🔴

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 янв 2025

Комментарии • 47

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  3 часа назад +2

    JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...

  • @Georgemselyamwaluko
    @Georgemselyamwaluko 4 часа назад +2

    Rushwa mbaya sana mumehogwa subilini uchaguzi mkuu hampati kura hata moja mtakuwa na mbowe wenu

  • @NyangaboMilembe
    @NyangaboMilembe 4 часа назад +4

    Mpuuzi wewe,unaangalia maslai yako binafsi siyo maslai ya wananchi ,umeshapewa pesa unataka kujifanya mjuaji

    • @MuraMwita-s3e
      @MuraMwita-s3e 4 часа назад

      SIKILIZENI HUKO KIGOMA NIA YETU NI MOJA ACHENI MAMBO HAYO AU NDO MMEISHA LAMBISHWA SUKARI KWA SABABU YA TATIZO LA HUYO KIONGOZI WA HAPO KIGOMA? MKIFANYA HIVYO MJUE MNATAKA CCM IENDELEE KUTAWALA JIKANE NAFSI ZENU ANGALIENI MAISHA TUNAYO YAPITIA YALIVYO LEO TAFADHALI WANACHADEMA HEBU KILA ALIYE NA UWEZO WA KUWASAIDIA HAO WATU KIGOMA TAYARI CCM IMEISHA TIA MKONO WAKE HUKO ILI TUSIPATE NAFASI YA KUWEZA KUWAROPOKEA

    • @MuraMwita-s3e
      @MuraMwita-s3e 4 часа назад +1

      HAO WAMEISHA BADILISHWA MAWAZO TAYARI NA MBINU ZA CCM

    • @MuraMwita-s3e
      @MuraMwita-s3e 3 часа назад

      AU NDO WAMEISHA TENGENEZA MBINU CHAFU ZILE ZILE WANAJIFANYA NI WA CHADEMA KUMBE NI CCM IMEVAA UNIFOM NA KUWEKA BENDERA KUMBE SIVYO KAMA KUNA KOSA LA MMOJA HUYO ACHENI HUYO MMOJA TUFANYENI KA NIA YETU NI ILE YA KULETA MAGEUZI YA KWELI ACHENINI NA HUYO BUJORO KAMA ANA SHIDA YAKE ALIYOKOSEA TAZAMENI KULE TUNAKOTAKA KWENDA SASA MKIANZA KULETA HABARI ZA NAMNA HIYO YA KUZIRA KUWA BUJORA AMEWAKOAEA MTAPIGIA MBOWE JUENI MNACHOFANYA MNACHOTAKA MFANYE KWA HASIRA ZENI NA BUJORA MNAHAFIFISHA MBIO ZA HARAKATI ZA KWELI ACHENI HASIRA KAENI CHINI MTAFAKARI WATU WANGAPI WAMETEKWA HAPA NCHINI WANGAPI WAMEYAPITIA MATESO YA KILA AINA HAYO YOTE HAMYAKUMBUKI KISA HASIRA ZENU NA BUJORO GEUZENI MIOYO YENU NA NIA YENU TUWE WAMOJA KUIKOMBOA NCHI TAFADHALI KAMA KWELI SI KWAMBAMBA MMEISHA TILIWA MANE NO NA CCM MKITUMIA HASIRA KWA KUFANYA MAAMUZI YENU KWA SABABU YA FITINA NA MAKOSA YALIYOJITOKEZA MTAKUWA MNAJIZIKA WENYEWE.

  • @GodWithUs_GodVoice
    @GodWithUs_GodVoice 3 часа назад +1

    Sisi ni wa Kigoma na hawa wapuuzi hatuwafahamu kabisa

  • @KhadijaDija-ir2hq
    @KhadijaDija-ir2hq Час назад

    Nyie endeleeni kugombana wenyewe kwa wenyewe ccm washaweka Raisi wao madarakani sasa sijui mnagombani nini kutumalizia mb tu 😂😂

  • @LucianSanga
    @LucianSanga 2 часа назад

    Mbona Munaonekana Njaa ime wapiga sana Chukueni Fedha kwa Mwenye Fedha Ili mshibe na Wahakikishia Musipo chukua hiyo Fedha Mtakufanjaa CCM Hoyee Hoyee Tuta Twambia SAMIA Uchukue Mufumo wa Magufuli Mkimbie Wote Tufanye Maendeleo Hako karuzuku Tuta jengea Miundombinu Nchi Iendelee CCM Hoyee semeni Amina

  • @TryphoneLameck-sj9tk
    @TryphoneLameck-sj9tk 34 минуты назад

    Hawa ndio watu wa kigoma mwidiwe abhatama mrakoze chane imana ishimwe

  • @ndongonyambalya6816
    @ndongonyambalya6816 3 часа назад +1

    mnatetewa bado hamjijui

  • @feliciarfrancis2388
    @feliciarfrancis2388 3 часа назад

    Lissu kweli kichaa Kwa maelezo haya

  • @GwakisaMwasemele
    @GwakisaMwasemele Час назад

    Ni kweli mnamuunga mkono mbowe Ila sura zenu ni kama zimepewa chochote kitu au ni ushamba kwenye media

  • @feliciarfrancis2388
    @feliciarfrancis2388 3 часа назад

    Tundu Lissu anataka kuvuruga nchi Kwa sababu familia yake haipo Tanzania.Chadema ni chama kikubwa kuliko Lissu na Mbowe wanatakiwa kuwa makini sana

  • @JeremiahKaliwa-h1w
    @JeremiahKaliwa-h1w 3 часа назад +1

    Niko simiyu wananchi hawamtaki MBOWE mtakiua chama wanasema ,Mbowe akipita wanarudisha kadi za chama.

