Kwa Ajili Ya Mateso Makali Ya Yesu

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 фев 2025

Комментарии • 252

  • @ROSEMARYMWAURA-n5r
    @ROSEMARYMWAURA-n5r 10 месяцев назад +39

    I remember back in 2014 when i used to go to vincentian retreat centre,,,this song made me cry so many times but after a few years of prayers God remembered me,,,now i always listen this song in my house to pray and remember where i have come from ,,,may God remember the broken hearts

  • @ErickJoackim-n6g
    @ErickJoackim-n6g 3 месяца назад +5

    Kwa ajili ya mateso makali ee mungu wangu naomba ushushe baraka zako kwa mdogo wangu Elijiusi johackim apate kupona na kuwa na afya njema ee mungu nakutumainia🙏🙏🙏

  • @pm2331
    @pm2331 7 месяцев назад +10

    Kwa ajili ya mateso makali ya Yesu, utuhurumie sisi na Kenya nzima.
    Tuhurumie kama wananchi wa Kenya na utubariki, tupe amani na fadhili zako ziwe nasi eh Bwana.

  • @PaskalinaIsraeli
    @PaskalinaIsraeli 10 месяцев назад +5

    Kwa ajili ya mateso makali ya bwana wetu yesu kristu unihurumie mimi, wazazi wangu , ndugu zangu na dunia nzima 🙏🙏🙏🙏

  • @VirginiaMusyoki-q2l
    @VirginiaMusyoki-q2l Месяц назад +2

    Kwa ajili ya mateso makali ya Yesu utuhurumie sisi na dunia nzima 🙏 Baba naomba uponyaji wako naomba ukapate kutamuka neno moja tu kwa ajili ya mkono wangu qa kulia Baba ukapate kuniondolea maumivu na wasiwasi nakutamania Yesu wangu🙏🙏

  • @YusterEmmanuel-l7z
    @YusterEmmanuel-l7z Месяц назад +2

    Kwaajili ya mateso makali ya yesu unijalie ee Mungu muumba wa mbingu na ardhi nipate kazii mm mwanao amen🙏🙏

  • @EsterNdalu
    @EsterNdalu 10 месяцев назад +3

    Kwa ajili ya mateso makali yako Bwana wetu Yesu Kristo naiombea familia yangu na uepushe namuovu shetani amina

  • @carol_wambui
    @carol_wambui 2 года назад +28

    lord have Mercy on us ,Heal all those who are ailing , Mend the Broken hearts . Give hope to the hopeless . in JESUS NAME AMEN

  • @aksantifabien9021
    @aksantifabien9021 11 месяцев назад +9

    mungu wa milele utukumbuke Sisi yatima ambao hatuna msahada wowote wewe ndiwe kimbilio letu la milele 🙏🙏🧎🧎🧎

  • @co-architectureltd2689
    @co-architectureltd2689 3 года назад +13

    Baba Mungu tunakuomba utuhurumie sisi na Dunia nzima na utufanyie wepesi katika janga hili la COVID-19. Amina

  • @lornakukii9419
    @lornakukii9419 5 месяцев назад +3

    Back again to thank you daddy and praying for growth in our lives ..open those doors for us ..thenks to my saint ..saint Rita for always helping me through our lord jesus Christ ..amen

  • @brownjaffaly1172
    @brownjaffaly1172 4 года назад +68

    dah huu jaman Mungu awabariki sana waimbaji hakika naskia kulia kila nikisikia huu wimba roho mtakatifu anshuka kwa wingi sana ndani yangu haleluya

  • @AnnThiongo-i9m
    @AnnThiongo-i9m 6 месяцев назад +2

    Lord have mercy on us and our country Kenya. Lord i pray to you today to increases my faith and hope and bless my family lord have mercy on us lord remember my uncle family amen

  • @evansmukhebi7168
    @evansmukhebi7168 3 года назад +10

    Kwa ajili ya mateso makali ya yesu kristu; utufungue kwenye minyororo ya shetani, utubariki na ulinde familia yangu ewe yesu.

