The story from mother,father,sister,aunt,neighbor,friends,when you listen to these people they are not lying.Mimi napenda martha sana but anahitaji kukombolewa na kufichua siri aliyo nayo na kukiri yesu.
Ukilifuatilia vizuri utajua ni vitu vimetengenezwa! Mama na mtoto wako against na martha mbona inajionyesha kabisa, hivi unadhani kwa nn Beatrice aliamua kuliweka public jambo la kifamily? Ili mama yake asaidiwe? Mnategemea baada ya kashfa zote hizi Martha atakuwa bado anaipenda family yake tena? Mnajua anayopitia lakini? Unajua ni kwa nn ilikuwa hivyo? mama alipaswa aseme sababu ya Martha kumtenga!!
Watu wanapangwa kiongea uongo,dunia kmeisha jamani watu wanathaminimpesa kumuumiza mtu,mie ni muislamu lakini kmaniyangu sote ni jjnaadamu,wanayoyafanya laana itawarudia,Martha endelea kumlilia Mungu,hakuna atakaye kuamini Mungu ndio anajua.
Hata Mama yake Martha pamoja na mdogo wake Beatrice ni wanafiki wakubwa ambao hawataki yatima na wasiojiweza wasaidiwe, Mungu anawaona mnavyomfanyia Martha na mtalipwa hapa hapa duniani wala si Mbinguni, maneno hayo kwa Mama hayafai
Waandishi wa habari mpunguze kuandika vichwa vya habari vyenye uchonganishi, maana wengine wanasoma tu vichwa vya habari na kuanza kukomenti kitu ambacho sio, mpaka kijana wa watu anachukuliwa kama mnafiki kumbe sio 😮😮😮😢😢
Mama yake Wana ogerea kitu abacho Wana kiona nyi amujuwi kwamba awa awa ya tima diyo wanaletenga matatizo kwenye familiya za watu wegine wanatumwa na firimasoni ili watenganishe familia kwasababu Martha nimutumisho wa mungu kwaiyo Martha eye akomaye namaobi tu ili mungu amuonyeshe mana lisemwalo lipo
Huwa nashangaa sana mtu akiwa maskin huwa hamwongei kitu akifanikiwa tu mnaanza maneno mungu awasamehe kwa kweli mtu kapitia changamoto na anaimba vzr leo kafanikiw eti ana mambo ya kishirikina inakuhus nn nenda ukasali wee
Mm nalaumu Hawa watu wenye wanaishi Na huyu dada mwaipaja ndio wako Na ushahuri mbaya ju ya huyu dada but naamini siku moja Mungu atafichua vitu ambavio shetani anavifanya Kwa iyo nyumba kupitia maombi ya mamake mwaipaja.
What happened to this beautiful lady?I remember in2021 I came across with her videos and I liked follow her music really?now what happened?because it has been a while not following her music just to receive the notice yesterday she's just all over RUclips majority talking about her AND BIG BIG PICTURES FOR SNAKES 🐍 IN your language you call it nyoka we in my language eyoka one of the Namibia 🇳🇦 language. What happened Martha Mwaipaya?You have gone to the dark world.While others are just crying that are tired of 0:13
Watu humu ndani wanamjudge hyu kaka nawajasikiza interview yake huyu amekata akasema martha amemlea nahawezi muongelea vibaya atah kidogo mwenye interview ndio mmbaya nahyo headline yake
Mm naomba sasa muanze kuwageuza ng,'ombe ili tunyer supu😊😊😊😊😊,sasa kila siku mwaongelea tu nyoka hamjui yatisha😂😂😂mlimaliza kumwongelea muimbaji wa injili marko au bado tusubiri kuona mti zilizo na macho,midomo tumbo na meno😂😂😂😂😂,kile napenda kwa watanzania ni kiswahili tu,wala tabia zao mbaya😢,wao huongea ata kwa mfu ili asipewe kiti mbinguni 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂sasa martha amewakulia nn
Mtangazaji Naye hanasubira.........anakipawa Cha kukaa na watu ila wengine wanakuja na mauchawi Ili wapendwe wao....watu waivo wapo wengi sanà ambayo huwatenga wengine na ndugu zào Ili wapendwe wao.....ila kuachana na mume wake alikosea sanàaa........
