NYIE NYIE!!! HAJI MANARA NA ZAIYLISSA WAWEKA WAZI SIKU YAO YA KUFUNGA NDOA | WANATUONEA WIVU SANA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 янв 2025

Комментарии • 210

  • @saniaidrisa3920
    @saniaidrisa3920 Год назад +15

    Huyu binti hayupo comfortable kabisaaa

  • @SalimAbdallah-tg1yo
    @SalimAbdallah-tg1yo Год назад +10

    Innalilah waina ilah rajiun

  • @Jay_reelx
    @Jay_reelx Год назад +6

    Surely zay apo anaona MANARA SI AMALIZE KUONGEA 🎉🎉 WAONDOKE

  • @SolomonNkohozi
    @SolomonNkohozi Год назад +7

    Nakukubali Sana manara hii interview imefunga mwaka aisee

  • @bbanyikwa
    @bbanyikwa Год назад +4

    Manara big up .
    watu wasikupangie mtu wa kuwa kwenye mahusiano naye
    Watu wanachonga midomo bila kujua mapenzi hayashauriwi ni maamuzi ya mtu husika
    Na kama ni ishu ya kuachana hayo ni mapenzi ya Mwenyez Mungu
    Bilget mapenz yamemshinda ww ni nani?
    Keep moving manara na ziba maskio fanya maisha yako. ❤❤❤❤❤❤❤

    • @nerryabel7512
      @nerryabel7512 Год назад

      Furaha yako,itengeneze Mwenyewe,big up Haji👏👏❤

  • @miruhongin
    @miruhongin Год назад

    Bro I'm very proud with you bro manara

  • @esthermwaibasa4778
    @esthermwaibasa4778 Год назад +2

    Mpokee Yesu maishani mwako kaka,haiwezekani kuwaacha wanawake wote ulofunga nao ndoa na ulisema ukioa tena wakuite mwehu naomba kaa chini jitafakari wote ni Yesu tu mwenye kukusaidia na kukupa kutulia 😢😢😢😢😢

  • @DennisAnthony-j5y
    @DennisAnthony-j5y Год назад +3

    Hamna mapenzi ni mambo ya biashara

  • @rashidrashidmaulid1129
    @rashidrashidmaulid1129 Год назад +2

    Hongera sana kaka,ilaHapo kaka manara umenikosea shabiki yako,tumelala ndio tumeshiba mihogo sababu hatuna mchongo kaka fanya tule sikukuu vyema kaka

  • @DiabTutty-ke9bs
    @DiabTutty-ke9bs Год назад +23

    Ati wanajiita waisilamu na umra ameenda halafu wanazini kwa kujifuharasha na kujionesha,wapumbavu sana

    • @aminatanzanya7475
      @aminatanzanya7475 Год назад +4

      Aliyekwambia alienda umra ndio anaend pepon nan

    • @faidhacute
      @faidhacute Год назад +1

      Umewaona wanadhini au ulishikia paja

    • @fatmafatu1128
      @fatmafatu1128 Год назад +6

      Nyie wote mnaotetea upuuzi pia wazinifu sindano imewaingia

    • @mokitaa8750
      @mokitaa8750 Год назад +2

      tatizo moja ambalo tunabugi tunapenda kukosoa kuliko kuombeana duah ... ukimuona mwenzio kapotea njia ya kufanya ni kumnasii na duah njema.

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz Год назад

      2waombe dua hakika ya Allah huwangalia mwisho wa m2 tusihukum

  • @deniseliuter3002
    @deniseliuter3002 Год назад +1

    Mm mke wangu wa ndoa sitoweza mruhusu avae nguo za kuonesha kitovu watu ni kheri nionekane mshamba tuh

  • @LelemaBuyagu
    @LelemaBuyagu Год назад +5

    Mbona anaonekana kabisa huyo dada hana furaha na huyo mzungu pori

  • @OnesmoEmmanuel-xr2rf
    @OnesmoEmmanuel-xr2rf Год назад +4

    Haji punguza maneno baba rushaina tuliabiwa hivo hivo😂😂😂😂😂😂

  • @AdamSaffi211
    @AdamSaffi211 Год назад +3

    Mimi sichangii tena hizi ndoa, we had had enough of Haji weddings. Kusimenti?

