LITAKUFA JITU!! ENG.HERIS ATANGAZA USJALI MPYAA! YANGA NI BALAAA! AKITUA YANGA TISHIO AFRIKA...

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 май 2024
  • #tpmazembe #timuyawananchi #tpmazembe #rajacasablanca #daimambelenyumamwiko #daimond #timuyawananchi #mkapastadium #sisco #milladayo #tanzania #utalii #simba #simbafans #tff #caf #yanga #michelo #mbwaduke #gsm #nbcsports #nbcsports #sportspesa #feitoto #tpmazembe #robertinho #rajacasablanca #mbet #phiri #baleke #bocco #ntibazonkiza #tanzania #live #livestream #trendingshorts #manara #teamindia #nguvumoNukuu#mamelodi
  • СпортСпорт

Комментарии • 66

  • @AsiaNgoleka
    @AsiaNgoleka Месяц назад +1

    Chama na kibu haoooooooo

  • @user-yk7ff9ks6q
    @user-yk7ff9ks6q Месяц назад +1

    Hatatiiii

  • @HalidMuhammad-gi9qy
    @HalidMuhammad-gi9qy Месяц назад +1

    Ni maneno tu ya mkosaji tu ukweli simba mnaumia na bado mtaumia sana kwa kauli zenu zinawaponza

  • @user-ns2pe8oq4h
    @user-ns2pe8oq4h Месяц назад

    Kuna watu wamejambishwa na wameshtuka kua tayari wamejambaaaa🎉🎉🎉😅😅😅😂😂😂😂😂

  • @VivianMboma-ui2fh
    @VivianMboma-ui2fh Месяц назад +2

    Naona watu wanaumia fatilieni yenu sio ya mwananchiiiii

  • @ChristinaCharles-py1ct
    @ChristinaCharles-py1ct Месяц назад +1

    😂😂😂😂 yangaaaaa hatuna dogo😂😂😂🎉🎉🎉🎉

  • @raymondswed7358
    @raymondswed7358 Месяц назад +1

    WANANCHI HATUNAGA JAMBO DOGOO😂😂😂😂😂😅😅😅

  • @user-ve1rr3gz5d
    @user-ve1rr3gz5d Месяц назад +1

    Yanga nitimu kubwa hata ifungiwe usajili watasajili tu Si watalipa hela?

  • @SembuliMakengwa
    @SembuliMakengwa Месяц назад +1

    Wewe kaa na kolo lako huko yatu yanakuhusu nini yanga,tukudanganye usidanganywe unaumia nn,?!

  • @masindemujinja8451
    @masindemujinja8451 Месяц назад

    Ww unayedai wamefungiwa hujui kweli,masharti yaliyowekwa yakitimizwa usajili unaendelea.Masharti yenyewe ni kulipa fedha tu

  • @HakimTz0091
    @HakimTz0091 Месяц назад

    Jamani naskia KIBU anaenda YANGA eti kweli

  • @JastinAlphonce
    @JastinAlphonce Месяц назад +1

    Msimu ujao tunataka nusu fainali 💚💛💚💛💚

    • @jozackmisanya1516
      @jozackmisanya1516 Месяц назад

      Ada umelipa

    • @hassanabdala7383
      @hassanabdala7383 Месяц назад

      Za kambole mshalipa?