  • @jacksonymsafiri7375
    @jacksonymsafiri7375 2 года назад +8

    ndugu zangu tusalini rosari takatifu kwa mwezi huu mtakatifu wa Mama bikiria maria ambwo hua unakuja mara moja tuh kwa mwaka tumlilie shida zetu kwa pamoja atusklzee🤲

  • @nancymuluki
    @nancymuluki 29 дней назад

    Kwa anjili ya mateso makali ya yesu tuhurumie sisi na Kenya nzima yesu. Nionekanie mungu baba wajua matamaniyo ya moyo wangu. Uu mwaka niurumie Jehovah

  • @phoebeawuor6562
    @phoebeawuor6562 Год назад +13

    During this lent season, please Lord have mercy on us, forgive our sins and restore back our families.Hide us from the eyes of the enemies.In Jesus Name I pray and believe.AMEN🙏🙏

  • @mlingiyonah
    @mlingiyonah Месяц назад

    Kwa ajili ya mateso makali ya Yesu utuhurumie sisi na Dunia nzima, Mungu nisaidie nipate kazi. 🙏

  • @dankim6913
    @dankim6913 4 месяца назад +3

    Kwa ajili ya mateso makali ya yesu,unihurumie mimi nipate kazi ya kudumu🙏🙏

  • @divinahwainaina9398
    @divinahwainaina9398 Месяц назад

    kwa ajili ya mateso makali ya yesu mungu nakuomba unihurumie,uhurumie wazazi wangu,dada zangu na familia zao ,utujalie nehema na huruma wako ee mungu mwema🙏 utuhurumi na dunia nzima🙏🙏

  • @susanriwo7243
    @susanriwo7243 Год назад +2

    Yesu nihurumie mimi na familia yangu. Nafa moyo, nipe utulivu

  • @priscaMichael-v5z
    @priscaMichael-v5z 11 месяцев назад +1

    baba mungu tunakuomba utuhurumie sisi na Dunia nzimaa

  • @mrambadiana9678
    @mrambadiana9678 10 месяцев назад +1

    Eeh Yesu unihurumie na familia yangu na wote wakuombao naupokee maombi yangu eeh Yesu

  • @BrendaGakii-jc9go
    @BrendaGakii-jc9go 5 месяцев назад +4

    God take control over my situation😢

    • @AlphonseMugisha
      @AlphonseMugisha  5 месяцев назад

      Continue to pray!! It will get better.

  • @nicholasemmanuel8321
    @nicholasemmanuel8321 Год назад +3

    Mungu aendelee kunipa nguvu katika yote ninayopitia na ninayoyafanya pia Amina🙏

  • @teresawangeci2516
    @teresawangeci2516 Год назад +6

    This is the song that gives me that satisfaction of the lent season and it makes me to realize surely Jesus really suffered and was crucified for the sake of my sins and therefore I should repent may God guide you for more songs

  • @sharonmerongo273
    @sharonmerongo273 Год назад +6

    For the sake of his sorrowful passion, have mercy on us and the whole world. God I pray for your grace and favour 🙏🏿🙏🏿to always be with me. My life has been heavy on me lately. Restore me ooh lord I pray Amen.I believe I will emerge victorious this Easter season

  • @phneasmutembei6510
    @phneasmutembei6510 Месяц назад

    Kwa ajili ya mateso makali ya yesu,nikumbuke Kwa yake magumu yote napitia,,kuvunjika Kwa ndoa yangu,kukosa kazi na utulivu ndani ya roho na fikra zangu, Amen

  • @mbakacasmil2917
    @mbakacasmil2917 Год назад +1

    Great song .machozi unitoka kila nikisikia

  • @sagittarius9197
    @sagittarius9197 2 года назад +6

    Nihurumie Yesu .Nafa moyo 🙏

  • @jamesgathogo2983
    @jamesgathogo2983 Год назад +2

    In 2021! My life was at mess!I went to Thika Vincent for prayers.. they usually this song...I used to pray crying God to hear my prayers 🙏..Indeed he did

  • @ElizabethWanjohi-fl4he
    @ElizabethWanjohi-fl4he Год назад +2

    Mungu tuhurumie sisi na dunia nzima
    Naomba healing, favour, financial breakthrough😢

