Unapokua na ndoto yako pale mwanzoni watu hawawez kukuelewa, utaonekana umechanganyikiwa, lakini mwishoni huwa wanaelewa nini ulikua una maanisha. #seeyouatthetop
Asanteh sana,,,leo nimejifunza kitu kipya katika mchakato wangu wa kukua kiakili,,,,kwamba mda mwingine utafeli ili ujenge misuri imara zaidi ili utakaposimama usimame kwa uimara zaidi.
Leo wa 5 kucoment ❤kwa Joel nanauka
Shukran san kaka joel
Ongera sana Mentor wangu Dr. JOEl, unachoongea ni sahii, wengi wamepoteza mwelekeo baada ya kukataliwa.
Unapokua na ndoto yako pale mwanzoni watu hawawez kukuelewa, utaonekana umechanganyikiwa, lakini mwishoni huwa wanaelewa nini ulikua una maanisha. #seeyouatthetop
I can 💪🏽
SEE YOU AT THE TOP 👑
Asant kwa somo hili barikiwa sana
Asante Kaka
🎉
#See You At The Top
Asanteh sana,,,leo nimejifunza kitu kipya katika mchakato wangu wa kukua kiakili,,,,kwamba mda mwingine utafeli ili ujenge misuri imara zaidi ili utakaposimama usimame kwa uimara zaidi.
Asante kwa elim , Mungu akubaliki
Am blessed with this
Asante Sana ❤
Napata vipi vitabu vyako coach
🙌🙌🙏🙏