MZEE ANAISHI NA MAMBA TANZANIA, ANAONGEA NAE KAMA MTOTO WAKE, ANAMUITA "AJABU"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 дек 2024

Комментарии • 416

  • @BasilLyayuka
    @BasilLyayuka 3 года назад +55

    Akae nae mbali akikua alafu akiwa na njaa na kupoteza uoga na binadamu atamtafuna😊 Mamba hawafugiki kama paka ni kujitahidi kukaa nao mbali maana wakichanganyikiwa ni noma. Wanaoishi nao salama ni mchezo wa kubahatisha.

    • @zakhiamsuya4922
      @zakhiamsuya4922 3 года назад +2

      😀😀 yan akishikwa na njaa iyo siku hana bahati

    • @rahmaabdulla4949
      @rahmaabdulla4949 3 года назад +5

      Nikweli akikua itabidi amuondoe nihatari hata kwa usalama wawatu watao fika apo

    • @BasilLyayuka
      @BasilLyayuka 3 года назад +6

      Ni sawa sawa umwache mwanao wa kiume na Dada wa kazi. Akikua, njaa imshike, kuchanganyikiwa kuachwa na mpenzi wake na ile aibu ikate huyu ni Dada wa kazi lazima aombe mchezo🤣

    • @BBrown_vevo
      @BBrown_vevo 3 года назад +1

      Hatarruclips.net/video/iCkUJ-eJMrs/видео.html

    • @barakaslyem5802
      @barakaslyem5802 3 года назад +1

      Yote yanawezekana huoni imani ya mzee mbona mnaamini musa alipasua bahari alafu hamjaona ila mtu yuko na mamba bado hamuamini ataishi nae hata atakapo kuwa mkubwa hahaha imani yenu iko wapi Wakush.

  • @lucasmogoile7097
    @lucasmogoile7097 3 года назад +15

    nimependa asili bora Sana ya nchi yetu nimetamani siku moja kufika Nyasa nchi yangu💞

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 3 года назад +22

    Iwe sehemu ya utalii.... éee Mwenyezi Mungu tubariki na kutuokoa Watoto wa Tz

  • @ommietrendz7175
    @ommietrendz7175 3 года назад +7

    Nyumbani huko 😁😁😁 ila siongei kama huyu mwamba

  • @lynalyna3968
    @lynalyna3968 3 года назад +33

    Akifuga mzungu jasiri,akifunga mtu mweusi mchawi sjui Majini;wa Africa tutafika mbinguni hoi

    • @BBrown_vevo
      @BBrown_vevo 3 года назад

      😂😂ruclips.net/video/iCkUJ-eJMrs/видео.html

    • @naimaislam552
      @naimaislam552 3 года назад

      Kwa kweli

    • @joycemageta4876
      @joycemageta4876 3 года назад

      Ndo ushangae na ww

    • @mariammariam1812
      @mariammariam1812 3 года назад

      😂😂😂😂

    • @lynalyna3968
      @lynalyna3968 3 года назад

      @@joycemageta4876 tunamawazo mgando sna,hpo angeweka video ya mzungu weee ingeona hzo shobo zao

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 3 года назад +52

    Duuuuuu Dunia tamu hiii haaaa hongera mzeee wangu... Ila unaujasir WA peke yako..... Ila kwa maisha ya sasa aise kheir uishi na mnyama kuliko binaadam WA Sasa 🙌

    • @BBrown_vevo
      @BBrown_vevo 3 года назад

      Duuh ruclips.net/video/iCkUJ-eJMrs/видео.html

    • @priscillakageha1689
      @priscillakageha1689 3 года назад

      Kabisa

    • @ashuraumari1322
      @ashuraumari1322 3 года назад

      Umeongea pwenti kabisa wanyama ndo wakukaa nao😀😀

    • @momosaid6193
      @momosaid6193 2 года назад

      Naam kabsa n kheir uishi na mnyama kulko binadam wallah

    • @joycemkeka3769
      @joycemkeka3769 7 месяцев назад

      Tena amechagua jambo jema mana kwa binadam utakwazika sana

  • @chayogasperi9783
    @chayogasperi9783 3 года назад +24

    Akifanya m
    Mzungu anaambiwa Mzungu ana akili sana anaongea na Mamba , Akifanya Mwafrika /Mtanzania / Mswahili basi mchawi na mshirikina ,
    Hivi sisi ngozi nyeusi tuna matatizo gani ????

