WAKENYA wachukizwa baada ya kudaiwa RAIS RUTO amekodi NDEGE kwa TZS Bil.3.9 kwenye ziara ya MAREKANI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 май 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi
  • Авто/МотоАвто/Мото

Комментарии • 173

  • @user-es7jn7cp5d
    @user-es7jn7cp5d 25 дней назад +59

    Mimi huwa nasema shida sio nchi za magaribi shida viogonzi wa kiafirica hao ndoo wanafanya Africa iwe masikini

    • @atutweve4160
      @atutweve4160 25 дней назад +7

      UMEONA 👍🏿

    • @GodahMartin
      @GodahMartin 25 дней назад

      VIONGOZI SIO shida! Shida ni sisi wananchi hatujielewi na wala hatuna maono ya kujisimamia, HATUJIPENDI kwaio kiongozi akiingia anajua asilimia kubwa watu wanaakili za hovyo ndio maana wanafanya ivyo anaona bora ajipigie zake asepe.. chukulia mfano MAGUFULI alivyopondwa na watu na ile hali alikuwa anatuamsha hivi kama tungemlinda kwa gharama yule RAISI kwa wingi wetu unafikiri angekufa kirahisi vile?? kwaio mwisho wa siku hata tukipata RAISI mzuri kama RAIA hatujitambui ni kazi bure. SISI tunatakiwa kujielewa kwanza kabla ya viongozi na hata sheria tutazisimamisha sisi na viongozi tutamuwaweka mzuri.

    • @paulinewangila-cs6ys
      @paulinewangila-cs6ys 25 дней назад +7

      Kweli kabisaa

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 24 дня назад +2

      MIKATABA NDIOOO
      INAWAPONZA NAKADHALIKA

    • @john_1trader
      @john_1trader 24 дня назад +1

      Mimi mkenya ila raisi wetu mwehu sana

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 24 дня назад +9

    Samia na Ruto wanapenda sna ndege

  • @user-zm8nq6xv8o
    @user-zm8nq6xv8o 25 дней назад +21

    Hivi unaanzaje labda kutowa pesa zote hizo huku wananchi wanalia nja 😢 wakamuangalie Ibrahim Traore

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 24 дня назад +1

      AFRICA BILA
      UZALENDO WETU
      BAINA YETU NI NGUM
      SANA KBS KUENDELEA

    • @user-uo8xw9kr4b
      @user-uo8xw9kr4b 24 дня назад

      Sio uzalendo wan ubinafsi sana.

    • @user-zm8nq6xv8o
      @user-zm8nq6xv8o 24 дня назад +1

      Kwahakika inasikitisha sana
      Yaani ujinga ujinga ujingaaaaa kabisaaaa yaaani kiufupi hana hoja yoyote ile ya kujitetea

  • @TakarTeko
    @TakarTeko 25 дней назад +36

    Mimi ni mkenya sioni faida ya Ruto kwenda merekani

    • @MelodyDanteh98
      @MelodyDanteh98 25 дней назад

      Huoni faida... Just go right now and see how many deals he has signed

    • @MamyHamso
      @MamyHamso 24 дня назад +4

      ​@@MelodyDanteh98Ame saini ushoga tu 😢😢

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 24 дня назад


      😭😭

    • @john_1trader
      @john_1trader 24 дня назад +1

      ​@@MelodyDanteh98what deals uko kenya kweli he was anable to fight floods which deals bro pple sufering out here and u r saying deals

  • @matukiotvonline6366
    @matukiotvonline6366 25 дней назад +21

    Hawa Kenya hawa nivigeugeu waiosomeka ni afadhali ya TANZANIA❤🎉

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 25 дней назад +7

    Nasikia pesa ya kenya inathamani sana ngoja Ruto awafundishe jinsi ya kuitumia.

  • @3erffeoui86
    @3erffeoui86 25 дней назад +10

    huyu Ruto alianza hii tabia mwaka 2013 mwezi wa tatu alitumia 100 million kenya shillings kuzunguka APA AFRIKA NA PRIVATE JET

    • @idatonymassawe
      @idatonymassawe 24 дня назад +3

      Na bado anazitunia had uchaguz ujao watanyooka tuu

  • @show...002
    @show...002 25 дней назад +11

    siasa ya kwetu mbona mmeikalia kmy lipuwa na yakwetu tu maana afazali ya kenya

    • @HansChuma
      @HansChuma 24 дня назад +2

      😂😂😂😂 thubutu wanaogopa ila kusema za wenzao tu hodari

  • @slowdns3694
    @slowdns3694 25 дней назад +16

    Africa bado watumwa

  • @BHTV-ly4jf
    @BHTV-ly4jf 25 дней назад +7

    Kama niwamarekani ndio wana shida nasisi mbona yeye ndie ameenda Marekani? Afrika bado tuko watumwa kwanini yeye biden asije kenya😭😭

  • @khadijaalimohd1320
    @khadijaalimohd1320 24 дня назад +3

    AMEENDA KU LEGALIZE USHOGA KENYA .

