Lady JayDee Ft Mr Blue - Wangu (Official Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 28 мар 2020
  • #Wangu #LadyJayDee
    Lady Jaydee.
    You Can Now Download | Stream | Share Lady Jaydee Music WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES: | Itunes, BoomPlay, Mkito, Deezer, Audiomack, Mdundo, Tidal, Amazon Music, Spotify, Pandora. LINK: ffm.to/ladyjaydee
    +For More Information Booking Lady JayDee :
    FOR BOOKINGS: judyjaydee@yahoo.com📩
    Follow Lady Jaydee on:
    / jidejaydee
    / jidejaydee
    / ladyjaydee
  • ВидеоклипыВидеоклипы

Комментарии • 327

  • @user-mg7uu6ub9o
    @user-mg7uu6ub9o 5 месяцев назад +47

    2024 anyone ❤

  • @ElishaSolomoni-kc4zk
    @ElishaSolomoni-kc4zk 5 месяцев назад +26

    2024 whos here BAISA FT KOMANDO JIDE🔥🔥🔥🔥

  • @user-zl1im3og6r
    @user-zl1im3og6r 3 месяца назад +14

    Nimeichek hi nyimbo 2024 kunawasanii wanajua music hadi wanajua tena

  • @kapepah255
    @kapepah255 3 года назад +146

    Mziki mzuri unaishi milele Kama una amini gonga like hapa

  • @sevenrepublic1550
    @sevenrepublic1550 2 месяца назад +8

    Kizazi cha 2050 hii ngoma ilikuwa no motoooo... Huyo dada anaitwa Lady Jay Dee.. ndo alikuwa msanii wa kike mwenye hela enzi zile.. na huyo kaka anaitwa Mr Blue ndo msaani wa kiume aliyeuwa ana swag kuliko wote Tanzania

  • @fatmaramadhan762
    @fatmaramadhan762 4 месяца назад +8

    2024 I'm here to watch my favorite song❤❤

  • @young_brother27
    @young_brother27 Месяц назад +2

    Naupenda sana huu wimbo unanikumbusha mbaaaali enzi zile nilikua nachunga mbuzi sijaingia hata shule😂😂😂

  • @peterochieng3198
    @peterochieng3198 2 года назад +57

    maringo = 0%
    nudity = 0%
    drugs = 0%
    talent =100%
    love = 100%
    professionalism = 100%
    WE LOVE YOU LADY JAYDEE💋💋💋

  • @manyamamohamed9937
    @manyamamohamed9937 3 года назад +21

    “moyo giza nene huwezi kujua yupi mkweli yupi muongo “fact

  • @ritamarie2546
    @ritamarie2546 2 года назад +79

    In 2022 here for my favourite song 🇰🇪🇰🇪Kenya representing....lady jaydee's vocals are on another level 🔥🔥🔥🔥

    • @evandan7
      @evandan7 2 года назад

      sure bro

    • @JAMESBROWN-gf1xt
      @JAMESBROWN-gf1xt Год назад

      Tuko pamoja kama ugali mwooooto

    • @johnngala7491
      @johnngala7491 Год назад

      09/08/2022...Yaani naskiza hii ngoma nkingoja results za elections...Mungu tu #OldisGold

    • @ritamarie2546
      @ritamarie2546 Год назад +1

      @@johnngala7491 😂😂😂😂tutakubali tu matokeo

    • @realsam2017
      @realsam2017 10 месяцев назад

      gonga like 2023 twende pamoja

  • @andrewraphael3098
    @andrewraphael3098 8 месяцев назад +8

    Ngoma bado kali 2023 ❤🎉

  • @jackisrael.I.B.E.X
    @jackisrael.I.B.E.X Год назад +6

    Baadhi ya nyimbo ambazo zitakita dawamu... Lady J hongera mamii💕💕💕🥂

  • @daudimkwela
    @daudimkwela Год назад +9

    Mr. Blue akipewa featuring huwa anafanya kweli. Hajawahi disappoint kwenye goma lolote alilopewa featuring. Big up Blue!

  • @joyceerenest6235
    @joyceerenest6235 3 года назад +18

    Huyu producer aliofanya huu ukatili mungu anamuona🙆🙆wale wa 2020 gonga like twende sawiaa

  • @RidhiwaniShikeli-du6nv
    @RidhiwaniShikeli-du6nv 10 месяцев назад +3

    Dada unaweza sauti yako usiseme ni moto nnaimani utaitendea haki miziki shabiki yako kutoka kenya

  • @edfinelmas5245
    @edfinelmas5245 Год назад +16

    Ni miaka mingi imepita lakini bado ni nyimbo bora sana kwangu saana. Jide 😊

  • @danielngotto9195
    @danielngotto9195 Год назад +9

    Queen of East African music

  • @BGatheni
    @BGatheni 2 месяца назад +1

    The instrumental!! Heavenly 👌✌️

  • @pendoikunda606
    @pendoikunda606 2 месяца назад +6

    2024 April 2nd.. anyone❤

  • @user-fq6gj9vv2m
    @user-fq6gj9vv2m 8 месяцев назад +2

    Hii imeenda 1000000 mbele

  • @diktator1889
    @diktator1889 11 месяцев назад +10

    This song really hits after being betrayed by someone you really trusted.

