MTOTO WA MIAKA 6 AUAWA KIKATILI DODOMA, MJOMBA ASIMULIA KILICHOTOKEA "ALIPIGWA NA KITU KIZITO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 дек 2024

Комментарии • 222

  • @nuruosward8161
    @nuruosward8161 18 часов назад +47

    Malaika alikuwa handsome Eeeh Mungu mwangazie nuru yako baba

  • @RoseMichael-oz7cy
    @RoseMichael-oz7cy 9 часов назад +8

    Huyu ni mbingun moja kwa moja hana kipingamiz na sasa tayar amekaa mkono wa kuume wa Mungu...

  • @Yasssin-zp6im
    @Yasssin-zp6im 19 часов назад +47

    Kwanza ni Christmas siku ya furaha unaendaje matembezi kufuhaia sikukuu halafu unamuacha mwanao unaenda kufurahi na nani ambae ni bora kuliko mwanao

  • @davidkehogo3230
    @davidkehogo3230 10 часов назад +12

    Mtoto anahitaji Uangalizi mkubwa Sana

  • @neemaisrael688
    @neemaisrael688 19 часов назад +26

    Kapumzike mjukuu .Dunia hii binadamu wameiharibu. Nenda huna baya.

    • @stephenmwaniki2803
      @stephenmwaniki2803 3 часа назад +1

      Dah kweli kabisa sisi wazazi tunafanya mambo yetu ya kishetani alafu tunaingiza watoto mahala pambaya.

    • @verdianabanabi2205
      @verdianabanabi2205 3 часа назад +1

      Mtoto kumwachia mtu siyo kosa ila aliyemdhuru na yeye ahukumiwe kifo.

    • @stephenmwaniki2803
      @stephenmwaniki2803 22 минуты назад

      @@verdianabanabi2205 lakini hapo Kuna kizungumkuti

  • @PaulinaSemindu-ob3de
    @PaulinaSemindu-ob3de 18 часов назад +18

    Mtoto amekufa kwa maumivu makali mno jmn eeh Mungu wangu najua baba unaweza naomba uwahukum hao watu jmn ohhh Mungu wangu 😭😭🙏 pumzika kwa aman mwanangu 🙏

  • @LadyyJemsii
    @LadyyJemsii 19 часов назад +16

    Duhh watu wakatili sana mwenyez mungu awalaani😢

  • @halimamfaume1925
    @halimamfaume1925 7 часов назад +4

    Innalillah waina ilayhi rajiun 😢 poleni sana wafiwa 😢 mtoto mdogo maskini amekufa kwa maumivu makali sana 😢 Mungu atamlipia

  • @cristinamushi4606
    @cristinamushi4606 15 часов назад +3

    Poleni sana wanafamilia, huyu malaika hakuwa na kosa kabisa. Watu muwe na hofu ya Mungu, majibu ni hapa hapa Dunia.

  • @JulesDior-zl6rq
    @JulesDior-zl6rq 50 минут назад +1

    Daaah i am so sad 😭😢😭

  • @sergebaleke695
    @sergebaleke695 17 часов назад +8

    Nashangaa kweli una muuwa mutoto wa miaka 6 sasa umepata nini...

  • @EdinaEdison-b7s
    @EdinaEdison-b7s 5 часов назад +1

    Pole sana mama was mtoo mungu akutie nguvu walio usika mungu.atawaukumu

  • @HafsaShekigenda
    @HafsaShekigenda 6 часов назад +6

    Huyu dada mwenyew mtoto anajua kinacho endelea utamuachaje mtoto uende kustarehe kama sinyama nachao wauwaki amemtoa sadaka ili apate utajiri mjinga mkubwa wewe ungekuwa karibu yangu ningekupiga konzi😢😢😢

    • @vanessalaizer4363
      @vanessalaizer4363 2 часа назад

      Acha mawazo ya kishirikina wewe na ya kizamani wewe Mpuuzi mmoja

    • @normanleslie4248
      @normanleslie4248 2 часа назад

      Acha mawazo ya kumaskini

    • @pendochimammy5013
      @pendochimammy5013 2 часа назад

      Huyu mama ni mshenzi sana utachaje mtoto saaii dunia imekua mbaya ww unacha mtoto unaenda kustarehe ngombe kabisa