  • @MargaretWanjiku-mk5hd
    @MargaretWanjiku-mk5hd Месяц назад +1

    😢God may you fulfill my heart desires,🙏🙏🙏

  • @cmwachira5956
    @cmwachira5956 Год назад +7

    I listened to this song in the morning before going to claim my debt of 3 months, God heard my cry and opened doors for me

    • @gituri123
      @gituri123 10 месяцев назад

      My debt of 3 million for more than 9 years still trusting in God

  • @mgenileonora9717
    @mgenileonora9717 3 года назад +5

    Rozari ya huruma ya Mungu,Eeeh Mungu utuhurumie sisi na dunia nzima

  • @consolatakitavi3264
    @consolatakitavi3264 Год назад +1

    Yesu leo nibariki pamoja na.familia yangu,Leo naenda kufuatilia mambo ya stomach mungu kuaizi na mimi kila wakati na wakati wa mahitaji yangu

  • @faithmulwa1140
    @faithmulwa1140 2 года назад +6

    O Lord, change our evil ways and direct us to the right direction,have mercy on me Oh God😭😭

  • @carolynemuthoni5911
    @carolynemuthoni5911 Год назад +4

    Loving God have mercy on all the sick,those struggling with chronic illnesses and especially the children, stretch your healing hand upon all of them.Amen

  • @kelvinwanjiru7023
    @kelvinwanjiru7023 2 года назад +1

    Best prayer on the song more encouragement song ever green. God I pray help my future to be bright my future wife and kids to be more greater no dieses to be on them I pray, God help me on my way through the hills and down hold my hand let me walk with you I pray 🙏🙏🙏🙏

  • @gracemecymercy3001
    @gracemecymercy3001 2 года назад +6

    ooooiiii Yesu Mwana Wa Mungu Tuhumiee🙏🙏🙏💕

  • @CHANCESIMON
    @CHANCESIMON 10 месяцев назад +1

    This is good❤❤❤ Jesus Who has mercy, eternal father, who shed blood to pay for our sins, have mercy on us and the whole world, except for the severe suffering of the children of Jesus❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @mbairevirginia6009
    @mbairevirginia6009 3 года назад +14

    For the sake of His sorrowful passion, have mercy on us and the whole world. Amen

  • @ElizabethWanjohi-fl4he
    @ElizabethWanjohi-fl4he Год назад +1

    For the sake of his sorrowful passion have mercy on us
    Heal me,my sons Vic n alf , my brother Fred, my parents my siblings
    Thank you

  • @kevoh5087
    @kevoh5087 2 года назад +6

    O lord have mercy on us we're sinners give us second chance 🙏 O mighty 🙏 give us healthy 🙏 may your name be praised forever🙏AMEN

  • @piusmbui5204
    @piusmbui5204 2 года назад +1

    Baba Mungu twaomba utuhurumie sisi na ndunia nzima wakati huu wa ukame unaokumba Kenya na ulimwengu kwa jumla,Kuwa wa msaada kwa huu uchumi mbaya tunapitia kwa sasa .

  • @felisterndeule-oc3yv
    @felisterndeule-oc3yv Год назад +1

    Daaaah ebwana bwana utuhurumie sisi na dinia nzima

  • @cynthiawangui2115
    @cynthiawangui2115 3 месяца назад

    Mungu nijalie neema , nipate kazi , niokoe , nakuhitaji nijalie amani maisha imenilemea pekee yangu siwezi

  • @PeregrineMasalaMsukuma
    @PeregrineMasalaMsukuma Год назад +3

    Mungu azidi kubariki kazi ya mikono yenu.

  • @neemamichael7155
    @neemamichael7155 4 года назад +6

    Hawa waimbaji wamejua kuumiza moyo wangu,Mungu atuhurumie

  • @luckymuhalia
    @luckymuhalia 2 года назад +6

    I love the song ,it gets into my heart ,mind n soul.God have mercy on us

  • @Augustine-sr3uy
    @Augustine-sr3uy 4 месяца назад

    For the sake of His sorrowful passion, have mery on my kaka Pastory.
    Ee Yesu naomba Kaka yangu Pastory awe na hofu yako.
    Aoe sasa ana miaka takribani arobaini. Ajenge nyumba yake kwani utajiri wote ni wako.
    Kwako yote yanawezekana.
    Pia ninawaombea wote wenye shida kama zake na wanaoteseka popote duniani.
    Yesu nakupenda zaidi ya mama angu. Mama Bikira Maria nakupenda nifundishe kumpenda Yesu kwani hakuna anayeweza kumpenda Yesu zaidi yako. Yesu mume wangu halisi nakupenda sana.