  • @user-ev6cx4kt3g
    @user-ev6cx4kt3g 9 дней назад

    Yeah...hapa komandoo alliimba kweli

  • @user-nx6bu4zv7l
    @user-nx6bu4zv7l 4 месяца назад +2

    So God Song Deo From Rwanda

  • @nassorokangele2725
    @nassorokangele2725 2 года назад +4

    Nilishakuaga nawangu ilakanitenda!! Gonga likes 2022 kama umetendwa twende pamoja.

  • @mzeewakazi2439
    @mzeewakazi2439 Год назад +3

    Bado napata funzo hapa mpaka leo

  • @saisitruphena1829
    @saisitruphena1829 Год назад +3

    This song reminds me of 23/3/2010 Wednesday 5pm I won't forget,nililia nikatoa machozi sijai toa eeeeh

  • @raheemrr
    @raheemrr 2 года назад +22

    I grew up seeing My mom repeatedly saying Jaydee was her fav singer. I done grew up now i understand 💙🇹🇿. QUEEN🔥

  • @andrewtv598
    @andrewtv598 Год назад +6

    Hawa ndio ma legend ninao tambua Tanzania respect 👊🥰

  • @scayoscayo3998
    @scayoscayo3998 26 дней назад

    2024 still kitu kiko smart halaaaa

  • @habibmarlon1160
    @habibmarlon1160 3 года назад +11

    Mr blue was the diamond of this days.... I tell yoy

    • @michaeljgruppiii7257
      @michaeljgruppiii7257 2 года назад +3

      I can’t even understand how this guy never get lost hapoteagi mr blue siku zote and kila collaboration huwa anatisha but with rayvanny still 1

  • @Ace_Kariuki.
    @Ace_Kariuki. 5 месяцев назад +1

    There is something about this song 😢😍

  • @SoniahKomba
    @SoniahKomba Месяц назад +1

    Yakikukuta ndo unazielewa vzr nyimbo kule utoton nlikuwa bado cjauelewa

  • @dullahbongo5354
    @dullahbongo5354 3 года назад +9

    Hii nyimbo komando jide aliona amuweke Blue coz wote walitendwa jide alitendwa na gadna huku Mr. Blue akitendwa na wema sepetu ndomaana corabo yao ilikua poa na kwa ujumla nyimbo ilikua poa sana

    • @mohdnyambi7513
      @mohdnyambi7513 Год назад +1

      Blue hajawah tendwa. Kpnd hiki alikua na madem 3 yan 1.Najma, 2.mkewe 3. Wa 3 cjui nani na walikua wanajuana wote

  • @user-sg3dc4id7l
    @user-sg3dc4id7l 3 месяца назад +1

    Mungu akulinde jideee nipo wachache saa

  • @innocentmushi3036
    @innocentmushi3036 Год назад +5

    Jide was, is and will always be a Queen of bongo fleva.

  • @pendomwabuka8696
    @pendomwabuka8696 3 года назад +12

    Dada lao nyimbo zako hazichoshi,, nakupenda bure!!!

  • @shaniahrachma3114
    @shaniahrachma3114 3 года назад +26

    2021 my favorite pple komando and untouchable mr blue much love from kenya

  • @El9a
    @El9a Год назад +10

    Music Genius Everything perfect.💪🏽
    Huu wimbo nlikua ninaupenda tangu nipo secondary kuna watu wakasema pengine unaupenda kwasababu kuna mambo yamekuumiza...
    Nikawajibu Hapana, jinsi tuu ulivyopangiliwa umekaa vizuri sana, hauchuji na umeongea ukweli kwa namna ya bora ya kisanii.
    Here I am almost 10 yrs later saying, This song is still Revelant even today and tomorrow.

