Teke La Mama Part 1 & 2 - Jennifer Mgendi, Bahati Bukuku (Official Bongo Movie)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 янв 2025

Комментарии • 860

  • @MwanaishaYaa
    @MwanaishaYaa Год назад +45

    Tuseme nin kuhusu 2024 tunamshukuru Mungu tupo hapa 😊😊😊😊😊

  • @kitimwango9286
    @kitimwango9286 11 месяцев назад +82

    wanao angalia hii movie hii 2024❤ wagonge like 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤

  • @Sifamayalla
    @Sifamayalla 9 месяцев назад +48

    Wale wenzangu tunaokumbuka hii movie 2024 tujuane Kwa like👍👍👍👍 zetu hapa

  • @moreenbless-vr7oy
    @moreenbless-vr7oy Год назад +40

    Wale tunao angalia mbaka Leo talehe 10.9.2023 twende apa like

  • @veronicakuloba
    @veronicakuloba Год назад +165

    Wanao angalia kipindi hiki hady 2023 gonga like apa❤

  • @jeressjohn9105
    @jeressjohn9105 4 года назад +16

    Hii movies naipenda sana maana mama Angu yupo kama hivo yaani dada hujakosea Kira siku nalia tyuu maana nipo nje ya Tanzania rakini napata habari zake kutoka kwa majilani yaani hujakosea wangapi tupo pamoja kwenye hii movies kwa mwaka huu 2020

  • @shaydebby8084
    @shaydebby8084 4 года назад +21

    Maisha kama hayo yana changamoto sana kwakweli Mungu atusaidie kabisakabisa🙏kama mtoto ana wokovu wake hapo kuna changamoto sanaa 🙇🕴🙆naombeni mje hapa

  • @alicemangapi969
    @alicemangapi969 5 лет назад +12

    Mungu huwa hachelewi nawala halali.Mungu huwa kazini wakati wowote muda wowote yupo kazini tusione heti ametuacha apana. Mungu akubariki Dada Jennefer

  • @lindamsuku4365
    @lindamsuku4365 2 года назад +9

    To be honest, this film has alot teaching, the spirit of bitterness & unforgiving always keep people in the chains of the devil. Tijifunze kusamehe nakuachilia wote waliotukosea. Hapo ndipo njia zetu zabaraka zitafunguka

  • @Privia-s8s
    @Privia-s8s 8 месяцев назад +13

    Tunao iangalia leo trh 1.5.2024 Tujuane basi ata kwa like

  • @izabelaowino1505
    @izabelaowino1505 3 года назад +11

    Jehovah Awabariki sana kwa Kazi hii nzuri. Machozi imenitoka ya kutosha. Nimebarikiwa . Endeleeni kueneza injili ufalme wa Jehovah ipate kujulikana duniani kote. Amen.

  • @TonnyCharles-ju3hw
    @TonnyCharles-ju3hw 9 месяцев назад +9

    Wanaoangalia hii mpaka leo gonga like

  • @enockkindole5865
    @enockkindole5865 2 года назад +69

    Kama we unangalia hii mbaka leo gonna like kwa CM

  • @Judithnyantikanyaboke
    @Judithnyantikanyaboke Год назад

    Mungu ujibu maombi kweli yesu amina mama ameokoka wow wow niko saudia Arabic nilianza watch saa 4 mpaka saa hii niko hapo sijalala mungu anilinde nisilale kazini.

  • @hadijajuma3455
    @hadijajuma3455 5 лет назад +19

    Bahati bubu upo vizuli watu kama hao dawa yao ndohiy dada jenifa nakupenda san dada angu nimejifuza kitu kutoka kwako hongera san nimeipenda move tamu kwer

  • @SAIDAJAMAL-km9vi
    @SAIDAJAMAL-km9vi 6 месяцев назад +1

    Waooh naipenda sana hii move mungu azid kuwa sima.ia popote mkipo 23/6/2024

  • @esterjoseph673
    @esterjoseph673 3 года назад +6

    2021 wapo kweli?? mbavu zang kwa bahat bukuku na bibi Ester

  • @furahaVlog
    @furahaVlog 2 года назад +50

    2023 tupo hapa😂😂😂

    • @faidamramba4887
      @faidamramba4887 2 года назад

      Aki mm nashkuru mama alikua hivi bt nliomba ashikwe na ugonjwa ili amjue mungu wee aliugua sana sai ako sawa anaenda kansani hata hataki mambo ya kuskia pombe aki nlkua naumia tu sana hii yaumiza

