaa-v6w 3 месяца назад +2

    Afadhali kuchukua elimu kwa shetani kama Abu huraira kuliko kuliko kuchukua kwa hao masalafy jadidah wenye midomo michafu na ndimi za matusi wasio na adabu ALLAH kwa atawalipa kwa ndimi zenu mnazozitumia kudhalilisha waislamu wenzeni

  • @jumanneissa8226
    @jumanneissa8226 3 месяца назад +1

    SHEKH KASSIM MAFUTA KASSIM ALLAH AKUHIFADH CHAPA HIZBI HUYO ANA MAMBA YA AJABU SNA PIA NI MUONGO ANA FANYA HIYANA KTK DINI WABAKIE MAMBUMBU AMBAO WANAMFATA BILA ELIMU MAJAHILI WENZIE WENGINE HATA JUZUU AMMA HAWAJUI KUSOMA LKN ETI NAWAO WANAMTETEA KTK BATWIR ZAKE INACHEKESHA SANA

    • @NassorHassan-no1cr
      @NassorHassan-no1cr 3 месяца назад

      @@jumanneissa8226 kassim ndo kiongozi wa uongo au umesahau?? Alimsingizia shekh Yahyq hajuri kama ndo alisema قدام ابن ملعون ni mur jia akatakiwa alete audio moja tu au nakala mpka Leo kashidwa sasa huu sio uongo?????

    • @yusuphramadhani6749
      @yusuphramadhani6749 3 месяца назад

      Haw ni wafuasi vipofu hawajui kubaisha lipi la kwl lipi la uongo wao wanafuat lolot lisemwalo

    • @salehrashid-fx9rq
      @salehrashid-fx9rq 3 месяца назад

      Mie nilidhani utasema mafuta akataze maovu yanayofanyika ktk jamii.

    • @musa123v
      @musa123v 3 месяца назад

      ​@@salehrashid-fx9rq
      Upotishaji na khiyana anayofanya DR ISLAM kwa watu na kuwasingizia wanachuon ni miongoni mwa uovu ndo maana anarekebishwa

    • @salehrashid-fx9rq
      @salehrashid-fx9rq 3 месяца назад

      @@musa123v upotoshaji upi huo?

  • @AshrafAKhan-ql1tb
    @AshrafAKhan-ql1tb 3 месяца назад

    Innalillahi wainna ilayhi raajiuun
    Naomba tuone radd alioitoa sheikh dr.islam kwa lugha ya kiarabu

  • @AbdulMalik-zw1mo
    @AbdulMalik-zw1mo 3 месяца назад +2

    Ujadida chini kumbe kasim akurpuka soma kaka

  • @ZaituniAli-q5c
    @ZaituniAli-q5c 2 месяца назад

    😢

  • @HadanaHadana-nr7xu
    @HadanaHadana-nr7xu 3 месяца назад +1

    Ya Allah tujalie utuonyeshe alie mkweli ktk hili, kwa sababu dr anamtihani ktk kufanya dawa 🤲🤲🤲

  • @AhmedHaji-l3u
    @AhmedHaji-l3u 3 месяца назад +4

    Na jambo lengine, duktur Islam kakujibu wewe na mwenzio Dilele wala si umma wa kiislamu!!???!!! Ametumia hikma ya kwake kuwajibu kwa maandishi!!!!

  • @binuqaasha675
    @binuqaasha675 3 месяца назад +1

    Vipensi vya matwaaghuut salafia jadida

  • @MordiySB
    @MordiySB 3 месяца назад +1

    ukucha wa elimu wa Dr. Islam hamutoufikia maisha yenu yote...

  • @AbAlhuraas
    @AbAlhuraas 3 месяца назад +2

    Wallah hee channali ninawasi anayeongoza Mtu mfitinishaji na huwenda ukawa ni Msufi au shia ,hizi chuki na Maeneno machaf Ambyo Unaanidka Utayakuta katika mezani ya Aamali yako ,kisha utambiwa uthibitishe juu Ya Uovu wako huo ,na kunasihi Usieke mabango Ya kukashifu watu

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 3 месяца назад +3

    Uzuri kwa Allah hakipotei ktu anaona yote hayo na anarecord yote hayo mnayo mtupia ductur na kumzulia majina mbalimbali na kumkejeli na kumshushia heshima, kama huo ndo uislamu alofundisha mtume, sizani kama mtume angekuwa kama mnavyofanya ninyi sijui kama watu wangesilimu na kuingia katika uislamu majina mbalimbali mnamuita ductur na kumshambulia na kushusha heshima yake kwq allah alipotei jambo hata nukta yote atamlipia na dhulma hata mpunja mja yeyote hata ukaliona dogo kama punhje ya haldali kwa Allah ni kubwa lengo kumshusha ductr kwa kigezo xcha kusema salafi usalafi wenyewe kama huo dduuuh!!