    • @mwanangusana
      @mwanangusana Месяц назад

      ​@@hassanabdala7383kalipe wewe 😅😅

    • @AyubuMsindo
      @AyubuMsindo Месяц назад

      Nusuwakt kadizinafutwa

    • @mwanangusana
      @mwanangusana Месяц назад

      @@AyubuMsindo 🤣🤣🤣🤣 .... Ukwel ana ujua abdelhak benchika bhanaa , kama ameondoka na ameacha report basi ifanyieni kazi ila mkianza kufata mapambio ya viongozi wetu .... Tutachukua ubingwa mpaka akili zenu zitakapo kaa sawa 🤣🤣🤣
      Changamoto za MAdundukA zilizia 1.since mnamleta manzoki kwa mkutano mkuu - hii ilionyesha hampo seriously kabisa
      2. Suala la kambi mkafanya fashion kwenda kambi ya picknik wachezaji wengine waligoma wengine wakapelekwa makundi kwa makundi hakukua ile pre - season yenu ilikuwa ya kimazabe mazabe 🤣🤣🤣🤣
      3. Usajili wa wachezaji wa viwango vya kifusii kwenye dirisha kubwa like Sawadogo, Jefferson, outarra, Dejan, okwa hii ni changamoto pia
      4. Mabadiliko ya kuwaacha wachezaji wazuri Sana na kuleta wenye viwango sawa na wale wa tandika mabatini 🤣🤣🤣 Baleke na Moses Phiri out then Pa Omar jobe na Fred Michael Koblan vunja bei in
      5. Kuwa bize na issue za yanga imewafanya wao wa move on madunduka Waka move out kwenye malengo na mipango Yao Kila siku wanaimbishwa nyimbo mpya na wao wanacheza ngoma wasio ijua 🤣🤣🤣
      Ukiachana na ubovu wote huo ila nikija kwenye point yako kwa ku outline mbeleko za MAdundukA tokea msimu huu ni shida bin balaaa
      1.penalty 9 za Sadaka Ahsante MALOGO kwenye msimu huu saidoo kapiga penalty 5 kwenye magoli yake 7 Kisha chama ana penalty 3 za Sadaka Ahsante MALOGO.... Hili hamzungumziiii kabisaa 🤣🤣🤣
      2. Viporo visivyo na sababu za msingi wakat Simba na yanga wote walikuwa kimataifa - sababu za ovyo ovyo mnamegeana viporo mnasusa susa mpewe viporo 🤣🤣 nakukumbusha miaka 3 nyuma Simba alikuwa na viporo 8 duuuh
      4.Mbona hamkuuliza swala la Hussein kazi kupewa kadi ya njano kwa faulo ya ndani ya box ☑️ maana ilipaswa itokewe kadi na penalty kwa mkupuo
      3. Kwenye kipigo Cha 1-5 Hamkuona kitendo Cha shomari kapombe kumdaka Mudathir yahaya Abbas kwenye box ? Mbona mlikuwa kimya hamkuona kama ilistahili kuwa kadi na penalty ??? Au mlikuwa mmefumba macho
      4. Namungu wanasema hivi ilikuaje che Malone amegongana na kipa wake ayoub Lakred Kisha maamuzi anakataa goli anasema ni faulo ?? Happy happy Kennedy Juma na kipa wake ayoub Lakred wanafanya Tena 😅 then refa anasema walete kati wanataka kujua Sheria ipi zilitumika kwenye maamuzi ya Yale matukio mawili ???

  • @user-br3oc1dt1x
    @user-br3oc1dt1x Месяц назад

    Hayakuhusu ila usajili lazma uumie

  • @mbukumagiubukumagu406
    @mbukumagiubukumagu406 Месяц назад

    Yanga wamemsaini Kibu

  • @mohamedkimbwembwe-oi1rm
    @mohamedkimbwembwe-oi1rm Месяц назад

    Yanga wangemchukuwa miquison maana anakuja upya kisoka kwasasa

    • @mwanangusana
      @mwanangusana Месяц назад +1

      😅😅😅 hamna kitu pale ...... Madunduka wenyew wanatafuta njia wamfukuze ,,,, kaka kwani we ukiambiwa umchukue kibu Denis prosper mgeni rasmi - mkandaji na miquissone unaenda na nani ?? Kibu denis ni kuchukua onana + miquissone + pa Omar jobe + mangungu + try again + na wengine wa 3 = Kibu denis

    • @suleimanmwenyemvua995
      @suleimanmwenyemvua995 Месяц назад

      Miquison wa Nini hakuna kitu pale😊😊😊

  • @Zakayomungu12-mq3mf
    @Zakayomungu12-mq3mf Месяц назад

    Nilikuwa nawaamin ila siku isii mmekuwa waongo sana

    • @mwanangusana
      @mwanangusana Месяц назад +1

      Nyie wamongoli mmezoea mangungu amlete manzoki kwenye mkutano ndo muamini eeehh 🤓🤓🤓 au Alikwe mchambua mchele kama mlivyofadhili interview yake kule Cairo eeehh 🤓🤓

  • @Duniatv562
    @Duniatv562 Месяц назад

    Bangala.

