HAJI MANARA APAGAWA NA ELI MPANZU WA SIMBA / ATANGAZA KUHAMIA SIMBA RASMI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 ноя 2024

Комментарии • 160

  • @mohammedgulamali8849
    @mohammedgulamali8849 Месяц назад +31

    Huyu Manara ametumwa na GSM kuvuruga Simba. Naomba viongozi Simba hatum taki Manara. Sisi Ahamed Ali anatu tosha. Hayuko zaidi ya Ahamed Ali. Kiboko wa wote.

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 Месяц назад +1

      Kwanza saivi Simba Haiwezi kuajiri mtu ambaye Hana bachelor na kuendelea

    • @frankhoffa8356
      @frankhoffa8356 Месяц назад

      Kwaaa nye!

    • @awetumtengera1147
      @awetumtengera1147 Месяц назад

      Comedian Ahemed Ally.

    • @RamadhanMakune
      @RamadhanMakune Месяц назад

      Tahira tu kama Tahira wengine. Si mremavu yuleee.

    • @awetumtengera1147
      @awetumtengera1147 Месяц назад

      @@RamadhanMakune hujafa hujaumbika, Manara ni mwananchi hawezi Rudi Tena Simba mnajidanganya.

  • @DenissShadrack
    @DenissShadrack Месяц назад +3

    Pole broo maana unatumia nguvu kubwa sas hivi kujirudisha kwenye mfumo na kwa bahati mbaya tim zote mbuli kubwa hapa tz hawakutaki sas bora uangalie kazi nyingine2 broo ila hapo Yanga hauna chako wala Simba zama zimebadirika broo amini hilo hata ukirudika wandishi kila siku sawa na kazi bure2.

  • @JumaFadhil-no7ow
    @JumaFadhil-no7ow 9 дней назад

    Haya maneno alisema lini tuanze kuhesabu

  • @ibrahimrajabumpenda-h3x
    @ibrahimrajabumpenda-h3x Месяц назад

    Bwabwa hili 😅😅😅😅 li* 1:47 **nge

  • @nurdinmajanga279
    @nurdinmajanga279 Месяц назад +4

    Yanga wenyewe hawakutaki broo

  • @TajiriPoti
    @TajiriPoti Месяц назад

    Aachie vijana kwani usemaji ana beba magunia ya mawe afu unae mtukana manara mshahara wa mfanyakazi wake moja unazidi maisha yako nyambafu

    • @laninjeje8290
      @laninjeje8290 Месяц назад

      Kuma la mama yako, acha kuwasemea watu hawana hela Kama huna hela wewe na mama yako mzazi sio wote, ana hela huyo shoga Manara??

  • @frankmakyao7657
    @frankmakyao7657 Месяц назад

    Viongozi wengi wa hii Tz. Walishasema. ACHANA NA SIMBA NA YANGA. Kama unataka kupiga hatua kwenye mpira

  • @beatricembunda6168
    @beatricembunda6168 Месяц назад +10

    Huyu ni Binadamu Kama ww ucmuite nyani.Uwe na hofu ya Mungu.

  • @salehemsafiri2333
    @salehemsafiri2333 Месяц назад

    Umerisi kazi ya mzee yahaya kutabiti

  • @saidiugomba
    @saidiugomba Месяц назад

    ❤❤❤❤mara wetu

  • @emanuelmchelemi2428
    @emanuelmchelemi2428 Месяц назад +1

    Manala akirudi simba sitoishabikia simba tena aende zake ally anatosha siku zote muongo hana kumbumbuku alisema akienda yangu atakuwaje mbona kaenda sielewi sijui njaa zetu zinatufanya tuwi hivi

  • @loishiyesamwel1374
    @loishiyesamwel1374 Месяц назад

    Huyu Bwana awaachie vijana usemaji,
    Huko mtaenda km pesa za GSM inaendelea kupatikana kwa kipindi hicho cha miaka mitatu

  • @pastorlazarosamwelkilala5795
    @pastorlazarosamwelkilala5795 Месяц назад

    Ni kweli kabisa

  • @RamadhanMakune
    @RamadhanMakune Месяц назад

    Unaliwa mbwa wewe tibu Njaa zako tu! Kuma wewe ilipotoka Simba ulikuwa unasema nn! Kumbe ni Tahira wa Kumbukumbu.

