Uponyaji wa moyo uliojeruhika - Mwl Davidney Kaale

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 окт 2024
  • Karibu kwenye Channel Yangu!
    Hapa, tunajifunza Neno la Mungu kwa undani na kwa furaha. Lengo letu ni kukuza imani yetu kupitia Neno la Mungu na maombi. Napenda kukukaribisha kujiunga nami safari hii ya kiroho, karibu tujifunze na kukua katika Kristo.
    Usisite kuniuliza maswali au kushiriki mawazo yako! Napatikana kwa simu: 0743513008.
    Jiunge nasi na uwe sehemu ya jamii yetu ya waumini! Usisahau kubonyeza ‘Subscribe’ ili upate video zetu mpya kila wakati.
    Mungu akubariki!
    #moyo #morningglory #ibada

Комментарии •