  • @benadethaclement7596
    @benadethaclement7596 4 года назад +4

    Utuhurumie sis wakosefu

  • @cynthiamungai2709
    @cynthiamungai2709 2 года назад +8

    I LOVE YOU SO MUCH JESUS AND AM GRATEFUL ❤️❤️🙏

  • @nataliemukiri-xh4im
    @nataliemukiri-xh4im Год назад +4

    I really missed the divine mercy thank God I found this

  • @marysaguda7354
    @marysaguda7354 2 года назад +3

    Ee Bwana uendelee kututia nguvu kipindi hiki kigum cha Rozari takatifu matendo ya huruma

  • @bibikabibi9979
    @bibikabibi9979 Год назад +2

    Gracious Lord bless my family, save us from sin and the fire of hell.

  • @marymbugua2503
    @marymbugua2503 Год назад +2

    I heard this while in Vincentian Retreat Centre Thika and it really touched me

  • @James-nq6fz
    @James-nq6fz 3 месяца назад

    Akika Mungu uritupenda kwa upendo wa juu sana

  • @prince_karlheo
    @prince_karlheo Год назад +1

    Napenda haya maombi sana... Haya ndio yalikuwa maombi yangu Kila asubuhi nikiwa college.

  • @nkiroteviolet2553
    @nkiroteviolet2553 2 года назад +5

    Dear God you know my heart desires,,,have mercy on me and the whole world🥺😭🙏

  • @mercymosoti3220
    @mercymosoti3220 Год назад +2

    A very good prayer that my aunty used to tune for my grandma during her sickness till death took her 😭😭😭

  • @James-nq6fz
    @James-nq6fz 3 месяца назад

    Kwa ajili opendo mungu alitupenda na kununua kwa mateso makali na nadamu atuoko ❤

  • @karanjarahab3285
    @karanjarahab3285 5 месяцев назад

    Mungu naomba huruma yako ikaweza kuniongoza,,,,,pamoja na familia yangu,na dunia zima

  • @luciawanganga4297
    @luciawanganga4297 2 года назад +6

    Dear Lord have mercy on us.We are sinful people.
    May favour,luck and grace locate us always.
    Change our evil ways and direct us in the right direction.
    May your love reign upon us all the days of our lives.
    In Jesus name I pray.
    AMEN.

  • @Princess.Maggie.Wanjiku
    @Princess.Maggie.Wanjiku 7 месяцев назад +4

    Heal my broken heart God

  • @AnneMwande
    @AnneMwande 7 месяцев назад

    Eeh mungu wa huruma naomba unijalie matamanio ya moyo wangu hasaa wakati huu ninao kuhitaji na kila mmoja mjibie ombi lake .Amina

  • @RACHELIBONGA
    @RACHELIBONGA Год назад +1

    Utuhurumiye Baba. Weye Ndiyo kimbilio letu.

  • @jacklinemutonyi4739
    @jacklinemutonyi4739 4 года назад +5

    Oh lord you died on the cross because of my sins I come to your knees and confess all that I’ve wrong I need you lord and follow your feet steps hold my tightly so that I can not fall down in the name of father,the son and the Holy Spirit Amen.

  • @lornakukii9419
    @lornakukii9419 2 года назад +7

    God remember our relationship ... everyone and there spouse

  • @faithbonareri4555
    @faithbonareri4555 11 месяцев назад +1

    For the sake of his sorrowful passion I've mercy on us and on the whole world.
    Ooh God may forgive is our sins and help us to grow spiritually🙏

  • @derickwamalwa7853
    @derickwamalwa7853 Год назад +3

    Lord, please heal broken hearts

  • @MusangoMoses
    @MusangoMoses 6 месяцев назад

    Ee yesu wangu tuhurumie sisi watoto yatima tuponjenga maisha yetu

  • @zipporah2202
    @zipporah2202 Год назад +1

    ❤❤❤❤ VRC Thika!