  • @patriciacarlo7236
    @patriciacarlo7236 18 часов назад +25

    💔💔💔ukishaona huna kibali cha kuwa mama,usizae jamani,to be a mom its a favor,sio kila mtu anaweza kuwa mama😢 rest in peace baby boy ❤❤❤🙏

    • @catherinemangosongo544
      @catherinemangosongo544 6 часов назад +9

      Kama asingekua na kibali mtoto angefika hadi miaka sita? Mama yako hajawahi kukuacha kwa majirani zake changamoto ikitokea tupeane pole na sio kulaumiana

    • @GiftAbduly
      @GiftAbduly 4 часа назад

      N kweli sikupingi lakn ila kuna ving vya kujiuliza ​@@catherinemangosongo544

    • @HappynessJohn-q3c
      @HappynessJohn-q3c 4 часа назад

      Sasa ake anakosa Gani apo mama kumuacha mtoto kwaajili ya mahangaiko ya kila siku ni kawaida sana itakuwa ww huna mtoto ndio maana unasema ivyo usamehewe Bure tu ujui unachokiongea

    • @GiftAbduly
      @GiftAbduly 4 часа назад

      @@HappynessJohn-q3c alitoka na mpenz wake hamisi kwenda kuenjoy na karudi asubuh

    • @HappynessJohn-q3c
      @HappynessJohn-q3c 3 часа назад +2

      @@GiftAbduly sawa alitoka na mpenz wake je mtoto alimuacha na nani? Nikwambie kitu Kwa mdada au mwanamke anaelewa mtoto peke ake awezi shangaa uyo Jojo kumuacha mtoto na mtu mwengine ua inatokea sana tu si jambo la ajabu alafu tusijifanye wepesi kuhukumu wakati Hali alisi ya maisha yetu tunayajua

  • @edwinalexander1170
    @edwinalexander1170 15 часов назад +6

    Inaumiza sana sasa mtoto mdogo amewakosea nini? Watu wamekuwa wanyama sana. Poleni sana wanafamilia. Mungu awafariji sana.

  • @NemaAli-zh6hr
    @NemaAli-zh6hr 16 часов назад +9

    Pole jojo.... lkn ulishindwa kumlinda mtoto wko! Ulishindwa kusimama kam mama, ona sasa uliwekeza mbele starehe kuliko mtoto wako!

    • @kakaaignas3675
      @kakaaignas3675 15 часов назад

      Bahat mbaya

    • @FatmaLyego
      @FatmaLyego 14 часов назад +1

      Siku ikifika bhana ni mtihani sana tumwachie Mungu

    • @JasminMuhq
      @JasminMuhq 12 часов назад

      Ila walokole wasenge sana

    • @magrethjames5950
      @magrethjames5950 8 часов назад +1

      Usiongee sana hayajakukutaa 😢

    • @khamisally9559
      @khamisally9559 4 часа назад

      Starehe na umalaya huwa vina madhara makubwa sana zikifanyika bila kiwango. Mambo ya kafara na ugomvi wa kimapenzi huo.

  • @germanajeremia8744
    @germanajeremia8744 2 часа назад +1

    Malaika wa zamu mliopo humu....punguzeni kukaa kwenye meza ya hukumu😢😢....Rest easy little Angel🕊🕊 watch over yur mumy from up there....unajua ye mwenyewe asingependa yakukute hayo na ingewezekana basi angekaa yeye kwenye nafasi yako....!.