Nyi nyi musi mukufulu mama yake Martha muzazi ni muzazi na ajuwaye uchungu nimuzazi wake mwenyewe nanyi. Amu wezi kuumia zaidi yake mama yake Martha. Je kama ninyinyi Muna weza ku amua je
Wewe utachomwa na Moto wa Petro Martha sio wa kwanza kusemwa vibaya hata yesu alisemwa we kaka fanya bidii kuimarisha mahusiano yako na Mungu sio kusema uongo
Mimi chenye na jua hii Dunia Kuna watu wa kuvunja watu vipaji vyao, wivu na machukizo kwa watu wengine, kumbuka ukimunyoshea mwenzio kidole kumbuka kidole unachokinyosha kwa mwenziyo ni kimoja na zile nne zote zakunyoshea wewe, kwangu Mimi najua Martha kama mwimbaji wa nyimbo za MUNGU. Kumbukeni ata YESU alisalitiwa na mwanafunzi wake baadaye Judas alijinyonga na YESU aliyesalitiwa alikufa na baada ya siku tatu akafufuka, kibali kinatoka kwa MUNGU. Kumbukeni vita nivya MUNGU vita si vyetu.
Ivi ninyi Wakristo nini hii mnafanya?. Uyo Mungu wenu mmemwacha wapi?. Kwanini haya?. Tunataka nini kwa haya?. Nawashauri mgeukieni Mungu wenu na matatizo yenu mwelezeni Mungu mkuu,siyo wanadamu wanaopita na kusaulika.
Acha kumchafua mtumishi wa mungu acha uwongo wewe kijana na mungu atakuukumu mchana kama huu na jua likiwa linawaka iviivi na muda kama huu saa saba na dakika kumi na Saba pm
Jamani huyu kaka mbona kaongea vizuri kabisa tusisome tu vichwa vya habari na kuanza kuhukumu, mwenyewe nilivyoona kichwa Cha habari nilishangaa sana lakini nilivyomsikiliza huyo anavyohojiwa na anavyojibu ni tofauti kabisa na kilichoandikwa kwenye kichwa Cha habari, waandishi mpunguze kuandika vichwa vya habari vya uongo jamani 😢
Asante Sana bro Mungu akulinde siku zote
Mungu akubariki umeongea unacho kijua kaka Martha nitabaki kukupependa sana
Congratulations Bro Umemjibu Vizuri Sana Huyo Mwandishi Coz Anamponda Sana Martha Ebu MwacheNi BhaNa Daaaah
Mm nampenda san martha nyimbo zake zinanitia moyo sana
The story from mother,father,sister,aunt,neighbor,friends,when you listen to these people they are not lying.Mimi napenda martha sana but anahitaji kukombolewa na kufichua siri aliyo nayo na kukiri yesu.
We nae unasimiliza uongo wa hii kenge inatafuta kiki ya kukuza channel
Lisemwalo lipo kama alipo laja these this are there fungukeni macho@@aloycekomba1
Martha mwaipaja nakupenda sana
Songa mbele wanakuchafua kwasababu wewe ni mtumishi wa Mungu ata Yesu alizushiwa maneno mabaya na magumu usiogope
Kushinda ni lazima
Hivi wewe mwandishi uoni aibu kuoji undani wa mtu hivyo
Ukilifuatilia vizuri utajua ni vitu vimetengenezwa! Mama na mtoto wako against na martha mbona inajionyesha kabisa, hivi unadhani kwa nn Beatrice aliamua kuliweka public jambo la kifamily? Ili mama yake asaidiwe? Mnategemea baada ya kashfa zote hizi Martha atakuwa bado anaipenda family yake tena? Mnajua anayopitia lakini? Unajua ni kwa nn ilikuwa hivyo? mama alipaswa aseme sababu ya Martha kumtenga!!
Mama yetu Matha mungu akulide familiya hazieleweki
Nitazidi kumupenda Marta nakueshimu kilisho ndani yake mti yenye matunda njo inapigwa mawe
Kweli hii ndunia mungu peke Yake ndiye anajua sababu kila mtu ni wa setani Kwan akuna watu wa mungu nduniani
Mathal piga kazi haya ni mapito msaidie tu mama mdogo wako mungu akubariki
Ww naye ndiyo wale wasagaji ? Mama mdogo wake yupi? Au umelewa
Watu wanapangwa kiongea uongo,dunia kmeisha jamani watu wanathaminimpesa kumuumiza mtu,mie ni muislamu lakini kmaniyangu sote ni jjnaadamu,wanayoyafanya laana itawarudia,Martha endelea kumlilia Mungu,hakuna atakaye kuamini Mungu ndio anajua.