    • @SAIDAJAMAL-km9vi
      @SAIDAJAMAL-km9vi 6 месяцев назад

      ​@@faidamramba4887😅

  • @jacquilinenoah949
    @jacquilinenoah949 2 года назад +13

    jaman hii movie nachekaga mpaka leo bibi kigereni😂😂😂😂😂

  • @NiyoAlpha-l7f
    @NiyoAlpha-l7f 2 месяца назад

    Ongela sana kwako dada Jennifer. Na Sisi hapa inchini Rwanda tunakufuatiliya karibu. Mungu azidi kukuwezesha kwa kumtumikiya.

  • @ruthmwasomola655
    @ruthmwasomola655 3 года назад +4

    Amen kweli nimejifuza mengi kupitia iyi asante sana dada Jennifer na dada bahati

  • @jaluluguidoty3153
    @jaluluguidoty3153 3 года назад +17

    Kazi ya mwanamke ni uchunguuu😂😂😂 Aaah..!! Bibi 😁😂😁

    • @fatumaswalleh2963
      @fatumaswalleh2963 2 года назад +1

      Mimi hata palipo nimaliza niwakti anauliza mlikuja kuomba ama mlikuja kunywa pombe 😂😂😂🤣na kuanzisha vita na hana nguvu yuwapigwa i have such anty and unaeza shinda umchka mpka akuchkze ww

  • @jojonostress486
    @jojonostress486 4 года назад +9

    Huyu mtoto mdogo anajua sana kucheza movie

    • @happychonya577
      @happychonya577 4 года назад +2

      Anampiga bibi yake na dumu🤣🤣nimempenda sana.

  • @eudiambwilo3995
    @eudiambwilo3995 Год назад +71

    Wanaoangalia mpka leo 13.2.2023 gonga likes

  • @NkieHiki
    @NkieHiki 2 года назад +2

    Nawapenda mnoooooooooo kazi yenu ni nzuri sana Dada Jenipher Mgendi uko vizuri sana Ubarikiwe.

  • @rosekainda7038
    @rosekainda7038 10 месяцев назад +2

    Bibi Esther😂🎉Nakupenda bure🎉❤

  • @dorckymbithe
    @dorckymbithe 2 года назад +8

    Wow,I have loved this movie,, thanks to the team ,we thank God for this....God bless you more and bring more films...mob love from Kenya....

  • @rachelmbodza3046
    @rachelmbodza3046 4 года назад +68

    2020 nipeni like za bahati bukuku

  • @lovedoctorernestgoodboymov5432
    @lovedoctorernestgoodboymov5432 3 года назад +14

    Bahati bukuku my best friend I can see you. Am very proud of this. I really like this song and the singer God bless you all

  • @najmamohamed9045
    @najmamohamed9045 5 лет назад +18

    Haaya maisha niyaa ukweli mimi mwenyewe naaya pitiya maisha maguumu kama haaya na zaidi yaa haya ila kila mara namliliya mungu anisaidie insha.allah

  • @mwanahamisbeku4094
    @mwanahamisbeku4094 10 месяцев назад +16

    Tunao angalia hii movie 2024 tujuane kwa like💃🤸😘

  • @judithlaurian8619
    @judithlaurian8619 Год назад +3

    Nliwahi kuiangalia kipindi cha nyuma huko lakin leo tena 11/12/2023 nmeirudia tena

  • @Chris_jemcheka
    @Chris_jemcheka Год назад +7

    Wanao angalia hii 2024 gonga like hapa❤❤❤❤

  • @wetendemiriam448
    @wetendemiriam448 2 года назад +5

    Thanks watching from dubia am Kenyan blessings almost same situation thanks am encouraged