  • @totonata5384
    @totonata5384 18 часов назад +6

    Wangemshika kwanza mama na bwana wake. Atueleze alimwachiaje mtu ambaya si ndugu wala Baba wa mtoto mtoto? Pili kwanini asimwache nyumbani kwake? Kwanini iwe kwa hawara yake? Mama anajua watoto wanavyo dhalilishwa kwanini asitafute dada wakazi tena nyumbani kwake? Ina maana hana msaidizi wa nyumbani? Yaaani maswali ni mengi mno. Ila mama wa mtoto alitakiwa awe mahabusu si nje

  • @RenathaKalamage
    @RenathaKalamage 2 часа назад +1

    Ni aibu mama kulia wakati ulimwacha mtoto mida mibaya sana tena na boda boda wazazi sisi ndo walinzi wa pili wa watoto wetu akitoka mwenyezi MUNGU

  • @shukurusyriack3504
    @shukurusyriack3504 57 минут назад

    Poleni sana wanafamilia ,najua ni kipindi kigumu sana kwenu,ila Mungu awape kauli thabiti akawe faraja kwenuu

  • @elinurukitomali6008
    @elinurukitomali6008 3 часа назад +1

    Katoto kazuri hataree. ..km kunamtu kahucka bac Mungu amlipe mapema mno...

  • @johnmponguliana2331
    @johnmponguliana2331 13 часов назад +5

    Ninachokiwaza mimi katika tukio hili.
    1.Mama aliwezaje kumuacha mtoto kwenye nyumba ya mtu wake akiwa na muangalizi wakiume asiyemfahamu usiku wa manane.
    2.Je huyo aliyeachiwa mtoto alikua na mahusiano gani na hao watu waliomuachia mtoto.
    3.Huwenda huyo aliyeachiwa mtoto aliua bila kukusudia pengine alikua akimuadhibu mtoto kwa hasira kali maana sidhani kama kuna mtu mwenye akili timamu anaweza mshambulia mtoto asiye na madhara kwake kwa kiasi hiko.
    4.Katika msiba kwann baba mzazi wa mtoto hakuwepo ama kutajwa huwenda ikawa ni suala la mahusiano maana kama walisema walimuacha na muangalizi mmoja je huyu wapili ni nani na ametoka wapi?

    • @2116-n
      @2116-n 10 часов назад

      Umewaza km Mimi, hiki kizazi chakulelewa chips yai, hawana miili imara, unakagusa kidogo kanakufia

  • @saidhamza5318
    @saidhamza5318 19 часов назад +10

    Hivi unamuuaje kikatili namna hii mtoto ambae hawez hata kujitetea..yeyote atakaethibika amehusika kudhulumu uhai wa hy malaika ANYONGWE BAADA YA KUCHOMWA KWENYE JIKO LA MKAA KM NDAFU SHENZ SANA .RIP GREY.

  • @Zawadiomar-t8u
    @Zawadiomar-t8u 6 часов назад

    Mungu ailaze roho ya mtoto huyu mahali pema Peponi. Mungu yupo atamlipia huyu mtoto mdogo malaika wake hakika inauma sana.

  • @AngelCharles-s2t
    @AngelCharles-s2t Час назад

    Huyu mama wa mtoto anaraana sitaki kuendelea kuangalia kitu hiki mana kinaniumiza sana kama hukuwa tayar kuitwa mama ungetoa bas ikajulikana mshenz sana wewe mungu akuraan kwanza Halaf afatie wauwaj

  • @LizzyJuma-w3u
    @LizzyJuma-w3u 7 часов назад +1

    Pole jojo Mungu akutie nguvu

  • @JokhaJokhaabla
    @JokhaJokhaabla 9 часов назад +6

    Poleni sana kwa msiba .ni mtihani mzito naamini yatajulikana tu mtoto hana hatia inaumiza wallah dah 😢😢

  • @Elizabethshaloom
    @Elizabethshaloom 3 часа назад

    Dah. Dunian tunapita2 mungu ampokee apumzke Kwa Aman. Amenaa!