Matha Mungu amtunze sana na amlinde kwa ukubwa
Mungu akuinue sana Martha Mwaipaja Hao wanaokuchafua Mungu anawaona endelea kupiga upako wa kimbingu
Hakuna mungu hapo. Amejificha tu. Kwenye dini. Lakin ni Freemasons
Mungu Anakuhitaji naona nawe unazidi kumkosea Mungu
Munamuandama sana uyo dada saiv mue atana aibu
Huyu mtu mwenye anaokota habari nikama anataka asikie sifa mbaya kwa Martha lakini asante kwa mungu hajapata
Hizi njaa mbaya sana muongo mkubwa hayo mambo ya kifamilia wacha wamalize wao hiyo njaa kijana
Huyu mtoto mchawi pia name freemason mwangarieeni
Hata Mama yake Martha pamoja na mdogo wake Beatrice ni wanafiki wakubwa ambao hawataki yatima na wasiojiweza wasaidiwe, Mungu anawaona mnavyomfanyia Martha na mtalipwa hapa hapa duniani wala si Mbinguni, maneno hayo kwa Mama hayafai
Mungu akubariki sana kaka musema ukweli nikipenzi camungu barikiwa sana
Ukweli unaumasana ndiomana Mungu anakuzalilisha mama nimamatuu mengine kimaisha anatafuta
Mungu amsaidie kupata ufumbuzi
Martha mwaipaja napenda sana na pia napenda nyimbo zako
Asante sana kaka umejibu vizuli
Waandishi wa habari mpunguze kuandika vichwa vya habari vyenye uchonganishi, maana wengine wanasoma tu vichwa vya habari na kuanza kukomenti kitu ambacho sio, mpaka kijana wa watu anachukuliwa kama mnafiki kumbe sio 😮😮😮😢😢
barikiwa sana brother
Dada yangu kwenye mafanikio hapakosi Majungu songa mbele mtazame yesu kristo alie hai
Mama yake Wana ogerea kitu abacho Wana kiona nyi amujuwi kwamba awa awa ya tima diyo wanaletenga matatizo kwenye familiya za watu wegine wanatumwa na firimasoni ili watenganishe familia kwasababu Martha nimutumisho wa mungu kwaiyo Martha eye akomaye namaobi tu ili mungu amuonyeshe mana lisemwalo lipo
Mtangazi acha mbwembwe
Hivi story ya kwa p Diddy ndiyo tuseme imemezwa na hii trending story mwaipaja???? Mmmh ACHA nipite nielekee kaskazini👋👋👋
Anaehoji aache Uchurooo
Huyu mzee nae ni mtt wa martha
Mtangazaji kuwa na subira na upee mgeni wako time ya kujieleza
eeee Bana anamkatiza katiza sana 😂😂😂
Mpumzisheni jaman huyo Martha
Kitakuramba kaka wachana na mtumishi wa wangu
YESU ingilia kati maana hujawahi kushundwa
We mtangazaji mtoto amechoka mwache picha umeipata vizuri unataka aongee uongo usilazimishe
Mbona useme anageuka nyoka😢😢😢
3:22 Muhukumu ni mungu sina neno
Huwa nashangaa sana mtu akiwa maskin huwa hamwongei kitu akifanikiwa tu mnaanza maneno mungu awasamehe kwa kweli mtu kapitia changamoto na anaimba vzr leo kafanikiw eti ana mambo ya kishirikina inakuhus nn nenda ukasali wee
Hawa waimbaji wamejificha kanisani ila behind the seen wanafanya maajabu
Fit ina za watu kweli wanadamu tuwe na oga wa mungu kabisa yote ni bongo muto
Ndugu ushindi ni lazima, nmependa hivyo
Kaka umeongea vzr ila waandishi wanamatatizo
Nyamazeni na msimuhukumu mwacheni Mungu ndiyo atamuhukumu
Ongea sana kijana upate kiki na uwongo wako
Ametafuta njia yakujisafisha.