  • @magrethjoseph521
    @magrethjoseph521 5 лет назад +21

    hongera kwa kazi nzuri mama jenifa umenikumbusha mbari kweri acheni Mungu aitwe Mungu

  • @BaibySuu
    @BaibySuu 27 дней назад

    Wanaoangalia mpaka sasa tr17/12/2024 nawaombea wote alla awavushe vyema mwaka mwengne ishaallah

  • @shanizkanini1693
    @shanizkanini1693 3 года назад +7

    Ivii ilii Bibi likojee😂😂😂jaman nauaaaa ukuu njonii mnishikeee 😂😂😂😂😂Ila sio kwa Bibi uyuuu 😂😂😂aiiii apanaaa banaaa 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @ZipporahOngoto
    @ZipporahOngoto Год назад +2

    2023 tupo good job Jennifer mungu asidi kuwa na wewe siku zote ❤❤

  • @AlmasHussein-d8m
    @AlmasHussein-d8m Год назад +8

    Wanao angalia mpaka 2024 tujuane

  • @muyaudibaraka
    @muyaudibaraka 2 года назад

    Mungu na akubariki Dada kwakazi yaufundishaji kweli uvumilivu uleta hokovu

  • @bahatimboya3224
    @bahatimboya3224 3 года назад +11

    Yani siwezi kulala bila kunywa pombe muda wangu umefika, 😂😂😂😂😂😂pombe ya kunywea ndani hainogi😁😁😁😁😁 tunywe mpka ujinga ututoke😁😁😁nacheka kama mazuri ani ndo maisha halisi haya

  • @NorahNoraa
    @NorahNoraa Год назад +3

    Mungu awabariki hongereni kazi nzuri

  • @PriscaChome
    @PriscaChome 11 месяцев назад

    Mungu kweli anasamehe na kubadilisha maisha ya mtu.

  • @jaluluguidoty3153
    @jaluluguidoty3153 3 года назад +17

    Bahati; Pombe imemuhathiri Sana naona imeingia kwenye mishipa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @rebecanjinge8603
    @rebecanjinge8603 11 месяцев назад +2

    Tunywe mpaka ujinga ututoke😂😂😂😂 kumbe walevi wanajijua kama Wana ujinga 2024 bado mwaka wa baraka Yesu awaokoe walioteswa na ibirisi

  • @smailmaman9
    @smailmaman9 2 года назад +2

    Iyi moja haishi hamu Kari snaa mungu atafanya mulango wakutokea

  • @issayalaizer3909
    @issayalaizer3909 3 года назад +4

    Hongera sana mama Jennifer hii filam iko sawa

  • @gennesmoraa9380
    @gennesmoraa9380 4 года назад +6

    Mama ni mama ata kama no mrevi ,unamwongezea zingine anywe mbaka arowane chepechepe.

  • @officialbhaddierozalia4945
    @officialbhaddierozalia4945 Год назад +6

    2024 still watching 😂❤❤

  • @stevenolwombo9519
    @stevenolwombo9519 Год назад +1

    Stephen olwombo from Kenya 🇰🇪 Nawapenda sana ndugu zangu wa Tz

  • @cellaashy9095
    @cellaashy9095 5 лет назад +7

    Ireally love this movie mungu na azidi kuainua kwa kweli mungu huwa kazini sikusote

  • @aass7266
    @aass7266 3 года назад +6

    Ukweli kabisa kaka yangu Amen thanks you God

  • @gres1182
    @gres1182 3 года назад +11

    Hii move inachekesha pamoja na kuuzunsha 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @Maurinemenza
    @Maurinemenza Год назад +3

    Wenye tunawatch 31 .10.2023 saa 20:33 pm acha likes

  • @pammy0214
    @pammy0214 Год назад

    Sikujua bahati bukuku alicheza movie she's a good actress and talented omg🎉🎉❤

  • @theophile2524
    @theophile2524 2 года назад +3

    Hi Mimi ni munyarwanda napenda Bukuku Bahati sana Munu akutendee vema

  • @martinakyoo148
    @martinakyoo148 Год назад +1

    Kazi ni nzuri ,yakubariki,inafundusha oooh Mungu azidi kuwabariki

  • @dumamnyama5131
    @dumamnyama5131 3 года назад +4

    👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏kiyoo Cha jamii mafundisho mazur mno sauti tu si kwa kuimba si kwa kuigiza aisee salti bahar na jenifa

