Hassan mwakinyo aliyaongea yote haya kua wadau wangumi,tujitambue,tuangalie haki zetu,tusipigane ovyo,lakini akaonekana kua ,domo zege,mpiga taarabu,mara shoga,muoga hataki kupigana,jamaan khaaaa big up hassan mwanangu
Kuna amosi mwakinyo waliongea ukweli halafu kuna watu wanataka umarufu kunuka bila kuangalia Haki zao ,ngumi za kichwa mbavu tumbo maini ubongo figo zikipata madhara ,lazima full body scan ,tutoke kwenye usela huu mchezo mgumu,kuna wengine wanachukulia Poa kwa umarufu kunuka.
Serikali inatikiwa kuwasadia ili hawa mabondia wawe wanafahamika kiserikali, wajenge vituo vya kufanyia mazoezi, mazoezi yao yawe yanaangaliwa zaidi na madokta wa serikali. Serikal isaidie kwenye matibabu na ushauri. Hii itawezesha vipaji vingi vya michezo ya ngumi, pia itasaidia kukuza ajira binafsi na kutangaza jina la nchi.
@ swali najiuliza kwanini serikali wana a chia watu wanapigana ngumi za kulipwa pasipo mwongozo wa serikali kuweka usimamizi wa vigezo vya usalama na afya vinavyo takiwa kufanywa na promota, bondia na chama cha mabondia Tanzania kabla na baada ya pambano?
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
Poleni,sana
Hassan mwakinyo aliyaongea yote haya kua wadau wangumi,tujitambue,tuangalie haki zetu,tusipigane ovyo,lakini akaonekana kua ,domo zege,mpiga taarabu,mara shoga,muoga hataki kupigana,jamaan khaaaa big up hassan mwanangu
Ushauri wangu Tu kwa mabondia bima ya afya muhimu kwao kama kwenye michezo mingine.
Kuna amosi mwakinyo waliongea ukweli halafu kuna watu wanataka umarufu kunuka bila kuangalia Haki zao ,ngumi za kichwa mbavu tumbo maini ubongo figo zikipata madhara ,lazima full body scan ,tutoke kwenye usela huu mchezo mgumu,kuna wengine wanachukulia Poa kwa umarufu kunuka.
Kama mama samia anaweza kutoa ml 5 nock out ya mama vip bondia akipata matatizo apewi kitu hii ipo xawa kweli
Chama bado hakijapata viongozi
Afu kuna mtu ananunua goli moja kwa milioni tano .... Je awa nao cyo wana michezo
Serikali inatikiwa kuwasadia ili hawa mabondia wawe wanafahamika kiserikali, wajenge vituo vya kufanyia mazoezi, mazoezi yao yawe yanaangaliwa zaidi na madokta wa serikali. Serikal isaidie kwenye matibabu na ushauri. Hii itawezesha vipaji vingi vya michezo ya ngumi, pia itasaidia kukuza ajira binafsi na kutangaza jina la nchi.
Cha kushangaza wanaenda kuoigana hawana hata huduma ya kwanza ni mtihani