  • @deniscontinho7803
    @deniscontinho7803 Год назад +1

    Naupenda humuziki sana

  • @arsenebuzera5662
    @arsenebuzera5662 3 года назад +13

    From Congo! 2021 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 🇨🇩🇨🇩 beautiful song!! Nyimbo nzuri inaishi milele

  • @jumasudi3644
    @jumasudi3644 Год назад +9

    this deserves billions views👑👑👑💥💥💥💥💥💥💥🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @gracesimon1270
    @gracesimon1270 3 года назад +18

    2020 nan mwingine ana watch

  • @judgerajjy2342
    @judgerajjy2342 3 года назад +5

    Rudia kwenye music please tunakupenda bado ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🐾🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥👑👑👑Laddy jd

  • @clementinamsakwa3802
    @clementinamsakwa3802 4 года назад +10

    Jide MUNGU wetu wa mbinguni akupe hitaji la moyo wako mpenzi
    wewe Ni mwanamke mpambanaji

  • @ucjvvjcjjvih9934
    @ucjvvjcjjvih9934 2 года назад +2

    I'm TZ🇹🇿💕💋2022 NIMEKUMISS LADY J NILISHA FANYA UT WANG HAKUSAMIN UT WANG AKANACHA AKAENDA NIKABAKI NALIA NA MOYO

  • @Hassan-ot1mc
    @Hassan-ot1mc 4 года назад +35

    Dada wa taifa like zake hapa

  • @fatmakimbau3299
    @fatmakimbau3299 2 года назад +1

    Nyimbo nzuri badoo inaishii

  • @oswardjames-yc9yz
    @oswardjames-yc9yz Год назад +1

    Nimewapa 🎉🎉 maua yenu wew na brue mkiwa hai

  • @aishaissa2512
    @aishaissa2512 11 месяцев назад +1

    Blue napenda unavo chana love you 🎉🎉💙💙💙

  • @fadhilmaricknyekabanyekaba976
    @fadhilmaricknyekabanyekaba976 Год назад +1

    Nyimbo ihii unanikumbusha mbali sana kiukwer et

  • @allenmushema5844
    @allenmushema5844 Год назад +1

    mziki mzuri🔥🔥🔥

  • @teddymenza
    @teddymenza Год назад +15

    Her voice is always nostalgic and has echo 💯👌

  • @user-br7sf6ey9t
    @user-br7sf6ey9t 4 месяца назад

    ❤❤❤❤❤❤😂😂2024 🎉🎉mpaka sasa bado unauzingua moyowangu uwezi futka ❤❤sana

  • @joycekalago532
    @joycekalago532 Год назад +1

    2011 hii nyimbo ilitaka kunifanya niache chuo khaaaaaa sitasahau. maishani😂😂😂ashukuriwe Mungu aliekua pamoja Nam akanisimamia nikakazana mpaka sasa niko hapa napiga kazi nzuri ila nilitetereka kisa wangu alienitenda akaniacha akaenda😂😂😂😂

  • @hybritekabora3875
    @hybritekabora3875 2 года назад +18

    2022
    And this song is still rocking hard in my head like it's just yesterday
    Sauti ya dhahabu @lady jaydee forever legend

  • @dullahbongo5354
    @dullahbongo5354 3 года назад +3

    Wasanini zamani walikua wanafannya kazi zao kwa uweledi ingawa kipindi hicho muziki ulikuwa hauwaingizii pesa nyingi kama sasa lakini muziki sasa umekua na thamani ingawa wasanii wenyewe hawautendei haki Muziki nyimbo mwanzo mwisho matusi tu tena matusi ya waziwazi kiasia kwamba huwezi kuangalia au kusikiliza na familia

  • @anotheraccount1391
    @anotheraccount1391 8 месяцев назад

    2011: Mr Blue - "mi sitaki mifupa mwenzio kibogoyo"
    2017: Diamond Platinumz - "Sio mfupa mwenzio kibogoyo utantesa honey"

  • @mizaniboss
    @mizaniboss Год назад +18

    This was a great collaboration, mad respect to both artists, timeless music

  • @martinkarega4219
    @martinkarega4219 4 месяца назад +1

    2024 My favorite song

  • @haidarykufakunoga5973
    @haidarykufakunoga5973 Год назад +1

    JIDE my Dear. Huu Wimbo utadumu Milele.🙏🙏🙏👍👍

  • @victorodhiambo5319
    @victorodhiambo5319 3 года назад +22

    One of the most underrated piece in East Africa. Good voice good music, great talent

    • @evandan7
      @evandan7 2 года назад

      very true

    • @pambasr2345
      @pambasr2345 Год назад

      You put ut right! 2022 na bado naona huu muziki ni hatar

  • @sharikharib
    @sharikharib Год назад +1

    Good times

  • @fanuelsamuel6915
    @fanuelsamuel6915 Год назад +6

    am still listening in 2023....❤️🔥🔥🔥

  • @user-jq9mi2oi1u
    @user-jq9mi2oi1u 25 дней назад

    Sana tu mi bado nipo nashusha kioo😅😅😅

  • @HillarieEhajieh
    @HillarieEhajieh Год назад +1

    May "23 real classic

  • @user-jq9mi2oi1u
    @user-jq9mi2oi1u 2 месяца назад

    Judis wambura pamoja sana😂😂😂😂

  • @enriqueigresias3275
    @enriqueigresias3275 3 года назад +14

    TUJUANE TULIO RUDI HAPA SABABU YA BIG SUNDAY LIVE

  • @chingyleee756
    @chingyleee756 2 месяца назад

    2024 Dada mkuu ❤❤

  • @squaremambohb1294
    @squaremambohb1294 3 года назад +6

    Ikumbukwa san ten 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @mustaphahassan8407
    @mustaphahassan8407 2 года назад +1

    kitambo lakini badonasikiliza Kama na ww unasikiliza gonga like hapa twende pamoko