  • @stephenmuthoka6070
    @stephenmuthoka6070 3 года назад +3

    Nimeipenda Sana hongereni nyinyi wote mliohusika 🇰🇪

  • @HawaHanga
    @HawaHanga 7 дней назад

    Filamu yang pendwa tangu 2011 hd leo 2025❤ best move ever

  • @Amander242
    @Amander242 Год назад

    Very interesting movie, so pure so genuine and real !Hakika mmeitendea haki Jenipher !!!!! Bibi is very talented

  • @lengachapati3728
    @lengachapati3728 3 года назад +5

    Mliyo iyo basi la SHABIBY LAIN gonga laik hapa

  • @danielcleophace9068
    @danielcleophace9068 2 года назад +6

    Aiyeiye lembwawe Lelo wandabhwile wanyabhilee😀😀😀😀😀😀😀what a nice song

  • @brayanmuiruri9850
    @brayanmuiruri9850 3 года назад +15

    Jenifer Mungu akubariki Dada, nazipenda filamu zako sana🙌

    • @francoiskafwamba8911
      @francoiskafwamba8911 3 года назад +1

      may the lord bless you sister, it's over with that mom go back there.

  • @emmanuelidongo2988
    @emmanuelidongo2988 3 года назад +4

    Wauweeeeee huyu mama Ake na jenifa ni noma yupo makini kuigiza na ananichekesha balaaa

    • @eashaeasha9776
      @eashaeasha9776 2 года назад +1

      Jenifa gani mama yake huyu ebu nielekeze nampenda Sana huyu mama

    • @emmanuelidongo2988
      @emmanuelidongo2988 2 года назад +1

      Jennifer mgendi aliigiza kama mtoto wa huyo mama

  • @JanetApua
    @JanetApua Месяц назад

    🎉sasa alishazoea maisha haha we heshimu mama yangu. Mfanyakazi.ilove my mum so much ata kama ako hivyo.

  • @mary-lx3hr
    @mary-lx3hr Год назад +2

    Nikweli mungu anatenda Kwa wakati wake love this movie ❤❤❤❤❤❤

  • @clairehamisi7285
    @clairehamisi7285 3 года назад +4

    Bahati Hongera sana Nakupenda bure tu ..kutoka Kenya

  • @kevinombaso9112
    @kevinombaso9112 4 года назад +73

    2020 watching...,,, gonga likes Kama uko na mimi

  • @lindamsuku4365
    @lindamsuku4365 2 года назад +26

    Bibi has been the best actress 😍, I love you Grama😂

  • @coolwaveac7659
    @coolwaveac7659 5 лет назад +6

    Hii movie ni nzuri imenifunza mengi

  • @roseuwambe8089
    @roseuwambe8089 4 года назад +6

    😂😂😂😂huyu mama duuu yani hatata havumiliki🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @MariaMaria-gq4kd
    @MariaMaria-gq4kd 5 лет назад +15

    Kweli hakuna kama mama hata awe hali gani mama ata baki kua mama tu❤❤

  • @obolfranco3516
    @obolfranco3516 4 года назад +6

    Hongera sana Dada jennifer,mungu akubariki

  • @jonathanntare4787
    @jonathanntare4787 3 года назад +4

    Mama Jenifa umenikumbusha mbali sana

  • @janetkithi775
    @janetkithi775 10 месяцев назад +1

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭Wakati wa MUNGU upo utafika tusikate tamaa🙏🏿🙏🏿🙏🏿

  • @anjelineaoor4140
    @anjelineaoor4140 2 года назад +1

    God bless 🙏🙏🙏you Jenifer hii mara ya tatu kutazama filamu hii

  • @asmamfomi3218
    @asmamfomi3218 4 года назад +7

    Hongereni wote kwa ujumla kazi nzuri. Mungu akubarikini japo sio imani yangu ila moving yenu inafundisha na kuelimisha pia

  • @electine476
    @electine476 2 года назад

    Asante kwa wimbo mzuri wakuelemusha keep on mubarikiwe sana

  • @tessykatoto1713
    @tessykatoto1713 2 года назад +11

    Amen 🙏🙏🙏 you have changed something in me be blessed

  • @ausonjustinian5494
    @ausonjustinian5494 3 года назад +1

    Wa mama oyee. Nimefraishwa sana na igizo hili.

