HANS RAFAEL:TOBAAH!! KINZUMBI KUTUA SIMBA NI SWALA LA MUDA TU? REKODI ZAKE CAF NI BALAAA...

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 ноя 2024

Комментарии • 82

  • @rwegoshoramichael3144
    @rwegoshoramichael3144 Месяц назад +24

    Kama ni kweli dirisha kubwa Simba wakimpata Kinzumbi Bas Simba itakuwa tishio na hat kupata ubingwa walioutafuta muda mrefu wa kushinda kombe la CAF

  • @benjaminfeliciani-sb6tm
    @benjaminfeliciani-sb6tm Месяц назад +2

    Asi nakupenda sana na nakufatilia sana ukiwa karagwe shinaz est africa

  • @faustinombilinyi9809
    @faustinombilinyi9809 Месяц назад +10

    Haya sahiz unamwelezea vizuri Ila akija simba mbaya

  • @josiacharles2778
    @josiacharles2778 Месяц назад +1

    Mapema sana msitake kuaribu fikira zetu, sasaivi tunaangalia wachezaji wetu tulionao tunaitaji utulivu

    • @SifaelMbazi
      @SifaelMbazi Месяц назад +1

      Kwel kabsa wasitutoe kwenye reli

  • @Ommybabaa47
    @Ommybabaa47 Месяц назад +4

    Kwa tetesi tuu Hans ana speed 2000 UBAYAAA UBWELAAA

  • @EmmanuelOwiti-p2e
    @EmmanuelOwiti-p2e Месяц назад +4

    Saivi inajiongerasha vizuri waseme kuna mchambuzi kumbe chawa Tu akija unasikia mbovu

  • @richardkaula6847
    @richardkaula6847 Месяц назад +4

    Wewe mwenyewe ulithibitisha mpanzu hawezi kucheza simba

  • @LeodigerBeda-o2p
    @LeodigerBeda-o2p Месяц назад +6

    Kiukwel simba wakimsajil na huyu itakuwa tishio

  • @rajabumdoe3527
    @rajabumdoe3527 Месяц назад +5

    HUYU MWANDISHI ANAMJUA P.DIDDY KWELI AU TUMPE CONNECTION

  • @adamseif7270
    @adamseif7270 Месяц назад +3

    What a ubaya ubwela 😅😅 Simba one power 💪

  • @IzackfanuelMniko
    @IzackfanuelMniko Месяц назад

    Huyo bado sana ila tusubiri jamn inawezakana nikweli

  • @NuruErasto-p3o
    @NuruErasto-p3o 16 дней назад

    Huyo tuna msubil tu huu n ubaya ubwela Kwa wenzu walio kandwa Jana sidhan😅😊😮😅😅

  • @ChandeJunior
    @ChandeJunior Месяц назад +4

    Sijawahi kukuelewa kabisa hansi coz huchelewi kubadilika

    • @janethelly4986
      @janethelly4986 Месяц назад

      Mnafiki mnafikiii😂😂sikipendagii iko ki hansi kima kbsaa

  • @faustinombilinyi9809
    @faustinombilinyi9809 Месяц назад +4

    Yanga hawana pesa sahiz

  • @kareemibrahim1892
    @kareemibrahim1892 Месяц назад +4

    Hance ni utopwakiswiii 🐸 ila leo kaongea kimpira zaid sio kiutopwakiswiii

    • @saidymbagalla6622
      @saidymbagalla6622 Месяц назад +2

      Hilo choko ni Utopwenga mi nammaind sana mesnge uyo uyo kabla ya ligi kuanza aliponda sana usajir wa Simba na alisema Simba ana 3% ya kuchukua ubingwa wa mwaka huu na aliwasifia sana nyuma mwiko lkn Mungu akaja kumuumbua ligi imeanza utopolo chupi linawavuka araf Simba mwendo nchibuyu...🔥🔥🔥
      sasa hapo leo kaona aibu kuisemea vibaya Simba mana kila akiiponda ndio kwaanza gari linachanganya😂😂😂