    • @chayogasperi9783
      @chayogasperi9783 3 года назад +1

      @@FreeAgent-7Double07
      Naunga mkono hoja , huyo mwandishi alitakiwa amalize mahojiano kwa kuiomba Serikali na wananchi kutuma michango kwa Mzee hapo hli aendelee na anachomifanya .
      Lakini anauliza " Kwahiyo unaoga na mamba ??
      Waandishi makanjanja shida sana .

    • @ephraimkalanje7105
      @ephraimkalanje7105 3 года назад +1

      Amemzoesha! Uzoeshi! Watu wasome saikolojia ya uzoeshi! (Pavlov, Skinner nk). Huyu ni "animal trainer" mzuri. Kwa nini mnamuita mchawi?

    • @chayogasperi9783
      @chayogasperi9783 3 года назад +1

      @@ephraimkalanje7105
      Wataupata wapi muda wa kusoma mambo mbalimbali , wao wanachojua ni ushirikina tu ( mawazo mgando )

    • @ephraimkalanje7105
      @ephraimkalanje7105 3 года назад

      @@chayogasperi9783 Hahahaha! Watakuwa wanamuangalia tu na kumuogopa huku mwenzao anapiga pesa! Watakuwa wanaangamia tu kwa kukosa maarifa! Akili ni mali!

    • @othmanshahib1115
      @othmanshahib1115 3 года назад

      Tatizo letu watu weusi tunapendana kinafiki wivu ndiyo tatizo letu kubwa hatujikubali wenyewe mzungu anatukubali kwa mila zetu na anaamini

  • @othmanbomboma9048
    @othmanbomboma9048 3 года назад +27

    Yani nimeiskiliza hii kitu lakin bado naona chengachenga tu😃😂

  • @edgarnandonde48
    @edgarnandonde48 3 года назад +4

    dah!!! samaki anapewa mamba bongo huyo mmoja 2000 🤔🤔🤔

  • @bigbossmanbossman6946
    @bigbossmanbossman6946 3 года назад +14

    Heaven on earth...sehemu nzuri kushinda hata Florida aisee!

  • @isayakazimoto4826
    @isayakazimoto4826 3 года назад +5

    mzee ongea taratibu basi, unatuchanganya

  • @aboubakarymohamedy
    @aboubakarymohamedy 3 года назад +9

    Kwahyo wamekula mamba wakadanganywa mbufu 😁😁😁

  • @queenlinda255
    @queenlinda255 3 года назад +7

    Hiyo sehemu ni nzuri jamani pazuri mno mno

  • @hancyturukatv5706
    @hancyturukatv5706 3 года назад +18

    Hongera sana Millard ayo kwakuingia mtaani kwetu karibu Tena

  • @isackmhema7392
    @isackmhema7392 3 года назад +6

    Good aidia Mila diayo kazi nzuriiii

  • @Ali-nl2du
    @Ali-nl2du 3 года назад +1

    Hii sehemu nzuri sana. Mzee kapata pepo ya dunia.

  • @edlumala9428
    @edlumala9428 3 года назад +16

    Tanzania nchi nzuri sana! Mungu ibariki

  • @latefalatefa2664
    @latefalatefa2664 3 года назад +8

    Nimeikumbua nyasa yetu jamani panapo majaaliwa mwezi wa 9 mwakani nitakuja nyasa

  • @mrgeorgeisdory5277
    @mrgeorgeisdory5277 3 года назад +11

    Mzee ni mbunifu safiii
    Watu kama hawa waingizwe kwa record

  • @ustawiwetu
    @ustawiwetu 3 года назад +22

    Serikali jengeni kituo cha utalii hapo kwa huyo babu na yy mmjengee sehemu nyumba nzuri,halafu huyu babu ktk hicho kituo awe tour guide wenu. Mtapiga sana hela, wazungu wengi watakuwa wanakuja

  • @captaindunga.5849
    @captaindunga.5849 3 года назад +2

    Huyo mamba yee anasemaje mbona hamjamuhoji?

  • @mwitaagness455
    @mwitaagness455 3 года назад +10

    Ipo siku atamla yy mwenyewe khaaaa

  • @nuuringoogle4104
    @nuuringoogle4104 3 года назад +3

    Hallo hier from germany tumanumber tuwezekusaidia🙏🏽🙏🏽😍

  • @officialbetterboy8130
    @officialbetterboy8130 3 года назад +2

    Uyo mzee mchawi sio bule kabisaa

  • @MeenaHassan-fd9vv
    @MeenaHassan-fd9vv Год назад

    sema huyo mamba kuna siku antamtafuna huyo mzeee

  • @Lovelove-or2ob
    @Lovelove-or2ob 3 года назад +1

    Harmoniz kawa mamba hilo jina sijapenda et rajab😂😂😂😂

  • @yahayaally8301
    @yahayaally8301 3 года назад +1

    Tuombe mungu ao samaki wasiishe akipata njaa uyo mambo mhhhhhj

  • @thomasally6227
    @thomasally6227 3 года назад +14

    Shwali mojatu kwaiyo wewe unaweza kuoga na Mamba😆😆 Dah watt wa Dar wanafkisana😎

  • @habibukilango7738
    @habibukilango7738 3 года назад +1

    Kuna siku atakuja ingia ndani tu 😅😅😅

  • @noortz9416
    @noortz9416 3 года назад

    Hahaa huyu.mtu mzima ..anamengi huyu..sito hivi.hivi...

