Jennifer Mgendi; Chai Moto (Official Bongo Movie)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 янв 2025

Комментарии • 295

  • @tresorkinyeshe6965
    @tresorkinyeshe6965 4 года назад +13

    Hiindiyo duniya Sasa movie tamu jameni eeeeeeeee dada yangu kweli wewenimsanii mkali kaabisaa nakukubali

  • @moreenbless-vr7oy
    @moreenbless-vr7oy Год назад +2

    Daah ii mov ni uhalixia wa maisha ya watu katika jamii inayo tuzunguka eeh MOLA wangu nijalie maisha malefu niweze kuwalea wanangu pia ata nikifa wabaki kwenye misingi mizuri 🤲🙏

  • @josephmwangi2090
    @josephmwangi2090 2 года назад +13

    Mafunzo mazuri,,,akili za kuambiwa changanya na zako,,,,,,,hongera sana wahusika wote

  • @JulienKoko
    @JulienKoko 8 месяцев назад +2

    Hongera sana kwa mafundis
    ho haya yamenibarika sana hadi kunitowa machozi , kiukweli hiindiyo dunia tunayo ishi , ila tunganganie kumuomb
    a Mwenyezi Mungu aliye msinji
    Wandoa aziimarishe na kutufundisha upendo na ustahili katika safari ya maisha
    hapa duniani . Mungu akubariki

  • @jumakataka81
    @jumakataka81 Год назад +1

    Natembeyah mimi ni marehemu !!!! Maisha ya mwanandamu ni kama mauuwa mimi na nyumba yangu ni tamwambundu bwana
    . Kwakuwa wewe umenikataa mimi namii nitakukataa mimi asemaa bwana wa majeshi good song by Jennife i see nikiwaa kwetu kenya western ingo luhya amina ukweli yesu alisemaa ambandacho mtu ndicho atavunaa

  • @jumakataka81
    @jumakataka81 Год назад +18

    Mafundisho mazuri sanaa baba yetu muhumba na mwokozi wetu yesu akumbariki wote wenye kutazama sinema hii amina Tanzania yesu alisema jihathari na mwanandam mana aduwe wa mtu ni yule🎉wa 😢 karibu hata zahindi nyumbani mwako biya kuna song ya rumba inaimbaga 😊 duniya hi ina mambo lukumba lukumba mwendo wa ngamiyah chunga mwenziyo atakudaganya kwa yote apendavyo tena yesu akasema _YOHANa10:1_ _ shetani ni mwaribifu tena muhuwaji tena muhogo .😢 thanks for a good❤ movie

    • @ElizabethBaraka-ml9yy
      @ElizabethBaraka-ml9yy 10 месяцев назад

      Mung.naomba.uniokoe.na.shida.ninayo.ya.pitia.niwalee.wanangu.baba

    • @ElizabethMatiko
      @ElizabethMatiko 10 месяцев назад

      Filamu hii ina2fundixh mambo mengi xan tunatakiwa 2jiekew tunapo ambiw ki2 2natakiw tukfikiriy kwa umakini mkubwa xan

    • @KaziyamamaVolonte
      @KaziyamamaVolonte 7 месяцев назад

      ​@@ElizabethMatiko1:03

  • @johariwao6949
    @johariwao6949 3 года назад +8

    Masikini hawa Watoto tunaowaita yatima kumbe wengine ni sisi wanawake tumewasababishia uyatima,wanawake tuwe na mioyo ya huruma jamani,masikini jiji limekuharibu kiasi hicho kama kweli vile 😭🙏

  • @saumusulaiman4742
    @saumusulaiman4742 Год назад +3

    Dd Jennifer unajua natena na tena .❤unatufundisha maisha halisi😢

  • @Bintluckas3918
    @Bintluckas3918 Год назад +10

    😭😭😭😭 Mungu naomba unipe maisha marefu niwalee wanangu

  • @shabaninsengiyumva2591
    @shabaninsengiyumva2591 3 года назад +5

    Jennifer.tungupendakwel
    Ukuburundi.mungu aenderey
    Kukubalki na fammiliaako!!

