WASIFU WAKO NI KHURAFI NA HUO NDIO UKWELI WALA USIKATAE 🎙️ SHEIKH ABUU KHAWLAH حفظه اللـه تعالـى

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 янв 2025

Комментарии • 90

  • @iddijuma6152
    @iddijuma6152 Год назад +5

    Abuu Allah akulipe na akuhifadhi, wallahi tunakupenda kwaajili ya Allah

    • @ABUUALLY-tv8rl
      @ABUUALLY-tv8rl Год назад

      Allah atamlipaa Kwa unafik wake wa kutaka sifaa Kwa watu

  • @YahyaMchange
    @YahyaMchange Год назад +2

    Masha Allah

  • @salimmbwana6926
    @salimmbwana6926 Год назад +2

    Mnao coment wacheni matusi

  • @MohammadJumah-qk2xc
    @MohammadJumah-qk2xc Год назад +2

    Ma Shaa allaah

  • @وزيرهالوزير-ذ8س
    @وزيرهالوزير-ذ8س 6 месяцев назад

    Utawaweza

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 Год назад +9

    Mara hiiiii khurafiiii mziwanda kakutana na kidume cha shokaa

  • @KombHaji-dr5pd
    @KombHaji-dr5pd 11 месяцев назад

    mawahabi wamfat ibni temia aliuwa na itikadi ya ikafir wew hujitambui pungi ktk vitabu vyake temi anase lakad shallahu lastakar alla zwahar bauzwa huni ukafir wwazi

  • @SalamaKhamis-un8vn
    @SalamaKhamis-un8vn Год назад

    Anae jiunga nawatu hawa sijui inakuaje hivi nikweli ndivyo dini ilivyolinganiwa hivi na mtume s a w

  • @ABUUALLY-tv8rl
    @ABUUALLY-tv8rl Год назад +2

    😢😢 wallahi masheikh wa zama hizi wengi wao husomaa ili tu wajioneshe Kwa watu wanaelimu ndio maana hawana kazi ispokuwa kuwachafuaa masheikh wengine na kujisafisha wao waonekane ni watu wemaa 😢Bora siku izii tusikilize nyimbo za daimond kuliko kuskiliza masheikh kama Hawa wanafik 😢 wanoishi Kwa kutaka sifaa

    • @Makikokasongo
      @Makikokasongo Год назад

      Tubia ndugu yangu waweza nyamaza tu km hunalamsingi lakuongea

    • @ABUUALLY-tv8rl
      @ABUUALLY-tv8rl Год назад

      Dunia ndio ilivyo ukisema ya kweli unaonekana unaongea pumba ,wakutubia ni nyie wanafik kwenye dini muloleta fitna na ufisadi

    • @nassifsuleiman9860
      @nassifsuleiman9860 Год назад

      ​@@ABUUALLY-tv8rlKumbe weye huko kwaajili ya Dini ni mtu wa miziki basi endelea na miziki yako wala ilikua haina haja ya kucoment maana unachoandika weye mwenyewe hukielewi

    • @QaisMohamed-h3q
      @QaisMohamed-h3q Год назад

      Maneno yako ni ya khatar sana
      Unashindwa kutafuta haki eti unasema bola watu wasikilize miziki
      Maneno yako si ya sawa 2:35

    • @ABUUALLY-tv8rl
      @ABUUALLY-tv8rl Год назад

      @@QaisMohamed-h3q ndio Kwa sababu hamuna kazi ya kufanya mashekh kazi kubaguwana basi hamuna jengine ,munalingani kichuki basi .sisi waislamu ni wamoja khilafu za madhehebu zisitufanye tukakaa hatuna kazi ya kufanya kuanza kuwaponda wengine .kama ilivyo kuwa wewe jambo hujaliwafik unadalili zako basi pia yule analolikubali anazo dalili zake .tukaa tuheshimiane hivyo ndivyo uislamu unatufunza .ila nyinyi munataka watu wote wafate manhaji yenu ndio maana munakufurisha wengine na kuwapakaziaa na kuwachafuaa ili watu wote wa kufateni ila iloo halitotokea hata siku mojaa yaani kukhitalifiana ni jambo la lazima .nyiee pigeni kelele mpaka mtachoka 🤣🤣 ila watakao kufateni ni wale wajinga wenzenu

  • @وزيرهالوزير-ذ8س
    @وزيرهالوزير-ذ8س 6 месяцев назад

    Huodiwani kwakulingana na aya umezitoa kwenye Quran zinaonesha diwani nimchawi na anatumia majini