  • @simulizitanzania2571
    @simulizitanzania2571 3 года назад +4

    Wenye jicho la kibiashara wanatazama uzuri wa hiyo fukwe,na mpangilio wa hayo mawe,mamba ni nyongeza tu....! Fukwe safi kabisaaaa dah

  • @nabosedward4836
    @nabosedward4836 3 года назад +6

    Mamba hanaga urafiki na binadamu asipo kua makini ipo siku atamtafuna

  • @delledembele3261
    @delledembele3261 3 года назад +4

    HAKUNA aliefugwa hapo huyo mamba kinachomleta ni chakula na Wala sio hilo jina kwanza hata halijui

  • @kacherosimba5762
    @kacherosimba5762 3 года назад +2

    Siku huyo mamba wazazi wake waki rudi uta komaaa🤣🤣🤣🤣

  • @tonyelshabbaz
    @tonyelshabbaz 3 года назад +5

    Babu punguza kupetipeti hiyo mamba 😂

  • @mamabdallah203
    @mamabdallah203 3 года назад +6

    Amefanya vizuri Bora kuishi na mamba mtulivu kuliko binadamu msumbufu .

  • @rajabdibwa6415
    @rajabdibwa6415 3 года назад +3

    Sawa na kucheza na bomu!🤣🤣

  • @mligosandrah7851
    @mligosandrah7851 3 года назад +8

    Mtani wangu Ongea polepole mm sikuelewi

  • @sharonyasin7521
    @sharonyasin7521 3 года назад +7

    Mzee kuna maneno anaongea siyaelewi!!

  • @aishaswalehe6848
    @aishaswalehe6848 3 года назад +4

    Nawewe mwandishi unaiga mwenzako anatumia madawa angaikaa unafuga mamba uyo nimchawi heee

  • @mamaalex2318
    @mamaalex2318 3 года назад +4

    Kalib sana nyumban Kwetu kihagara Ujionee vitu vizur usisahau na samaki

  • @abuumaisarah6595
    @abuumaisarah6595 3 года назад +4

    Serikali itilie macho sehemu hii inapaswa kuwa sehem ya utalii

  • @fredericntihabose
    @fredericntihabose 7 месяцев назад

    kama unapenda kazi ya MILLARD AYO bonyeza kwa hii picture yangu unipe like

  • @sabinaonline6575
    @sabinaonline6575 3 года назад +9

    Hizo ni nyara iko siku watamngata hao ni hatari sana ila mzee apewe msaada nyumba yake ilekebishwe vizuri jamani

  • @celinamputacelinamputa3577
    @celinamputacelinamputa3577 3 года назад

    Mh. Ndo nyasa iyo wengine wamewaweka ktk mitungi ndani😂😂

  • @stephanominja8927
    @stephanominja8927 3 года назад +1

    Bwana Nini unasssikitika,, usisikitike bwana.. bwana kwa nini unafanya ivi!! 🤣🤣🤣🤣

  • @melangongo6490
    @melangongo6490 3 года назад +2

    Hmmmmmm 😁😁😁😁😁😁😁uyu mzee niatari sana hana honga uyu mzee Kabila yake ni kama muhemba

  • @bibletv9818
    @bibletv9818 3 года назад +16

    Mara umechoka, umeshikwa usingizi, umelala, mamba kashikwa njaa, kaja kuona kama umemuandalia chochote akakuta hakuna kitu na mara akaamua kuanzisha Chamazi cha upinzani. Kwa mbali unaanza kuota ndoto kama unangatwa, na vile unashtuka unakuta umeishamaliza miguu yote. Vile unapoteza fahamu unaibukia mbele za Mungu kumbe ndio kaishamaliza nyama yote kabakisha kichwa tu.

