Ninyi makhawariji mlojifichia kwenye usalafi hamna tofauti miondoko yote mwafanana na khawariji mmebaki kuhwa tuuh!! Ila kwenye tabia nyingine mwaendana nao kabisa sunnah imeingiliwa na kundi ovu
ahmad bin hambal na imam shafii walikhtalafiana katika mas´ala mengi sana lakini hawajachukiana wala hawajadhalilishana,lakini nyinyi majadida hii daawah munadai mnafanya haiwezi nufaisha hata familia zenu wacha umma ya kiislaam, mko na roho chafu sana.
MAJADIDA NI MAKHAWARIJI WALOJIFICHA KATIKA USALAF LAKINI NI NDUGU MOJA HAWA, KITABIA WAENDANA, KABISA TOFAUTI HAWA JADIDA WAMEBAKI KUUWA WA ISLAMU TUUH.
Hili kundi la kina umeid wallahy ni wavamizi wa sunnah ttuh wadai usalafi kumbe hawana, usalafi kitu ni jadida arafu huyu humeid atakuwa so mzima anakula mirungi ni jjitu fezuli huyu hana usalafi kitu ana minya midomo kama teja fulani hivi😂😂😂 ujadida ni kama corona imeingia ulimwenguni hawa watu ni chama tuuh ndo shekh uthaeem akasema hawana usalafi kitu chama kilichojikusanya sehemu moja kikajaazana ujinga
Ndio ikhwani muslimi nisawa na bidaa mnazozifanya kuwagawa muslimin ikhwani muslimini wamefanya mihanga mikubwa ila hatuja ona kwenu ila farka za kuwagawa watu sunna siya mtu sunna nimwenendo wa mtume S. A. W yoyote atakayefata ndie atakakuwa kafaulu ila sio kundi lamtu
hivi unadhani maulamaa walivyoandika vitabu kuhusu mienendo ya Hawa watu ni walikosea wapo sahihi akhy mfano shekh uthaymeen nae hakukosea kuwatowa katika usalafi sasa kawaweka katika makundi yalozuka zama hizi Hawa jamaa ni mtihani yakhe
Salafi wa kweli husimamisha dini kwa hikma na maneno mazuri sio kugawa watu huyu wetu ametakasika huyu si mwemzetu dini hii isingefika hapa kwa njia hizi.waislamu wote ni ndugu kazi yetu ni kuamrishana mema na kukatazana mabaya
wewe shekh uthaymeen alivyo watowa katika safu ya usalafi unadhani kabahatisha yupo sahihi Hawa ni wavamizi wa sunnah ndomana matendo yao na usalafi mbali kabisa ni mafezuli kabisa
alhamduLILLAH, ALLAHNN akuhifadhi shaykh humeyd
Sheikh agomba sana inamuuma Ila kuwaita watu majadida aona raha😂😂
Ninyi makhawariji mlojifichia kwenye usalafi hamna tofauti miondoko yote mwafanana na khawariji mmebaki kuhwa tuuh!! Ila kwenye tabia nyingine mwaendana nao kabisa sunnah imeingiliwa na kundi ovu
Mahizbi wadhalilika. Mpaka kieleweke mwaka huu. Tandika khurafi jioni tandika hizbi usiku.
Jamaa tufanye daawa kwa upole
MAJADIDA NDUGU ZAO NI MAKHAWARIJI WALOJIFUCHA KATIKA USALAFI TOFAUTI KUUWA TUUH KILICHOBAKI KWAO
BarakAllah fiyk
Mahizb wamekosa amani kabsa 😂watandikwe hawa mpaka warudi sawa
Fala ww unashabikia upuuzi mtupu hamna usalafi kitu
Vip na wew unayeanza na matusi ivi kweli we huna ushabiki@@AbdulIssa-o7e
Rarua bakora tu.
We HIZBIY na hatuwezi kaa kukusikiliza.
Kwishaaaa
Sisi tunammsikiza
Paka kueleweke mwendo wa bakora tu
nyi ni makhawarij mlojificha kwenye usalafi tofauti yenu kuuwa tuu lakini miondoko yote na tabia mwafanana
@@AbdulIssa-o7e Leta hojja za kielimu acha kudanganya watu
Hamna tufauti na khawaji tofauti yunu nikwamba muwaoga hamuwezi kumkabili mtu bakora zeni nimaneno tu
Mbona hatusikii Kala Allah Na Kala rasuli
Twasikia Kala swabuni
Kala fulani
huu wenu ni uhasidi.hamuna tofauti na mayahudi.maneno ya sheikh bahero yako sawa kabisa ila nyinyi ndio munaleta fitna na firqa baina ya waislamu
ahmad bin hambal na imam shafii walikhtalafiana katika mas´ala mengi sana lakini hawajachukiana wala hawajadhalilishana,lakini nyinyi majadida hii daawah munadai mnafanya haiwezi nufaisha hata familia zenu wacha umma ya kiislaam, mko na roho chafu sana.
MAJADIDA NI MAKHAWARIJI WALOJIFICHA KATIKA USALAF LAKINI NI NDUGU MOJA HAWA, KITABIA WAENDANA, KABISA TOFAUTI HAWA JADIDA WAMEBAKI KUUWA WA ISLAMU TUUH.
Mbona Muhamma Mafuta ana Kadi ua CCM Nİ KADA WA CCM??
Jinalake nani Salafi mwenye kujiiunga na Ccm
Hili kundi la kina umeid wallahy ni wavamizi wa sunnah ttuh wadai usalafi kumbe hawana, usalafi kitu ni jadida arafu huyu humeid atakuwa so mzima anakula mirungi ni jjitu fezuli huyu hana usalafi kitu ana minya midomo kama teja fulani hivi😂😂😂 ujadida ni kama corona imeingia ulimwenguni hawa watu ni chama tuuh ndo shekh uthaeem akasema hawana usalafi kitu chama kilichojikusanya sehemu moja kikajaazana ujinga
Kwel mkiacha ya mungu utayafuat ya sheitan mwafundishana kuchukia waislam wenzenu aya dini ya iyo...ndio maan twasema usalaf huu ni dini mpy
Ndio ikhwani muslimi nisawa na bidaa mnazozifanya kuwagawa muslimin ikhwani muslimini wamefanya mihanga mikubwa ila hatuja ona kwenu ila farka za kuwagawa watu sunna siya mtu sunna nimwenendo wa mtume S. A. W yoyote atakayefata ndie atakakuwa kafaulu ila sio kundi lamtu
hivi unadhani maulamaa walivyoandika vitabu kuhusu mienendo ya Hawa watu ni walikosea wapo sahihi akhy mfano shekh uthaymeen nae hakukosea kuwatowa katika usalafi sasa kawaweka katika makundi yalozuka zama hizi Hawa jamaa ni mtihani yakhe
Salafi wa kweli husimamisha dini kwa hikma na maneno mazuri sio kugawa watu huyu wetu ametakasika huyu si mwemzetu dini hii isingefika hapa kwa njia hizi.waislamu wote ni ndugu kazi yetu ni kuamrishana mema na kukatazana mabaya
wewe shekh uthaymeen alivyo watowa katika safu ya usalafi unadhani kabahatisha yupo sahihi Hawa ni wavamizi wa sunnah ndomana matendo yao na usalafi mbali kabisa ni mafezuli kabisa
Should not be considered professional 😂 how true is that your neither a scholar or a student of knowledge