  • @lugelosanga5798
    @lugelosanga5798 24 дня назад +5

    Ameenda kuwauzaa wakenya cc mama alienda kutuuza ufaransa

  • @user-gx4jx4gv9l
    @user-gx4jx4gv9l 24 дня назад +3

    Baadhi ya viongozi wa afirika ni mazuzu ndiomana kwenye mazishi ya marikia walitengwa ata samia alienda kuchezea hela wakatuambia ameenda kwa faidi adi leo hatujaambiwa faida ya royotua zaidi ya maisha kuwa magumu tu.

  • @paschalfausitine7108
    @paschalfausitine7108 25 дней назад +12

    Kenya Rwanda,agenti, wa nchi za magaribi,,,vivan uganda

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 25 дней назад +7

    Kulikuwa hamna haja yakutumia pesa zote izo Kwajili yakukodi ndege ya pesa nyingi ivyo..wakati ndege ya serikal ipo na hali za maisha ya wananchi wako wanaishi Kwa maisha magumu

  • @papamukulu1045
    @papamukulu1045 24 дня назад +3

    Mchambue pia ya kwenu sio ua wenzenu naya kwenu yana washinda

  • @dorambaga2667
    @dorambaga2667 25 дней назад +4

    Si bora kenya vipi kuhu😢Tanzania mnajua mama yenu anatumia kiasi gani kila siku kuzurura

    • @aaa64sa13
      @aaa64sa13 25 дней назад

      Jingazzzz we unatoka kenya ipi??? Pumbavu sana kama sio mkenya usiongele Kenya.

    • @dorambaga2667
      @dorambaga2667 25 дней назад

      @@aaa64sa13 poor mind

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 25 дней назад

      Hajawahi kukodi ndege ya bei hiyo

    • @dorambaga2667
      @dorambaga2667 25 дней назад

      @@hashimchaoga9566 huna unalojua bora unyamaze

  • @Elizabeth-gq9kl
    @Elizabeth-gq9kl 24 дня назад +3

    Hapo, Umechambuwa ukweli kaka" Mimi nimu Kenya, nampenda vile una fafanuwa.

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 25 дней назад +5

    Kenya wana ndege nyingi kwann hakutumia moja wapo kuepuk huu ufujaji wa pesa

    • @Soon815
      @Soon815 24 дня назад

      Wanandege 3 tu nyingine za kukodi

  • @criminalminds7723
    @criminalminds7723 25 дней назад +4

    Ruto ni snitch tu kikaragosi wa marekani huyo,

  • @king_maik6375
    @king_maik6375 24 дня назад +3

    Hovyo, rais bwege

  • @christopherkanyalakc8941
    @christopherkanyalakc8941 25 дней назад +4

    Ruto kama nikweli kafanya ivyo bass kichwa chakwe ni nimweeeeeeeeeeeeee

  • @moseskulola6913
    @moseskulola6913 25 дней назад +3

    Bona wa Kenya wana madege kwanini hajachukua hata denge monja ..jiga sana

  • @nassercurtis9579
    @nassercurtis9579 24 дня назад +2

    Hapa ndio ninapomkumbuka Mavufuli, miaka minne mpaka anakufa hajapanda ndege kuwafgata hao majizi wa mali zetu.

  • @khalidsuleiman4588
    @khalidsuleiman4588 24 дня назад +2

    Kuna mambo makubwa yatakuja kutukuta Ukanda wetu wa East Africa viongozi wetu wanatusinich sana

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 25 дней назад +1

    Apo saw

  • @mamakekhubeiby4206
    @mamakekhubeiby4206 24 дня назад +2

    Ame kwenda kuchukuwa Tax America

  • @EsromuKamwela-ol9uo
    @EsromuKamwela-ol9uo 24 дня назад +2

    China Haina mpinzani

  • @omarysaid8725
    @omarysaid8725 24 дня назад

    Viongozi wengi wa kiafrika wanapenda sana anasa na kujilimbikizia mali wanapenda vitu vya kifahari

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 24 дня назад

    Hustler

  • @adamkapolo8817
    @adamkapolo8817 24 дня назад +2

    Samia kaenda juzi tu kikazi Marekani

  • @KhamisOmar-kt4kz
    @KhamisOmar-kt4kz 25 дней назад +3

    Kenya washamba sana

  • @africanmandetraveler2847
    @africanmandetraveler2847 24 дня назад +2

    Hana tofauti na bibi titi juzi kati alimkumbatia Macron .