  • @OsamaAhmed-yc3zc
    @OsamaAhmed-yc3zc 3 месяца назад +2

    Akhi, unaweza tengeneza playlist ya hii, ikianza na uhizbiya nini na kina nani na vidoe zote za kuwa radi

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 3 месяца назад

      @@OsamaAhmed-yc3zc unaona kama ndo dini hiyo na man hajji upo sahihi kumbe ni katika upotevu huo kudharirisha mtu na kujiona ww ndo umeongoka wakati hata uswali vipi hutofika hata theuthi ya maswahaba bado unabahatisha na ww sasa ww ni na huyo shekh wako ni nani katika dini mnadaraja ya uswahaba kusema fulani sie fulani ndiye madamu Hajawa katika chama chako hiko ndo hizby mtume aikemeea sana riya na aliutabiri ulimi ni kitu kibaya kujuwa hilo subili siku unatokwa na roho utayaona yote hayo yanapita mbele yako na hata la kumsema vibaya ductur na kumshishia daraja kwa ilmu yake na kejeli na dharau na kibri ndani yake na kuinasibisha na majina mabaya mtoto wa shetwani hayo Allah atawaonesha muone nukta baada ya nukta inadhibitiwa na ulimi ndo utakaoenda kuwaangamiza ninyi na mashekh zenu hawoo kama wanyama watalipiana kisasi kwa kupiga pembe mnyama mwenyezie kwa dhulma vipi mja wa Allah mlio mdhulumu kwa mihemko ya kufata mikumbo et tupo katika man hajji ushabiki ushabiki na kudahau kuwa kuna akhera kuulizwa kwa haya tuyasemayo

  • @eng.saalim8646
    @eng.saalim8646 3 месяца назад

    Nakupenda sana kwa ajili ya Allah ewe mwenye channel hii. Allah akupe thabaat na ikhlaasw kwa kazi hii kubwa unayoifanya. Na usrud nyuma kwa maneno ya juhayluun wasiojua mustaqbaal wa dini yao wasotaka ruduud katka dini. Baarakallahu fiyka

  • @saidmuhama9846
    @saidmuhama9846 3 месяца назад +1

    Masalafi uchwara, husda zimejaa mpaka wameshindwa kujizuia.

  • @MohamedAbdallahSaid
    @MohamedAbdallahSaid 3 месяца назад

    Mbona munaweka picha ya Dr Islam na yenu hamuweki.
    Allah atamlinda na mahasidi kama nyinyi

  • @ر.ج.ب
    @ر.ج.ب 3 месяца назад +1

    Huyu bwana Hana hoja bado ductur atabaki kuwa juu yake t

  • @bacteria5184
    @bacteria5184 3 месяца назад +2

    Sheikh mafuta si ulisema ulitewe mwanachuoni hata mmoja tena kwa kujigamba na ukaletewa wanachuoni kadhaa,mmi salafy lkn acha kibri.

  • @kadrimwingamno258
    @kadrimwingamno258 3 месяца назад +1

    Hatuna shaka na Uhizbi wa Sheikh wenu Dr. Mseme mpaka mpasuke...kupona kwenu Dr atoke katika uhizbi na uongo uliomjaa.

