GEOFF LEA: USAJILI HUU WA KINZUMBI SIMBA WAMERAMBA DUME | REKODI ZAKE CAF HATARI KWA WAPINZANI...

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 окт 2024

Комментарии • 29

  • @HassanMohamed-r1f
    @HassanMohamed-r1f 17 дней назад

    Mwakahuu tunabeba ubingwa inshaaallah

  • @mckobatz5861
    @mckobatz5861 18 дней назад +1

    Mo hakusema malengo ya ubingwa ni lazima kutimia msimu huu na alikumbusha hata aliposema kuhusu makundi na kuwa kwenye top ten watu waliona ni kituko walicheka but leo imekuwa hivyo hata hili ni lengo la muda japo likifanikiwa this season will be happy. Remember to aim of being a moon ili uangukie kuwa nyota isipotimia

  • @AbisinaRashidi-c8d
    @AbisinaRashidi-c8d 18 дней назад

    Mungu isaidie Simba kumpata pia fei tutafurai sana tutatesa

    • @AbuuMbarouk
      @AbuuMbarouk 18 дней назад

      Kwauwezo wa Mungu fei anakuja simbar na uhakika ondowa hofu kabisa

  • @kangajuma2290
    @kangajuma2290 14 дней назад +1

    Simba ni moto❤

  • @abdalla8193
    @abdalla8193 19 дней назад +1

    Uongo sio nzuri ni watu wa aina au dini ipi waongo wakubwa

  • @MACHOYATAI-jk6fu
    @MACHOYATAI-jk6fu 19 дней назад +6

    MUNGU tusaidie Wana simba tuchukue ubingwa

  • @ramadhanirama7970
    @ramadhanirama7970 18 дней назад +1

    Mnao jua niuongo msubir muone! Kizumbi ndaniii subirini muone

  • @charlesnzenga4681
    @charlesnzenga4681 18 дней назад

    Simba inasajili kimkakati sio kwaajili ya kukuza vipaji nina imani akina ladaki wananafas ya kuperfom huko mbele kwani watakuwa kati ya wanaofanya vzr

  • @ZabibuMwenda
    @ZabibuMwenda 18 дней назад +1

    Mnaosema uongo na kwa mpanzu mlisema uongo

  • @jeremiamtawa3481
    @jeremiamtawa3481 3 дня назад

    Kama hatari Kwa Nini TP Mazembe wamekubari aondoke au linasajiliwa jina tu

    • @MatimbaBilinge
      @MatimbaBilinge 2 дня назад

      Kama mchezaj hana mapenz na timu anaondka tu

  • @RashidHassanWambali
    @RashidHassanWambali 19 дней назад

    Hivi kweli

  • @wapancraswapancras6955
    @wapancraswapancras6955 19 дней назад +1

    Simba leta mtu huyo hataru

    • @MjaryaToto
      @MjaryaToto 19 дней назад +1

      Eti hataru😅😅😅

  • @Ramsomoviereview
    @Ramsomoviereview 19 дней назад

    Inamaana kila siku wanasajili tu

  • @2920Maikohassani
    @2920Maikohassani 18 дней назад

    simba sahaun ubingea ukitaka ubingwa njoo jangwan

    • @CikeTanzania
      @CikeTanzania 18 дней назад

      Mungu wetu sote.

    • @vicentbunzal7342
      @vicentbunzal7342 18 дней назад

      Jangwani kuna homa ya ini,Simba ndo raha na ndiyo mwendo wa mjini

  • @franccoz94
    @franccoz94 19 дней назад +1

    UONGO MKUBWAAA

  • @AmaniKasekwa-uw8hp
    @AmaniKasekwa-uw8hp 17 дней назад

    Ubaya ubwela

  • @JeremiahWilbard
    @JeremiahWilbard 19 дней назад +1

    Simba itakuwa hateri