  • @uwezojaninosgospelartist1432
    @uwezojaninosgospelartist1432 25 дней назад +2

    Wananunuwa watu weusi waende wauwawe tu, ambapo nzungu awezi kufa kwa ajili ya mtu mweusi.

  • @johnnkelebe7360
    @johnnkelebe7360 24 дня назад +1

    Mbona wakenya wanalalamika mbona sisi bi mkubwa anasafiri kila mara??? Au shida kukodi ndege ya TZ??

  • @trizereve3386
    @trizereve3386 25 дней назад +1

    Yani huyu mungu ndio atakae mtosha

  • @AAa-it7nx
    @AAa-it7nx 24 дня назад +1

    Watu wanateseka Sana aki yeye anatumia pesa hivo 😢😢😢😢😢

  • @akidashekue163
    @akidashekue163 25 дней назад +2

    Kenya bado koloni la wazungu

    • @Swahili37
      @Swahili37 24 дня назад +1

      Huyo mama yenu alipozindua filamu alikuwa nchi gani?? Pambaneni na hali zenu zetu mtuachie mwanzo hamziwezi.

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw 25 дней назад +2

    Hatuwataki marekani africa

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 24 дня назад +1

    Rangi ya wazungu inawatisha awathamini uafrika wao....
    Wanauza raslimali za afrika kwa kuthamini ngozi ya wazungu....

  • @Zenny89
    @Zenny89 25 дней назад +13

    Sasa Wakenya wanapiga kelele za nini..wao si ndo wanasemaga wanapesa East Africa😆 na hela Yao kubwa..basi..hela kubwa lazima itumike kikubwa

    • @mesaidikazungu4299
      @mesaidikazungu4299 25 дней назад

      Wewe hujui unacho kiongea

    • @user-pg2tw8yt4l
      @user-pg2tw8yt4l 25 дней назад

      ndio hapo sasa halafu nimeipenda sana hii koment yako kuhusu wa kenya wanavyosemaga😂😂😂

    • @rithadonatus8110
      @rithadonatus8110 25 дней назад

      Na mimi mashangaaaa jamaniii😅😂😂😂

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 25 дней назад

      Wanajiona wao ni matajiri😀😀😀😀😀😀😀

    • @paulinewangila-cs6ys
      @paulinewangila-cs6ys 25 дней назад

      ​@@user-pg2tw8yt4lZarau hizi dunia duaraa jamani cheka leo

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 25 дней назад +1

    Ukimaliz ya Ruto tupe tasimi ya mama Samia katumia sh ngap kweny safar zake

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 25 дней назад +2

    Ndo tatizo la viongozi wetu wa Afrika yaani ni vurugu tu wakipata madaraka basi baada ya hapo wanawapa mikopo ya kutununua aiseee tuko nyuma ya muda Afrika

  • @fikirimutambala4330
    @fikirimutambala4330 25 дней назад +2

    Rais wa ghana alikuwa huku 2008

  • @magnificententertainment9328
    @magnificententertainment9328 24 дня назад +1

    Kwani Dokta Samia si ameenda US mara kibao sana...😮😮....unasemaje tangu miaka 16...

  • @mohamedaley5632
    @mohamedaley5632 25 дней назад +1

    Allah atustiri na wamagharibi... wasije wakafanya njia ya kuja tz

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 25 дней назад +1

      We nae si ameweka mzizi hapa ni nani ananyanya raiya huko mbugani Serengeti?

    • @mwawekomiuda9779
      @mwawekomiuda9779 24 дня назад

      Waje mara ngapi?

  • @jeffchurum1431
    @jeffchurum1431 22 дня назад

    Freedom of speech kitu ya maana sana, TZ mnachabua za Kenya lakini hakuna mmoja wa TZ ako na guts kuongelea serikali yao. Waoga tupu.