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 3 месяца назад

      @@kadrimwingamno258 sikiliza Allah ndo hakimu ww vile mfanyavyo mnaona mpo sahihi na mmesahahu kesho kiama kuna hakimu wa kweli mmeghulika na dunia na kuwadhusha watu na kuwadharirisha Allah ndo shahidi na mlipaji wa hakki bila shaka ductur ataenda washtaki katika mahakama ya Allah na halitopita jambo nukta hadi ulolopoka ndo utashangaa siku hiyo na Allah attakuonesheni kwa kumdhulumu mja wake yauma la tamliku nafsi bi nafsi shehiyaa matarajio yetu kwa Allah na atawashtaki ninyi na mashekh zenu mnao washabikia , ductur islamu mmeifanya kama dampo la kutupiwa kila baya hataakaongea hakki litageuzwa hilo lengo kumdhalilisha na kumdogosha bidaah ipi alofanya dr islamu mumtoe katika hakki ikiwa manabii wa Allah nao walikosea ninyi ni kina nani mumdhulumu ductur islamu katika jina la usalafi hata mtume akulingania uislamu huwo wa kuwabeza watu hivyo mtume dawa yake ilikuwa yenye hikma na maawaidha mazuri kuwaita kwa Allah, hata ufanyaje ww hutokuwa sawa na maswahaba hapo ulipo kama unaswali viswala vyako bado havifiki hata robo ya maswahaba ujione upo katika uwongofu kuiko mwengine ikiwa mtume alilingania watu katika hikma vipi ninyi leo mlikuja kwa jina la usalafi daawa zenu za kudharirisha watu, na kuwakejeli na kuwadhusha hishima kwa kivuli cha kusema tupo katika man hajji huo ndo uislamu hiyo ndo njia ya salafi swaleh hata walio katika hakki kuwadhulumu salafi hawakuwa hivyo ninyi mmevamia jina lakini matendo mbali na hilo jina. Swahaba khalid bin walid alimtukana Abdullahy bin raufi alipoenda kushitaki kwa mtume alikemea hilo jambo na kimwambia Khalid msiwatukane swahaba zangu, ww leo mnajinasibisha na Hawa watu daawa yako ndani yake inajeuri kibri na matusi na kuwadhusha watu hishima ndo usalafi huo au salafi wa mavazi na vilemba matendo upo nje kabisa.

  • @QuthamAbdalla
    @QuthamAbdalla 3 месяца назад +4

    Masalafi wahovyo wakosa adabu munamuita duktu Islam kuwa eti ni mwanafunzi wa shetani na nyinyi ni kinyesi Cha iblisi

  • @SalehSaleh-re1ud
    @SalehSaleh-re1ud 3 месяца назад

    Salafi anaweka picha za anayejeruhiwa lakini haweki picha za anayejeruhi, ilhali kwao picha ni haramu. Sijui hukum gani wanaitumia.

  • @IbrahimSeleman-t4e
    @IbrahimSeleman-t4e 3 месяца назад

    Huna hoja we hufiq hapo

  • @harunichimwemwe9527
    @harunichimwemwe9527 3 месяца назад +1

    Sijasoma lolote hapa naona porojo nyingi tu hta haina haja ya kuskiliza hiyo mijaladi mengine

    • @مبغضالبدع-ع9ص
      @مبغضالبدع-ع9ص 3 месяца назад

      😂😂😂😂😂😂 naam naam allama haya tupe ilmu yako kaka!!! 😅😅😅😅

  • @ShamsudeenOmary
    @ShamsudeenOmary 2 месяца назад

    Hivii hilo bango mliloweka watu wa media Sheikh Abulfadhil kaliridhia???🤔

  • @AbdulMalik-zw1mo
    @AbdulMalik-zw1mo 3 месяца назад

    Kasome kaka kwadotur kasome kaka utaalibila

  • @ر.ج.ب
    @ر.ج.ب 3 месяца назад

    Tanzania ndio mtabaki ushabiki Tu uislaam upi mnautangaza zaidi ya kufedheheshana huo ujinga tu

  • @HassanHassan-ix7cj
    @HassanHassan-ix7cj 3 месяца назад

    Hivi hizi raad zimesaidia nini mpaka sasa

    • @SameerMdumbemalongo
      @SameerMdumbemalongo 3 месяца назад +1

      Zimebainisha MASUFI ....NA WAPIGA NYAMBU KWENYE HII DINI....ALHAMDULILLAH.....

  • @AhmedHaji-l3u
    @AhmedHaji-l3u 3 месяца назад +1

    Toweni dalil kwamba radd baina ya ahlu sunnah lazima ifanyike hadharani??!?!???

