See you Mr. Emil Shayo... One of the best Teacher I have ever Meet bila Kumsahau Brother Amon... More congrats to you Guys... Nkiwa Mkubwa nataka niwe kama nyie😆🔥🔥
Kanzi nzuri sana, Lakini kutoka kwenye melodi ya asili ya Mbiu, kanuni za kimuziki wa kigregorian zilizingatiwa. Utenzi wa mbiu ni utenzi wa furaha na miondoko yake katika gregorian chant ni miondoko ya furaha. Ndio maana Nota za neno mbinguni ni za sauti ya juu ili kutengeneza umbo la picha la kitu kinachoongelewa. Melodi ya wimbo huu haijakaa kimashqngilio na hivyo inahuzunisha zaidi ya kufurahisha.
Aicee paka mwili unasisimka najikuta chozi lanilengalenga
Hongera kwa utume wa uimbaji nabarikiwa sana kama mbingu zinafunguka vile
Hongereni sanaaa, wana SESILIA you have performed so well MBIU YA PASKA....asanteni Sanaa na Mungu awatie nguvu
Hongereni sana. Br. Amon na wenzio mbarikiwe sana.
Kazi mzuri sana Mungu awabariki wote ambao mumefanikisha kukamilika kwa project hii❤
Waaaaaoh kazi nzuri❤
Best Mbiu Ever 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hongera kwa kazi.
Hongereni Sana Wandugu
Good, kazi mzuri sanaa
Nzuri mnooo...
Kazi nzuri sana hongereni mno wana ndanda
Hongereni sana utume uliotukika wenye kuvutia
Kazi nzuri sana. Mbarikiwe sana
Hongereni sana kwa utume uliotukuka na kuvutia
Hongereni sana, kazi nzuri
Kazi nzuri
Kazi nzur sana wana Secilia
Safi sanaaaa
Mambo ni motoo hongereni mt secilia
Hongereni sana👏👏
Kazi mzuri.
Glory be to God. Be blessed!
Umbarikiwe sana
See you Mr. Emil Shayo... One of the best Teacher I have ever Meet bila Kumsahau Brother Amon... More congrats to you Guys... Nkiwa Mkubwa nataka niwe kama nyie😆🔥🔥
Official Amon OSB, kijana wangu Emily Shayo🔥🔥🔥 kazi nzuri sana Wana secilia
Great job, big up
Am really blessed with this song 💝❤Be blessed
🔥🔥
😊👏🔥
🎉🎉🎉
Asante sana ❤
Hongera sana
🙏🙏🙏
Kanzi nzuri sana,
Lakini kutoka kwenye melodi ya asili ya Mbiu, kanuni za kimuziki wa kigregorian zilizingatiwa. Utenzi wa mbiu ni utenzi wa furaha na miondoko yake katika gregorian chant ni miondoko ya furaha. Ndio maana Nota za neno mbinguni ni za sauti ya juu ili kutengeneza umbo la picha la kitu kinachoongelewa. Melodi ya wimbo huu haijakaa kimashqngilio na hivyo inahuzunisha zaidi ya kufurahisha.
Exactly my thoughts...uko sahihi Gregory