USTADHI MAZINGE AMTOA MACHOZI MRISHO MPOTO || HUU MWEZI WA MTUME SIO PACOME WALA CHAMA 2024

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 дек 2024

Комментарии • 40

  • @KwizeraNasri
    @KwizeraNasri 3 месяца назад +2

    Mwnyezimungu awabarik viongozi wetu allh awap umri murefu kabx ❤❤❤

  • @RamadhaniShana
    @RamadhaniShana Месяц назад

    Sheikh Mazinge Allah akupe umuri mrefu

  • @IssaBacar-i2i
    @IssaBacar-i2i 3 месяца назад +6

    Allah akhbar Allah akuifadhi ustaz Mazinge na pia Mrisho Mpoto Inshallah mola mueza yote.

  • @faudhiayassini
    @faudhiayassini 2 месяца назад +1

    Achen kuhukum vitu kikubwa tuombeane dua tuu ma'an ww unajiona umekamilika lakin kumbe yule unayemdharau akawa Bora mbele ya mungu ww unajiona upo sahh ukawa hasarani tujihadhari San namaneno yetu

  • @shabanimbenu2163
    @shabanimbenu2163 3 месяца назад +2

    Amiini 🙏.

  • @cassimoa9217
    @cassimoa9217 3 месяца назад +4

    Muislam gani unayemtuhumu mwenzako ovyooo!!
    Wewe una ukamilifu gani? Uislamu ni amani, ktk daawa yyt yule anakaribishwa someni. Ukianza kubagua na kuwatenga watu kwa maovu yao vipi watapata Daawa? Vipi watarejea na kumjua Mola wao? Watu wafuatwe hata Bar walinganiwe neno la Allah. Tuache kuhukumu watu, wakati sisi wenyewe WAZINZI, n.k.

  • @yakubsaid22
    @yakubsaid22 3 месяца назад +1

    Naona mashekhe wameshindwa kumlingania huyo mpoto na Rasta zake.haya bhana

  • @AbuuThabiti
    @AbuuThabiti 3 месяца назад +1

    Nikweli shehe mazinge Allah akujalie umli mrefu zaidi

  • @KilimbikeHaji-iy2fm
    @KilimbikeHaji-iy2fm 2 месяца назад

    Amiiiiiiiiin yarrabana takabali duwaaa zetu

  • @RamaSaid-c3t
    @RamaSaid-c3t 4 дня назад

    Mazinge alokole mwijaku

  • @zuhuraomar8849
    @zuhuraomar8849 3 месяца назад

    Mashaallah

  • @HabibuSaid-up5sn
    @HabibuSaid-up5sn 3 месяца назад

    mashA allah

  • @Oman-k4j
    @Oman-k4j 3 месяца назад

    Mashaallah ❤

  • @Yassin-z6o
    @Yassin-z6o 3 месяца назад

    Dahawa nzuri sheikh mazinge. Ila nimekujuwa kuwa nawewe ni dunduka.😂😂. Yote kwa yote, tupambanie kesho yetu Inshaallah

  • @adamhashim3352
    @adamhashim3352 3 месяца назад +1

    Ni kweli sadaka inasaidia lakini km swala hamna pia ni changamoto

  • @balkissMuhammad-sk1ic
    @balkissMuhammad-sk1ic 3 месяца назад

    Bismillah 🤲

  • @andrewkissava9184
    @andrewkissava9184 3 месяца назад +1

    Mazinge hapo unachapia Sasa, wale sio wachungaji Bwana wale ni manabii wa mchongo

  • @AliMahmoud-p7o
    @AliMahmoud-p7o 3 месяца назад +1

    Ilikuwaje mkamkaribisha huyo mpoto, kwenye hadhara hiyo.hakika uislamu ni usafi.

  • @hassanally446
    @hassanally446 3 месяца назад

    Mashallah

  • @andrewkissava9184
    @andrewkissava9184 3 месяца назад

    Jamani mmemsikia mazinge amesema msitoe ,hivyo msitoe hata sumuni tuone kama atatukana tukana dini za watu halafu mazinge haenezi dini bali ana haribu dini yenu waislamu

  • @MaalimMuhunzi
    @MaalimMuhunzi 3 месяца назад

    Uislamu unataka watu kama Hawa sio wanafiki

  • @AliKhatib-vy1oj
    @AliKhatib-vy1oj 3 месяца назад

    Masif megii ila ovoo

  • @nasseralmaqbali6317
    @nasseralmaqbali6317 3 месяца назад +1

    😁😁😁🌹🌹

  • @mikekhalifaali7510
    @mikekhalifaali7510 3 месяца назад

    Hapa kuna bidaah tu

  • @HapsaHaji-bg5jk
    @HapsaHaji-bg5jk 3 месяца назад

    Maashaallah

  • @AliKhatib-vy1oj
    @AliKhatib-vy1oj 3 месяца назад

    Mm leo nimeamin kua mazing ni m2 ovooooo

    • @AbuuThabiti
      @AbuuThabiti 3 месяца назад

      Wewe mtake radhi shehe mazinge

    • @AliKhatib-vy1oj
      @AliKhatib-vy1oj 3 месяца назад

      @@AbuuThabiti kwnn akhii nitake radhi

    • @FeisalDoctor-wr8ws
      @FeisalDoctor-wr8ws 3 месяца назад

      Yaan nyiny mnaojiita masalaf mna shida sana mnajipa pepo wenyewe ata kufa hamujafa cijui kibri mnakitolea wapi

    • @TatoTato-t7s
      @TatoTato-t7s 3 месяца назад

      Mpuuzi wewe waovyo hukoo wako

    • @AliKhatib-vy1oj
      @AliKhatib-vy1oj 3 месяца назад

      @@TatoTato-t7s nakuombea kwa alla akuogoz

  • @AliKhatib-vy1oj
    @AliKhatib-vy1oj 3 месяца назад

    Ww mazing tatizo hutaki kusom ww eti shekh wasapot kisa hicho

    • @abubakarimussa9131
      @abubakarimussa9131 3 месяца назад

      Wewe mpuuzi unamzidi nini

    • @DoganAlp-u2n
      @DoganAlp-u2n 2 месяца назад

      So unamuhukum kwa ilo na kumuona hafai kwa kauli yako

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 3 месяца назад

    WAAMBIE WASIOJUWA KITU WAPO TUU

  • @fatnasaidi3027
    @fatnasaidi3027 3 месяца назад

    Ata wewe unakaribishwa

  • @DaudiMakaza
    @DaudiMakaza 3 месяца назад

    C kla mtu amwitae bwan ataingia mbingun ko c kl mtumishi anaekosea ndo uzan wt

  • @fatnasaidi3027
    @fatnasaidi3027 3 месяца назад

    Ata wewe unakaribishwa