  • @josephkadege8729
    @josephkadege8729 4 года назад +4

    Much blessing mungu anatupiganie big jeni

  • @neemaseko4988
    @neemaseko4988 Год назад +3

    Hahahahhaa bibi estr na mjuku wake 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @matendorashidi7050
    @matendorashidi7050 6 лет назад +24

    Mama Jennifer wewe mkali kweli mungu akubariki

  • @lizzymapunda
    @lizzymapunda 8 месяцев назад +1

    Kwawale tunao fatilia movie hii mwaka 2024 like

  • @beladiekeke48
    @beladiekeke48 5 лет назад +8

    Inakuwa ni filamu nzuri sana asante Jennifer kwa kuvumulia tabia mbaya ya ulevi Elia kutoka Burundi.

  • @Judithnyantikanyaboke
    @Judithnyantikanyaboke Год назад

    Amen love this movie

  • @queendiva2389
    @queendiva2389 4 года назад +18

    Who's watching this in movie 🎬 2020

    • @sarahyusufu2626
      @sarahyusufu2626 4 года назад +1

      I'm hear

    • @Spiritled.Furaha
      @Spiritled.Furaha 4 года назад +3

      Godriva K Natasha:
      me I already watched this but I wanna watch again❤️

    • @aikarobert4173
      @aikarobert4173 4 года назад +2

      Take lamama

    • @prohad2414
      @prohad2414 4 года назад +1

      Charlene K me Esther

    • @deborahmneney8832
      @deborahmneney8832 4 года назад +1

      Acha bibi akung'utwe bibi kazidi jaman amakweli hili ni teke la mama

  • @mariacassian8419
    @mariacassian8419 3 года назад +2

    Bora umwagechakula kulikokumwaga pombebwanaa nimechoka sana

  • @VsgsVzvvz-wz2eb
    @VsgsVzvvz-wz2eb Год назад

    Ulifanya,vizuri,maana,ukutaka,kukumbuka,vile,uliachwa,nimejifunza,kusahau,yaliyo,pita,nigange,yajayo,asante

  • @nirmaladavid8861
    @nirmaladavid8861 5 лет назад +11

    Amina Amina kweli hii movie inamafunzo kweli

  • @hadijahhassani9022
    @hadijahhassani9022 3 года назад +5

    Mama bana! Acha ni cheke.tu🤣🤣🤣

  • @khadijahassan3431
    @khadijahassan3431 4 года назад +10

    Wewe mutoto Kama una lahana ya wazazi wako jua hapa unacheza na Moto 😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @jaluluguidoty3153
    @jaluluguidoty3153 3 года назад +4

    Uuwiiiii nauwa MTU huku jamani njooni mnishike nauwa MTU huku 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @fredosalome4251
    @fredosalome4251 3 года назад +14

    2021 nimeirudia tena jmn ❤❤❤❤❤❤❤❤🥰

  • @antoniodonizettiseveriano5454
    @antoniodonizettiseveriano5454 Год назад +11

    Amém Jesus 🙏 gostei tudo de bom pra vcs 🙌🌟

  • @salmakisairo3999
    @salmakisairo3999 3 года назад +6

    Huyu Bibi mdawote anahasira😂😂😂😂

  • @guilaineirakoze4011
    @guilaineirakoze4011 2 года назад

    Mungu akubaliki dada Dati Na akup chochote unaco itaji👏

  • @lilyiminza79
    @lilyiminza79 2 года назад

    Emen 🙏🙏🙏 muchugaji ubarikiwe Sana akuna Jambo ngumu kwamungu 🙏🙏🙏

  • @EliaMwangobe
    @EliaMwangobe Год назад

    Jamaniii hvi huyu dada ameigza kama mfanyakaz simuoni bongo movie saiz cjui kaenda wap.2023 gonga likes hapa