  • @sarahnasoro6578
    @sarahnasoro6578 7 месяцев назад

    Kwaajili ya mateso makali ya yesu unihurumie mm na uzao wangu uhurumie moyo wangu unaovuja machozi na maumivu makali kwasasa😭😭

  • @esterdesderingowi8000
    @esterdesderingowi8000 24 дня назад

    Nabarikiwa sana na sala hii

  • @jaclinabrahamu1264
    @jaclinabrahamu1264 4 года назад +3

    Ee mwenyezi mungu utuhurumie

  • @anneananga2918
    @anneananga2918 3 года назад +3

    Utuhurumie sisi eeh kristu

  • @NeemaIha
    @NeemaIha 2 месяца назад

    This prayer blesses me very much

  • @PeterMrema-gl4mn
    @PeterMrema-gl4mn 10 месяцев назад +1

    Utuhurumie sisi na Dunia mzima yesu kristo

  • @mariamreonard9273
    @mariamreonard9273 4 года назад +2

    Kwajili yamateso makali yaayesu utuulumie sisi naduniiiiaaa nzima

  • @AnnStacy-m7p
    @AnnStacy-m7p 10 месяцев назад +1

    Ee yesu wangu tuhurumie na kupigania ndoa zetu ambazo shetani ameamua kuvuruga

  • @dorla_world
    @dorla_world 2 года назад +3

    Dear God remember our souls
    Heal us from the things we don't talk about

  • @WinroseMuriithi
    @WinroseMuriithi 11 месяцев назад +1

    Lord forgive me and the whole world

  • @ThisMustBeCindy
    @ThisMustBeCindy 2 месяца назад

    Lord you know my heart desires . Please have mercy on me 😭😭😭😭

  • @vivianjerotich8077
    @vivianjerotich8077 3 года назад +2

    Eeh Mungu utusamehe dhambi zetu

  • @bonifacekinuthia7224
    @bonifacekinuthia7224 7 месяцев назад

    Lord Almighty, may you always shield your Children from the merciless rays of the evil one. May your followers always win the battles they fight secretly. You whom changes water into wine, change our Tears to Laughter, Jealousy to love, Mockery to Praise, Sorrows to Joy and curses to Blessings. Help us to always love each other and always embrace Humanity
    "Mtakatifu Mungu, Mungu mwenye Enzi, Mtakatifu asiye-weza Kufa, Utuhurumie sisi na Dunia Nzima."

  • @josphinewanyoike1933
    @josphinewanyoike1933 3 года назад +6

    Lent season brought me here

  • @EsterNdalu
    @EsterNdalu 10 месяцев назад

    E Yesu nihurumie mimi na dhambi zangu zote na dunia nzima

  • @luwasielizabeth5177
    @luwasielizabeth5177 3 года назад +7

    Lord have mercy on me😭😭😭

  • @kipropmesh592
    @kipropmesh592 3 года назад +12

    Mungu ndiye mweza yote❤️He is in control, He never disappoints, Dear lord have mercies on us🙏🙏

  • @fransiscagotadi7583
    @fransiscagotadi7583 10 месяцев назад +1

    Eeee yesu utuhurumie sisi na Dunia nzima

  • @Rob_roberts
    @Rob_roberts Год назад +2

    Heavenly father thank you for loving us.🙏

  • @charleselibariki
    @charleselibariki 2 года назад

    Huu wimbo unanikumbusha mbali sana mungu awabariki sana

  • @nattahvanguy
    @nattahvanguy 4 года назад +3

    Utuhurumie Mungu.

  • @clotindaakinyi4566
    @clotindaakinyi4566 4 года назад +7

    I love this song the best 👌

  • @peterwambugu7687
    @peterwambugu7687 3 года назад +3

    Reminds me of vinventian prayer center thika

  • @magdalinegachoka9378
    @magdalinegachoka9378 4 года назад +6

    Am in love with this song

  • @scholasticantwiga9481
    @scholasticantwiga9481 4 года назад +8

    Love THIS song alot2

  • @augustinecharles4710
    @augustinecharles4710 Год назад +4

    Feels like you're having a great time with God

  • @RegistaVenansi
    @RegistaVenansi Год назад

    Am so blessed for this song 🙏🙏.