  • @وزيرهالوزير-ذ8س
    @وزيرهالوزير-ذ8س 6 месяцев назад

    Shekhe wewendoo utawaweza hawamasufi kahuumufumo wataisoma aramtara

  • @iddijuma6152
    @iddijuma6152 Год назад +7

    hii ndio raha ya kuwa salafi maana mashekhe wetu wote ni wabora alhamndulillah

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj Год назад +1

      Wabora kwako lakini kwa Allah ni hasara kujiona ilimu na huna na mtume s a w alisema kutakuja hureibidhwa ndio hawa

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj Год назад

      Wabora kwako lakini kwa Allah ni hasara kujiona ilimu na huna na mtume s a w alisema kutakuja hureibidhwa ndio hawa

    • @binaamour318
      @binaamour318 Год назад

      Yn hakuna Hadith Wala aya yakauli zako unazo nac bisha mtu na usalafi au kumtoa ila ww ndio unanukuu kauli za wanachuoni t hii dini Kama inaendeshwa hivi au mtume SW angefikisha hivi c dhani Kama angekuwa na wafuac hata mmoja

  • @mussahamisi1498
    @mussahamisi1498 11 месяцев назад

    sheikh mziwanda siajibu maana alkua anasema anazungmza hadharani na akatoa namba ama amerudi darasani kujipanga upyaa?

  • @swalehabdulrahman4118
    @swalehabdulrahman4118 Год назад

    WEWE USTADH AWRAA NI MUHUNI TU KAMA WAHUNI WENGINE.

  • @MuniraSharifu-vy2vy
    @MuniraSharifu-vy2vy Год назад

    NJOO MEZANI MJADARA MNAKIMBIA KAMA NYNY MPO KWENYE HAQI MBONA MNAOGOPA MJADARA WA WAZI NIUNAFIQ NA UKARIFI UNAO KUSUMBUENI TU

    • @masanjalaissa1660
      @masanjalaissa1660 11 месяцев назад

      Usipende kujaalia watu ukafilli asipo kua kafili bas utakua ww ndio kafili

  • @makameally1962
    @makameally1962 Год назад +1

    Mawahabby sio ahlul Sunna waljamaa

    • @aliyabasi2058
      @aliyabasi2058 Год назад +1

      Mawahabiy ni kina nani?

    • @aliyabasi2058
      @aliyabasi2058 Год назад +1

      Jibu kwa dalili Acha kebehi

    • @omarijawadu4047
      @omarijawadu4047 Год назад +1

      Hakujibu hili Swali maan ndo wanajitetea kwa kusema Wahab.
      aseme Hawab n nn Maan yake?
      ila masuf wanashia saan Allah awaongoze

  • @yussufhamad3721
    @yussufhamad3721 Год назад +7

    Wala hatutafuti kiki sisi masalafy hatukubali kuchafuliwa diniyetu nirasilimali kubwa wala hatuminyan kuhusu simba na yanga ni dini ukija ktk mlango huu wa dini ukzusha tutakugonga tu ww kama unaumia umia dini nikitubora kwetu kuliko heshima zetu

    • @saidishalako
      @saidishalako Год назад +1

      Swadaqta yaa akhi tangu kunifikia Manhaj hii Wallahi Nafsi yangu inaona Raha Sana na utulivu. ALHAMDULLAHI ALA NIAMATIL ISLAM WA SUNNAH WAL HADHAL MANHAJ SALAFI

    • @jaulamedia9517
      @jaulamedia9517 Год назад

      Dini ipi io ya kuabudu na kutukuza watawala vibaraka au Kuna jengine

    • @jaulamedia9517
      @jaulamedia9517 Год назад +2

      Unaona Raha sana wakati uislamu Kila siku unarudishwa nyuma na Waislam wanapigwa vita Kila sehemu ulimwenguni alafu wewe umetulia unapata Raha jiangalie uko njia gani kama umeshika haqi huwezi kuwa na Raha wakati ndugu zako wanauliwa Yemeni na Ghaza

    • @bashiromary4897
      @bashiromary4897 Год назад

      Anae tetea sunna, na anaetetea bidaa

    • @SalamaKhamis-un8vn
      @SalamaKhamis-un8vn Год назад

      Punguzeni ujbu

  • @OmarShela-p2z
    @OmarShela-p2z Год назад

    Wewe padri wa kiwahabi unasemaje?