  • @shakilaAqram
    @shakilaAqram 18 часов назад +11

    Wamama wamama unaenda matembezi unaacha mwanao KWA rafiki yako usiku mzima😭😭

  • @Legends_Interviews
    @Legends_Interviews 17 часов назад +2

    Wazazi tuwe makini na watu tunaowaachia watoto wengine sio binaadamu💔

  • @BarakaMashauri-r4n
    @BarakaMashauri-r4n 19 часов назад +5

    Duuh atakama walikua na kisasi mtoto akua na kosa

  • @xxxl-jf2ji
    @xxxl-jf2ji 19 часов назад +15

    Akibanwa vizuri mama ake atasems ukweli

    • @Aman-lr7xx
      @Aman-lr7xx 18 часов назад +2

      Muhusika ni mamamtu

    • @AngelaNikson
      @AngelaNikson 17 часов назад +2

      Kweli ili aliwezekani mtu afe siku moja kwenyemazingira ya kutatanisha siku ya pili azikwe bila ata uchunguzi apna apa kuna namna

  • @MageopundoEzekiel
    @MageopundoEzekiel 14 часов назад +1

    Watu wamekuwa wakatili jamani mtoto wa miaka 6 kweli😢😢

  • @GeorgeJusto-y4v
    @GeorgeJusto-y4v 18 часов назад +3

    Kwanini asikae na mtoto nyumbani huyu mama anajua kilakitu

  • @RenathaKalamage
    @RenathaKalamage 2 часа назад

    Alhamdulillah kwa kila jambo Mungu ameruhusu limtokee asingetaka hakuna kibaya ambacho kingemkuta

  • @GeorgeJusto-y4v
    @GeorgeJusto-y4v 18 часов назад +1

    Hinauzunisha sana kweli hivi mama unamuachaje mtoto unaenda kutembea huyo mama akamatwe pumbavu Kabisa

  • @abedamohamed2766
    @abedamohamed2766 5 часов назад

    Mmmmmh sio kwa unyama huo.... M'Mungu ampe pumziko la milele malaika , pole kwa wazazi

  • @mariamramadhani8012
    @mariamramadhani8012 11 часов назад +1

    Ulieua huyu mtoto😭😭Mungu atakufichua tuu popote ulipo

  • @DENNISRAFAELKAPELLA
    @DENNISRAFAELKAPELLA Час назад

    Jamani binaadamu asaivi tumebadirika tusiamini mtu na kumuachia mtoto wako hata kama unaenda kwenye starehe Bora uende nae khaa mungu awaadhibu vikali hao waliofanya Hilo tukio

  • @storytownTv
    @storytownTv 18 часов назад +3

    Bas mama wa watu n anajuta kwann asingeenda kula sikukuu na mwanae..Dah..😢

  • @magrethjames5950
    @magrethjames5950 8 часов назад +1

    Kuna kitu kipo nyuma ya hii trust me uyo boda kauziwa tu kesi

  • @SalmaMaeda
    @SalmaMaeda 4 часа назад

    Daaah poleni sana mungu awatie nguvu

  • @Haleema-dg5bo
    @Haleema-dg5bo 19 часов назад +8

    😢😢😢😢😢😢😢😢 lala salama mtoto mdogo duuuuh

  • @greenwellnsyukwe4729
    @greenwellnsyukwe4729 7 минут назад

    Km asingekua tayari kuishi na Mtoto angempeleka Kwa Bibi yake, Mbona Mashangazi wengi wamepeleka watoto Kwa Babu zao wao wanaliwa na Dunia.

  • @waridimaliki
    @waridimaliki 4 часа назад

    Daah mtu anauliwa kwa kipigo kama mwizi kweli😢🙆🏽‍♂

  • @punchlinetz
    @punchlinetz 14 часов назад +1

    Hivi watu wazima bado mnatembea siku za sikukuu!!?
    Nawauliza watu wazima wenye majukumu ya kifamilia kama huyo mama wa marehem.

  • @samsonkusupa6809
    @samsonkusupa6809 8 часов назад

    Polen sana Dr mungu awasimamie kipind hiki kigumu

  • @KhadijamussaMachapat
    @KhadijamussaMachapat 43 минуты назад

    Au mtoto alikuwa na utata wa Baba au huyo Bint alikuwa ameolewa maana wanaume nao wa hovyo anaweza akawa alikataa mimba anakuja kushangaa kuona Mtoto kashakua mtoto mzuri akaona afanye ukatili akifaham huyo mtoto kashapata Baba mwingine ila jamani pole sana kwa kufiwa na mtoto Vijana wanaokata mimba wasije wakafanya ukatili wa kuuwa viumbe kama emkataa uliempa ujauzito basi muache tu kiusalama atalea mwenyewe,