  • @jeremiamsuya1820
    @jeremiamsuya1820 Год назад

    Broo haji nimekuelewa sana hapo kwenye binadam ndivyo walivy

  • @AIKABAHATI
    @AIKABAHATI Год назад

    Kumbeee ni yule Naira wa jua kali...Tobaaaaaaa😊😮

  • @JosephTibu
    @JosephTibu Год назад +1

    uyo anatembeanae kama pambo tu ,uwezo wakufanya mapenzi hana ,SIMBA NGUVU MOJA ❤❤❤❤❤

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 Год назад +7

    Hili jamaa shamba kweli kwahiyo unatutangazia zinaa sindio alafu baadae ndio ufunge ndoa?

  • @Octavinaelisa-fn6js
    @Octavinaelisa-fn6js Год назад +2

    Hongera sana kaka manala

  • @ChenchiKing
    @ChenchiKing Год назад +1

    Mapenz Bd Yanapamb Moto Kweli Ila Kwa Hali Inavohonekan Hapo Akutakuw Ndoa , Ipo Siku Mtanikubal Niko Pale Nimekah😅😅😅

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 Год назад

    Allah akuwafsnyie wepes

  • @Naima-g1n
    @Naima-g1n Год назад +10

    Msichana wa kiislamu kitovu iko njee jamani

  • @MgeniSalum-r2i
    @MgeniSalum-r2i Год назад +9

    Kullu nafsi zaalikatulmauti,mtu hajisifii kwa zinaa.Jee una hakika utafika au tutafika hio tarehe 18/01/2024.Tafakari kaka pumzi zisikuhadae

  • @deonatusyokta3579
    @deonatusyokta3579 Год назад

    Manara umetisha😂😂😂

  • @simonsadala2386
    @simonsadala2386 Год назад +1

    Siku hizi umalaya umekuwa deals watu wanaona furaha kujitangaza juu ya uzinzi wao na wandishi wa habari wanahangaika kutafta habari za wazinifu

  • @onesmomwakasege5215
    @onesmomwakasege5215 Год назад +2

    We manara nakwambia ukweli kaka uyo mwanamke akupendi kabisa yani anaonekana nass wanasaikolojikal

  • @richardarord8344
    @richardarord8344 Год назад +1

    😂😂😂 washashiba miogo

  • @ChristinaOnditi-el3xo
    @ChristinaOnditi-el3xo Год назад +2

    Kweli kaka😂😂 ndoa Yako ni shughuli ya kitaifa😂😂😂 wape.wapeeeeee vidonge vyao,wakimeza wakitema nishauri yao😂😂😂😂 mie ni Tim Haji manara tumetoka wote chungubweni 😂😂😂😂❤

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 Год назад +1

    Haji manara ma don wako stand by wanasubiri ukae mkao wa kula wakubebee zaylissa.
    Waliokupiga bao kwa rushaynah ndio hao hao watapindua matokeo kwa zaylissa.😂

  • @mkulimatanzania
    @mkulimatanzania Год назад

    Nadhani watu waache focus kwenye maisha ya wenzao. Haji Manara anafanya mapenzi ya moyo wake. Na ninamuunga mkono kwenye kila jambo la msingi tuu asimvunjue heshima mwanamke yeyote basi mengine yote afanye kwa marahaa yote. Tafuta ela, tumia ela ivyo tuu. Mfalme Sulemani alioa na akawa na masuria kibao. Haji make peace of your heart.