  • @lilyiminza79
    @lilyiminza79 2 года назад +1

    Wanawake tujifuze kufumilia Kwa doa na tuwaja ushauri zawatu wengine mwanamke ujega nyumba yake Kwa mikono miwilii na umbomoha mwenyewe Kwa mikono miwilii Jennifer God bless you 🙏🙏🙏🙏 umenifuza Jambo kumbwa Sana barikiwe Sana

  • @Shannycharle
    @Shannycharle 10 месяцев назад +1

    Dada jenifer unajua sana jaman mungu azidi kukuinua

  • @bigmami1992
    @bigmami1992 Месяц назад

    Huyu pastor sijapenda kabisa bible yenye imeandikwa kumuacha mke au mume pengine uwe umemvumania na Mwaname mwingine mbona huyu mchungaji muongo eti ndoa imefungwa na Mung

  • @uiptv365
    @uiptv365 4 месяца назад

    Mungu akubariki sana Jennifer kwa filamu nzuri yenye mafunzo mengi 🙏🙏❤️

  • @marynganga5995
    @marynganga5995 8 месяцев назад

    Mafunzo mazuri sana dada mungu azidi kukupa neema.watching from U.S.A.

  • @barkyabdallahsuleiman7069
    @barkyabdallahsuleiman7069 2 года назад +1

    Daah hii ina mafunzo saana wanawake tuchagueni marafiki,masikini hao watoto

  • @brayanmuiruri9850
    @brayanmuiruri9850 3 года назад +5

    Waah, nmehurumia hao watoi, nmeona ka ni really life aki. Be bless Jennifer

  • @aoodalbadi8473
    @aoodalbadi8473 4 года назад +4

    Ongera mussa banzi kwakushirikishwa na jenif mgendiii 👏👏💪

  • @JulietMachuma
    @JulietMachuma Месяц назад

    Kwa kwali kupokea uponyaji ni hatua❤❤❤❤❤kenya

  • @lucyjoseph4025
    @lucyjoseph4025 2 года назад +8

    Mov zake nazipenda sana zinafundisha sanaa kaz nzur

  • @awazimalilo3869
    @awazimalilo3869 Год назад

    Tamaa ni mbaya na kuna wimbo umeimba etii tamaa mbele mauti nyuma ona sasa tamaa imekuponza umemuua mumeo kisa ana utajiri sasa umefadika nini kumuua mumeo 😢😢😢😢😢😢😢

  • @faniceokila8967
    @faniceokila8967 4 года назад +2

    Si mungu anipatiye mme kaa huyu haki , jasm ni mjinga tu sana

  • @sophybenedict5706
    @sophybenedict5706 3 года назад +1

    Duuuu! Kama kuna mtu kama Jasmine then hii kazi.
    .....
    Ila ujumbe mzuri
    Mr fimbo mpole mwengine angemfukuza muda tuu

  • @zippyMtali
    @zippyMtali 5 месяцев назад

    Napenda sana filamu zako Jenifer Zina mafunzo makubwa sana kwa maisha

  • @rebecca-nj6wl
    @rebecca-nj6wl Год назад

    Mungu akuzidishie zaidi ya mahitaji yako dada unamafunzo mazuri saana nahiisi unaniinua

  • @jacksonkatafuru5687
    @jacksonkatafuru5687 3 года назад +5

    Filamu hii imeniguza sana, duniani ata rafiki moja haiko

  • @atufigwegeizilael5558
    @atufigwegeizilael5558 3 года назад

    Huyo dada nichiz au maaan mambo anayo mwambia mwenzake mh mungu anakuon na huyo mjomb agop mke wa mtu jenifa na huyo tajili wako machiz wote

  • @VianneyMushubusa
    @VianneyMushubusa 4 месяца назад

    Mungu utu samehe sisi wanadamu ,wanawake wana maliza bwana zawo 😢😢😢

  • @jacksonkatafuru5687
    @jacksonkatafuru5687 3 года назад +5

    Maman samahani utupatatiye titre ya mwimbo huyu ya mwisho ni muzuzuri sana

  • @hakuzwebirinda
    @hakuzwebirinda 9 месяцев назад

    Mama Jennifer,niko Zambia nakupenda sana....