  • @rushu1232
    @rushu1232 3 месяца назад +1

    Ajabu yahao wanijadai eti salafi wanasaha inna maal muminuna ikhiwa wao wanaona wao ndio kwenye haqqi waondio waislamu wengine ni mushrikina mahizbi makhurafi mubtadii utamuiita vipi mwanafuzi wa shetwani.

  • @JifunzeKiarabu
    @JifunzeKiarabu 3 месяца назад

    Ndio inafaa kuchukuwa ilimu hata kwa Shetani mpumbavu we Kasome

    • @saidmatola8015
      @saidmatola8015 3 месяца назад

      Nini maana ya elimu. Watanzania ni washenzi sana maana huwa wanapendaga ligi tu.....

    • @saidali9255
      @saidali9255 3 месяца назад

      Sijaona sheikh mbovu kama huyu! Hasadi ilimpoteza sheitwan seuze mafuta!..

  • @harunichimwemwe9527
    @harunichimwemwe9527 3 месяца назад

    Kassim Mafuta sheikh kuwa na msimamo sasa kama umetuambia tusimsikilize tutaipataje hiyo haqqi kutoka kwakee ebu muache kelele mwamzulia Dr Islam. Sasa kma mm sifai kumsikiliza hyo haqq ntaipataje ilhali ww umeniambia nisimsikilize .

    • @yusuphramadhani6749
      @yusuphramadhani6749 3 месяца назад +1

      Hapo sas nawao wanawezaje kumradd mtu pasinakusikliz alichosema au masheikh wakumsikiliz mtu ambae wao wanamnasibisha na uhizb ni halali na wanafunzi kumsikiliz mtu hyo hyo ni haram vp utabainikiwa kuw anachosema ni haki au ni baatwil ikiwa haumsikiliz

  • @khalifa_kuchi
    @khalifa_kuchi 3 месяца назад

    Mwenye channal allah anakuona namna unavyoengeza fitna na balaa ktk dini na pia atakulipa kupitia hilo kwn huyo ambae muna mraddi hana time na nyny na pia hamumuwez hata robo ktk elimu, kubw nyny mjibuni sheikh muhammad bachu ndo ambae size yenu ila dr islam hana time na nyny sw

  • @kadrimwingamno258
    @kadrimwingamno258 3 месяца назад

    Kinacho waponza nyinyi mahizbi. Ni uhzibi alikuwa nao Dr Islam....yani uta watesa kweli kweli.

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 3 месяца назад

      @@kadrimwingamno258 ww ni fala kweli uhizby gani alokuwa nawo shekh islamu, au kwakuwa hayupo katika kikundi chenu hiko cha wajinga walojiegemeza kwenye usalafi wakawa wajinga wa kusoma ibara za wanazuoni na kuutafsili vibaya usalafi kwa mihemko na ww ndo nani unae saafisha watu na kuhzibisha watu kwenye hii dini ni swahaba kusema kusema imegula daraja hilo umuone fulani so salafi ?? Au ww ni taabiina una mamlaka ya kusema ww pekee ndo salafi?? Ww na allah yupi mjuzi?? Na yupi mwenye kimilik nafsi za watu? Apo pamoja na viswala vyako mnavyofanya bado hujafikis hata robo ya maswahaba ni kuchamba kwenye vzr hujui unataka kujipa daraja la juu kuwa www unapewa wahy ww ndo salafi wa kweli ikiwa usalafi kuwafata maswahaba na mtume kwa ufahamu wa kitabu na sunnah wapi ductur ameharifu wema waliotangulia katika akida umuite hizby?? Au ndo kwakuwa kila ambae asapoti hiko kikundi chenu ndo. Hizby manake ndo kasumba illiopo leo kila asie sapoti kikundi chenu hiko so salafi atapewa majina mengi ya kumkejeli hizby mubtadi, khawariji suffi, Ana nasibishwa kwa watu ambao siyo kabisa tofauti na man hajji yake itaqi llah ya jamaa muogopeni Allah ninyi waatu dhulma kittu kibaya sana na hili kundi limekuja dhulumu sana watu wa sunnah na kuwabeza walinganizi wa hakki mkawatia katika upotevu Allah anatosha kuwa shahidi kwa anacholingania ductur na atakwenda kuwashtaki katika mahakama ya Allah yaumal kiama ninyi na mashekh zenu endeleeni na hiyo taratibu yenu ipo siku Allah atabaki peke yake kama mnyama tuh alomdhulumu mnyama mwenzie kwa kupiga pembe ataamriwa kumrudishia mnyama mwenzie kwa ile dhulma. Sembuse nyie mnawadhulumu waja wa Allah pasi na hakki hiyo ipo jaza yenu na mashekh zenu wenye kufanya hayo watakuta.