    • @johnmwasilu7087
      @johnmwasilu7087 50 минут назад

      Warudishe wengine wataingia mtafute vyama vingine

  • @brendangabriel1643
    @brendangabriel1643 3 часа назад

    Kigoma mmekiua Cdm endapo Mbowe atashinda. Tutaulizana 22/1. Wenje, wenje Wenje hakika kigoma mmepofuka.

  • @jamesrobare522
    @jamesrobare522 2 часа назад

    Chawa Lisu jiandae kisaikolojia kushindwa na jipange kisawasawa, nyinyi ni waongo sn shame on you.

  • @feliciarfrancis2388
    @feliciarfrancis2388 3 часа назад

    Hivyo Tundu Lissu ana watu ambao Wana tabia kama zake za kujipinga yeye mwenyewe anayoshiriki kuyaamua ,washirka wa Tundu Lissu vichaa kama yeye

  • @ashobozakabalimu9212
    @ashobozakabalimu9212 9 минут назад

    Upepo unabadilika haraka

  • @TryphoneLameck-sj9tk
    @TryphoneLameck-sj9tk 27 минут назад

    Hakuna fara anaetokea kigoma kama mm ni muongo baba levo anajua

  • @khaliduhadi2336
    @khaliduhadi2336 Час назад

    Ili puuzi limetoka wapi tena mifisadi ya chama hi duh

  • @Lundege_Hips
    @Lundege_Hips 4 часа назад +1

    Mmelipwa kias gani

  • @LenatussylivesterPetro
    @LenatussylivesterPetro 3 часа назад

    Mmepoteza dira

  • @FellaMbogela
    @FellaMbogela 3 часа назад

    UONGO CHADEMA NA UBABE VIMETAWALA ,NA MBABE YOYOTE KUPITIA WAJUMBE NDIYE ATAKAYE SHINDA

  • @alexkamba5264
    @alexkamba5264 2 часа назад

    Labda tatizo location coz tunachewa kubadilika du! BUT welcome new CDM

  • @TryphoneLameck-sj9tk
    @TryphoneLameck-sj9tk 5 минут назад

    Gusa achia hakuna kuhama chama kula chuma

  • @christopherryoba580
    @christopherryoba580 2 часа назад

    Wajumbe sio wananchi???

  • @andrewlkashusha135
    @andrewlkashusha135 2 часа назад

    Wala rushwa hawa !

  • @Japhet-u1z
    @Japhet-u1z 4 часа назад

    Wengine mnashabikia lakini usikute ata kadi ya chama hamna acheni ngano na magugu vikue pamoja kesho ndo tutajua kuwa magugu niyapi ngano nizipi

  • @ndongonyambalya6816
    @ndongonyambalya6816 3 часа назад +1

    huna akili mtakufa masikini wajinga nyie

  • @kadilamore802
    @kadilamore802 3 часа назад

    Na wanachama mtawambia nini😅 kitachimbika uchanguzi huu

  • @musamabura5200
    @musamabura5200 4 часа назад

    Mbowe mitano tena

  • @ndongonyambalya6816
    @ndongonyambalya6816 3 часа назад

    hayana akili kabisa mahutu haya

  • @ndongonyambalya6816
    @ndongonyambalya6816 3 часа назад

    bujoro wa nn nyie uchaguz ni walisu nyie vp masikin nyie

  • @GodWithUs_GodVoice
    @GodWithUs_GodVoice 3 часа назад

    Wapumbavua hawa

  • @ndongonyambalya6816
    @ndongonyambalya6816 3 часа назад

    Hamna akili nyie lisu anatetea maslahi ila hamtaku

  • @ndongonyambalya6816
    @ndongonyambalya6816 3 часа назад

    huu ni uchaguzi wa mbowe na lisu m/kiti wa kigoma anahusika nn wajinga nyie

  • @ndongonyambalya6816
    @ndongonyambalya6816 3 часа назад

    Eid huna akili

  • @derickkapondo3791
    @derickkapondo3791 3 часа назад

    Duuu

  • @bakermusa9033
    @bakermusa9033 3 часа назад

    Karumanzila kimewaka

  • @Mariasuzana922
    @Mariasuzana922 2 часа назад

    Wajinga kabisa pumbavu zenu nyie mnakwenda kukiua chama

  • @ndongonyambalya6816
    @ndongonyambalya6816 3 часа назад

    moshi huna akili mjinga wewe

  • @ndongonyambalya6816
    @ndongonyambalya6816 3 часа назад

    mmetawaliwa na umasikin wajinga nyie mnatetewa ili nanyie muwe na luzuku wajinga

    • @jamesrobare522
      @jamesrobare522 2 часа назад +1

      Wew tajiri kapige kura sasa wao masikini wamekataa😁😁😁🏃