Patana na mamaako Matha
Mm nalaumu Hawa watu wenye wanaishi Na huyu dada mwaipaja ndio wako Na ushahuri mbaya ju ya huyu dada but naamini siku moja Mungu atafichua vitu ambavio shetani anavifanya Kwa iyo nyumba kupitia maombi ya mamake mwaipaja.
😮 hii dunia imeisha ,maombi kabisa!
Dunia imejaa maovu sana,dada wawatu kakosa nini jmn.
Huyu mwanahabari ako mbio sana mbona
Mtangazaji rudi darasani bado sana
Martha hajafanya kosa.Wanaomzungumzia wanasumbuliwa na wivu na uzembe Tu.
Kakang acha uongo .. wewe Mungu atakuhukumu na utakuja ujutie!!!! 😔😔
Huu ni mpango tu wa shetani, kumhujumu tu Matha , na sana sana utakuta ni limwanaume limemsaidia sasa kamkataa
Interview ya kipuuzi😊
What happened to this beautiful lady?I remember in2021 I came across with her videos and I liked follow her music really?now what happened?because it has been a while not following her music just to receive the notice yesterday she's just all over RUclips majority talking about her AND BIG BIG PICTURES FOR SNAKES 🐍 IN your language you call it nyoka we in my language eyoka one of the Namibia 🇳🇦 language. What happened Martha Mwaipaya?You have gone to the dark world.While others are just crying that are tired of 0:13
Nipitieni plZ
Watu humu ndani wanamjudge hyu kaka nawajasikiza interview yake huyu amekata akasema martha amemlea nahawezi muongelea vibaya atah kidogo mwenye interview ndio mmbaya nahyo headline yake
Kwa hivyo huyu mjinga anasema hakuna hehanamu
Acha umbea wew mtangazaji
ee Mungu usiyeshindwa na jambo lolote shuka ujiziilishe kwa dada Martha
Mungu awalipe kila mmoja kwa neno alichokitamka kuhusu Martha....
Mungu ndiye anayejua let's not judge
Kila siku mtu akifanikiwa tu watu husema usiku anageuka kuwa nyoka 😂 jameni nyoka naye amechoka kutumiwa angalau geuzeni mada tumieni hata sungura 😂😂
Juu ndio mwanzo wa mwisho wako Martha.
Siku ya mungu ltafika ukweli utathihirika tu.
Mm naomba sasa muanze kuwageuza ng,'ombe ili tunyer supu😊😊😊😊😊,sasa kila siku mwaongelea tu nyoka hamjui yatisha😂😂😂mlimaliza kumwongelea muimbaji wa injili marko au bado tusubiri kuona mti zilizo na macho,midomo tumbo na meno😂😂😂😂😂,kile napenda kwa watanzania ni kiswahili tu,wala tabia zao mbaya😢,wao huongea ata kwa mfu ili asipewe kiti mbinguni 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂sasa martha amewakulia nn
Mtangazaji Naye hanasubira.........anakipawa Cha kukaa na watu ila wengine wanakuja na mauchawi Ili wapendwe wao....watu waivo wapo wengi sanà ambayo huwatenga wengine na ndugu zào Ili wapendwe wao.....ila kuachana na mume wake alikosea sanàaa........
Jmn tuwe wakweli tusipande kufedheesha wenzetu je unaushaidi mm siamini jmn mbn dunia imeisha ivi
Nyi nyi musi mukufulu mama yake Martha muzazi ni muzazi na ajuwaye uchungu nimuzazi wake mwenyewe nanyi. Amu wezi kuumia zaidi yake mama yake Martha. Je kama ninyinyi Muna weza ku amua je
Bado saaaaana yaaan ndo kwazaaaa mnaaza kusema ila wala maana hakuna mtakatifu Duncan nikutubiat
Huyu kaka ni wa iringa tapeli tu huyu alikua anakuja hata kula restaurant kwangu muongo tapeli huyu
Muacheni jamani!
Acha uongo kwanini kuharibishiya mweziwe
Watu mnajua ya watu mpaka wahusika wenyewe wanashangaa. Leave her alone....abeg!! Khaaaa
Kwanini munamubisha hivi muhache na mahisha yake
Wewe utachomwa na Moto wa Petro Martha sio wa kwanza kusemwa vibaya hata yesu alisemwa we kaka fanya bidii kuimarisha mahusiano yako na Mungu sio kusema uongo
Kwani mm nauliza swali kwan wana habari huwa wanalipa watu kuzungumza uongo ama hii niukweli?