    • @abdallahjuma1494
      @abdallahjuma1494 2 месяца назад

      ​​@@AbdulIssa-o7endio maan nasemaga iv Kam mtu ajui ni Bora akakaa kimy maan watu wamejaw na ushabk usio na maan.. unamtetea dr Islam Kwa kua unampenda bila ya kujl itikad yake ikoje ipo kweny akki au laah.., na hawa wanao comment vitu wasivyovjua mtaenda kuulzwa cku ya kiama.. namuomba allah amuongoze dr Islam maan yupo kweny upotevu na awaongoze na nyie mnao comment mschokijua..

  • @jumanneissa8226
    @jumanneissa8226 3 месяца назад

    islam hunda haja soma misingi ya dawa sarafiya au yeye anafanya hiyana au ni mjinga bado hafam na hili ni tatizo la mahizbi wengi kuficha haq bila shaka amechagua njia yake anekua mbali na ulamaa mtihani sana

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 3 месяца назад

      @@jumanneissa8226 so ww una ilmu gani mpk unamtukana ductur islamu??? Imefikia hata thanawi au mnadaraja gani la kuguluma huyu ni hizby huyu so salafi ww ni katika maulamaa wabobezi wa hadithi?? Au ww bendera igaya upepo Allah ndo shahidi na mjuzi wa kila kitu na kwake Allah ndo marejeo yetu sote atuhukumu kwa yale tuliyokuwa tukifanya sasa bhasi chunga ulimi wako ndugu na pia kumbuka Luis kwako na kushoto kuna malaika wawili wanaokuskiliza na kuandika kile unachokifanya kisha utalikuta hata likawa dogo kama peinje ya haldali malipo yake yapo huo so usalafi kutukana watu na kuwadhusha hishima zao na kuwakejeli na matusi huo aukuwa mwendo wa mtume wala maswahaba tafuteni jina lingine mjinasibishe nalo lakini kwa usalafi hapo siyo kabisa mmebaki salafi wa kanzu na vilemba na matndo mpo mbali na maswahaba kabisa ndomana wanazuoni wetu wa zama hizi baadhi yao wakawaita jadida salafia jadida kwamba mmekuja na mwendo mpya na tabia tofauti na za wema waliotangulia, ductur mnae muweka mabango kila siku kwa dhulma atawashtaki kwa Allah kesho kiama na mashekh. Zenu. Hao mnawashangilia mtakimbiana kila mtu na lake na utazikwa peke yako kaburini uachee mwenyewe ndo muda wa kujibu tuhhuma zote hizo.

  • @samirrubeya2379
    @samirrubeya2379 3 месяца назад

    Nyie munger and ikan haya ni waislamu lakini?Eti mwanafunzi wa shetani..Majahil murakkab

  • @abushaddad989
    @abushaddad989 3 месяца назад

    Yan nyinyi Kujiweka picha ni haram ila kuweka picha ya dr Islam ni yajuzu sio ? Mumeofanya dini Kama ligi ya mpira ‘ mbona hio audio ya Sheikh vipo hapa RUclips Sasa mnabisha nini ? Yan siku hizi ili Muislam wa peponi lazima uelekee pongwe

    • @salafi.
      @salafi.  3 месяца назад +1

      Hizo ni picha za wahalifu ummah upate kujitahadhari nao

    • @hay3_8kal
      @hay3_8kal 3 месяца назад

      Astaghfirullah yaa ​@@salafi.

