Huu mkutano ungepewa jina la 4R alichokuwa ni maono ya Mh.Rais.niseme tukubaliane na maazimio yake .Watanzania tunusurike na tunacho kuona mbele.Asante kwa walio fuatilia Mkutano huu.❤
Ahaaa kumbe mlikuwa mnakula sana ikulu ndyo maana sasa nafasi hiyo hamna tena ndyo maana mnapiga kelele! Ninyi ni wezi wa fikra za watu na kuwafanya misukule ili muendelee kushiba bila kulima kenge ninyi.
Maoni yangu endapo vyama vitaungana kwa mazungumzo ya pamoja ambayo yatatafuta njia sahihi ambayo itaishindikiza chama kilicho Madarakani na Serikali yake ikubali azimio mliko kubaliana kwa pamoja litekelezwe kimkakati Maalumu mtafanikiwa.
Baba lisu Mungu akisaidiwa inchi bado inaongozwa na chama kimoja ccm hakuna demokrasia Mutu awe raisi hiyohiyo amiri jeshi hiyohiyo mwenyekiti taifa ccm je kuna demokrasia? Inatakiwa katiba mpya asante. Nilio wazi naomba unisamehe
Mkutano mzr kwa lipi!,mambo ya kihuni hayo,jana rais aliwakumbusha kuwa kumbukeni mlikotoka huko nyuma na sasa hivi mko wapi,mmepewa uhuru mnatukana watu,nyie kawaida yenu ni kunyimwa uhuru,hamna lolote jipya
Na sasa hivi kweli mmekaa hapo na mko wasomi wazuri kwa nini hamgusi pia muungano ambayo haupo ila ni kiini macho ya Tanganyika inayong'ang'ania muungano kwa unafiki mtupu. Hakuna muungano inakuaje Zanzibar iko na serikali yao na kila kitu? Kwahiyo hakuna muungano ikiwa na maana maraisi wa Inchi nyingine?
Nyote mliokaa hapo mnajua kabisa rules za fair play. Hata watoto wadogo wanajua huwezi kuwa refa na mchezaji. Watanzania tunawashangaa sana. Wanasiasa nchi hii msipoteze mda wenu buree. Achaneni ni siasa za refa mchezaji.
Tarehe 23/9/202 maandamano yasifanyike viongozi wakidini na serikari na wanaccm wakae pamoja Rais wetu samia awepo kwakuwa ni amirijeshi vurugu ikiwepo eleweni hakuna adui baba mama watoto tutauuana sisi kwa sisi wanajeshi pamoja jeshi la polisi ni watoto wa vyama vyote vilivyopo Tz kwanini kuuana?
Kwani Katiba inasema nini? Katiba ndiyo inakubali maandamano huru, VYAMA vinaruhusiwa na Katiba kwahiyo yeye Samia ni zaidi ya Katiba? Samia acha kutuchanganya na uhuni huo. Ni wewe na Magufuli mlikubaliana kuchukuwa uhuru wa vyama mpaka mkatupora uhuru wa kongea mpaka mkatupira wanainchi kutoa mawazo. Sasa Samia anjifanya ndiye amewarusu! Nadhani hajitambuhi. Yeye kuwa raisi siyo kuwa atunyime kuwa huru kukutana? Hayo ni maajabu kweli mbona hata chama kimoja tulikuwa tunaongea hata vyama vya wafanyakazi walikuwa na nguvu sana. Magufuli na Samia walikuja kuuwa uhuru vyama vya wafanya kazi. Mlimalizwa.
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ0bE75nzavlm
Nafuatilia sana hayo mazungumzo.
Akika mungu hawezi kuruhusu mambo mabaymabaya alafu akoswe makusudi yake iko siku nchi hii itakuwa mbaya sana mawaziri ni matajiri kuriko wizara
Huu mkutano ungepewa jina la 4R alichokuwa ni maono ya Mh.Rais.niseme tukubaliane na maazimio yake .Watanzania tunusurike na tunacho kuona mbele.Asante kwa walio fuatilia Mkutano huu.❤
Rais angalikuwa na mawazo haya basi Watanzania wasingalifikia hatua hii!
👍mawazo yako ni mazuri mueshimiwa selasini.watu watakufa na mlicho Fanya muandamae msipate
Nakubali kabisa mzee mapesa ?tatizo lisu uko amjajua
Mlidanganywa kabisa kwa sababu mlikuwepo huko nyuma kwake yeye kuanza kusema amewaruhusu amekuwa na kiburi kana kwamba hamkuwepo huko nyuma.
Lisu anaongea Hoja Nakutoa Elimu Vile Vile
Ahaaa kumbe mlikuwa mnakula sana ikulu ndyo maana sasa nafasi hiyo hamna tena ndyo maana mnapiga kelele! Ninyi ni wezi wa fikra za watu na kuwafanya misukule ili muendelee kushiba bila kulima kenge ninyi.
Kazi tunayo tutapataje haki ya kuchagua ikiwa watawala kilakitu chao
Swala la divide and rule liko wazi
Selasini nimependa mawaxo yako sana
Wengine wako nasimu hao wako tu bora liende labda ni CCM. HAWA ONI LO LOTE LA MAANA.
Maoni yangu endapo vyama vitaungana kwa mazungumzo ya pamoja ambayo yatatafuta njia sahihi ambayo itaishindikiza chama kilicho Madarakani na Serikali yake ikubali azimio mliko kubaliana kwa pamoja litekelezwe kimkakati Maalumu mtafanikiwa.
