RAADD KWA MUDILU WA ANSWAR SUNNAH SALIMU BARAHIYANI |Sheikh Qasim Mafuta

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 дек 2024

Комментарии • 54

  • @awadhmchaki6567
    @awadhmchaki6567 5 месяцев назад +2

    MaashaAllah Allah akuhifadh Sheikh wetu Qasim mafuta ukweli unazungumza
    Waambie Haqi waijue sindano iwaingie

  • @UmmuHudhayfah-zb2je
    @UmmuHudhayfah-zb2je Месяц назад

    Shekhe wetu Allah akuhifadhi

  • @SadaAbdallah-z9t
    @SadaAbdallah-z9t 5 месяцев назад +2

    Alla akuifadhi kasm

  • @allysalimu338
    @allysalimu338 Год назад +3

    Barahiyani, na weye wote ni wasunnah elimishani watu wajee.. katika din ya allah sikupingana na kuhikhtilafiana niny kwa ninyi.

  • @MaarufuHussein
    @MaarufuHussein 5 месяцев назад

    Mkweli na muongo mjuzi wake ni Allah. Tufanyeni ibada inshaallah!! Masheikh zetu, tufundisheni dini, kila mmoja atabeba mzigo wake

  • @mussamsuya8595
    @mussamsuya8595 11 месяцев назад

    Nimeipenda

  • @DaniDani-v3w
    @DaniDani-v3w 5 месяцев назад +1

    Hatakama wakimaliza tofauti zao ndo sheh kasim anyamaze asiseme haki tafautisha tafauti zao na kuchezewa dini

  • @aminaosman3315
    @aminaosman3315 3 месяца назад

    ,si sheikh angekuwa sheikh asingewadhulumu yatima mjane mahakamakumfulia kesi ya uongo kwa marehem alikuwa masikini wao ndio walikuwa wakimsaidia na kushika msahafu kuapa mwezo Ramadhan allah atawahukumia inshaallahh

  • @aminaosman3315
    @aminaosman3315 3 месяца назад

    ,NI kiongozi zulma

  • @shamsuddin4582
    @shamsuddin4582 Год назад +1

    Shkh Abulfadhil na mfano wako nawanasihi mudeal na watu waliopinda km wale makhurafi hawa wengine watulizeni kwanza maake kila nikitizama naona nyote ni wana sunnah ispokuwa mmekhtilafiana kwa machache tu msichukiane kwa ajili ya mambo yasiyo na msingi ktk dini....Wallahu almusta'añ

    • @AbuuBakar1
      @AbuuBakar1 Год назад

      Kwani huoni tofauti maana yeye barahiyyan awaita watu majadida na yeye kaitwa hizby

    • @allymbarouk5362
      @allymbarouk5362 6 месяцев назад

      Kwa maana hao wanaokulla haki za watu na uislamu hawajapinda?

    • @allymbarouk5362
      @allymbarouk5362 6 месяцев назад

      Jamaa jamaa kula millions haki za uislamu sio issue kwa tafsiri.yako

  • @aminaosman3315
    @aminaosman3315 8 месяцев назад

    ,na kudhulumu haki za waislam kavuka mpaka na kuwadhulumu yatima na mama yao na 😅Bibi yao meneja nae kajenga gorofa mali ya yatima allah Karim atawalipia hapa duniani kesho akhera inshaallah

  • @aminaosman3315
    @aminaosman3315 3 месяца назад

    ,Allah alipowatuma nitumie aliwaleta afrika aliwapeleka arabuni wala hawakupekwa ulaya Allah anawajua ndio. Mmaana wakapelekewa mtume firauni alikuwa mzungu mabaki ya hao waligharikishwa ndiomashekh WAnadhulumu waislam hawajali yatima wala mjane roho zimepigwa zimezibwamihurivhawaionihaki allaha inshaallah

  • @bakarfaki-vb8kv
    @bakarfaki-vb8kv Год назад

    Nyinyi nyote Muna tofauti zenu jaribuni kuondosha musiishi kwa aman na si chuki….

  • @ShakirashabanShabankusundwa
    @ShakirashabanShabankusundwa Месяц назад

    Acha unafiki

  • @RamadhanMohamedi-j3d
    @RamadhanMohamedi-j3d 9 месяцев назад

    Nyie ndio wanabaishaji

  • @rajabodhuman1300
    @rajabodhuman1300 Год назад +1

    Nyinyi nyote nimahizbi ila tofauti mmetofautiyana ktk maslahi yenu ya kiduniya sasa mwatuleteya zahazaha mara mbuzi mara tende daawah mmeiweka pembeni

  • @saidali9255
    @saidali9255 3 месяца назад

    Mbona sheikh huyu anapenda kujisifu..angechambua neno kwa neno siyo tu kumdharau barihaiyani kana kwamba si sheikh! Kibri kingi sana huyu sheikh!..heshima yake anaipoteza kabsa!

    • @wajawemaonlineTV
      @wajawemaonlineTV  3 месяца назад

      Kwani ni Haram kujisif na ww jisif uone unapungua nn

  • @HassanIddy-v1b
    @HassanIddy-v1b 4 месяца назад +1

    Kwakweli ukimsikia kaasim mafuta kwa makini utamkuta ni mtu wa kubabaika!! Kila ukelele unaopigwA unamtikisa,ili uwamini haya embu angali anasema anataka she saalim atoe shahada ya majisteli nayy atoe ya jaamia!!hii niakili kweli haya ndio yakuzungumzia hapa mtandaoni! Haya akitoa hiyo shahada ww inakusaidia nn!!!!!!!!!