  • @andersonshimbi1378
    @andersonshimbi1378 Месяц назад

    Yanga ni timu kubwa sana Afrika Mashariki na Kati, hakuna timu kubwa na bora kama Yanga, ukimuona mtu anaibeza Yanga ujue huyo mtu ni taahira

  • @ArabianDivaAyesha
    @ArabianDivaAyesha Месяц назад

    Yanga Kubwa Which 😂😂😂Namba 7 Mnyama Utopolon Hata top ten hampo

  • @Immamajingwa
    @Immamajingwa Месяц назад

    Hatumtaki manara simba

  • @LutenganoCharles-d7t
    @LutenganoCharles-d7t Месяц назад +13

    Hatuna nafasi pale simba aende Namungo ndo au Ken Gold ndo mtaelewa Kati ya club na manara naani huwa anatembelea mgongo wa mwenzie ata huyo Gamondi mpelekezi Mtibwa sugar muone kama atamaliza miezi 3 hapa tz

  • @davidkajuni9119
    @davidkajuni9119 Месяц назад

    Mm naona kama anfanya kudefend kuhusu timu yake kwa kulinganisha na upande wa pacha mwenza,,sijaona kipya kwake

  • @masungakanga5036
    @masungakanga5036 Месяц назад

    Uongozi wa simba Manara hatumtaki jamn

  • @dennisevarist
    @dennisevarist Месяц назад

    Saizi hana jambo, anasema anategemea wenzake wa idara ya habari wakati anamkataa bosi wake kuwa sio bosi wake. Alikamwe ndio boss ila yeye anamkataa.

  • @saidchaula1947
    @saidchaula1947 Месяц назад

    Daaaah usingizi kwa yanga upo mashakani yahani kelele mitandaoni kote nikuhusu Simba tu

  • @MuhammediAthumani
    @MuhammediAthumani Месяц назад

    YANGA nguvu moja
    SIMBA nyuma mwiko milele

  • @AbdallaAli-dn6xp
    @AbdallaAli-dn6xp Месяц назад

    Mm nawapongeza simba kwa usaji bora mwaka huu.

  • @ModeMlimbila-vz6de
    @ModeMlimbila-vz6de Месяц назад

    Manara abaki aliko hatumtaki

  • @noelmbise9157
    @noelmbise9157 Месяц назад

    😅😅 acheni usenge akae huko huko yanga simba hatutaki mamluki kaona simba inarudi kwenye kiwango sasa kaanza kutapatapa broo tumeteseka miaka mitatu

  • @AbelLaizer-z6x
    @AbelLaizer-z6x Месяц назад

    Kichwa cha habari na habari yenyewe haviendani. Acheni ujinga ninyi. Na ndomaana hamfiki mbali. Unategemea kesho nikikutana na taarifa yako nitaifungua?.. andika kitu kinachoendana na uwalisiya

  • @InosMakelemo-y9z
    @InosMakelemo-y9z Месяц назад

    Kasemee kagera sugar wawe wanakufatilia watu lakin Simba hatukutaki wewe kwanza unamidonda mdomoni utauonatu _______ UBWELA

  • @Mumewangu
    @Mumewangu Месяц назад

    Hawa ndio wale wanaosema watakuwa tajiri namba moja Duniani.

  • @luckygmdegela8477
    @luckygmdegela8477 Месяц назад +1

    Hilo alilo lisema kuhusu ubingwa wa africa kwa yanga hapana, labda wakafanye michongo na heris kule CAF ya kuhonga maana yeye ni mwenyekiti kule ila tofauti na hapo yanga bado sana kufikia mafanikio hayo ,,,,bado ina hitaji uwekezaji mkubwa mno sio hizo kelele za manara na uchawi hapana.