    • @hay3_8kal
      @hay3_8kal 3 месяца назад

      ​@@salafi. Astaghfirullah 😮

    • @rashidandayi5514
      @rashidandayi5514 3 месяца назад

      ​@@salafi.Sheikh Abdulrauf naye

  • @sharifsayyid
    @sharifsayyid 3 месяца назад

    Andika kitabu acha kuropoka ropoka

    • @ramadhanmbwana5718
      @ramadhanmbwana5718 3 месяца назад

      Sikiliza maneno acha matusi
      Huyo dokta aliulizwa swali kiswahili akajibu kiswahili,akapindisha akajibiwa kiswahili, sasa yeye ilitakiwa ajibu kiswahili
      Kaandika makala kuna vitu kavikimbia
      Na shekh kasimu ananuku maneno ya wanachuoni wewe wasema anaropoka
      Kua makini na maneno yako

    • @sharifsayyid
      @sharifsayyid 3 месяца назад

      @@ramadhanmbwana5718 mwambie nashekhe wenu aandike kitabu pia sio kuropoka tu daily kuzungumzia watu badala kufundisha tauhidi alafu watanzania mna penda biashara za kiki sana

    • @salafi.
      @salafi.  3 месяца назад

      drive.google.com/file/d/10EUlUjGcytYvlKxdVhifjn08lKyNeiAe/view?usp=drivesdk

    • @sharifsayyid
      @sharifsayyid 3 месяца назад

      @@salafi. Hivi ndo yatakikana vizuri sasa kwa umakini acha tunufaike

    • @abdiidi2494
      @abdiidi2494 3 месяца назад

      Sqmahan tupo kwenye kujifunza hiyo hadisi kua abuhuraira alifundishwa na shetani
      Mtume akamwambia amesema kweli lakini yeye shetani ni muongo.
      Nimaneno yakujitungia au nikweli? ​@@ramadhanmbwana5718

  • @salehrashid-fx9rq
    @salehrashid-fx9rq 3 месяца назад

    Salafi hawajaja kwa ajili ya dini, ni kikutundi kiovu tu kazi yao na kufanyia watu raddi- mimi hua nawaita wazee wa raddi hichi kikundi cha kassim mafuta

    • @MohammedBakari-pn9yg
      @MohammedBakari-pn9yg 3 месяца назад

      Rekebisha maneno yako ...alafu faham kua qassim mafuta nisheikh anaeitetea sunna ispokua anamakosa yake kama mwanadam

    • @salehrashid-fx9rq
      @salehrashid-fx9rq 3 месяца назад

      @@MohammedBakari-pn9yg sunna ipi anayoitetea? Jamii inaendelea kupotea, kikundi kinachojiita salafi hayawaumi hayo bali wao ni kuwatukana wailamu tu. Na makosa wanayowakosoa hayana hata maingi.

    • @MohammedBakari-pn9yg
      @MohammedBakari-pn9yg 3 месяца назад

      @@salehrashid-fx9rq qassim mafuta ni mwanasunna ila kosa lake kubwa nikuwatoa wanasunna wenzake...ktk njia ya sawasawa

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 3 месяца назад

      @@MohammedBakari-pn9yg mimi naweza sema afanyalo mafuta ni kinyume na mwendo wa mtume na maswahaba akuna wema waliotangulia wenye tabia zake na huyu siku ya hakki ductur atamshtaki kumdhulumu sana Allah ndo mjuzi wa yote na kwake tutarejea sote tuulizwe hakki ya ductur hatopotea na kudhulumiwa Na mafuta anazidi angamiza ummah kwa jina la usalafi bila shaka ameshighulishwa na dr islamu na kuwatowa watu katika sunnah Allah atakujibu huyu kuwadhulumu viumbe wake kwa dhulma kuwatowa katika hakki inamana huyu amevaa vazi la unabii kuwa yey hakosei na hata mtume akuvenda mwendo huo kabisa

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 3 месяца назад

      @@salehrashid-fx9rq ila ductur atakwenda washtaki Hawa kina mafuta kwa Allah sabu ALLAH NDO hakimu wa kweli lwake akipotei jambo atalipwa dhulma yake si ndo alichokivuna duniani ni kuwadhulumu watu na kuwatoa katika hakki ili hali wanalingania kitabu na sunnah yey. Akiwona wenzie si sahihi yey ndo yupo sahihi hili bila shaka litamkuta siku anaetolewa roho na siku ya malipo apewe stahiki yake uzuri mahakama ya Allah haimuonei mtu wa haimpendelei mtu ulimdhulumu mwenzio kwa kumsema vibaya utaipwa nalo tuuh wala mimi sina shaka na Allah yey ndo hakimu wa kweli watu huendeshwa na mihemko na kudanganya na ibilisi