  • @jamalabdullahi6575
    @jamalabdullahi6575 9 месяцев назад

    Sheikh hivi akuna unachoweza kuzungumza isipokuwa kuingilia watu mpaka wameingilia al Habib Umar wale maulama ambaye Allah kawapa utuku na wapendwa na ulimwengu we ingilia watu naona umekosa kazi sheikh

  • @Khalid-xd2yl
    @Khalid-xd2yl Год назад

    Hizi mbona za zamani

  • @HassanIddy-v1b
    @HassanIddy-v1b 4 месяца назад +1

    Acha uwongo ww mpaka lini utabaki na hasadi hivi hujui hasadi inakula mema ya mtu kama moto unavyokula kuni? Ama kukuta mapungufu kwenye uwandushi wa kitabu nijambo linaweza kutokea hata kwa wAnavioni bali kuna makosa ya uchapishaji na kuendelea angalia wewe ujuwe utakuja kuulizwa juu ya hayo unayo yatenda

  • @CalvinVenance
    @CalvinVenance 8 месяцев назад

    Nabado

  • @aminaosman3315
    @aminaosman3315 3 месяца назад

    ,na kuchukua pesa za marehem kutoka akaunti yake ya hospitali ya shifaa kwa kushirikiana na mganga mkuu wamkoa meneja WA BIMA ya àfya WA mkoa aliopita benki ya Amanda

  • @jumasalim6126
    @jumasalim6126 Год назад +3

    Hapa hatukupata elimu tumeona ni chuki zenu tu hujatupa elimu kama umetiwa ndani kwamakosa sio kuonewa.

  • @aminaosman3315
    @aminaosman3315 3 месяца назад

    ,taasisi ya Ansar NI kiongozi WA zulma

  • @HassanHamad-rf9tq
    @HassanHamad-rf9tq 6 месяцев назад +1

    Kassim mafuta huna jipya mipasho na Matusi

    • @saidali9255
      @saidali9255 3 месяца назад

      @@HassanHamad-rf9tq kweli !

  • @ingodwetrust1852
    @ingodwetrust1852 10 месяцев назад

    Kulaneni nyinyi kwa nyinyi

    • @ausatmwangi6464
      @ausatmwangi6464 9 месяцев назад +1

      Sasa ndio ujuwe uwahabi ni biashara sio dini. Vita bado mbichi😂😂😂twariqa ndio shabiki

  • @MkindiRama-lp6hy
    @MkindiRama-lp6hy 10 месяцев назад

    Hahahaha😅😅😅😅 sunna

  • @saidali9379
    @saidali9379 8 месяцев назад

    Sheikh! Huna geni,hasadi itakuuwa! Mbona wajifanya huna kasoro?...

  • @abdisalumfadhil117
    @abdisalumfadhil117 5 месяцев назад

    acheni basi kuchafuana bainisheni haki tu (acheni kuzungumzia mtu binafsi)

  • @ausatmwangi6464
    @ausatmwangi6464 9 месяцев назад

    Sasa vita vinawarudi nyinyi kwa nyinyi baada ya kuingilia twariqa sasa mandondi baina yenu . Vita bado mbichi 😂😂😂😂😂

  • @allymbarouk5362
    @allymbarouk5362 6 месяцев назад

    Upigaji kama upigaji kwa mgongo wa salafi salih

  • @hassanabdallah-ot7jv
    @hassanabdallah-ot7jv 8 месяцев назад

    Ndoman ulitaka kuuliwa zanzibr kwa ujinga wako

  • @HassanIddy-v1b
    @HassanIddy-v1b 4 месяца назад

    Wewe unazitaka hizo milioni mia200,kwani zakwako? Nawewe tukuulize kwanini umewafarakanisha watu wasuna kwa mambo ya ikhtilafu za wanawazuoni nakuwalazimishia watu misimamo na kujivutia upandewaka na kumtukana shekhe saalim barahiyani kwani ulivyo fanya hivyo umefaidika nn? Na je wewe kuwafarakanisha watu wa suna kwako ni zuri na kuzikosa hizo milioni200 wewe ndio lakuuma,mche allaah ww na urejeshe umoja w watu wa suna kama walivyokuwa zamani wakipendana, nakunasihi ewe ndugu uhai huo ulionao ufanyie kazi katika kuwapatanisha waislam na sio kuendelea kuwafarakanisha kwa chuki zako utakuja kunikumbuka inshaa'sllaah

  • @SuleimanHassan-o6f
    @SuleimanHassan-o6f Год назад +1

    Kwa ufupi hamuwezi kumuangusha bahahiyani

    • @HassanIddy-v1b
      @HassanIddy-v1b 4 месяца назад

      Kweli she barahiyani anatisha,hawawezi kushindana na shee s,ni mtu watauhiidi sana

  • @saidali9255
    @saidali9255 4 месяца назад +1

    Wacha dharau na chuki mzee! Daawa yako pia inamapungufu!

  • @MohamedAhmed-yi1yf
    @MohamedAhmed-yi1yf Год назад +1

    Malizeni tofauti zenu nyie ni watu sunnah

  • @salehaljadidi8206
    @salehaljadidi8206 10 месяцев назад

    Salim Biriyani ni member of Al Qaida East Africa na Sasa hivi Hana lake kwani walikuwa wanawategenea Sana mawahabi wa Saudia kwa kila kitu, na hao wahabi wa Saudia wamepigwa marufuku nchini kwao kuingilia mkwala na serikali ya Saudia, siku hizi hawana nguvu tena labda aende kwao Yemen atasaidiwa.