  • @ArabianDivaAyesha
    @ArabianDivaAyesha Месяц назад

    Yanga my foot

  • @EmmanuelNdahya
    @EmmanuelNdahya Месяц назад +1

    Toka tuachie yanga yetu mbwa bosss

  • @MohamedAbeid-g9j
    @MohamedAbeid-g9j Месяц назад +2

    Ivo kaka unasema ynga ni kubwa ukubwa wake ukowap kwenye majengo au kwenye u ora naomba jbu mwenye jbu nalo, maana Simba ni ya saba kwenye ubora afrika ynga niyangap kaka au ndo yaleyale ulikuwa wasemaga wenye akil pale ni wangap??

  • @festovenas502
    @festovenas502 Месяц назад

    MUNGU nisamehe mimi 🙏🙏🙏🙏😅😅😅

  • @VenanceMwakijale-br4vn
    @VenanceMwakijale-br4vn Месяц назад

    Manala abaki yanga Simba hatumtaki

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 Месяц назад +1

    😅😅😅...MWARABU wa Mbagala bhana khaa, Yanga hawakujui

  • @NelsonMsagati
    @NelsonMsagati Месяц назад

    Kipenga extra duuuuh😂😂😂

  • @robertpaul3584
    @robertpaul3584 Месяц назад

    Watu wengine wanamauzi manara kaexpaya kiakil kimaneno kwakauli panga familia Yako utacherewa sana mzeee utakosa adabu uzee wako

  • @MikidadyAbdu
    @MikidadyAbdu Месяц назад

    Simbà ndio wanaongoza kutukana humu sababu nin.

  • @yjunior_dancers8614
    @yjunior_dancers8614 Месяц назад

    Pumbavuuuuu achana na Simba kabisaaaaaaa

  • @InosMakelemo-y9z
    @InosMakelemo-y9z Месяц назад

    Ongea ongeatu kuuxu danga Africa lakin Simba itowe kwenye mdomo wako

  • @mohammedkhamis1113
    @mohammedkhamis1113 Месяц назад +1

    Yanga hawakutaki acha kujipendekeza

  • @ShafiiMwangi
    @ShafiiMwangi Месяц назад

    Kwauchawi tu ndio legasi yao mpira hawana utoporo kwa fitina wao ndio namba moja wanawalogawachezaji wa simba hakuna na manala ndiye kiongozi wao

  • @adamkakaa4667
    @adamkakaa4667 Месяц назад

    Huyu kajua misimu 4 ya Yanga kuwa mshindi umeisha sasa Zam ya Simba kuwa mshindi

  • @saidiugomba
    @saidiugomba Месяц назад

    Muacheni manala wetu

  • @AbibuRajambu
    @AbibuRajambu Месяц назад

    Manara ww nimtu sana kwetu ulikuja wakati sahh

  • @kalebphilip3426
    @kalebphilip3426 Месяц назад +2

    Yanga akiwa bngwa wa afrika hyo miaka nitaenda kulima viaz ikulu

    • @robertsongola6034
      @robertsongola6034 Месяц назад

      😂😂😂😂😂😂Haaaaa.... Haaaa!!!!

    • @JustinMwakalukila
      @JustinMwakalukila Месяц назад

      Mimi ntaenda kumchinja yule mnyama wa pale IKULU wanayanga wanywe SUPU😂😂😂😂

  • @DeoMasona
    @DeoMasona Месяц назад

    Manala asitusumbue

  • @AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lm
    @AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lm Месяц назад +2

    Manara wanamchukia tu lkn kwa hizo kenge zilokuepo zote huyu ndo king wao

  • @InosMakelemo-y9z
    @InosMakelemo-y9z Месяц назад

    Nimekwambia usiongelee kuhusu Simba mweupe mpauko wew

  • @NaimuAbass
    @NaimuAbass Месяц назад

    Waachie vijana mda ushaenda Babu yetu

  • @Amina-jw8ys
    @Amina-jw8ys Месяц назад +2

    Abdiabdi watching from atlanta ga wewe manara wivu una kusumbua simba mwaka huu ni kiboko yenu tajiri karudi dewji tajiri na 16 duniani huyo muuza magodoro bi ziloo brain