  • @FatumaMamlo-st8pj
    @FatumaMamlo-st8pj 24 дня назад +1

    Kaenda kupaisha ushoga kenya kula chuma hicho

  • @MajutoElliasi
    @MajutoElliasi 25 дней назад +3

    Kenya mnahera kubwa wacha wapunguze kidogo msije mkashitwa kubeba😂😂

  • @kassimbayuu5217
    @kassimbayuu5217 25 дней назад +1

    Viongozi wa afrika wanafell hapo yaan HUU ni ujinga uliopitiza

  • @golebenson4597
    @golebenson4597 24 дня назад

    Kenya kenya inanuka shidah kila kona RUTO UNAHARIBU KENYA YETU NYANGUMI WEWE

  • @user-cw8zn2dn6m
    @user-cw8zn2dn6m 25 дней назад +1

    Amepewa mwaliko na rais wa US. Sasa kuna haja gani ya kubana matumizi? Kula tu. Ee shusha tu na soda ukiwa juu angani. Ndo maana Magufuli hakupenda kusafirisafiri kwenda huko ulaya na marekani. Anajua, atapata hasara kubwa sana sio faida kwa masikini. Wito: viongozi wa Africa. Tuache ushamba. Unaenda kwa wazungu kutafuta nini leo hii? Waje wao huku tule nyama choma ya hapa Tanzania au Kenya. Oky?

  • @user-mm5td4rz8t
    @user-mm5td4rz8t 24 дня назад

    Ruto Mutumishi wa wazungu

  • @AnuHassani
    @AnuHassani 24 дня назад

    Pesa yao inasamanii sana jmn achaaa haitumiee tuuu😂😂😂

  • @MussaSuleiman-ui9fy
    @MussaSuleiman-ui9fy 25 дней назад +2

    Ruto ni maskini kila jambo anapelekeshwa ndio amesaini wananchi wake wafilane na wasagane sasa wewe RUTO subiri adhabu ya Allah wala usijione mjaja utasaga meno muda si mrefu

  • @SharaMan-yn9px
    @SharaMan-yn9px 25 дней назад

    Wa kenya tuko sawa

  • @MuniraShughuli-kc7vj
    @MuniraShughuli-kc7vj 25 дней назад

    Jinga Sanaa hili Ji mtu Mfisadi mkubwa watu tuna dhiki kumbwa mlo kwa siku watushinda🤔

  • @amriseleman9395
    @amriseleman9395 24 дня назад

    Ndo kusema Kenya hawana ndege ya Rais? Au hawana ndege za kutosha kwa Rais kuweza kusafiri?

  • @paschalfausitine7108
    @paschalfausitine7108 25 дней назад

    Kenya kashaliw koboga zamani. Ushoga ni,hatari kwa African

  • @emanuelidamiani2943
    @emanuelidamiani2943 24 дня назад

    Mmmmm haya bwana😅😅😅😅😅

  • @johannesrwiza
    @johannesrwiza 24 дня назад

    The problem of Africa is their leaders nothing else

  • @mrshazychannel3359
    @mrshazychannel3359 25 дней назад +1

    Kikaz?? Kwan mama samia hakwenda kikaz??

    • @Swahili37
      @Swahili37 24 дня назад

      Usijaribu kulinganisha rais wetu na Samia

  • @SM-fu1yv
    @SM-fu1yv 24 дня назад

    Ruto pumbavu sana hata hata ushoga atakubari

  • @muddjigal4096
    @muddjigal4096 25 дней назад

    Ally samahani uhuru kenya si aliendaga wakati wa trump mpaka akatia aibu kwenye mapokezi na trump na mke wake au hyo ilikuwa ni sio ziara au vp

  • @golebenson4597
    @golebenson4597 24 дня назад

    Izzo ni gaharama za usafiri.Malazi,hoteli itafika m400😂😂

  • @lisawilliam2491
    @lisawilliam2491 25 дней назад +2

    Kenya moto unawawakia kama sisi tu wa tz hatuchekan 🤣🤣🤣🤣

    • @AAa-it7nx
      @AAa-it7nx 24 дня назад +1

      Bora hata nyie kunamakonda anazunguka hatakama sio kote lakini Sisi wakenya hatuna hata wakumlilia

    • @AAa-it7nx
      @AAa-it7nx 24 дня назад +1

      Bora hata nyie kunamakonda anazunguka hatakama sio kote lakini Sisi wakenya hatuna hata wakumlilia

  • @christopherkanyalakc8941
    @christopherkanyalakc8941 25 дней назад

    Hasra sio poa

  • @mr_kajomba_og5719
    @mr_kajomba_og5719 24 дня назад

    Wakenya tunao tu mpaka waseme

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 24 дня назад

    wakwetu sisi je?