  • @SuleimanKhdija
    @SuleimanKhdija Год назад +1

    Nnachokiona upande wangu sijuwi kama nawengine wanakioma uwii Allah atustirie vizazi vyetu

  • @dianazambi2447
    @dianazambi2447 Год назад

    Daaaaaah😅😅😅😅😅 ila wanawakee 😅😅😅😅

  • @anthonylugoi6269
    @anthonylugoi6269 Год назад +1

    Sema BUGATI 😂😂😂😂

  • @nacetsiringa1334
    @nacetsiringa1334 Год назад +1

    wapo real au hawapo real haiwahusu tafuteni hela wanaume 😂😂😂

  • @KwizeLee
    @KwizeLee Год назад

    alaaa

  • @OdenBidili-lj5qi
    @OdenBidili-lj5qi Год назад

    Sasa we haji ni star kweli we mshamba

  • @lvanyDaniel_pw7kk
    @lvanyDaniel_pw7kk Год назад

    Daaah manara ana kojoa pazur jamani khaa🤔🤔

  • @maisarah6819
    @maisarah6819 Год назад

    wadada wameshiba makande na njugu mawe😂😂 bakiza maneno haji.

  • @agwalubifaridah7079
    @agwalubifaridah7079 Год назад

    Haj dont mind haters fanya yako ilove you guys ❤

  • @TaarabChannel
    @TaarabChannel Год назад

    Mupitie na kwangu wapenzi ❤

  • @Marjeby
    @Marjeby Год назад +2

    Huyu jamaa anafanya watu waamini walemavu wote wanamatatizo ya akili kama yeye aiseee na pua lake hilo eti mtoto wa mjini mtoto wa mjini anakuwa chawa wa vijana wakuja😮😮
    Haji nimezaliwa naye mtaa mmoja na kanizidi miaka minne tu almost tumekuwa wote napo sema ana mataizo ya akili namanisha na nna mjua

  • @yusufunguruko8080
    @yusufunguruko8080 Год назад +14

    Sio Siri body language ya huyu dada kuna kitu ndani yake, inaonesha kabisa hana mapenzi kabisa na Manara ila basi tu afanyeje na kuna kitu anapata (Pesa) - kumbe kuzaliwa au kukulia Kariakoo haimaanishi ndio utakua mjanja - kweli Manara ni mshamba wa kiwango Cha lami kwa wanawake - yule wa Shinyanga alimuingiza mjini na huyu atamwingiza mjini vilevile, hizo pesa wanazokuchuna hao wadada ungepeleka hata Kwa Yatima na wahitaji wengine ingekusaidia sana ndugu yangu - wee hujui tu hao wadada wenzio wanakuona Zoba kweli, tupo hapa tunza hii comment yangu juu ya huyo dada utakuja niambia - hebu funguka akili sasa !

  • @nasrahamisi418
    @nasrahamisi418 Год назад

    Zai yupo kazini😂😂

  • @killingmleke1810
    @killingmleke1810 Год назад +2

    Huna jipya manara unazini alafu unaonyesha watu ktk media huo siyo uislam unaofanya

  • @ShekiyaoHussein-ki4ty
    @ShekiyaoHussein-ki4ty Год назад

    Anatembea tumbo wazi yupo na Alhaji manara msiba

  • @Zuu673
    @Zuu673 Год назад

    Jamani munaochamba wote mwacheni mtu afanye maisha yake,musimpangie maisha,alafu mwisho wa kika mtu mungu ndo anajua shekh muongiza ibada huku mtaani kwetu kashikwa ugoni ,watu wanavaa hijab usiku vichochoroni kwaiyo mungu ndo kilakitu na anajua kikubwa tuombeane mwisho mwema mavazi na muonekano wa mtu miaka ya saivi ni fashion husimfikirie mtu kwa muonekano ivyo tu kubali kataa pambana na hali yako tafuteni hela

  • @UmmyUkasha
    @UmmyUkasha Год назад

    Ila wajaaa😂😂😂😂mmeanza kuona mdada wa watu anapendeza skuiziii ndo makasiriko kama yoteee

  • @rashid3562
    @rashid3562 Год назад

    Sheikh haji unatembea na wanawek unaenda kumwambia nini allah

  • @ip_header
    @ip_header Год назад +3

    Tatizo sio watu wanasema je? Chakuzingatia Mungu anaridhia unachofanya? Angalia zaidi Mungu anasemaje upo kwenye Haki au ndio nafsi yako ndio Mungu wako?