  • @saidimtoni1148
    @saidimtoni1148 Год назад +1

    Jidanganyeni kua mmefaulu

  • @ayyamirubba5226
    @ayyamirubba5226 Год назад +2

    Hana hoja za kukwepa Uhizbi

  • @fauznuhu9981
    @fauznuhu9981 Год назад

    Uhabi ni shinda wallah

  • @MussaMohammed-g6o
    @MussaMohammed-g6o Год назад

    Iliyo baki kwa maghurafi ni Matusi,,, nasi hatuachi mashekhe wako macho hakuna kuchomeka katika din tena mshukuru sana watu wa Ahli Sunnah kwani bila wao Wallah kungekuwa na upotovu mkubwa,,, niwakumbushe tu je ushawah ona mtu wa sunna akatoka katika Sunnah akafuata TWARIQA?????

  • @MuniraSharifu-vy2vy
    @MuniraSharifu-vy2vy Год назад

    NYINYI NI WANAFIQ WAKUBWA TENA MNO MNATUMWA NYINYI NA MYAUDI MBONANAKATAA MJADARA WA WAZI ???KWANI IBN TAYMIA NI MTUME ACHENI KUFARAQANISHA WATU WAJINGA NYNY

  • @MaulidiJongo-v2x
    @MaulidiJongo-v2x Год назад

    Wacha mayoe wew khaula kwan ww ufany bidaakwel kwend uko yaonyesh ata hujui bidaa nin

  • @fauznuhu9981
    @fauznuhu9981 Год назад

    Kutowa sauti
    Sana siyo ndo elimu

  • @mhusinigau3231
    @mhusinigau3231 Год назад

    Huyu muhabi abuu khaluwa ndio anajidai ahlu Sunnah waljamaa huyu zuzu kumbe, wewe sio ahlu Sunnah waljamaa wewe ni muhabi

  • @MaalimKhatib-kl1bu
    @MaalimKhatib-kl1bu Год назад

    Huna hoja wacha kelele nenda ukasome ww mwenyewo unafanya bidagha

  • @binaamour318
    @binaamour318 Год назад

    Kwani huyu abuu khaula anatafuta nn? Kw mziwanda ! Kama akocea au kupatia malipo anayapata yy mbele ya alwah hii dini yake alwah ww khaula wenzako mnapata tabu sana kama unaelimu kaa nae chini muzungumze kwani sheihk wako wa raddi amefanya minakasha mara ngapi? Jee wamewza kukubaliana hili suala wat hawa wezi kuwa na ufahamu mmoja wote tambueni hilo

    • @DrLiwaya
      @DrLiwaya Год назад

      Hahahaha... Ufahamu nao ni rizki

  • @bacteria5184
    @bacteria5184 Год назад

    Kwani mtume saw alituachia kundi linaitwa salafy?au sunna

  • @jamalibella9707
    @jamalibella9707 Год назад

    Mnafanya vitu kwa kujionyesha nyie mnajua kumbe hamna kitu kabisa

  • @husseinsaid8021
    @husseinsaid8021 Год назад

    Ahlu Raddi

  • @TwahirBurhan
    @TwahirBurhan Год назад +3

    Sasa mbona nyie Matwariqa KAZI kufundisha na KUIPAMBANIA MAULIDI TU..?

    • @asmanomar8220
      @asmanomar8220 Год назад

      Mbona mawahabi hawana kazi y kufanya kazi n kupiga maulidi acheni fundisheni uwahabi wacheni mambo y kitwariqa

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj Год назад

      Twarika wamesoma kila fani ndio mahawabi hawasomi na humuelewi mwanaki na ubishi na kusoma vizuri hua hamuzipatati

    • @Gerry-w2o
      @Gerry-w2o 11 месяцев назад

      ​@@saba-gv3mj11:10

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 11 месяцев назад

      @@mussamalekela2107 alaa ndio ilimu yenu uganga ulifanyiwa ww ama umejuaje kama ni wanganga ww utakua moja wao ila kielimu mawahabi hamuwezi kuwafikia twarika na karama ziko sio uganga nyinyi mawahabi wapotoshaji ilumu yenu yakutukana watu tu basi hakuna lengine na kukataa kusifiwa mtume s a w sisi tutamsifu kiumbe bora kuliko kiumbe wengine alafu maulid yaendana na uwisilamu ndani ya maulid kwa somwa quran kabla ya kuanza na kutajwa Allah na kusifiwa mtume s a w kama ww hutaki mtume asifiwe na kuswaliwa ww na ibilisi ni sawa tu

  • @jailaniramadhan1788
    @jailaniramadhan1788 Год назад +1

    mawahab mnatembea na upepooo mmmh mnamambo ya ajab ajabuuu badala mfundishe uwahab wenu mnaanza kuangalia makosa ya wazungumzaji waliyokosea alf na beee mnakuja kuwakosoa