  • @bellah7467
    @bellah7467 4 года назад +2

    Aki nasikia uchungu anavyo wapiga hadi ananitia wasawasa na wanangu sijuwi huko waliko wapo vipi aki MUNGU aturehemu sisi wana wake aki🙏🙏

  • @alfredsimakala7135
    @alfredsimakala7135 3 года назад +4

    Daaaaah!!! Umetisha sana jenifa mungu akubarik sana na akutie nguvu

  • @mariamphd1657
    @mariamphd1657 Год назад +1

    Eeeh! MUNGU Naomba maisha marefu nilee watoto wangu mimi 🙏🏼

  • @ElosyKinyua-tg1ti
    @ElosyKinyua-tg1ti Год назад

    Kazi nzuri Jennifer hii ndio funzo ya watu wasio tosheka na boma zao😂😂😂😂

  • @sophydaud5351
    @sophydaud5351 4 года назад +1

    Kwel kama kupenda pesa sio hvo Dada umetisha mungu akuponye Jenifer huyo mweny pesa anakudanganya atakutimua tyu

  • @kinsman-mx6qh
    @kinsman-mx6qh 7 месяцев назад +1

    HUYU SHOGA YAKE JENIFFER ANA MAWAIDHA YA KUPOTOSHA KWELI URAFIKI HUU NI WA NDUMA KUWILI ULE WA KULANA KIVULI

  • @johnpaul7621
    @johnpaul7621 3 года назад +1

    Nashukuru sana wanawake wabadirike mana wanaerekezwa hawasikii

  • @bitishoriziki1113
    @bitishoriziki1113 10 месяцев назад

    Pole kila. Meanzo Ni mgumu mvumilivu hula mbivu

  • @sharobboyimatheboy9639
    @sharobboyimatheboy9639 6 лет назад +7

    Jen nakubal injili yako mungu akubariki ni mm ima

  • @deogratiasassey6872
    @deogratiasassey6872 4 года назад +4

    Safi sana Jen uko vizuri

  • @IsayajosephMarwa-tv6vt
    @IsayajosephMarwa-tv6vt Год назад +2

    I like it so much

  • @LightnessMunise
    @LightnessMunise Год назад

    Kazi nzuri sana nimejifunza kitu kikubwa kwenye maisha yangu

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 5 лет назад

    Hi nayo kali yamwaka wenyekudanganywa namarafiki hongera sana jenfer mghendi wasubiri move ya tamaa mbele mauti yetu

  • @ElianeBikorimana-kf1lz
    @ElianeBikorimana-kf1lz 8 месяцев назад

    Jennifer ubalilie sana ninapenda mafundisho yako

  • @emanuelshila9343
    @emanuelshila9343 9 месяцев назад

    Usikubali utekwe na dunia Yes yupo malangoni toba ni muhimu

  • @emmanueloinoth
    @emmanueloinoth 3 года назад +2

    Mungu akupe miaka mingi na yenye baraka🙌

  • @jakobojohn7680
    @jakobojohn7680 4 года назад

    Hii kweli chai ya moto dada jeniva umemaliza mwenye masikio naaskie na macho mboni kwenye kioo dada kazana ili uokoe ndoa za wengi ni mahubili safi

  • @newtongabriel8529
    @newtongabriel8529 3 года назад +1

    Kwaya ninayoimba nikiwa Dar hapa Tabata Kimanga (kisukuru) ni NEW SONG SINGERS nimefurahi kwenye movie mmeitaja NEW SONG