  • @Spagles
    @Spagles 7 месяцев назад

    IYO MAIKI KAZI INAYO😂😂😂

  • @allpotentials8420
    @allpotentials8420 3 года назад +1

    Mmh hizi nd zinazotumwaga kuua watu🙄🙄

  • @zenamshana6852
    @zenamshana6852 3 года назад +1

    Nimeikuta FB,,,ikanibidi nurud kuisachi huku ili niiangalie vzr

  • @gwaltuhappy4983
    @gwaltuhappy4983 3 года назад

    Napenda anavyoongea😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @ibrahimabdullah1887
    @ibrahimabdullah1887 3 года назад +1

    Babu fuga tu ukilwa mm siji mazikoni nitaskia kwa hiikooooo rip

  • @erickngatunga2359
    @erickngatunga2359 3 года назад +3

    NICE TO SEE nyasa nyumbani.

  • @josephmadukashambalawokovu642
    @josephmadukashambalawokovu642 3 года назад +5

    Mzee hauko salama ,kwa namba ,Tena usimuzoee vibaya, usifanye urafiki na mamba atakutafuna wakati wowote

  • @athmanchonanga581
    @athmanchonanga581 3 года назад +1

    Jmn Mm mpk Naogop Uyu Babu Ipo siku Uyo mamba atakua atar kwakeee

  • @ustawiwetu
    @ustawiwetu 3 года назад +1

    Babu maneno mengine kama hayaeleweki

  • @dr.respiciusdamianshumbush9892
    @dr.respiciusdamianshumbush9892 2 года назад

    Kuna siku huyo mzee atageuzwa supu tu. Mamba siyo mjusi bwana

  • @dayana5513story
    @dayana5513story 3 года назад +1

    Yuko single anioe,jamani tusaidiane kumtunza ajabu

  • @simonnembomadola7512
    @simonnembomadola7512 3 года назад +2

    Nyama ya mamba inauzwa bei kali sana nje ya nchi hasa Uturuki.

  • @ibrahimnadir4490
    @ibrahimnadir4490 3 года назад +1

    Uyu mzee Muongo si kweli kukoga na mamba we akoge nae aone

  • @allymachejo2996
    @allymachejo2996 3 года назад +1

    Aaaah yan ndo mnajua leo alikuwepo mwingne uku anaitw Fatuma.

  • @mascutmascut1973
    @mascutmascut1973 3 года назад

    Mzee amechoka kuishi kwa kweli unafuga kuku na bata halafu unafuga mamba🤣🤣

  • @aidahtimothy9052
    @aidahtimothy9052 3 года назад +1

    Mmmmh atakuja kumla yy mwenyewe huyu mamba coz kadir anavokuwa antakuwa na njaa sana

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 3 года назад +7

    hatima yake atamla mwenyewe kiajabu kabisa

  • @corbinianijoseph7337
    @corbinianijoseph7337 Год назад

    nashukul kuona taalifa hii kwetu sasa kumekucha kalibu Liuli mapolomoko ndiyo hom

  • @ramsikhamis7083
    @ramsikhamis7083 3 года назад +3

    Uyuu Mzee muhongo saanaa hiii video naangalia mala mbilii ya blog tofautii,,,walianza wale wa Songea walienda uko wakamuhoji akasema uyo mamba kachoka ndo maana akimwita aji ndo ivyoo Hana lolotee apoo

  • @edwardkawogo6698
    @edwardkawogo6698 3 года назад

    Mh hapo kunamatambiko ya wazee ya zaman yalihusika cyo bure

  • @eddadaniel9355
    @eddadaniel9355 3 года назад +1

    Waze e wali fun ga kusiwe na vita nakuwafunfunga mamba wasilewatu

  • @samcalvintv2670
    @samcalvintv2670 3 года назад

    Kazi nzuri mzee, duuuh

  • @salekhvidal8346
    @salekhvidal8346 3 года назад +1

    Aaah ao wanyama hawaaminik aangalie tu

  • @athanasmasmami5389
    @athanasmasmami5389 Год назад

    Shkamo we mzee😂

  • @winterkasela9033
    @winterkasela9033 3 года назад +5

    Huyu mzee anaongea kama mchekeshaji cha uroho

  • @frankjackson1804
    @frankjackson1804 3 года назад

    Paschal mwakyoma nakuelewa sana bro

  • @calisteladislaus8319
    @calisteladislaus8319 11 месяцев назад

    Wazee wenzake wanaliwa na Namba yeye anaishi naye

  • @zainabumohammed451
    @zainabumohammed451 3 года назад

    Izo njia khaaa kuna jamaa apo baada ya kutokaa kajinyoosha kiuno 😂

  • @carloslevina1610
    @carloslevina1610 3 года назад

    Hahahahahaha mamba na binadamu

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 4 месяца назад

    We mchawi tuu, na huyo siyo mamba.