Mkutano mzuri
Nawaomba sana unganeni chukueni yote mabaya yanayofanywa na serikali kwa wananchi yapo mengi sana
Lisu ha jui Tanzania ya UZALENDO
Baba lisu Mungu akisaidiwa inchi bado inaongozwa na chama kimoja ccm hakuna demokrasia Mutu awe raisi hiyohiyo amiri jeshi hiyohiyo mwenyekiti taifa ccm je kuna demokrasia? Inatakiwa katiba mpya asante. Nilio wazi naomba unisamehe
💪
Hamlioni hili 77 hotel madai yao hawajalipwa tangu mwaka 2000 mpaka Leo 2024 madai yetu hamyasemi
Mkutano mzr kwa lipi!,mambo ya kihuni hayo,jana rais aliwakumbusha kuwa kumbukeni mlikotoka huko nyuma na sasa hivi mko wapi,mmepewa uhuru mnatukana watu,nyie kawaida yenu ni kunyimwa uhuru,hamna lolote jipya
Uhuni umetoka wapi hapo akili yako haichaji
Nadhani Selasini hawafahamu vizuri CCM!basi njoo Zanzibar uelezwe CCM haswaaa walivyo!tokea baada ya chaguzi nini kilitokea na nini wameahidi na nini walifanya!
Na sasa hivi kweli mmekaa hapo na mko wasomi wazuri kwa nini hamgusi pia muungano ambayo haupo ila ni kiini macho ya Tanganyika inayong'ang'ania muungano kwa unafiki mtupu. Hakuna muungano inakuaje Zanzibar iko na serikali yao na kila kitu? Kwahiyo hakuna muungano ikiwa na maana maraisi wa Inchi nyingine?
Tuanze mchakato wa katiba mpya.
Ni uonefu wa upande mmoja
Moto wa nani!! Yaani huyu bhana ni kutaja watu.
Kwani hili limama mzanzibari hana uchungu wa watanganyika na wanainchi wake yeye anatamani sana watanganyika waishe kabisa.
Wapinzani urais mtaupata kama mkiwa wa Moja chukueni mabaya yote yanayofanywa na serikali kwa wananchi yapo mengi sana
Hata sisi wanainchi tunaitaji KATIBA sasa hivi. Kwa sababu tumeisha kuwa watumwa wa huyu Mzanzibari
Wapinzani kuchukua nchi ni kujipanga chkueni yote mabaya yanayofanywa na serikali yapo mengi chukueni hatua
Nyote mliokaa hapo mnajua kabisa rules za fair play. Hata watoto wadogo wanajua huwezi kuwa refa na mchezaji. Watanzania tunawashangaa sana. Wanasiasa nchi hii msipoteze mda wenu buree. Achaneni ni siasa za refa mchezaji.
Polisi na Samia ni wauwaji wakubwa. Huyu mzanzibari ni muuwaji mkubwa hili limama halijali watanganyika na polisi wote ni wachawa.
Kila cku katiba katiba hiv hamna kazi zingine za kufanya? Uwizi wa fikra za watu kwa maslahi yenu hayo
Msipoteze muda igeni teams za mpira wa miguu refa hawezi kuwa meneja ya team inayoshondana hapo.kugawana mafungu tu.
Tarehe 23/9/202 maandamano yasifanyike viongozi wakidini na serikari na wanaccm wakae pamoja Rais wetu samia awepo kwakuwa ni amirijeshi vurugu ikiwepo eleweni hakuna adui baba mama watoto tutauuana sisi kwa sisi wanajeshi pamoja jeshi la polisi ni watoto wa vyama vyote vilivyopo Tz kwanini kuuana?
Viongozi wa upinzani chukueni mabaya yote yanayofanywa na serikali kwa wananchi yapo mengi kama madai hotel77 ya arusha
Samahani LISU ana penda kweli nchi yetu bila MATUSI?
Yote yanayofanyika kutekwa , kuumwa no ni mazuri2 kwako? Jitafakari
Hili jamaa lenye mandevu mchanganyiko linaoga kiasi gani???!!!! Unaogopa maandamano? Ama una ulichopewa ukasemee serikari!!!???
Kwakweli hakuna jipya Tanzania hii haiingii kichwani nyie waku wa hamlioni hili nani amekula Hela ya wafanyakazi ya iliyokuwa 77 hotel
Msirisahau swalahili madai ya waliokuwa wafanyakazi wa hotel ya 77 ya Arusha mpaka Leo mwambie rais awalipe
Tupate Katiba mpya kwanza ndipo tufanye uchaguzi.
Hakuna rais hapo watu wanatekwa anakaa kimya agetekwa mtoto wako au mtoto wasamia ungekaa kimya acheni utoto.
Kwani Katiba inasema nini? Katiba ndiyo inakubali maandamano huru, VYAMA vinaruhusiwa na Katiba kwahiyo yeye Samia ni zaidi ya Katiba? Samia acha kutuchanganya na uhuni huo. Ni wewe na Magufuli mlikubaliana kuchukuwa uhuru wa vyama mpaka mkatupora uhuru wa kongea mpaka mkatupira wanainchi kutoa mawazo. Sasa Samia anjifanya ndiye amewarusu! Nadhani hajitambuhi. Yeye kuwa raisi siyo kuwa atunyime kuwa huru kukutana? Hayo ni maajabu kweli mbona hata chama kimoja tulikuwa tunaongea hata vyama vya wafanyakazi walikuwa na nguvu sana. Magufuli na Samia walikuja kuuwa uhuru vyama vya wafanya kazi. Mlimalizwa.
wewe umesoma wajinga unawaweza
Mr Selasini, kwa nini muiombe Serikali wakati sisi ndio tunaoiweka Serikali madarakani?
Anaombea maana anajitambua, uko na swali jengine?