  • @zuberisalum2004
    @zuberisalum2004 24 дня назад

    Ruto niwakala wawazunguu

  • @chazy7ya216
    @chazy7ya216 23 дня назад

    amefanya ujingasana

  • @ebengapierre8826
    @ebengapierre8826 24 дня назад

    inchi km Kenya 'ni inchi zenye asili ya kiyahudi kwanini Kenya wahanze tena urafiki n'a marekani ni raisi mpumbavu ahana akili raisi km ruto akodi Ndege ?🫣🫣🫣🫣🫣🫣 ni ujinga viongozi wa afrika km uyo ruto siasa ajui ahiwezekani raisi kukodi Ndege maraisi wengi ajui wafanye n'ini niwezi

  • @thelonewolf4429
    @thelonewolf4429 25 дней назад

    Vibaraka wamagribi walioshindikana duniani
    1 zelensky
    2 ruto. Ruto ukiangalia ata sura yake kipua utajuwatu uyu ni mwizi bilashaka. Amekuwa akionge sana haana ata upanafrika uyu bwana

  • @simonmartin5358
    @simonmartin5358 25 дней назад

    Kenya nao wanasota kama tz

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 24 дня назад

    Uyu ame anza kuharibu mapema

  • @ARNOLDKARISA-fs3ht
    @ARNOLDKARISA-fs3ht 24 дня назад

    huyu jamaa amekuwa anatumiwa na watu wamagharibi juu ukiangalia huku kwetu madakatri na walimu wako nyumbani kwa mshahara duni alafu yeye ni mwenye kusafiri safari nyingi sasa hata anakoroga na hafai juu hazileti faida kivyovyote

  • @hassangaddafi2347
    @hassangaddafi2347 25 дней назад

    Zakayo ni bure sana

  • @user-kg8dn6qr8o
    @user-kg8dn6qr8o 24 дня назад +2

    Mnachambua Sana Habali za Selekali za nchi nyingine mbona Tanzania hamjawahi

    • @PAULNYANDILE
      @PAULNYANDILE 24 дня назад +1

      ukapimwe akili kwanza ndiyo uje ukomenti

    • @user-tq4lx9si1n
      @user-tq4lx9si1n 24 дня назад

      Wakat tz kunaumaskin wakunuka bado wana ng,ang,ania kuchambua injizawatu

  • @lugelosanga5798
    @lugelosanga5798 24 дня назад

    Wanaongozaaaa mbumbu ndo mana cha kuwafanya hatuna daaaaa

  • @kikongajoel2693
    @kikongajoel2693 25 дней назад

    Ruto 😂😂😂

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw 25 дней назад

    Mpuuzi italeta matunda wakati italeta ushoga na usagaji na kuibiwa rasilimali

  • @rehemashariff3119
    @rehemashariff3119 25 дней назад

    Kwani ruto ameanda kuuza meno au naona yeye tu meno yako inje sina simo

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 25 дней назад

    Njia gani ya kwenda Marekani kwa bei nafuu hasa ukiwa Kiongozi wa Nchi, hivi kweli unapewa Mwaliko na Rais wa Marekani alafu ujibane kwenye Mashirika ya ndege na abiria kibao?? Rutto ana kasoro zake kama Binadam lakini kwahili vaa viatu vyake

    • @swalehemusa4546
      @swalehemusa4546 24 дня назад +1

      Waafrica nyie ni waginga sana nitamkumbuka magufuli wngu

  • @FrankMushi-cs5js
    @FrankMushi-cs5js 25 дней назад +1

    Upumbavu uhuu

  • @Swahili37
    @Swahili37 24 дня назад

    Wakenya gani acha porojo wewe nkt

  • @Elizabeth-gq9kl
    @Elizabeth-gq9kl 24 дня назад

    Nachukiyasana hilo kama mkenya

  • @zaidiissa3714
    @zaidiissa3714 25 дней назад +4

    Ndugu zetu tusiwalaumu sana wao washakua mashiga tayali sasa mikundu ikikosa breki unahisi vichwa vitaweza kufikilia ??? Wametuangusha sana ndugu zetu tangia waukubali ushoga na kuuhalakiaha mambo yamewaharibikia sana ndio maana hata papa wa kanisa katholic alivyotangaza uhalali wa mashoga kufunga ndoa Ajinsia moja makanisani hakuongea chochote ambao waliandamana walikua waisilamutu pekeyao laki waisilamu kenya siowengi kama wakristo ndio maana ilesheria ilipitishwa mungu atunusurutu 😮😮😮😮😢😢😢😢

    • @fatumamwalimu5765
      @fatumamwalimu5765 25 дней назад

      Kwani Tanzania mashoga na wasagaji hawapo? Je imejalalishwa? Viongozi wanasiri kubwa usiongee ukamaliza, mbona hawakuliweka kwenye katiba ikiwa nirahisi?