  • @AlexMulunja
    @AlexMulunja Месяц назад

    Sasa tuna mchukua nonga na bikison mtaona motoo

  • @AlbertoAnselm
    @AlbertoAnselm Месяц назад

    Ni kambole

  • @amosingailo-xb6lf
    @amosingailo-xb6lf Месяц назад

    Atakuwa yaniki bangala

  • @andersonshimbi1378
    @andersonshimbi1378 Месяц назад +1

    Akili zako hazikutoshi, ndipo utajua kuwa hujui.

  • @bauchahamad5333
    @bauchahamad5333 Месяц назад

    Huna jipwa tunakujua zaidi ya kujikweza

  • @user-xd4lu1xl6c
    @user-xd4lu1xl6c Месяц назад

    We mwanga

  • @user-mc2cv5fo8s
    @user-mc2cv5fo8s Месяц назад

    Kombole

  • @BenjaminiPastiani
    @BenjaminiPastiani Месяц назад

    Lazima finali msimu ujao

  • @selemanmcharazo
    @selemanmcharazo Месяц назад +1

    Kuna kambole jama

    • @thadeylyimo9772
      @thadeylyimo9772 Месяц назад

      Mama du Dumbia (beki la chani) + Kambole ndiyo wanaodai inavyosemekana.. tetesi kubwa ni hao... Na shida siyo Kwamba usajili haukukamilika... Ni Kwamba wanadai hela zao yanga ...

    • @mwanangusana
      @mwanangusana Месяц назад

      Tumeshalipa kadi zetu za uwanachama hivyo mambo yamekaa sawa .... Nyie ambao hamjalipa tulipenii pia

  • @AyubuMsindo
    @AyubuMsindo Месяц назад +2

    Jambisha mabwegewako siosimba Simba taasisiww wanasimba msitishke kmawalichukuwa mcheza taalabu nawakampamba sasa mnababaika nanini waimbataalabu hao

  • @hassanabdala7383
    @hassanabdala7383 Месяц назад

    Danganyeni mazoba wenu wa Uto team imefungiwa kusajili mnajikosha kupotezea

    • @user-mq4yq6rw1w
      @user-mq4yq6rw1w Месяц назад

      Utashangaaa

    • @michaelthobias9967
      @michaelthobias9967 Месяц назад

      Muda utaongea

    • @Abuu-gs1yi
      @Abuu-gs1yi Месяц назад

      Poleni Nguruwe

    • @mwanangusana
      @mwanangusana Месяц назад +2

      😂😂😂 ngungu njooo umlete manzoki Kuna watu Wana mbwinya mbwinya huku wameshaanza kuogopa huku 😊😊😊

    • @mwanangusana
      @mwanangusana Месяц назад +1

      Mangungu mwenyew analia huko aliko, Ahmed Ali kimya anajua wananchi tupo kazini , try again 🤣 halafu we unajikakamua huogop Wala haumiii yaniiii ?? Nyie ndo mnakuja kuiba simu taifa sio kuangalia mpira 🤣🤣🤣

  • @user-ns2pe8oq4h
    @user-ns2pe8oq4h Месяц назад

    Kuna watu wamejambishwa na wameshtuka kua tayari wamejambaaaa🎉🎉🎉😅😅😅😂😂😂😂😂

  • @SembuliMakengwa
    @SembuliMakengwa Месяц назад +2

    Wewe kaa na kolo lako huko yatu yanakuhusu nini yanga,tukudanganye usidanganywe unaumia nn,?!