Mimi chenye na jua hii Dunia Kuna watu wa kuvunja watu vipaji vyao, wivu na machukizo kwa watu wengine, kumbuka ukimunyoshea mwenzio kidole kumbuka kidole unachokinyosha kwa mwenziyo ni kimoja na zile nne zote zakunyoshea wewe, kwangu Mimi najua Martha kama mwimbaji wa nyimbo za MUNGU. Kumbukeni ata YESU alisalitiwa na mwanafunzi wake baadaye Judas alijinyonga na YESU aliyesalitiwa alikufa na baada ya siku tatu akafufuka, kibali kinatoka kwa MUNGU. Kumbukeni vita nivya MUNGU vita si vyetu.
Mtangazaji naye maswali haya yanalengana kwel na iyo ishu
Mbona mnatuharibia mb jamani nyie duuuu
Kijana huyuu
Martha ni a true servant of GOD venye na jua wwe nyamaza😢😢😢😢
SASA wewe nakueneza vitu zenye aziko hata kama Martha NI mbaya lakini umevuka Sana 😂😂😂inafaa ufinywe makende
Nimecheka hayo maswali jamani
Martha wanamuonea wivu
Daaah uongo
Uongo sasa mardha pambana umeyataka yanywe nahuyo mwanao wamichongo joani 😂😂😂😂😂kutulia kwayesu hamtaki mnajingiza kwenye mitandao
Ivi mkishatupatia mada ya matha tangazeni na habari zenu basi Kuna kitu ils Mungu atawajibu
Matata mungu hiko
Hawa wanatumiwa kumchafua kutunza sio razima hajazaliwa pekeyake achen unafik wa mtandao
Achen maneno na kufatilia maish ya wat
Na hii story su iishe jaman
Hv Hawa wanao ongeaga uongo hv wanajitambua kweli au inakuwaga mizukule 😢😢
Misukule tu
Huyo kijana ni muongo
Mtangazaji mbona unampeleka mbio mbio jamani
We kijana unasoma bibilia kweli na kuelewa maana muongozo wawakristo. Uko kwa bibilia wa namna ya kuishi hapa duniani..soma mhubiri kwa bible utajua
Ivi ninyi Wakristo nini hii mnafanya?. Uyo Mungu wenu mmemwacha wapi?. Kwanini haya?. Tunataka nini kwa haya?. Nawashauri mgeukieni Mungu wenu na matatizo yenu mwelezeni Mungu mkuu,siyo wanadamu wanaopita na kusaulika.
Anamsaidia mamaake kweli??? Mbona nyumba ya mamaake mbavu za mbwa mvua inammaliza.
Kwaiyo uyo unaemuuliza ndo maths mate mwenyewe matha umuulize uwo ni ugombanishi wa family fanya yako
MWACHENI MATHA JAMANI MSICHAFUE HIVYO MWACHANI MUNGU AMUHUKUMU
Alaaniwe anaye vunja ndoa
Acha kumchafua mtumishi wa mungu acha uwongo wewe kijana na mungu atakuukumu mchana kama huu na jua likiwa linawaka iviivi na muda kama huu saa saba na dakika kumi na Saba pm
Jamani huyu kaka mbona kaongea vizuri kabisa tusisome tu vichwa vya habari na kuanza kuhukumu, mwenyewe nilivyoona kichwa Cha habari nilishangaa sana lakini nilivyomsikiliza huyo anavyohojiwa na anavyojibu ni tofauti kabisa na kilichoandikwa kwenye kichwa Cha habari, waandishi mpunguze kuandika vichwa vya habari vya uongo jamani 😢
Uyu kijana mbona aliojiwa pindi yule mzee mwanajeshi aliyo ganda na mke wamtu yule mzee aliyo ganda apa kalibu uyu aliojiwa alisema yule mzee mwanajeshi baba yake mzazi saizi anaongera mambo yauyo mathas sijui😢😢😢😢😢😢😅😅makubwa
Hizi ni comedy zinazofuata habari zinazo trend Ili kuongeza viewers tu.