  • @GiftAbduly
    @GiftAbduly 4 часа назад +1

    Mm nina mashaka na huyo boda kama mtoto ana majeraha tunaomba wapime finger print na kwann mtoto aachwe kwake af yy akakae nje ndan alimuacha mtoto na nanani? Huyu boda akibanwa atasema vizur

  • @RachelJulius-fh9nl
    @RachelJulius-fh9nl 8 часов назад

    Dah aseee😢😢Sasa mtoto kawakosea nn jmn😢😢😢

  • @mwakwelisaid3152
    @mwakwelisaid3152 16 часов назад +2

    Kulingana na uchunguzi wangu mm naona mama ndio muhusika mkubwa 97%

    • @RubenKasomo
      @RubenKasomo 3 часа назад

      taarifa yako ichunguzwe..

  • @pendochimammy5013
    @pendochimammy5013 2 часа назад

    Huyu mama ni mkumbavu utaachaje mtoto mdogo uende ukazembee na wanaume huwezi chukua mtoto umpelekee kw a nyanyake jinga sana huyo mamake

  • @sarahmwakilasa7425
    @sarahmwakilasa7425 9 минут назад

    😢😢mungu wahukumu wote walio husika na ukatili huu

  • @greenwellnsyukwe4729
    @greenwellnsyukwe4729 10 минут назад

    Mtoto unamwacha ww unaenda kula Maisha mweeeeee, maumivu jamaniiii.

  • @gsemschool6642
    @gsemschool6642 4 часа назад +1

    Mtoto wa watu kawakosea nini jamani daa

  • @beatricejohn1659
    @beatricejohn1659 12 часов назад +1

    Dah😭💔 binadamu wakatili kuliko wanyama.Damu yako haita waacha salama.R.i.p

  • @HellenLema-j3y
    @HellenLema-j3y 17 часов назад +1

    Yani jamani mtoto mdogo hivyo unaua kweli hivi kakosa nini tuwe nahuruma

  • @epafrapaulo7137
    @epafrapaulo7137 3 часа назад

    Huyu mwanamke akipigwa vizuri atatuambia kitu

  • @SalamaJohn-h9f
    @SalamaJohn-h9f 2 часа назад

    Poleni kwa kweli inasikitisha

  • @Chillah19
    @Chillah19 4 часа назад

    Unaenda kufanya umalaya unamuacha mtoto we mwanamke ulaaniwe mbwa wewe na alie muua mtoto ikibidi anyongwe kabisa maana niukatili mkubwa sana😢😢

  • @Chillah19
    @Chillah19 4 часа назад

    Kama bado ujataka kuwa mama kwanini uzae imeniuma sana maana mtoto anaitaji uwangalizi mkubwa sana tena zaidi ya sana

  • @greenwellnsyukwe4729
    @greenwellnsyukwe4729 2 минуты назад

    Ngoja vyombo vya Dora vifanye kz Yao, lakini Nawaambia km ya hao yupo mmoja wao.

  • @AminaKuziwa
    @AminaKuziwa 7 часов назад

    Poleni Sanaa jamani, lakini wakati mwengine hizi Mali tunazitafuta kwa staili nyingi ikiwemo makafara

  • @edinachami4318
    @edinachami4318 Час назад

    Matembezini ndo wapi jmani RIP baby boy😭😭

  • @CelinTonny
    @CelinTonny 18 часов назад +6

    Mtu yeyote anayemdhuri mtoto hafai kuishi kabisa

  • @SwaleheAdamu-rg8hl
    @SwaleheAdamu-rg8hl 16 часов назад

    Mungu ailze roho ya marehemu mahali pema amiin

  • @kazkaz1943
    @kazkaz1943 5 часов назад

    Baada ya kuona picha ya chief godlove na huyu mtoto nimehc vibaya usikute mama anatafuta utajiri maana mambo hayaelewek kwel ukamuache mtoto kwa boda 😢😢 huu utajiri unakuja na mengi mama mtu achapwe viboko mpk aseme huyo chief god na yeye wana njama gani