  • @flova7022
    @flova7022 3 года назад +3

    Queen of bongo flava

  • @salimsaid7671
    @salimsaid7671 2 года назад +1

    na enjoy music mzur

  • @kapinda
    @kapinda Год назад +1

    Milele itagongwa hiii

  • @ShabaniIssa-lz7th
    @ShabaniIssa-lz7th 9 месяцев назад

    Mziki mzuri unaishi wala huishi utamu

  • @darposttv2647
    @darposttv2647 3 года назад +5

    Respect #mr blue

  • @sharobaroalone5621
    @sharobaroalone5621 2 года назад +1

    Naipenda xana hii nyimbo kama imetoka leo

  • @karanjamurumba5772
    @karanjamurumba5772 2 года назад +6

    Definitely timeless . One of my all time favourites. Sanaa iliyokomaa.

  • @user-xk6zn2rz2y
    @user-xk6zn2rz2y 7 месяцев назад

    Ngoma kali sana 2023

  • @happynespascal9562
    @happynespascal9562 7 месяцев назад

    Nime umiss sn huu mziki😍😍

  • @njihiayoung5
    @njihiayoung5 2 года назад +1

    Kata simuuu tupo site tupo site 😂✍️✍️✍️🔥🔥

  • @antonettengali1775
    @antonettengali1775 3 года назад +10

    The nostalgia I cannot even explain!

  • @lucyjohn1342
    @lucyjohn1342 7 месяцев назад

    Kaz mzur sanaaa 😊

  • @najahatagway677
    @najahatagway677 Год назад

    Ngoma kali kutoka kwa wakali

  • @MarymPete-ym7db
    @MarymPete-ym7db 9 месяцев назад +1

    Nipo apa na wangu in 2023

  • @leocadiashanny6518
    @leocadiashanny6518 3 года назад +8

    Just woke up singing this song 😂😂😂 sweet sunday

  • @thadeusmahendeka4466
    @thadeusmahendeka4466 3 года назад +13

    Always grateful to witness this beautiful talent of Jaydee.

  • @alextanzania
    @alextanzania 3 года назад +4

    Sharobaro Records.
    Big up Bob Junior for the good muzik

  • @IsakaJastin-iy8dn
    @IsakaJastin-iy8dn 10 месяцев назад

    dada nyimbozako zinanikosha

  • @goodluckkarata4859
    @goodluckkarata4859 2 года назад +1

    Pamoja sana chuki huzihirika ikiwemo utapeli

  • @adamobyamvano4191
    @adamobyamvano4191 9 месяцев назад

    Mziki mzuri unaishi

  • @aishamother9943
    @aishamother9943 3 года назад +5

    Kutoka 2013 mpaka sai 2020 July 27 love you sana lady jadee

  • @Mchora_tz
    @Mchora_tz 4 года назад +13

    Umefanya vizr komando jide zirudishe ngoma zako zote kweny account yako

  • @sketchbabu
    @sketchbabu Год назад +2

    Heading to 2023, I need to time travel back in time seriously. Beautiful memories.

  • @ruthkungu4548
    @ruthkungu4548 3 года назад +1

    I like this song to much

  • @bonnybonnaya7133
    @bonnybonnaya7133 2 года назад +5

    2022 still the track is lit as ever... 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥.... Queen Jideeehh 🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟..👊 East African finest..

  • @ibrahimmsumi
    @ibrahimmsumi 8 месяцев назад

    Good Music✍️

  • @ronaldamile7772
    @ronaldamile7772 4 года назад +18

    Not sure what they saying, but I LOVE IT.

    • @patriciahaydon9114
      @patriciahaydon9114 3 года назад

      It's Swahili - most of which I don't understand (save for a few very basic words) - but to me, good music is good music...that part is universal.

    • @hahmadhabibu2076
      @hahmadhabibu2076 3 года назад +3

      She is singing about the she was dumped by the one she loved so much..how he never valued her and broke her heart

  • @bakariabdallah-jg9qk
    @bakariabdallah-jg9qk Год назад

    Kipaji sana

  • @sheysarahnjeno9326
    @sheysarahnjeno9326 3 года назад +3

    Dada wa Taifa nyimbi hàzichuj mliua xana na blue

  • @allyshemndolwa8958
    @allyshemndolwa8958 4 года назад +4

    Byser byser nilishawai kupigana shule nikatolowe had ngeu kwaajili ya Mr blue