    • @fatumamwalimu5765
      @fatumamwalimu5765 25 дней назад +1

      Kilicho ongelewa hapa ni pesa aliyoitumia sio mambo ya ushoga au usagaji, shoga ni shoga na msagaji ni msagaji hayo ni maamuzi ya mtu mwenyewe akiona shetani ndie anaemuongoza, Tanzania mbona mashoga na wasagaji wapo wengi tu na wanajulikana,hatua gani wamechukuliwa? Huko sio kuwalea?

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 25 дней назад

      Na huko Pwani ndio mashoga mmejaaa kuwemo wewe ,ukiacha unafikiri utafika mbali ,mashoga wengi wana majina Fulani hivi , na wapo siku nyingiii sana ,tumia akili vzr na sio hisia

    • @fatumamwalimu5765
      @fatumamwalimu5765 25 дней назад

      @@emmadora7848 mashoga hawana majina maalumu usiongozwe na hisia hata wewe, sio pwani wala nchi kavu,kila mahali mashoga na wasagaji wapo, na ingekua ni pwani tu nchi za wazungu wasingekua wanaongoza kwa mashoga na wasagaji

    • @paulinewangila-cs6ys
      @paulinewangila-cs6ys 24 дня назад

      Hakuna katiba humu nchini Kenya imekubaliwa jambo la usagaji,weka akilini

  • @JuliusSenyael-ej6hg
    @JuliusSenyael-ej6hg 24 дня назад

    Mnatuchanganya nyie

  • @SuleimanSalim-ql3ny
    @SuleimanSalim-ql3ny 25 дней назад +3

    Mnh tz tuwe makini na kenya

    • @user-ui5zo9re8b
      @user-ui5zo9re8b 25 дней назад

      Nawakongomani

    • @paulinewangila-cs6ys
      @paulinewangila-cs6ys 24 дня назад

      SuleimaniSalim:Tz ndio wakamilifu duniani?acha zarau usione ndio mmefika sana dunia duara

    • @paulinewangila-cs6ys
      @paulinewangila-cs6ys 24 дня назад

      ​@@user-ui5zo9re8bukisema unawajuwa watu wenu😂ndio wazuri utashangaa ukiwa peke yako kuna mengi usiyoyajuwa kuhusu ndugu zako

    • @africanmandetraveler2847
      @africanmandetraveler2847 24 дня назад

      Unadhania samia akiitwa hataenda ,mbona juzi kaenda kwa mfaransa juzi na mfaransa ana kataliwa sana Africa ya magharibi.

    • @SuleimanSalim-ql3ny
      @SuleimanSalim-ql3ny 24 дня назад

      @@africanmandetraveler2847 Mnh ett nin!? Hv umesahau mama ametokea ktk mikono ya R I P nani vlee nadhani unamjuwa cz ata mabeberu waliisoma no.enzi za uhai wake hivyo ninaima mama hawezi kutuangusha istoshe anafahamu

  • @user-yp9el7xp8g
    @user-yp9el7xp8g 23 дня назад

    Vitu mtu anakata taxe adi watu wa RUclips

  • @user-zm8nq6xv8o
    @user-zm8nq6xv8o 25 дней назад

    Ujinga mtupu

  • @user-nb6yh2bn9y
    @user-nb6yh2bn9y 24 дня назад +1

    Wee mwandishi Acha unoko mbona raisi wetu samia suruhusu anasafili saana tofauti na magufuri Hujawai sema au unaogopa kufa yenu yawashinda KAZI umbea tuu 😔😞😔

  • @edisonbayona-rz9ed
    @edisonbayona-rz9ed 24 дня назад

    Ruto malekani wakikusifia ujuee wewe ni shonga

  • @chikusangalala7759
    @chikusangalala7759 25 дней назад +1

    Ujinga huwo bora wangejenga shure au kupunguza codi kwa wananchi