  • @العبريالعبري-ف4ه
    @العبريالعبري-ف4ه 6 лет назад +2

    Lov u Jeni

  • @sandrineigiraneza
    @sandrineigiraneza 11 месяцев назад

    ulisababisha wtoto wawe yatima!Mungu weee😢

  • @JackieOduor
    @JackieOduor 11 месяцев назад +1

    Tupa tupa kweli ni wengi 😂😂😊

  • @youngteo4158
    @youngteo4158 3 года назад +2

    Move hii nimeipenda sana

  • @maryd1538
    @maryd1538 Год назад +2

    Be blessed dear

  • @lall2037
    @lall2037 3 года назад

    Ujumbe huo sijaupenda umeharibu ulivyomuua uyo mume bora ungemuacha ukaondoka ww huoni Dhabi watoto watalelewa na nani baba umemuua mama yao keshakufa baba ndie alikuwa hakiwalea watoto wake jmn

  • @NyandwiEliphase-wb8rk
    @NyandwiEliphase-wb8rk 8 месяцев назад +1

    Asante

  • @amaliaanthony3739
    @amaliaanthony3739 3 года назад

    Jennifer umerikurupukia jiji la dar es salaam na litakufunza adabu pole xna

  • @furahamwikombo-p7g
    @furahamwikombo-p7g 8 месяцев назад

    Hiii nayo kaliii dada Jenifa....

  • @beatriceelias194
    @beatriceelias194 4 года назад +2

    Unakifua we baba mungu wangu

  • @alphonsefofo-wr1fx
    @alphonsefofo-wr1fx Год назад +1

    Ubarikiw sana jen uku b
    Burundi

  • @PalukuEnock
    @PalukuEnock 8 месяцев назад +1

    Aksanti kwa mafundisho.

  • @terrywatahi1203
    @terrywatahi1203 8 месяцев назад

    Movie hizi zinaerimisha kwa kweli ❤

  • @JacklineAdhiambo-pf2ob
    @JacklineAdhiambo-pf2ob 7 месяцев назад

    Kazi nzuri ❤❤❤❤

  • @amaliaanthony3739
    @amaliaanthony3739 3 года назад +1

    Nmekupend dada Jennifer umejua kuect onger xna ina mafunzo meng xna

  • @mosesmsanzu3555
    @mosesmsanzu3555 4 года назад +6

    Wow!

  • @DalvoDaudibindalvo
    @DalvoDaudibindalvo Год назад +1

    Unajuwa sana

  • @esterulanga3673
    @esterulanga3673 4 года назад +2

    Ujumbe mzuri sana

  • @marynasyieki3783
    @marynasyieki3783 9 месяцев назад

    Mavunzo mazuri Sana dada.Barikiwa🙏🏻

  • @MercyMercy-l1k
    @MercyMercy-l1k 8 месяцев назад

    Mubarikiwe sanaaa ❤❤❤❤

  • @ShalletsifaAmos
    @ShalletsifaAmos 10 месяцев назад

    Good job you teach me a lesson

  • @nduwayezutadsonchannel4084
    @nduwayezutadsonchannel4084 3 года назад

    Gali ya 10 million eti million 100 natari sana

  • @gaudensiamganga1695
    @gaudensiamganga1695 4 года назад +1

    Eee shoga mwenyewe miguu mieus, khaa eti sm kmkipande cha miogo daaah tamaa Mungu tuepushe na vizazi vyetu

  • @vipvip3322
    @vipvip3322 2 года назад +1

    That movie was very good i liked

  • @maryamammar1702
    @maryamammar1702 6 лет назад +18

    Jamani anae faham jina la ile movie ya huyu dada(naliaaa pole nalia pole 😁😁😁naombeni jamani)

  • @mnyakyusambunifu143
    @mnyakyusambunifu143 8 месяцев назад +1

    Ujumbe Umefika Nakukubari Saana Dada Angu Kipenzi Mov Zao Zinanibariki Saana Haujawahi Kuniangusha