  • @halamascat2816
    @halamascat2816 14 часов назад

    Mtoto. Mdogo. Jaman ntanzaniya. Hatari. Sana😢😢😢

  • @ZechuChuma
    @ZechuChuma 16 часов назад

    Inauma sana ila Mungu atajibu two😢😢😢😢

  • @SwidePetermatemu
    @SwidePetermatemu 6 минут назад

    Poleni sana

  • @massawenusrat-nk2gw
    @massawenusrat-nk2gw 4 часа назад

    Mimi nitamlaum mam yake tu sina mwingine wa kumlaumu kwa kwel 😢😢

  • @elinurukitomali6008
    @elinurukitomali6008 3 часа назад

    Duh!! Huyo huyo mama aojiwe vzuri. Hivi kweli starehe na mtoto kipi muhimu mijutu inazaa cjui hawanaga uchungu. Miaka 6 inamuhacha mtoto ww ulienda kwenye starehe kweli..kuna starehe nzuri km kukaa cku nzima na mwanao...wapo wanaotamani kua na mtoto km hy wanakosa. Unaenda unarudi asubuhi ..uwiiii...hiyo starehe umepata huko nini Cha maana.

  • @amateuranalyst9863
    @amateuranalyst9863 2 часа назад

    Ukishakua na familia au kuwa mzazi…achana na mambo yanafanywanna watu wasio wazazi…mwanao ndo mboni ya jicho lako

  • @MaryFlorence-t3m
    @MaryFlorence-t3m 19 часов назад +2

    Kwhy sikukuu na mwanao ipi bora

  • @RukiaShomary
    @RukiaShomary 8 часов назад +1

    Malaika hana makosa ukatili wa kias gani duuh poleni Sana

  • @TitoMwenda-z3v
    @TitoMwenda-z3v 28 минут назад

    Samahan chunguzen Kwa umakin sababu uyo mtto ni mdogo arafu anaugomvi na mtu yoyote

  • @AtifaIslam-t6g
    @AtifaIslam-t6g 15 часов назад

    Jina zenab na mtoto ame,ikwa kikristo nisameni nimeuliza

  • @salimharrasy7047
    @salimharrasy7047 18 часов назад +7

    Poleni wafiwa.
    Tujitahidi kuwa karibu na wapendwa wetu. Hasa watoto wadogo ambao wanahitaji ulinzi na malezi mazuri.
    NASAHA zangu ukiwa umekwazwa na mtu utilities kisasi kwa watoto.
    Uncle wangu lala pema peponi.
    Naumia huku nikiwa na hisia kama ni mwanangu wa kumzaa.
    Rest in piece handsome kid.

  • @NeemaLangu
    @NeemaLangu 4 часа назад

    Mwenyezi mungu amlaani maana mtoto Hana atia yoyote jamani?

  • @naigeorge7765
    @naigeorge7765 18 часов назад +1

    Inakera sana jaman.Wadada wa mjini unaacha watoto kisa tamaa za mwili

  • @NeshyGamaly
    @NeshyGamaly 2 часа назад

    Ukute alikuwa na mahusiano na mama wa mtoto..akaona wivu kwanini Jojo atoke na mpenzi wake

  • @AsiaAsia-sv6ok
    @AsiaAsia-sv6ok 30 минут назад

    SubhanAllah 😭

  • @RaphaLusse
    @RaphaLusse 17 часов назад

    Mama alienda kula Bata, na usikute huyo mwenza ni mchepuko jmn n tukio zito ila wanawake mmmhhhh Mungu awasaidie maana hamjui mlitendalo

  • @tumainiellyimo4657
    @tumainiellyimo4657 16 часов назад +1

    Inauma sana aisee dah!

  • @rukaya-jg7hj
    @rukaya-jg7hj 5 часов назад

    Huyo mama wa mtoto usikute sio mara ya kwanza kumuacha mtoto na wahuni wahuni waliona kuachiwa mtoto kila siku ni kero ni .(maoni tu nimeandika.

