BAD NEWS: MUIGIZAJI MAARUFU WA FILAMU, MZEE MSIRI, AFARIKI DUNIA...
HTML-код
- Опубликовано: 1 янв 2025
- BAD NEWS: MUIGIZAJI MAARUFU WA FILAMU, MZEE MSIRI, AFARIKI DUNIA...
Muigizaji maarufu na mkongwe nchini Kenya aliyejizolea umaarufu zaidi katika kipindi cha runinga cha Pete akitumia jina la Mzee Msiri amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 62.
Mzee Msiri ambaye jina lake halisi ni Gillie Owino alifariki dunia jana Ijumaa Aprili 30, 2021 jioni saa chache baada ya kukimbizwa hospitalini jijini Nairobi ambako aliaga dunia.
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...
Nilimtizama kama baba yangu mzee huyu, I will miss you!! Pumzi kwa amani
Daaah pole sana Kenya nimeumia kutoka Tanzania
Mzee huwa namfatilia sana kwenye Pete kisiwani. Ni mzee mwenye hekima sana daaah imeniuma sana RIP
Daaah😭😭
R.I.P Mzee mwenye hekima zako
😭😭😭😭🇹🇿🇹🇿
Pumzika kwa aman
Duuh R. I. P mzee msiri
R I p mzee msiri
R I p mzee wetu
😭😭😭😭😭🙆
Mbele yake nyuma yetu
😭😭😭😭😭😭🇹🇿