  • @hubirikandonga4261
    @hubirikandonga4261 5 лет назад +3

    Ubalikiwe Dada kwa kazi yako njema

  • @pendohillrey1164
    @pendohillrey1164 3 года назад

    Ata kheri uondoke pole pole kuliko kumuuwa jaman na watoto wana kaa na nan kilicho bakia kujuta watoa mwenzio roho kisa pesa

  • @how.to.in.swahili
    @how.to.in.swahili 5 месяцев назад

    M nilichojifunza n wakuu wakitaka kukupoteza kwenye hii dunia ni sekunde tu 😂

  • @suzanne9517
    @suzanne9517 2 года назад +1

    Mafunzo mazuri sana

  • @العبريالعبري-ف4ه
    @العبريالعبري-ف4ه 6 лет назад +3

    Axante kwa ujumbe Dada Jennifer

  • @HellenaMky
    @HellenaMky 10 месяцев назад

    Haaaaah. Wanaume nao wanachamba uwiii nafamie kweli tamaa mbaya

  • @joycentongani388
    @joycentongani388 2 года назад

    Fundisho zuri sana .

  • @reycwkizenga7593
    @reycwkizenga7593 Год назад

    Dada jenifa mungu akubalik

  • @marthanzeyimana6749
    @marthanzeyimana6749 4 года назад +2

    Asante sana 🙏🏻🙏🏻

  • @raymondbahati7626
    @raymondbahati7626 9 месяцев назад

    Movie nzuri Jennifer

  • @tuikezeezra1315
    @tuikezeezra1315 8 месяцев назад

    Du hii video nzuri sana

  • @esthercharil7607
    @esthercharil7607 8 месяцев назад

    Mafundisho mazuri sana

  • @Bigmamii03
    @Bigmamii03 Год назад +2

    Anyone here from TikTok? ❤

  • @LeticiaNdandwa
    @LeticiaNdandwa 10 месяцев назад

    Amina

  • @yvonnevihenda2332
    @yvonnevihenda2332 6 лет назад +5

    Jamani hao watoto wamebaki kwa giza,wewe mama ungeondoka tu polepole ukaenda kwa tajiri wako ukaacha huyo mzee aendelee kuwalea watoto wake.

  • @suzanne9517
    @suzanne9517 2 года назад

    Tamaa ni mbaya sana

  • @elizabethuwezo290
    @elizabethuwezo290 4 года назад

    Yaani nmeliaaa ad macho kuuma

  • @samsonodhiambo1180
    @samsonodhiambo1180 4 года назад

    Ujumbe nzuri sana tena imenipendeza sana*100%

  • @alexisnduwimana4363
    @alexisnduwimana4363 4 года назад +1

    Inafundisha sana iyi filamu

  • @mauwarashid4823
    @mauwarashid4823 5 лет назад +4

    Acheni hizo tabia mbovu wanake wengine kama mnatabia hiyo acheni hayo mambo kupenda kushawishika ovo kwa mambo ya kishwetani turieni rizeni na ndoa zenu kama mrivokubana mpaka mkaowana kwani pesa mapito tu ndoa imefika mpaka ahera

  • @pendohillrey1164
    @pendohillrey1164 3 года назад

    Kabla sija imaliza lakn rafiki wengine sio marafiki kweli niwa potofu na ndio maana sina marafiki akh

  • @benjaminkofa7527
    @benjaminkofa7527 4 года назад

    Hongera sanaaa Jenifer mgendi Mungu akuongoze

  • @lengachapati3728
    @lengachapati3728 3 года назад

    Niliangaliaga zamani sana sema nini uyu jennef mnzuri sana natamani kumoa lakini sijui kaolewa au laa maana natamani kuoa mke anae mjua Mungu kama mimi
    😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @poureenkunambi6413
    @poureenkunambi6413 5 лет назад +3

    Movie tam balaaa

  • @Florence-vt6mc
    @Florence-vt6mc 7 месяцев назад

    Movie zenye mafundisho

  • @josphinemwangala3244
    @josphinemwangala3244 4 года назад

    Mapanga nayo, mwanamkee wee, mungu akutagulue, mbao kwanza