  • @farhannahkulishwaburekunam5360
    @farhannahkulishwaburekunam5360 18 часов назад +2

    Kumbe unaye mjomba kwa nini hukumeachia mjomba wake kweli unamwachia boda boda

    • @totonata5384
      @totonata5384 18 часов назад +1

      Swali la msingi kabisa. Bodaboda labda kababimbikiziwa. Ukweli utajulikana tu

  • @AshuraMustafa-v7b
    @AshuraMustafa-v7b 5 часов назад

    Duh poleni ila tuchkueni funzo unaenda kuenjoy skukuu mwanao unamuacha na mtu mbona wazazi wengine wanaenda na watoto wao

  • @AllyKija
    @AllyKija 4 часа назад

    Huyo dadako ni mpumbavu sana yani unachaje mtt kwa jilani halafu unaenda matembezinj ana akili kweli huyo dadako

  • @anchillafabian
    @anchillafabian 18 часов назад +1

    Hapo alipomuacha mama yake wabanwe jambo linauma sana

  • @CyprianTraiphon
    @CyprianTraiphon 17 часов назад +1

    Huyu sister atawaambia nn ukoo...

  • @fatmakhanii1676
    @fatmakhanii1676 11 часов назад

    Sasa huyu mama kamiachaje mwanae na kwenda kufurahi na wengine 😢😢😢😢Mungu awalani kila aliehusika na ushenzi huo

  • @hildawambua1687
    @hildawambua1687 17 часов назад +3

    Yawezekana huyo mtoto alibakwa kisha kauliwa kinyama. Kwa nini mama mtoto kuacha mtoto na kijana hata sio wa familia. Wanawake wajinga sana

    • @linahtairo1859
      @linahtairo1859 17 часов назад

      Umewaza kma mimi inackitisha sana tena dunia ilivyo mbaya unamuacha mtoto na bodaboda ucku kweli jmn?

    • @Deloveally-o8g
      @Deloveally-o8g 16 часов назад

      Daah roho imeniuma xana kama mzazi mtt ana atia yyt jaman lkn kauwawa kikatili iv dah alie Fanya iv mungu amrahan daah inauma xana 😢😢 pumzika kwa amani mtt una zambi

    • @AminaAhmed999
      @AminaAhmed999 16 часов назад

      Nimewaza hivo hivo

  • @kaaakwakutuliaa5179
    @kaaakwakutuliaa5179 3 часа назад

    connection ya kafara ngoja uone pesa zitakavyo mwagikaaaa

  • @abdillahiabdallah438
    @abdillahiabdallah438 6 часов назад

    Pole sana na ulitoka usiku ulifuata utam wa mb....?

  • @EtiminSadallah
    @EtiminSadallah 3 часа назад

    Mama wa mtoto analijuwa vizuli hilo tukio

  • @NeemaJoseph-qt9nz
    @NeemaJoseph-qt9nz 5 часов назад

    Sio kila lafiki yako nimzuli wako watu wanatisha jaman na usione mtu anakuchekea uson
    .ukajua nimtu wako hujui ndan ya moyo wake juu yako daa huyo alie achiwa mtoto achunguzwe kwa kina sana

  • @DolicasHussein
    @DolicasHussein 17 часов назад

    Iv uyo mama anajielewa kweli unaondoka na mwanaume unamuacha mtoto pekeyake alaf mama unatoka na mwenzawako je uyo ni baba Wa mtoto au uyo mama alitoka na mwenza gani mwngine iv inakupa kabisa unamuacha mtoto pekeyake Wakwanza kukamatwa ni hao wazazi wote wawili tena uyo mama alie kabisa mtoto ili kwenda kuponda raha na uyo mwenzie

  • @AbiaWilliam-s1s
    @AbiaWilliam-s1s 6 часов назад

    Uyo mtoto anaonekana alikuwa na nyotq sana ndo maana

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m 4 часа назад

    Pumzika kwa amani 😢😢

  • @luganojohn2673
    @luganojohn2673 15 часов назад

    funzo hili unamuachiaje mtoto wako kwa rafiki umeamua kuwa mzazi lea mtoto wako mwanzo mwsho so sad 😭