"Wenyewe wanasema usawa una kaba Na rafiki wa kweli ni Mama na Baba Hao wengine wala usiwaamini maana binadamu wa sasa wana roho saba. Watakuwa na wewe kwenye raha, na hawatakuwa na wewe kwenye njaa Bora nipige misele yangu peke yangu, niruke peke yangu na uoga niliukataa Nabadilika kama saa, na siku hazigandi na sitokata tamaa Wamejaa usaliti na chuki, watu wa karibu wanageuka mamluki. General na asonge, iwe joto au baridi naamini tutashinda Kama mbwai iwe mbwai, barida We make more money rest in peace shida Ukinuna unataka tunune wote, ukilia unataka tulie wote Vita vyako tunapigana wote, tukishinda tushinde au bora tufe wote Kama kulima kwote tumelima wote, hata kupanda kwote tulipanda wote, kupalilia tulipalilia wote, ah nashangaa sasa mbona hatufuni wote?"
2020 /9/16 😋👯♀️niko live naipendaje hii nyimbo ilinitokea kipind nateseka na boyfriend wangu kisa yeye anayo psa me cna psa anard anavyotaka yeye leo niko Oman 🇴🇲 nimeikumbuka hii nyimbo naicheza kwa furaha mno😢😌💪 mwanazengo don't give up 💪💯
Wangapi tunaisikiliza 2024✊✊✊✊yaani kama imetoka Leo🔥🔥🔥🔥
Tuko wengi aki.
Together
She is my best one from tz
Nipooo
Ngoma inaishi milele
2024 whos here KOMANDO JIDE FT PR J🔥🔥🔥🔥 + JOTO HILI LA DAR AISEEE.
kwa situation ya sasa plus hali ya hewa imebidi nije nisikilize hii ngoma upya😂
😂😂😂😂😂
Niko hapa leo
😂😂😂😂😂
😂😂😂
😂😂😂😂😂
Wale wanazingiza huu wimbo 2024 weka like
Ukiskiza lady jaydee unaonanga kama zuchu ni utoto anafanya
😂😂😂😂
Jide ni jeshi la mtu moko..zuchu anatembelea umaarufu wa mondi
Zuchu bado hajaiva
Wallahi billahi....huyu mama alikuwa moto
@@bmxsports581na bado yuko moto,,,commando ni mmoja tu ni LADY JAYDEE
Mwanamziki ninaye enzi kutoka Tz.Much love from Kenya
Afky
😂@@Peter-ml4fr
Eeeh saafi mkenyaa❤❤❤
No nudity, no show offs, no vulgarity 😊😊just pure class 💕
"Wenyewe wanasema usawa una kaba
Na rafiki wa kweli ni Mama na Baba
Hao wengine wala usiwaamini maana binadamu wa sasa wana roho saba.
Watakuwa na wewe kwenye raha, na hawatakuwa na wewe kwenye njaa
Bora nipige misele yangu peke yangu, niruke peke yangu na uoga niliukataa
Nabadilika kama saa, na siku hazigandi na sitokata tamaa
Wamejaa usaliti na chuki, watu wa karibu wanageuka mamluki.
General na asonge, iwe joto au baridi naamini tutashinda
Kama mbwai iwe mbwai, barida
We make more money rest in peace shida
Ukinuna unataka tunune wote,
ukilia unataka tulie wote
Vita vyako tunapigana wote, tukishinda tushinde au bora tufe wote
Kama kulima kwote tumelima wote,
hata kupanda kwote tulipanda wote,
kupalilia tulipalilia wote, ah nashangaa sasa mbona hatufuni wote?"
Proff is the best rapper in east AFRICA 🌍
Thank you like this
Ninajivunia kuwa Tanzania 🥰🥰 Kiswahili ndio LUGHA YANGU na AMAN IYENDELEE MILELE
I like this song since my schooling days.
Leo hii najitafutia na joto naliskia vilivyo.