    • @MfunjoWabaBoydays
      @MfunjoWabaBoydays Месяц назад +1

      Nimependa hiyo utopokwakis cjui ndjo vile

  • @philemornmutta1597
    @philemornmutta1597 Месяц назад +4

    Tunataka ubingwa wa Afrca

  • @AbdulySaidi-o8b
    @AbdulySaidi-o8b Месяц назад

    Hao wote uliowataja hapo man uwezo wao Sawa na pacome mmoja 😂😂

  • @shabaninayopa-nw9cf
    @shabaninayopa-nw9cf Месяц назад +2

    Imeisha hyooo! Km hamjui simba nguvu 1

  • @abdallahshariff6555
    @abdallahshariff6555 Месяц назад +1

    Wewe Hans TP wamesha wahi kubeba shirikisho,Sasa aje ajifunze nini Kwa utopolo,waandishi mnapenda kusema maneno yasiyo na kina

  • @eliasgulinja442
    @eliasgulinja442 Месяц назад

    Akija kweli simba itakuwa ya moto ila maneno ya mitandao. mara nyingi siyo kweli

  • @JosephMwigalawa-io7yy
    @JosephMwigalawa-io7yy Месяц назад +3

    We mwandishi au dalali

  • @SalumHabibu-nm9rr
    @SalumHabibu-nm9rr Месяц назад +1

    Unajitekenya mwenyewe nakucheka mwenyewe utakoma

  • @evaristgamba4204
    @evaristgamba4204 Месяц назад

    We unalijua ilo yes

  • @GarvinYouxuph
    @GarvinYouxuph Месяц назад +5

    Safari hii ni ubaya ubwela

  • @frankmwinuka6298
    @frankmwinuka6298 Месяц назад +1

    Mpaka anaona aibu na kapelo lake la uchawa wa Yanga

  • @florencemichael3335
    @florencemichael3335 Месяц назад

    Kijana hans mimi binafsi simwelewagi anachambua nini tangu wasafi mpaka crown sasa.Ukimsikiliza ni kama tu mashabiki wengine tu tofauti yake ni mic ya kuongelea tu, sio mchambuzi wa mpira ni mpaka rangi wa mpira tu

  • @shabanmtula9242
    @shabanmtula9242 Месяц назад +6

    Ubaya ubaya

  • @maliadii4829
    @maliadii4829 Месяц назад

    Mlongazila moja hiyo chezea hersi weye alipafom enzi hizo sio sasa hans ungea ukweli

  • @AishaMshamu
    @AishaMshamu Месяц назад

    Kanafiki aka kinaongea lakin kinafiki nafiki kweli

  • @williamtawete4600
    @williamtawete4600 Месяц назад

    Muongo tu huyu Kinzumbi ana mkataba wa miaka 2 na Club afrikain

  • @magrethemmanuel3022
    @magrethemmanuel3022 27 дней назад

    Kumbe hans n mkaka mrefu 😂

  • @MussaKhalfan-pv9jj
    @MussaKhalfan-pv9jj Месяц назад +4

    Ubaya ubwela SSC nguvu moja

  • @JamalSaid-e8g
    @JamalSaid-e8g Месяц назад

    huyu mbona kma harmonize 😂

  • @MussaKhalfan-pv9jj
    @MussaKhalfan-pv9jj Месяц назад +2

    Jamani jamani mo ataki masiyala

    • @gloriadaniel3827
      @gloriadaniel3827 Месяц назад

      Zile 5 zilimuumiza kila mwana Simba. Kisasi ni Haki hivyo inabidi kuunda kikosi cha kisasi😊

  • @Sadamdaud73Daud-en5tj
    @Sadamdaud73Daud-en5tj Месяц назад

    Kwan kinzumbi kasain miak mingap pale morocc

  • @MousaSoud
    @MousaSoud Месяц назад +3

    Ubaya ubwela unafanyika

  • @JohnEnock-s8r
    @JohnEnock-s8r Месяц назад

    Boss karud

  • @NouhuKhamis
    @NouhuKhamis Месяц назад +3

    Lkn Hans yanga inamuuma uyo

  • @abdallahkhaliki4943
    @abdallahkhaliki4943 Месяц назад

    Kiukweli huyu jamaa nivema angelikuwa msemaji au mzungumzaji wa Yanga Minisha mfatilia sana anaipenda sana Yanga anaizungumzia vizuri sana Yanga huyu ni mali ya Yanga

