- Видео 3
- Просмотров 31 898
KWAYA YA MT. SESILIA NDANDA
Добавлен 7 апр 2023
Sema nasi(Official video)-Kwaya ya Mt.Sesilia-Ndanda
●Wimbo-Sema nasi
●Mtunzi-Emil Shayo
●Waimbaji-Kwaya ya Mt.Sesilia-Ndanda
●Organist-A.J.Myonga
●Production-Gls Pro
All glory to God
●Mtunzi-Emil Shayo
●Waimbaji-Kwaya ya Mt.Sesilia-Ndanda
●Organist-A.J.Myonga
●Production-Gls Pro
All glory to God
Просмотров: 2 199
Видео
UZURI WA PASAKA (Official video) - KWAYA YA MT. SESILIA - NDANDA
Просмотров 16 тыс.Год назад
■ WIMBO : UZURI WA PASAKA ■ MTUNZI : EMILY SHAYO ■ WAIMBAJI : KWAYA YA MTAKATIFU SESILIA ■ PAROKIA : PAROKIA YA NDANDA ■ ORGANIST : A.J MYONGA ■ AUDIO & VIDEO CREDIT TO GLS Pro Atukuzwe Mungu milele. Subscribe and turn on notification.
MBIU YA PASAKA (Official video) - KWAYA YA MT. SESILIA NDANDA
Просмотров 14 тыс.Год назад
Wapendwa wana-familia ya Mungu, kwaya ya Mt. Sesilia inawakaribisha kusikiliza na kutazama wimbo huu "MBIU YA PASAKA" Tunapongojea ufufuko wa Bwana wetu Yesu Kristu, Rabi na Mkombozi wetu. Tumsifu Yesu Kristu....... WIMBO : MBIU YA PASAKA MTUNZI : FR. CORNELIUS MDOE OSB WAIMBAJI : KWAYA YA MT. SESILIA NDANDA ORGANIST : A.J MYONGA CREDIT TO GLS Pro Tafadhali usisahau ku-like, comment na ku-share .
Kaka shayo wewe unajua kwa kazi njema na wanakwaya wako mungu awabariki
Ee Bwana Sema nasi Hongereni sana na Mungu Awabariki ❤
Pongezi sana🎉.sema nasi bwana Upendo ❤ ututawale maishani mwetu.
❤
Waoooo!!! Hongera sanaaaa
Kazi Nzuri
🔥🔥🔥💯
Hii nyimbo imesimama sana 🎉 4:07
Mtunzi nenda Canteen kale chakula nitalipa
Hongera sana kwa Mtunzi tungo tamu, Maestro Emil
Wow❤❤
Wimbo mzuri😍
Utunzi mzur hongereni sana
Hongereni sana Mt Sesilia, kazi ni nzuri
Sem nasi Bwana 🤲🤲🙏🙏 hongereni kwa wimbo mzuri MUNGU wa mbinguni awabariki
Sema nasi Bwana 🙏🙏
Sema nasi Bwana! Hongereni sana kwaya Mt. Secilia- Ndanda kwa uinjilishaji
Hongera kwa utume wa uimbaji nabarikiwa sana kama mbingu zinafunguka vile
Aicee paka mwili unasisimka najikuta chozi lanilengalenga
Hongereni Kwa wimbo mzuri mbarikiwa sana nimewamiss sana
Ongereni sn Kazi mzuri sn ya kumsifu Mungu Ndanda Hakika Morogoro tunawasoma mbarikiwe sn
Mungu Awabariki Watumishi wa Mungu.
Hongern wimbo mzur kaka shayo Mungu akulinde na akutangulie
Great job,Thank you ❤
Mungu awabatiki Sana nimebarikiwa
Glory be to God. Be blessed!
Hongereni sana kwa utume
Kazi nzuri jamani Mungu awabariki sanaa
Kazi nzuri ray ufunguo
Kaka Emily naona mzki mnene,,, hongereni sana mt cesilia ndanda
hongereni sana jamn, nimeupenda sana huu wimbo copy yake naipataje
Mungu aendelee kuwatumia vizuri
Hongereni sana. Br. Amon na wenzio mbarikiwe sana.
🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 sauti nzuri sana nmefurah sana mtwara mambo ni moto
🔥🔥🔥🔥 Mungu aendelee kua nanyi
Am really blessed with this song 💝❤Be blessed
Hongeleni sana wimbo mzuri sana 💞🔥 Mungu awabariki sana na GLS upo vizuri sana❤❤
Hongera sana kakangu Emil shayo uko 🔥🔥🔥🔥
Mt Sesilia Somo wa kwaya utuombee
Good
Waaaaaoh kazi nzuri❤
Mungu awabariki wote pamoja na mwalimu wa kazi kazi nakuelewa mwalimu katika kazi Zuri
Mungu awabariki wote pamoja na mwalimu wa kazi kazi nakuelewa mwalimu katika kazi Zuri
L
L
Llll
Llll
Hongereni kwa utume mzuri Mungu awabariki
Kazi nzuri
GLS uhakika 🔥🔥🔥 Hongera nyingi sana kwa wanakwaya na wote mliofanikisha kazi hii 😇😇😇🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Hongereni sana munaupiga mwingi
Wow!....Raha sana
Hongereni mnoooo
Endelea kumtumikia Mungu mdogo wangu...we are so proud of you.
Hongereni sana mnatupa afya ya moyo kwa wimbo mzuri mbarikiwe sana 😊😊