  • @davidruhasha9670
    @davidruhasha9670 Год назад

    Huyu mkimpa tena mic msikini au kwenye maulidi woote mnapata haki yenu mana dini ya mungu mnataka kuichezea

  • @abdulazizimohd4230
    @abdulazizimohd4230 Год назад +1

    Haji manara mtoto uliekulia mafunzo ya dini na maadili ya kiislam unaacha mafunzo uliyolelewa ya kiislam

  • @hilarymsigwa8769
    @hilarymsigwa8769 Год назад

    Tatizo sio ndoa. Inamaana huoni huo uso tu unaonyesha umepigwa? She is a GOLD DIGGER.....😅😅😅

  • @ShekiyaoHussein-ki4ty
    @ShekiyaoHussein-ki4ty Год назад

    Huna ustaa aina yeyote unajiongopea tuu manara msikivu mwambie ajistiri asivae nguo za uchi

  • @MulkuMassos-um1ix
    @MulkuMassos-um1ix Год назад +1

    Kwenye upole hapo ndio tatizo

  • @rizikiabdalla2501
    @rizikiabdalla2501 Год назад +1

    Mh ila ss Wanawake tunakutana na vitu vya ajabu mhhh kaka Haji ni binadamu ameumbwaa na mungu ila hapa maana mungu nisameheee

    • @ashaali7154
      @ashaali7154 Год назад +2

      Mungu akusamehe nini wakati umeshamkosoa? Wewe umeumbika na aliyekuumba ni huyo huyo unaemkosoa subiri malipo ni hapa duniani usishangae yakikufika.

  • @nasramusaro
    @nasramusaro Год назад

    Mzee mzima hovyo

  • @francomwacha2262
    @francomwacha2262 Год назад

    Kaka manara mm naomba nikiwa mkubwa niwe kama ww kaka😊

  • @miltonswai5102
    @miltonswai5102 Год назад

    Manara una kipaji sana cha kuongea kaka yan hautumii nguvu ahhahh. Kwahyo jamaa wameshiba kande la njugu mawe au sio 😂😂 wengne watoka kwao maporini af wanakuzingua mtt wa kariakoo kweli?

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 Год назад

    Wanatembea kama mbuzi zai yuko kwa kuchuna pesa

  • @sifandayisaba9360
    @sifandayisaba9360 Год назад +1

    Mimi siamini kama hao ni wapenzi ila kuna kazi wanaifanya ila kushikwashikwa ndio kuna mkera zailisa manara anataka kuaminisha km ni wapenzi lakini si wapenzi tusubiri tuone mwisho wao

    • @mymuhnabdallahshaban7763
      @mymuhnabdallahshaban7763 Год назад

      Hee mtu kashaend kumtambulishwa ukweni na harus trahe 18 mwez wa 1😂😂😂😂😂😂😂

  • @sulimanm6525
    @sulimanm6525 Год назад

    Wewe manara yele mkewako mbona ametulia sana ka na mkewako utulie wewe ayo mambo achana nayoooooo

  • @othmansharif6883
    @othmansharif6883 Год назад

    Uyu kiukweli kachanganyikiwa yaan anamzin huyu dada kwanza halafu ndio kuoa tena anajihisi comfortable subuhanawallah

