WALIOKAMATWA KWA KULA MCHANA ZANZIBAR, KAMANDA ATOA UFAFANUZI "HATUNA MAMLAKA HIYO KISHERIA"
HTML-код
- Опубликовано: 3 дек 2024
- SAKATA la KUKAMATA WANAOKULA MCHANA ZANZIBAR, KAMANDA AELEZA "HATUNA MAMLAKA HAYO KISHERIA"
/ @wasafi_media
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm - Развлечения
Ahsante kamanda umetutoa wasiwasi sisi wa watanzania wapenda aman
Na uyo kamanda nahc ananizam ya uwoga tu elezea vzur tu Zanzbar ndo walivo na ndo sheria zao sas watalii wenyw wanafata sheria za uko ije iwe wabongo wao ni nan ata wajifanye wanajua kusemea mambo ya watu kama wamezoea kutembea uch na kufanya zinaa kw wing ni uko so Zanzbar
LaanatuAllah ss znz tumeishaa
Zanzibar udini sana
Alafu mujuwe Zanzbar ukila mchana Ramazan haichaguw mgen wala mwenyej ni kichapo tu
Mmmmh 😂😂😂😂😂 hapa hapa tunagundua kitu
Acha kujitetea
Hawa Polisi waongo..Kamanda wa Polisi alikuja kwenye media kabisa akasema wamekamata watu 12 Sababu ya kula…wanataka kusingizia ni wavuta Bangi…shida ya hii nchi Polisi hawataki kusema wamekosea..Ila wanakubambikizia kesi mpya..Eti wanavuta Bangi 🤣🤣 kha…wameona mitandao imecharuka wanajifanya kuja na stori mpya
Bambikizio!
nimuongo kashindwa kujitetea
Mmewapa jina la kuvuta bangi 😅😅😅😅😅😅 Tanzania yetu hatuna matata
Kabla hajafika kuongea apa angesikiliza kwanza mwenzake aliongea nini apo wametuonesha tu ukubwa wa ujinga wao.. kuomba radhi na kukili kua tumekosea inafaa sana na inajenga imani zaid
Polic wako wamsema watu wanao Kula mchana acheni kujitetea
Nan ajitetee kwn we ninan nahc uyo polic tu ananizam ya woga lkn zanzibar ukila mchana hazaran utachezea tu
Mi ata sielewi chenye Cha endelea hapa kiukweli
Mada yai azina mashiko
Hii nchi kuna vituko sana 🤣😆😂
Kuna vituko kidogo😂😂
@@Omar-o4g3e noma sana kaka😆
Hakuna sheria yoyote sema ni mazoea tu.
Wala rushwa je..mafisadi, waacheni watu na bangi zao
We ndo huna akil ata kidogo
@@mohammededy7086 wewe ni kichaa kabisa
@@Mitama49 nenda zanzbar bas utazame
@@Mitama49 chuki na roho mbaya yako kuhusu zanzbar utakufa na utaiwachwa mana hujuw chochote kuhusu Zanzbar wap na wap mtu wa mikona na zanzibar ata dar ujawai kufika asa utajuwaje kuhusu zanzbar kakojowe ukalale
Acheni ubaguzi wa kidini. Mbona huku bara waislamu wanakula mchana wakati wa kwarezima?
Njok Zanzibar Ule Mchana wa Ramadhan afu uone nini kitakupata
Huku bara tumewapokea na kuishi nao kama ndugu zetu vile lakin kiuhalisia ni watu wabaguzi sana
Bara c ndo munasema hamjal mambo ayo ndo mana watu wanakula mchana mana hakuna taratb na sheria ndo mana kila chafu lipo huku
@@fredrickmgavilenzi6678huna lolote umempokea nan ww maisha yako wenyw hujuw unakula nn 😂😂😂
Kwan kwarzma wenyewe inasemaje uko bara😊