"KIMBUNGA 'HIDAYA', MVUA YAVUNJA REKODI KILWA NA MTWARA"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 май 2024
  • "Kumekuwa na mvua kubwa sana maeneo ya Kilwa lakini pia Mtwara, mvua ambazo zimevunja rekodi ndani ya muda mfupi inanyesha mvua kubwa, ni kitu ambacho tulitarajia kutokana na uwepo wa Kimbunga 'HIDAYA'"-Dk. Ladislaus Chang'a-Kaimu Mkurugenzi Mkuu kutoka TMA.
    #ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
    #Follow @radioonetanzania #Kimbunga #Hidaya
    Zaidi tufuatilie kwenye RUclips #ITVTANZANIA

Комментарии • 6

  • @NeemaMateleka
    @NeemaMateleka 28 дней назад

    Naungama mungu baba kwaajili ya watanzania wote natubu naomba utusamehe baba

  • @AniaJaffari
    @AniaJaffari 28 дней назад

    Mungu tusaidie

  • @LucyJoseph-pb4um
    @LucyJoseph-pb4um 28 дней назад

    Mungu utunusuru

  • @rickythiago8654
    @rickythiago8654 28 дней назад

    munguu. ingilia kati

  • @user-ss6ey3ge1d
    @user-ss6ey3ge1d 28 дней назад

    Allah tulinde waja wako

  • @NeemaMateleka
    @NeemaMateleka 28 дней назад

    Naomba utunusulu na haya baba yatosha wewe ni muumba tusamehe