ELFU 60 ILIVYOMTOA UHAI BONDIA HASSAN MGAYA - BABA ALIA kwa UCHUNGU - FAMILIA YASHANGAA...
HTML-код
- Опубликовано: 19 янв 2025
- ELFU 60 ILIVYOMTOA UHAI BONDIA HASSAN MGAYA - BABA ALIA kwa UCHUNGU - FAMILIA YASHANGAA...
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.....
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
Innalilah wainnaylilah rajiuun! Mwenyezimungu mjalie kauli thabit! Poleni sana Wazazi na Familia kwa ujumla!
Mchezo huo ata Allah ameuramisha amesema tusijidhuru wala tusiwadhuru wenzetu..
Kwanini jeneza la kiislam limefunikwa na bendera ya marekani
I dont understand them but i feel the pain..my heart breaks. May deepest sympathy.😢
Upumbavu tuu. Unaingia ulingoni kufakupona kwa elfu 60. Na ndio maana Mwakinyo hapigani ovyo ovyo sababu ngumi ni mchezo unaohatarisha maisha yako moja kwa moja.
Mpumbavu wewe au yeye ayoni mipango ya mwenyezimungu akuwomba tumia akili nabusala dogo
Kwahiyo Mwakinyo Ataishi Milele. Unamuona Tyson Alivyo.. Mohamed Ally Yuko Wapi Alikuwa Alipwi Vizuri.
@nurdinmfamau3493 Ww utakubali kupigana kwa elfu 60?
@IddiKhamis-u6c Sio Kazi Yangu Ubondia Inategemea
@IddiKhamis-u6c Hicho Nikifo Nahizo Nyingine Nisababu Zaumauti Sasa Nilazima Kifo kiko Palepale Nasababu Ndio Zimekuwa Nyingi Sana. Nakwa Bakhti Mbaya Hakuna Yakuukimbia Umauti Bali Sisi Ipo Namna Yakujiandaa Naumauti.
Huu mchezo wa ngumi mbona mnauzalilisha aiseh yaaani 60,000 hata kama angekua anaugulia hospital ghalama aitoshi
Sheikh unaa mambo mengi sana mpaka unaingiza bidaa katika msiba ,mambo ya rambi rambi yatakuja baada ya kuzika ,msiharibu nidhamu ya misiba .
Hamna Sheikh humo
Huo mbendera wa Marekani ndio vipi? Acheni kuingiza upuuzi kwenye msiba wa kiislam
Khe jmniii 60 mtu anapnda kupigan jmniiii jmniiu acheni mambo ya kupigan bila kuchokozna
Apumzike kwaamani 🙏
Nahisi Babaake Kama Namjua,,Ni DEREVA Wa Malori Wa Siku Nyingi
Maskini ndo maana alimuahidi mamaake kwamba akishinda watakula jogoo. Hela yenyewe kumbe ndo hiyo😭😭😭😭. Poleni sana wanafamilia. Mungu awe faraja kwenu🙏🙏🙏
Inauma sana bac2
Ndio maana zanzibar hii michezo waliiufungia,HUU SIO MCHEZO BALI NI LANGO LA KIFO
Juzi tu si limewakuta jambo huko?
@@emmadora7848 ndioo
Ee mungu sitini 😢kwel alafu kumbe nimtu wa nyumbani maramba mawili oh mungu we
Producer tena Sheikh
Jamanii ndo mwanzo wa utafutaji kunamtu alikurupuka na akawaa juuuu jamaniii msisemi maneno meng
Jifunzeni kwa mwakinyo
Daaaah mechi za manyara tandale ni changamoto tuuu ila Hassan mgaya ndio siku yako ilishafika hata ungelipwa billion kama kifo kipo pale pale kikubwa ni kumuombea dua tuuu lawama tuziachen
Jivunzieni basi mbadilike nakuachana namichezo hii kwani niharam ndani ya mwaka mmoja wamekufa watu 2 kwa michezo hii chakusikitisha hii michezo serikali inaipa nguvu sana vijana wanakufa wao wanatowa pesa kuwapa watu hawa badilikeni enye vijana wa kiisilamu nawaona kufa nihao waisilamu
الله المستعان
Poreni sana duu erfu sitini jamani 😢😢😢😢😢
Bendera ya marekan
Jamani erfu sitini kweri pore dada yangu kwakuondogewa na mwanao 😢😢😢😢
Inalillah wainailah rajiun dah
Jaman 😢😢hapana
Msione akina mwakinyo wamefika pale wamepambana sana had bondia analipwa million kiwango cha kina mwakinyo mweshim sana
😢😢
Duu mwakinyo wap wapiganie watu wako mana 60000 ndo lile jasho lote pale ulingoni
Kwanini kafunikwa bendera ya Marekani 😢 RIP 🙏
Utaipenda tu
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Innalillahi wainna ilayhi rajiuna
Mmmh 60 jamani,uchafu mtupu,badala laki 6
Niajali kazini hata msishangae kuona alikuwa anapambani sh, 60000
Hata wakina mwakinyo ndo, huko wametokea,
Kuna michezo mingine ovyo kabisa
Jmn inasikitisha sana 60,000? Si bora ukabebe zege looh.poleni sana familia.
Wewe vipi utakuwa duniaani mpaka mwisho utalinda dunia
sasa hiyo 60 anapataje na wakati hakushinda
Watanzania pumbav zenu mnavyolazmishaga mwakinyo apigane mechi za kifala, na mapromota wenu njaa kali, siku tanzanians wakipata akili ndyo mwisho wa dunia
Mapopo nyie
Kwenye familia kama Kuna watu wana uwezo wainue familia zao ili tuepuke vitu vya namna hii , yn sitini mwenzetu kaondoka lakini pia michezo ya gharama za chini zipigwe marufuku
😢😢😢😢
Hata sielewi , kafa akipigana au?
Michezo hiyo yakupigana
Ndio kafariki baada ya kupigwa uwanjani
Jamani??? Halafu malipo ndio 60,000? Kwani hizo ngumi unatakiwa kuua mwenzio?