  • @PauloAlfayo-qi1gn
    @PauloAlfayo-qi1gn Месяц назад

    Mole Charles,mungu amemuumba haji manara kwa mfano wa mungu SI nyani

  • @dismasmasaga.3581
    @dismasmasaga.3581 Месяц назад

    Simba msikubali huyu mhalibifu

  • @EmanuelJoel-x3c
    @EmanuelJoel-x3c Месяц назад +1

    Yanga ni kubwa kwako

  • @MbarakaFundi-w7y
    @MbarakaFundi-w7y Месяц назад

    Wewe sema tu UBAYA UBWELA

  • @essaumapunda5766
    @essaumapunda5766 Месяц назад

    Acha uwongo manara

  • @AbdallaAli-dn6xp
    @AbdallaAli-dn6xp Месяц назад

    Haji labda mfanye usaji tena.hao waazee umr na wamechoka

  • @HassaniBuyaya
    @HassaniBuyaya Месяц назад +3

    Yanga bado sana pengine unawalisha matango polj

  • @AminaMkumba-u3z
    @AminaMkumba-u3z Месяц назад

    Boss kubwa Mo tunakuomba uwe macho na huyu mtu.

  • @SaleheKijazy
    @SaleheKijazy Месяц назад

    Ww ni Mungu. Mpumbavu ww ume zurula kwa p didy ume rudi

  • @ArabianDivaAyesha
    @ArabianDivaAyesha Месяц назад

    Hatukutaki Kaa Huko Utopoloni

  • @MarryShirima-p4u
    @MarryShirima-p4u Месяц назад

    Hii press ya kitsmbo sana

  • @KilebeJr
    @KilebeJr Месяц назад

    Manara atu mtaki aje simba moo tafazali

  • @MubarakaIddy-q9o
    @MubarakaIddy-q9o Месяц назад

    acha uongo ww

  • @saidimiarage
    @saidimiarage Месяц назад

    Ken gold imewahenyesha mtaweza wapi ubingwa big ishu albino wewe

  • @christophermbuga9623
    @christophermbuga9623 Месяц назад

    Kumsajili Mpanzu ni guarantee ya kufanya miujiza? Unafikiri atakaposajiliwa Mbape au Ronaldo lazima awe champion?
    Yetu macho!! Bado mapema; ndo kumekucha zShekhe!!!😢😊

  • @GeogySimkonde
    @GeogySimkonde Месяц назад

    Bado hujatushawishi Kanata muongo Kama anataka kuludi aseme

  • @saidmasoud9004
    @saidmasoud9004 Месяц назад +1

    Yazamani hii

  • @boscoShama
    @boscoShama Месяц назад

    Mbona umepauka sana

  • @Deus-lf2ks
    @Deus-lf2ks Месяц назад

    Mpaka mroge

  • @PauloSasuma
    @PauloSasuma Месяц назад

    mbona kinachoongelewa ni tofauti na kichwa Cha habari?

  • @YehudabanYerushailēm
    @YehudabanYerushailēm Месяц назад +1

    Maneno yaendane na uhalisia ndio inapendeza

  • @abdallahakida7908
    @abdallahakida7908 Месяц назад

    Yanga anatawala manara nyumbani kwake sio tanzania

  • @ayubmumi4310
    @ayubmumi4310 Месяц назад +1

    Mbona suala la kwenda Simba silisikii ?