Sasa niko hapa na uelewa mkubwa wa huu wimbo 😂😂 🇰🇪🇰🇪
The most underrated artist in Tz🇹🇿 Lady Jaydee deserve more
Sure
To me she is the best in TZ in this century....l have never thought of zuchu ,nandy and more alse ..to me she is the best ever
I like the way she is herself, not all these all musicians who is popular because of illuminati.
@@claramavhima9634 😂😂😂🙌
The era where music had moral lessons
this song deserves a billions likes! Africa!
Hizi nyimbo aky ni tamu❤❤never get old
FIREEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE.MAGWIJI KATIKA FANI YA MUZIKI AFRIKA MASHARIKI.👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
Hii song ni ya sasa 2024
17-01-2023 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
This is what you get when two legends come together.Mahnnnnn 👏👏👏👏👏👏👏 Prof J alikill iyo verse manze 👑👑
19-6-2023
30-9-2023
Nmerudi teena leo tarehe 24_11_221 ... JOTO HASIRA ...ktka Zanzibar nyieeee 🤣🤣🤣🤣
Hii ngoma ilitakaga kuniua kipind kile.. Boonge moja LA wimbo.
Ilistahili tuzo zote.
Awesome song...I wish Kenyans could be singing such...
we had our own vocal queens like nyota ndogo but you tube wasnt that popular when they were at their best.but agreed this is a master piece
@@williamwatitwa3534 very true
But she is akurian from migori cty parents migrated to mara isbania/sirare
2020 /9/16 😋👯♀️niko live naipendaje hii nyimbo ilinitokea kipind nateseka na boyfriend wangu kisa yeye anayo psa me cna psa anard anavyotaka yeye leo niko Oman 🇴🇲 nimeikumbuka hii nyimbo naicheza kwa furaha mno😢😌💪 mwanazengo don't give up 💪💯
Dah tupo wote uku mtanzania mwenzangu
Jamni wakina zuchu na bandy mniache ninavosemaga siwaelewi mnachoimba huaa najuaa namaaana kuwa nna mziki mzuri from this dada and ray c
Kwan zuchu anaimba Nini yule 😏😏Lady j Dee, maua sama ,na rubby Hawa ndo wanaimba
Hii sauti MUNGU anaihitaji ili iziimbe hukumu zake kwa ulimwengu.
Rudi kwenye misingi
Yatosha jangwani..
Kwa hari hii sasa nyimbo inapita kwenye mstari ulionyooka
two big legends ,much respect to you guys .you made us felt happy while we were so sad
Mziki safi sio Kama wa enzi hizi
Up
Kitambo sana big up sister Jay dee naluka mwenyewe
My favorite song😍,,much love from kenya
Huuuuwimbo ungeibwa mwaka hu2023 Joto kali hela hakunabarabaran folen yakufa mtuu 🥰🥰🥰nakupenda
This song makes sense at this time more than ever.
You still the best gal. Big up 💪
Blessed Jay dee
Much love from Kenya ♥️❤️❤️
Rayc ki music hamuwez huyu dada aisee ni🎉🎉🎉
Miaka Hiyo Mambo Ni 💥💥💥💥 Ahsante Kwa Kutupashia Kiporo 💞💞💞
Joto la dar linafanya ngoma isikilizwe mara kwa mara on june 18 2024
Ooh my God. Hii song tamu tangu enzi zile....nakupenda sana JD
Mwenyezi mungu akuponye prof.Jay much love from mombasa kenya.