  • @hamidabarraball3162
    @hamidabarraball3162 Год назад +2

    Njaa tu inawasumbua

    • @mwanaidihemedi1612
      @mwanaidihemedi1612 Год назад

      Haswa na roho mbaya watakufa vinywa wazi yakwao wanafunika yawezao matangazo kula raha kaka Angu manara❤

  • @ellsonmkonyi1319
    @ellsonmkonyi1319 Год назад +1

    Kuna shida ,

  • @SharifaMoshi-r9b
    @SharifaMoshi-r9b Год назад

    Mañara ni mjanja ni mtu anayeishi kwa kiki so lazima atembelee humo ili umaarufu usife maana umaarufu ukifa maokoto hakuna

  • @saidsalim4524
    @saidsalim4524 Год назад +1

    Kula pesa mama tafuta mtaji nawewe SEPA zako😅

  • @jacksonnyoni1978
    @jacksonnyoni1978 Год назад

    Ila manala unakojoa pazuli 😂😂

  • @felixmwayeya6716
    @felixmwayeya6716 Год назад +2

    Nakukubali sana manara mtu mbadi semaji la yanga linalojiamini

  • @swahilitherapytv3846
    @swahilitherapytv3846 Год назад +2

    Jitu zima hovyoooo...!! Hata haya huna

  • @YasintaKisholi-z5j
    @YasintaKisholi-z5j Год назад

    Kwaiyo manara kupata busu mpaka unyanyamie 😢😢😢dah 😢

  • @seifushamte7861
    @seifushamte7861 Год назад

    Kwani pua lamanara limewakosea nn mazee

  • @sskondopoleani9616
    @sskondopoleani9616 Год назад

    Hivi hawa watoto wetu wapokwenda kustarehe namna hiyo wanatuachaje sisi wazazi wao??

  • @salimramadhani5237
    @salimramadhani5237 Год назад

    Manara ana mbwembwe😂😂😂😂

  • @madieugendo4950
    @madieugendo4950 Год назад

    haji umezeeeka

  • @MathiasJohn-oq9ve
    @MathiasJohn-oq9ve Год назад

    Acha uninga mzee mapenzi sio kitu

  • @bakarisaid2023
    @bakarisaid2023 Год назад

    Huyu mcheza sinema za ngono ni kwanini wanamualika kwenye shughuli za maulid anatudhalilisha

  • @DeborahSamuel-uj2cf
    @DeborahSamuel-uj2cf Год назад

    Ivi ana rara naye kweri

  • @chinchon2126
    @chinchon2126 Год назад

    Dah huyu dada yupo kimya Kama MAYELEEEE ananyemelea GOLI nahisi kuna kitu anakinyemelea akipate na akikipata tu sidhani Kama manara Kama hata cm yake itapokelewa

  • @najmasalim-rg6ow
    @najmasalim-rg6ow Год назад

    Nataman kuwa na star lakin so manara yni Bora niwe baba levo lakin so bugat 😂😂 Leo anakir Leo Hana pesa

  • @ROZITHOMAS-y4q
    @ROZITHOMAS-y4q Год назад

    Yani nyie mnaomsema manara nyie hamna dhambi? Embu woote mnaomsema jichunguzeni hamna dhambi.
    Huyu anafanya wazi. Je nyie mnaojificha msionekane na binadamu mnajifanya mna Mungu.
    Acheni hizo

  • @bobjoy9279
    @bobjoy9279 Год назад +3

    Albino msenge

    • @majidfrolian4904
      @majidfrolian4904 Год назад

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @shery-bf8xh
    @shery-bf8xh Год назад +2

    Kitakuramba 😂😂😂😂broooooo

    • @twahaanyoni9120
      @twahaanyoni9120 Год назад +1

      Soon kitamramba huyu huyu demu yupo kwa hajili ya umaharufu hayupo kimapenzi 😂😂😂

  • @jojigeorige1056
    @jojigeorige1056 Год назад

    Akifunga ndoa Dulla anakuja kumuweka tena. Maji hayasahau mkondo wake....