    • @selengu
      @selengu Год назад

      Hawana lengo ktkt dini ni KUSUBIRI wengine waongoee watelezee humo kwa raddi zao.. Wanatafuta umaarufu kwa kushambulia.
      Maneno mengi yakuwasema watu kwa ubaya wa khurafi sijui, maulidi ni ibn Uthaymin au Ibn taymiya kasema hawataji Allah wala Mtume SAW kasema..
      Wapiga Porojo tu

    • @abuuhumaid
      @abuuhumaid Год назад +1

      Katika watu wenye jitihada ya kusomesha dini na kusoma noi hao mnao waita mawahabi

  • @fadhilimusa9732
    @fadhilimusa9732 Год назад

    Huyu abuu khawla na genge lake ni wahuni tuwasifu kwa matusi elimu hamna kitu mtume hajafundisha zarau

  • @ArabiMuchande
    @ArabiMuchande Год назад +1

    Mawahabi kiki TU muda wote radd tu kwa lengo la kupata sifa mawahabi kero

    • @nasirdinmohammed8741
      @nasirdinmohammed8741 Год назад +1

      Kufa na chuki zako mbona na nyingi watu wabidaa kila siku ni kuzusha Tu na kumsingzia uongo mtume ili muuvuruge umma

    • @jaulamedia9517
      @jaulamedia9517 Год назад

      Lini mawahabi muliutengeneza umma

    • @nasirdinmohammed8741
      @nasirdinmohammed8741 Год назад +1

      @@jaulamedia9517 baada ya kuacha maulidi na kuabudu makabur

    • @jaulamedia9517
      @jaulamedia9517 Год назад

      @@nasirdinmohammed8741 mnoabudu watawala vipi mtaacha siku gani

    • @jaulamedia9517
      @jaulamedia9517 Год назад

      @@nasirdinmohammed8741 kuabudia watawala mtaacha lini na nyinyi???

  • @mafiatv5479
    @mafiatv5479 Год назад +1

    kwa hy km ni khurafi sio muislamu? na liwahabi si basi,,, mbwa, shoga la kihabi, naogopa kukwita hata sheikh, ila muhuni siogopi, wewe muhuni ktk ktk wahuni

    • @katan671
      @katan671 Год назад +1

      We ni chizi???

    • @mafiatv5479
      @mafiatv5479 Год назад

      @@katan671 chizi wa kwanza wewe na mbwa mwenzako mjinga wewe

    • @mafiatv5479
      @mafiatv5479 Год назад

      hilo senge mwenzako alichozungumza nini si utumbo tu

  • @OmarShela-p2z
    @OmarShela-p2z Год назад

    Yeyote anaemfata ibnuttaimiyah ujue km mtu huyo sio muislam kwa sababu uyo ibnuttaimiyah wenyewe hakuwa muislam

    • @rma3492
      @rma3492 Год назад +1

      Mche Allah utakuja kuulizwa na bila shaka hutokuwa na jibu
      Allahul musta'an

    • @OmarShela-p2z
      @OmarShela-p2z Год назад

      @@rma3492..... Watakaoulizwa ni awo wanaoingiza ukristo ndani ya uislamu

  • @coyancodavao4004
    @coyancodavao4004 Год назад +1

    Mbona hoja zako zimelenga madhehebu yako tu ya Hambalia? Kwnn utoe mifano kwa Ibn Taymiah na huyo Muqbil sheikh wa sasa? Toa mifano kwa maimamu wengine ili tuone uadilifu wako

  • @OmarShela-p2z
    @OmarShela-p2z Год назад

    Muongo wewe

  • @jailaniramadhan1788
    @jailaniramadhan1788 Год назад

    unakuja kasi eeh wenzako mawahab wakina kasim mafuta alikuwa hivyo hivyo amepitea

    • @allyjaffar7072
      @allyjaffar7072 Год назад

      Allaah akurehemu...

    • @masanjalaissa1660
      @masanjalaissa1660 Год назад

      ​@@allyjaffar7072duuu marehemu tena

    • @fundi1996
      @fundi1996 Год назад +1

      acha ushabiki ndugu fuata dini

    • @abdulmuminabdullah1296
      @abdulmuminabdullah1296 Год назад +2

      Alie kwambia kuwa sheykh qaasim amepotea ni nani? Au haufuatilii mambo ya dni,!! Allah awaongoze makhurafi ktk haqqi, masalafi hawafanyi mambo kwa kufuata matamanio ya nafsi, wako lwa ajili ya allah na kujitahidi kusimamia kile alicho kiacha mtume wetu, tofauti na nyinyi makhurafi.

    • @ConfusedBirdwingButterfl-zb6ik
      @ConfusedBirdwingButterfl-zb6ik Год назад

      Jichanganye kwamzee kasim mafuta Kama kapotea