  • @LitoDossani
    @LitoDossani Месяц назад +4

    Mwandiahi maneno mengi km diamond

  • @ChugaMbuzi9002
    @ChugaMbuzi9002 10 дней назад

    kwangumm namkubali mwayombo

  • @mwitamalwa2773
    @mwitamalwa2773 Месяц назад

    Mara paaaaa kinzubi wazee balaaaa

  • @BenjaminMetanyau
    @BenjaminMetanyau Месяц назад +3

    Huyu choko huwa ni utopolo sema anajipendekeza sana kuzichambua game za simba 🤛 kauli zake kama yanga msimu huu itabeba ubingwa kwa point nyingi sana,penati ya simba haikuwa sahihi ali alhly walinyimwa penati ,simba wanaweza kupigwa kwa mkapa na zingine nyingi 😥 zimekaa kishabiki sana mashabiki wa simba tuwe pamoja kupiga chini huyu utopolo maana wakina MCHOME washaanza kuwa wengi wata tuzoea😡

    • @libandaonline5358
      @libandaonline5358 Месяц назад

      Matusi ya nini kuwa mwanamichezo Acha u mama🌈

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 Месяц назад

    Simba tunasajili tuuu hadi lini yani?

  • @GodfreyJames-zt6ig
    @GodfreyJames-zt6ig Месяц назад +4

    Ansi anajisafisha apo anaongea lakn loho inauma sana Tena sana anatamAni anywe sumu

    • @JoseHaule-tx7lu
      @JoseHaule-tx7lu Месяц назад

      Kwani huyo ni utooooo

    • @selemanmcharazo
      @selemanmcharazo Месяц назад

      Ajisafishe nini unavyomchukulia wewe Hans ni sawa na sisi tunavyomchukulia sisi Jemedar

  • @Yahayhemed
    @Yahayhemed 28 дней назад

    Ni uongo

  • @SarahMathias-v1g
    @SarahMathias-v1g Месяц назад +1

    Ubaya ubwelaaaaaaa

  • @AbubakarytitoMasai
    @AbubakarytitoMasai Месяц назад +1

    Tunamuitaji sana

  • @JonasTungu
    @JonasTungu Месяц назад

    mnasemaga ty

  • @IsmailKhamis-b9v
    @IsmailKhamis-b9v Месяц назад +2

    Kwa iyo huyu ndo fabrizio wa Tz

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 Месяц назад +2

    HANCE RAFAEL AKIONGEA HUWA ANAKUWA MKWELI. ALIONGEA KUHUSU MPANZU NA IMEKUWA KWELI. WEWE NI MKWELI KABISA.

    • @LucianaSintufya
      @LucianaSintufya Месяц назад

      Aache roho mbaya hance

    • @MfunjoWabaBoydays
      @MfunjoWabaBoydays Месяц назад

      Usipomwelewa vizuri Hans utamulaumu vice versa🎉🎉 ni yake keep it Mwombeki😂❤

  • @AndrewAristaricko
    @AndrewAristaricko Месяц назад

    Ubayaaa ubwex

  • @AllyBira
    @AllyBira Месяц назад +2

    Ubaya ubwela

  • @YahayaYahaya-h2s
    @YahayaYahaya-h2s Месяц назад

    Mtangazaji msalmie mdogo wako harmonize konde boy

  • @RifatiJeshi
    @RifatiJeshi Месяц назад

    Huna akil wewe kabisa!
    Viongozi wa Tp mazembe wanakuja kujifunza nn kwa Yanga??

  • @SirajiRashidy
    @SirajiRashidy Месяц назад +1

    Kinzumbi kaenda club African 😂😂😂

    • @MfunjoWabaBoydays
      @MfunjoWabaBoydays Месяц назад

      Atarudia kama Élie Mpanzu c aliendaka Genk au unasabwa

  • @AljuhaniAllyy-dg4ld
    @AljuhaniAllyy-dg4ld Месяц назад

    Hans kuma tu huyo hamtumtaki aitaje simba kwa uzuri aendelee tu kuisema simba kwa ubaya tu hatukutaki kabisa huku simba kaa mbali sana

  • @ErickchachaRyoba
    @ErickchachaRyoba Месяц назад

    Hana lolote huyo

  • @MkaliZuberi-rt3gb
    @MkaliZuberi-rt3gb Месяц назад +2

    Ubaya ubwel

  • @AllyRashid-q9m
    @AllyRashid-q9m Месяц назад

    Hans muongo mkubwa

  • @RazackKawina-g9n
    @RazackKawina-g9n Месяц назад

    ans mseng uyo

  • @AmaniKasekwa-uw8hp
    @AmaniKasekwa-uw8hp Месяц назад +2

    Ubaya ubwela