  • @siriyangu4724
    @siriyangu4724 3 года назад +4

    Mma samia kazi yko iyo ssa uchumi ungezeke kwenye utalii apo mzee awekewe mazigira mazury

  • @patrickparty2812
    @patrickparty2812 3 года назад +2

    Nyasa yetuu hyoooooo 💥

  • @happynelson1136
    @happynelson1136 3 года назад

    Huyo mamba asije tu akamgeuka rafiki yake siku moja akamuona kitoweo

  • @waukweelinikkon6555
    @waukweelinikkon6555 3 года назад

    Aisee tanzania inapendeza sana,hiyo mandhali yake utasema siyo tanzania ni majuu

  • @simonjustin5921
    @simonjustin5921 3 года назад

    Dah millad ayo ni hatar umegika Hadi huko kiagala ni kijijin sna nliwai kufika huko mwaka 2008

  • @ibraton4071
    @ibraton4071 3 года назад +4

    hyu mzee analalamika sana sasa MAMBA anamueka wa nini maana amekua mkubwa haez kula visamaki...serikali wamchukue wamuamishe atakuja kumla mwenyewe hyo mzee

  • @issaibrahim8796
    @issaibrahim8796 3 года назад +1

    Anapata faida gani kupitia huo ufugaji wake wa mamba?
    Kwsbb kula chakula chenye thamani ya 5,000 kwa mara moja duh! Nichangamoto hiyo kiuchumi.

  • @jacklinendimbo4529
    @jacklinendimbo4529 3 года назад +6

    Hapo kweny mbufu mnikumbusha mbali sanaaaaa ukimpata mbuf mshemshoo Walah nmemis my homeland nyasa🌹

    • @rajabdibwa6415
      @rajabdibwa6415 3 года назад

      Sema jamaa wameshalishwa mamba🤣🤣

  • @swahiliicttutorials5568
    @swahiliicttutorials5568 3 года назад +1

    we ngoja kwanza hao mbamba siku wazimu uwapande uone mtu anavyokwenda akhera bila kaburi

  • @hieljoe1017
    @hieljoe1017 3 года назад

    Sema ukimchokoza anatumwa mamba kukushughulikia..

  • @africanrenaissance5298
    @africanrenaissance5298 3 года назад +2

    Nimeshangaa Kwa kweli . Maajabu haya. Love kutoka jirani 🇰🇪🇰🇪. Halafu naomba nimpate msichana kutoka 🇹🇿🇹🇿.

  • @gradnessshitindishitindi4881
    @gradnessshitindishitindi4881 3 года назад

    Weeeeee msitudanganye! Watu wa eneo hilo n wachawi atal! We jarbu kusogelea huyo mamba uone kama we n wa kawaida kawaida tu

  • @mathsnewdiscoveries
    @mathsnewdiscoveries 3 года назад

    Hi, Millard Ayo?

  • @lewismpangala927
    @lewismpangala927 3 года назад

    Kuzuri Sana kwetu

  • @sharmelasaif47
    @sharmelasaif47 3 года назад

    .mmmmm babu kauwaa mamba najina juu haaaaa

  • @BabaDmD
    @BabaDmD 3 года назад

    Mmekula mamba Dadeki 😅

  • @sakinaamani1486
    @sakinaamani1486 3 года назад

    Duh kka pasko huogopi

  • @geeva99
    @geeva99 3 года назад

    Hiki mbona kama kitovu cha utalii, yani mamba wanaogelea na wananchi bila noma!!

  • @emanuelkilangilo5585
    @emanuelkilangilo5585 11 месяцев назад

    Ila mbona sijaona hakimshika kama kwel kamzoea. Yee aseme Tu ana uwezo wa kumfuga ila asituongopee kamzoa

    • @emanuelkilangilo5585
      @emanuelkilangilo5585 11 месяцев назад

      ruclips.net/video/wjqwORXraXI/видео.htmlsi=iacFvD2RYlvvk2lW

    • @emanuelkilangilo5585
      @emanuelkilangilo5585 11 месяцев назад

      Tatizo la wabongo Sisi waongo sana nimetuma link hiyo itazamen. Hakisema tumchangie sawa lakini sio kamzoea au anamuelewa heti anamuita rajabu aingie aoge nae

  • @mwajumahussein7132
    @mwajumahussein7132 3 года назад +2

    Mwache ajione shujaa hipo siku atammemena.

  • @kisalaTV
    @kisalaTV 3 года назад +8

    Sehem nzuri sana

  • @najuf8021
    @najuf8021 3 года назад

    Hii nimichezo hatar huyo ajabu ataleta ajabu siku moja kwa kumla yeye