  • @victortibendelana
    @victortibendelana Месяц назад

    Hatukutak haji manyara

  • @NaimuAbass
    @NaimuAbass Месяц назад

    Huna loloti apo ushaisha mda wako waachie wenzako

  • @Felisbertocharles
    @Felisbertocharles Месяц назад

    . Me😊

  • @pendomushi-u8o
    @pendomushi-u8o Месяц назад

    Abaki hukohuko huku

  • @rajabumdoe3527
    @rajabumdoe3527 Месяц назад

    JAMAA KA EXPIRE DATE😢😢😢😢

  • @NassraSharrif
    @NassraSharrif Месяц назад

    Huyu manara kachanganyikiwa hajji wapi pa kushika simba anaitaka yanga anaitaka mfamaji huyo

  • @Abdallah-x4r7k
    @Abdallah-x4r7k Месяц назад +1

    Niite mbwaaaaaa mkichukua kombe

  • @hamisiabdallah9762
    @hamisiabdallah9762 Месяц назад

    Mmmmh kadanganye umaaa vijijini huko

  • @KhalfaMatwani-i5n
    @KhalfaMatwani-i5n Месяц назад

    Mmmmmh

  • @mullamtupa9116
    @mullamtupa9116 Месяц назад +1

    Bugatti kama Bugatti

  • @THADEOCHUNDU-eu3ez
    @THADEOCHUNDU-eu3ez Месяц назад

    Kina Dube ndo washinde kombe la CAF.

  • @nackolargarigo4378
    @nackolargarigo4378 Месяц назад

    Manara anaumwa akapimwe jamani

  • @AbdulaziziPacha
    @AbdulaziziPacha Месяц назад

    Hilo ndo tatizo lahuyo jamaa unaposema unyongebasi unamaanisha waliokuwepo walishindwa walikua wanyonge hilo siosawa huko nikudharau kazi na juhudi za wenzako acha tabiahiyo yakujionaweye unajua kuliko watuwote ujue wewe sio mungu maana mungu ndo mjuzi kuliko viumbewote

    • @dennisevarist
      @dennisevarist Месяц назад

      Anapenda sana kujikweza dhidi ya bosi wake kwenye kitengo huyu Alikamwe,

  • @ShairaniAdam-s3o
    @ShairaniAdam-s3o Месяц назад

    😂😂njaaaa hiz kmmke

  • @ObadiaChengula
    @ObadiaChengula Месяц назад +3

    Huyu jamaa kachoka hatari

  • @hashimmandari8919
    @hashimmandari8919 Месяц назад

    Sasahivi yy ni chawa wa Gsm tuu Injinia hamtambui

  • @IbniAbbas-yz3kt
    @IbniAbbas-yz3kt Месяц назад

    Kaka Mzungu mbona tangu ufukuzwe Simba unazidi kupauka kaka!?yani vidonda vingi mdomo wako ndani mweusi kama nyoka koboko au blackmamba nini shida kaka au wanakulisha ugali na na sukari kama Fei toto!?😢

  • @ChicsSalimu
    @ChicsSalimu Месяц назад

    Ww chizi tuu nenda kwa p ddy sio Simba bwege ww

  • @stanastana3199
    @stanastana3199 Месяц назад

    Yupo kumbe manara

  • @PaulomiseyekiLaizer-p1o
    @PaulomiseyekiLaizer-p1o Месяц назад +1

    Aende kwa mamaake

  • @mconedimple5364
    @mconedimple5364 Месяц назад +1

    Hatumtakiiiiiiiii abaki hukohukoo

  • @robertpaul3584
    @robertpaul3584 Месяц назад

    Shika adabu Yako kwaunayo yaongea

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 Месяц назад

    WEWE MWANDISHI UNAONGELEA SIMBA HAPO INAKUHUSU NN?ONGELEA NA TIMU ILIYOKUITA HAPO

  • @nicolausmollel6212
    @nicolausmollel6212 Месяц назад

    Wee kuwa na adabu na watoto wa wenzako kuwaita nyani

    • @JustinMwakalukila
      @JustinMwakalukila Месяц назад

      Ukimtukana yeye atonal km anaonewa kwa namna alivyo,lkn kiuhalisia watu wa dizziness km yake huwa wanakuwa wakorofi xna

  • @mohdseif2593
    @mohdseif2593 Месяц назад

    DUME LAKUWILI ACHA KUJITIA HUKU NAKULE UMEISHIWA JAMAA KAKAE NA ZAILISHA UKO MPIRA HAUKUTAKI KUJIPENDEKEZA2