Tunakukubali Sana Prof ata jaydee kwetu Bukavu DRC
🎉🎉🎉🎉🎉chukua maua yako
Lady jay d needed a complete raise for this banger. Inabidi nimetoa shati nipoge densi pole pole
nice songs i used to go shambani with radio ju kuna station lazima wangeweka hii nyimbo,,,those times niko primary❤❤❤❤❤
Love your music, you are a STAR. Much Love and respect Cape Town
Lady Jay Dee na Alikiba wana sifa moja... Magwiji wa miziki inayoishi.
kwasababu juma nne naenda maandamano najua hio joto itakuwa na hasira 😅
Moto Mwaki Fire 🔥 💯 chu chu
Hili goma bado linanigusa Sana..big up Sana mtoto mzuri lady jay Dee na mkali wao proffessor jay😂😂😂
Nimekuwa wa kwanza KuView aiseee
Her Legacy still Lives Vibe Kama Lote
Na kanisan uwe wa kwanza
Anhaaa! Sawa Nahisi Mungu hapendi watu ambao ni Wafalisayo kama Wewe...😪
@@lusakomusyani2020 Hahaha joto hasira
🤣🤣🤣🤣🤣mbn mapovu jmn
Lady j dee ww ni fundi,,Punch yako sio poa
Nimependa ulivyo upload Ngoma hii
My favorite female artist all the way watching from 254
Asante kwa kumbukumbu hii ya ofisi yangu pale Tranic Plaza. Commandooooo
Kama imetoka jana tu uyu dada anajua san❤
Dah sio kwa vocal hilo big up sanaaa wasanii wengine waige maudhui tofauti mazuri mno ❤
Ngoma nzuri saana ina hit tena naipiga mu gari iyi 2021, yaani ni hatari
With Ruto's economy weee 🔥🔥🔥
professor aliua sana humuuuuuuuuu aiseeeee
Two guys were very collaboratively compatible...Much respected our Legend, God bless all of u forever..🙏🙏🙏
Mbona huyu mrembo hatambuliki Sana na Vile ana sauti nzuri. You are more 🥰 than Zuchu...
Daaah...pole...zuchu mwenyewe anamkubali huyu...fatilia nyimbo zake
Hii ngoma inanikumbusha 2012 Easter conference ilipigwa disco asee nilibambia ile mbayaa😂😂
Napenda sanaaaaaaaah nyimbo zake
I took my time to not only groove to the beat but to listen to the words......best selection ever
Commandoooooooooooo akeeeeeeeeee piga kelele kwa jideeeeee
Hahaha Lady jaydee nakupenda My Love 😍😍
Uko vizurii Sanaa dada angu
I'm just passing around, ni December 2024
I like this one.... I remember Manu things with this song.... Ongera kwako lady
Kama umeicheki 2020 twende sawa
2021
What a song ❤
Congratulations to my home town YSC parish!
I really love this song aki🥰
Memories when this song came legendary
Old is gold💥💥💥one of my favorite tbt now
Jaydee you should do a collabo with Nyashinski🇰🇪🇰🇪 you both have great content musically
Daaah Enzi hizo amakweli miaka ina kimbia kwa kasi sana
the song still blow my mind 2022..
Lady Jaydee ur awesome. You've inspired many. Shukran sana dada 🎉
This is music that sells itself, very decent 😘
19-6-2023
Wapili kuview like zenu jamaniiii
Amazing; A new start reflects here: 2023
I really love this gal😃
That nostalgic feeling😊
Tuta wakumbuka daima
Likes za lady jaydee 2024😅😅😊😊😊❤❤
I love Jide!
Wanamuziki wameenda shule wallah
Big up jaydee
Nakubali saana PR jay
Love ua song siz ,God bless u
Professor you kill it 👏
Nampenda jideee
Hakika hii ilikua miziki sio hii ya kipind hiki wanaharibu mziki na maadili sifuri
Am here @November 2021 this song is just relevant to what’s happening now🥺🔥🔥
Hii yote ni sababu ya sababu yaaaah
Any Kenyan ... hearing this in 2023 pita na like
I absolutely love this song.
10/10/2024 sema video haijapsngiliwa vizur kwenye Edit
Wa 2023
Tuonane hapa
Malegend Wetu🙏💪🔥🤝✅😊
Hasira ya corona ...shida za 2020 bye ....headed to 2021 .piga like kama wavuka vyema
An underrated song
Love from kenya🇰🇪🇰🇪
hawo ndowasanii utasema imetoka leo
Bado 🔥🔥🔥🔥
2023 and this song is still touching me❤