Wewe Abu kahula wacha kelele nyingi , kitu cha kufanya baada ya kupewa challenge ya munaqasha wa kielimu , nikukubali , kuchagua kamati yako na kutowa number yao ili wakutane na kamati ya sheikh mziwanda na wao ndio wapange masharti yote haya mpaka wakubaliane na munaqasha ufanyike , kubwekabweka na maneno mengi katika hizi video ni dalili kuwa una uwoga , unalojua ni kuongea sana lakini unaogopa kukutana uso kwa uso kwa munaqasha wa kielimu.
HII RADD IPO KAMILI YANI MWANZO MPAKA MWISHO
USISAHAU KUSUBSCRIBE NA KUSHARE CHANNEL HII
Barakallahu fik Abu khaula
Ww mbna unakele sna,Namba sm umeshapewa.mtafte mkae mezan na majib utayapta t mezan
Wewe hanisi
Wewe ninani si
Ukweli ukitaka kuijua haqi fuatilia pande zote.
Mziwanda ni Mrongo
Lazima wabainishwe wanaiharibu dini
Acheni malumbano kila siku milumbano ndo walivyo kuwa waislam wakat wa mtume (s.a.w) hivyo tuambie kupitia qur,an na suna watu wakiishi hivyo.
Wewe Abu kahula wacha kelele nyingi , kitu cha kufanya baada ya kupewa challenge ya munaqasha wa kielimu , nikukubali , kuchagua kamati yako na kutowa number yao ili wakutane na kamati ya sheikh mziwanda na wao ndio wapange masharti yote haya mpaka wakubaliane na munaqasha ufanyike , kubwekabweka na maneno mengi katika hizi video ni dalili kuwa una uwoga , unalojua ni kuongea sana lakini unaogopa kukutana uso kwa uso kwa munaqasha wa kielimu.
Kijana Acha araka sheikh watu mziwanda amejigonga yeye mwenyewe amekubali nisalafi
Nyinyi watu wa bidaa hamna hata akili