shukran jazzirah,Allah amjaze kheri shegk wetu Qassim Mafuta kwa nasaha zake nzuri zenye kufunza na wew unaetuekea hapa kanda zake Allah akulipe kheri..ila naomba tu utuekee ndefu ndefu ,clip nzuri lakin nifupi fupi
Allah amlipe kheri Sheikh wetu na amzidishie elimu zaidi tuzidi kunufaika, ampe umri mrefu umma wa wa Tanzania upate elimika na amuhifadhi na kila shari aamin
Allah akuhifadhi sheikh Abdul fadhi Qassimu mafuta Qassimu na akupe mwisho mwema inshaallah
Allah s.w akuzidishie kila la kheri shekh wetu insha Allah.
Asante Sheikh Kassim Allah akuhifadhi ume fikisha ujumbe wazi kabisa mwenye kuelewa ata elewa
Shukran jazzirah, Allah akuhifadhi shekhe Qassim Mafuta na akupe kula lenye kheri na wew
Allah akuhifadh na azid kukuimarisha ktk hak
Kher Insha'Allah
Allah akuhifadhi sheikh wetu
Kama usipoelewa leo utaelewa kesho inshaallah allah akuhifanzi
shukran jazzirah,Allah amjaze kheri shegk wetu Qassim Mafuta kwa nasaha zake nzuri zenye kufunza na wew unaetuekea hapa kanda zake Allah akulipe kheri..ila naomba tu utuekee ndefu ndefu ,clip nzuri lakin nifupi fupi
Shukrani kwa ushauri wako akhy
Shukran
حياه الله وحفظه الله على سبيل سلف الصالح
Asante sana abul fadhli
Allah amlipe kheri Sheikh wetu na amzidishie elimu zaidi tuzidi kunufaika, ampe umri mrefu umma wa wa Tanzania upate elimika na amuhifadhi na kila shari aamin
Huyu shekhe ni yahudi. Mtume kafundisha kila kitu. Kasema tumfuate yeye si vinginevyo.....
Usijitoe ufahamu, sikiliza kwa umakini uelewe na kuifuata haqi