  • @DoriceSawaki-vg4sb
    @DoriceSawaki-vg4sb Год назад +1

    Wake zake wengine wapo kweli?? Wanabariki huu uhuni anaoufanya?

  • @ChristinaOnditi-el3xo
    @ChristinaOnditi-el3xo Год назад +1

    😂😂😂😂 muansishishi amesahau. Kazi yake ghafla bin Vuu amekua padre,amekua mchungaji amekua shekhe(. Eti zailysa umekubali kuolewa na bwana Haji sande manara) nae ni mbea kama wambea wengine. Fyuuuuuu

  • @MO12-b1q
    @MO12-b1q Год назад

    Aya baba Léo unasema yupo rir kumbuka kunaleo n kesho

  • @lvanyDaniel_pw7kk
    @lvanyDaniel_pw7kk Год назад +1

    Hivi mna peana romance kweli maana mdomo wa manara utafikili mkundu wa sokwe 🤔🤔

    • @AlexKanuya-fs2vr
      @AlexKanuya-fs2vr Год назад

      Yaan nimechoka mbaya sana maana kweli huo mdomo wake upo kama shimo la chooo to

    • @nadyasalim7956
      @nadyasalim7956 Год назад

      ​@@AlexKanuya-fs2vrnimecheka mpaka mbavu zinauma

  • @dulasaid2581
    @dulasaid2581 11 месяцев назад

    Peleka Dubai hatokutoroka.

  • @OmanOman-fr5hl
    @OmanOman-fr5hl Год назад

    Haji malaya inshallah ufe kwenye kifua cha huyo mwanamke ndo utakoma lanatullahi ww mwenywe albino bdo unakaa unamuasi mungu inshallah ndege iripuke

  • @Mariam99-ld4gw
    @Mariam99-ld4gw Год назад

    Mtihani halafu anakua kwenye maulid 😢😢😢akijidai

  • @lighnessmrisho1525
    @lighnessmrisho1525 Год назад

    😅😂kila la kheri

  • @vicentjulius
    @vicentjulius Год назад

    Zai kitovu nje nje anajitahid kuvuta kitop chake lakin wapi 😂😂😂

  • @OmanOman-bx5du
    @OmanOman-bx5du Год назад +1

    Uyu mzee. Atafia. Kifuani. Anapenda. Visichan.

    • @NaifinMohamed
      @NaifinMohamed Год назад

      Vizee kama hivi havina ishu chumbani majigambo tu ta kero jingi ndio maana huyo mwanamke Hana Raha yupo yupo tu😂

  • @pendochimammy5013
    @pendochimammy5013 Год назад

    Liwa pesa tu manara utazimia tena sio kitambo

  • @AshuraMnubi-qe4vy
    @AshuraMnubi-qe4vy Год назад

    ❤❤

  • @sarahmcharo1548
    @sarahmcharo1548 Год назад

    jelous eeh save the words, eti tumeshibaa kande na njugu mawe aisee jmaa anadharua huyu real tulia tuuu

  • @aishahasan7722
    @aishahasan7722 Год назад

    Manara kasema yehawez kuzin sasa anavyozurula nahuyo bint huko mahotelin inamaana wanalala chumba tofaut au😂😂😂😂anatupiga changa lamacho hahhhhhh.uchamungu kaz😅kujichoreshatuu hovyoooo jitu zima

  • @songombingo108
    @songombingo108 Год назад

    Eti mrembo🤣🤣🤣Keshajichokea ndo amepata pa kuegemea

  • @mwanaidiabbas1062
    @mwanaidiabbas1062 Год назад

    Washambaaaaaaa uwiiiiiii mweeemweeeeeeee mweeeeeeeeee dunia hiiiiiii duniaaaaaaaaaaaa wapo warefu wenzio km hao

  • @faidhamyovela179
    @faidhamyovela179 Год назад

    kwani zaylisaa mbon hanag rahaa jamani