Ndugu MO, badala ya kujenga viwanja vinne vya mazoezi, ungepanga kujenga uwanja mkubwa wa kuchezea mechi zetu za Ligi na za Kimataifa; hayo mengine yafuate baadae. Faida ni kubwa zaidi kuwa na uwanja wa kuchezea ligi kuliko viwanja vya mazoezi. Tayari tunavyo viwanja viwili vya mazoezi kwahiyo mawazo mazuri zaidi ni kujenga uwanja wa michezo kama Azamu au zaidi ya Azam. Haitaleta mantiki tuwe na viwanja vinne vya mazoezi halafu tuendelee kutumia viwanja vya wengine kama Home ground!
Hivi vidada vya hovyo sana sasa swali la ligi ya mabingwa na hilo swali la Shirikisho mbona maswali ya hovyo sana haya na wapi Ahmed Ally kataja Kizumbi au kutafuta views na media zenu za uchochoroni
kaka nakukubali sana ❤❤❤❤
ongera sana
Acha WIVU SIMBA NGUVU MOJA..❤❤❤❤😅😅
Ndugu MO, badala ya kujenga viwanja vinne vya mazoezi, ungepanga kujenga uwanja mkubwa wa kuchezea mechi zetu za Ligi na za Kimataifa; hayo mengine yafuate baadae. Faida ni kubwa zaidi kuwa na uwanja wa kuchezea ligi kuliko viwanja vya mazoezi. Tayari tunavyo viwanja viwili vya mazoezi kwahiyo mawazo mazuri zaidi ni kujenga uwanja wa michezo kama Azamu au zaidi ya Azam. Haitaleta mantiki tuwe na viwanja vinne vya mazoezi halafu tuendelee kutumia viwanja vya wengine kama Home ground!
Acha waumie hii ndo Simba yetu
Najuwa anaweza Jenga uwanja shida serikali inazuiya hizi timu zetu zisiwe na viwanja vyake wakakosa mapato pale Benjamin mkapa stadium
Mipango ya Simba sc wanaumia utopolooo fc a,k,a vyuraaaa
Wao siwametengenezewa packing za magari
uyo mwandixhiiiii
HATA KM WEWE UNASEMA NI NGONJERA C UACHE?KWANI UMEOMBWA UCHANGIE MAZUNGUMZO YA MO? IACHE SIMBA IENDELEE NA MIPANGO YAKE. WENGINE HAIWAHUSU
Hivi hamuoni aibu kila siku kudanganya umma eti kujenga uwanja kila mkutano,ama kweli wanasimba hawajielewi
We pimbi la utopolo nyie mshaambiwa na manara kuwa utipolo hamunazo kwahiyo mnajisema nyie utopwenga cyo😅😅😅😅😅😅
Marshall ah 😮
Wana habari mda mwingine wanaboa
kama Wana Simba tunaletew ngonjera wew inakuhusu nin?
Ww fara nn? Kama huipendi simba utakoma.
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kila ukifika mkutano wanasimba wanaletewa ngonjera tu.mchakato mchakato mchakato.Hakuna mwekezaji hapo,huyo Mo ni mwongo hawezi kujenga hata choo hapo
Mbona choo kipo au ulijenga wewe?
mba unateseka sana kaka
Mbona husemi ya kwenu hamna hata uwanja wa mazoezi kufatilia ya wenzenu tu ya kwenu Aaaaa kenge ww
We ni mpumbavu njoo uwekeze wewe sasa 😂
Kawekeze wewe😂😂😂😂😂😂
mim truck driver so kwasas nipo congo naitaji Job uko
Unaumia na michakato ndugu
Maswali ya hovyo hovyo sana
Hako kaandish kahuni et had wanake
Aliuliza swali kulingana na msemaji alivyoongea, kwamba aje yeyote kuwa wako tayari
Wew nawe kichwa maji kama uyo mwandishi ananisha yoyote katika kombe walilopo
Waandishi wengine bhn,😂😂😂😂
Kwanza wewe sio mwana Simba unauliza nini
Njoo wewe Basi use mwekezaji Kama mo hawezi wewe so ushuzi mtupu
Hivi vidada vya hovyo sana sasa swali la ligi ya mabingwa na hilo swali la Shirikisho mbona maswali ya hovyo sana haya na wapi Ahmed Ally kataja Kizumbi au kutafuta views na media zenu za uchochoroni
Vinaboa kweli an
Muwekezaji ni mama yako acha wivu wa kijinga,au wewe ni nabii meja.
HATA KM WEWE UNASEMA NI NGONJERA C UACHE?KWANI UMEOMBWA UCHANGIE MAZUNGUMZO YA MO? IACHE SIMBA IENDELEE NA MIPANGO YAKE. WENGINE HAIWAHUSU