Siku sita kabla ya pasaka

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 янв 2025

Комментарии • 4

  • @JoanaCharles-c4k
    @JoanaCharles-c4k 10 месяцев назад +1

    Great song. Well done 👏

  • @eusabia7082
    @eusabia7082 Год назад

    Interesting song congratulations hossana wa wayaudi

  • @waitherajuliet1050
    @waitherajuliet1050 9 месяцев назад +1

    ❤nice song

  • @edwardomweri5679
    @edwardomweri5679 Год назад +1

    Siku sita (sita) kabla ya Pasaka, watoto wa Kiyahudi walimlaki Bwana } *2
    Wakishika matawi ya mitende mikononi wakiimba wakisema
    { Hosanna hosanna, hosanna Mwana wa Daudi
    Hosanna Hosanna Mwana wa Daudi } *2
    Wakimwimbia mfalme mkuu nyimbo za furaha na shangwe
    Hosanna yeye ajaye kwa jina la Bwana.
    Wakitandaza nguo zao kumpa heshima Mwana wa Daudi
    Hosanna yeye ajaye kwa jina la Bwana