Duh Safari hii watu wamechachamaa kumtafuta zuu sio mchezo si bibi si sania si bamkwe we famchezo safari hii lazima apatikane dadek weka like apa kama unaamini watampata zuu
Candy mwana kuyasearch mwana kuyafound,,,ulikuwa na mbio ata ulikuwa hushikiki haya tulia ulee kitumbo sasa😂😂😂😂ila sania nawe ni moto kilà mtu kwako sawa huogopi zinaa wewe
Chiko chiko chiko nime kwita mara 3 😢😢😢kuwa na hofu ya Allah basi unatoa maneno makali kiasia hicho kwa mkeo kweli😢😢😢😢😢😢masha Allah navile uko na mke mrembo 🥰🥰🥰
Huyu chiku nae anavyo mjibu mkewe 😢ajui km kuzaa nimajaliwa ya allah 😢😢mungu awafanyie wepesi wanawake nyote ambao amjapata watoto Kuna wengine wanapitia changa moto Sana
😂😂😂kimenuka huku marafiki wamegeukana Kila mtu anatoboa Siri Shania wewe 😅😅ebu tuletee zuu wetu jamani alf Kai manze amechange😢 anyway wanapenda waigizaji wangu ❤❤❤
Busati Tv Fans WhatsApp 👇👇
chat.whatsapp.com/EXedjPddrA9C1XIkEg36JP
Oyooooo
Hongereni.sana
Twende ivi ivi nasio kutuwekea watu ambao hawana vibe afu hatupendi izo mambo
Twende ivi ivi nasio kutuwekea watu ambao hawana vibe afu hatupendi izo mambo
Duh Safari hii watu wamechachamaa kumtafuta zuu sio mchezo si bibi si sania si bamkwe we famchezo safari hii lazima apatikane dadek weka like apa kama unaamini watampata zuu
Zuu apatikane tu mambo yaende poa
Atleast Leo kuna improvement 🎉🎉🎉🎉🎉 zuu apatikane haraka iwezekanavyo🎉🎉
Umeona enh
@@AdamZainab-mb7qj yea
Ata mutume saa ngap tuko macho watu wangu wa gulf tujuane😂😂😂tuna lala leo tuna amka leo
😂😂😂😂hii kal wallah
@@BintTatu au sio mtu wangu 😅😅😅
Umeongea kabx😂😂😂
😂😂😂😂
@@user-qj2xc8gd5wno kulala hapa
Dah kumbe ukibonyeza comment mara tatu inajicopy🤚🏼🔥
Unataka like tu nyau ww😂
😂😂😂😂😂 walai
🤣🤣🤣🤣
Yan wew umejua kutuuza kweli 😅
Nimekustukia unataka like muombe bibike zuuuuu😅😅😅😅😅
Kuna gali like limedondoka hapo wahinii jamni mbona huba hamuombi jua kali hamuombi mnatowa maoni tu huku hakuna hoja ni like tui😢😢
Candy mwana kuyasearch mwana kuyafound,,,ulikuwa na mbio ata ulikuwa hushikiki haya tulia ulee kitumbo sasa😂😂😂😂ila sania nawe ni moto kilà mtu kwako sawa huogopi zinaa wewe
Hao jua kali na huba wasenge wanazingua wacha tukomae na hii hii ni tamu tuu
@@user-hb2nn6ud2d kama sukali wapi kendy
Wakwanza Leo Ni Mm nipeni like nzangu from USA ❤❤❤❤
Mizimu ya nyanya inafanya kazi hapo chacha nyanya zuu apatikane❤❤❤❤❤
Team candy ona venye kimemramba dada yetu mungu asaidie zuu arudie hali yake ya kawaida watching from saudi
Nimechelewa mie 😢😢kazi mingi huku gulf,naomba na like mie tafadhali
Kazi nzur
Lkn tujifunze kua mtoto hatowi mwanamke ila anaetowa ni mungu pekee
Hayah Leo nimewahi ila mashoga ugomvi ndio huu umeanza Sasa Siri zitafichuka jameni 😂😂😂 enjoying from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Me too 🥰 from Kenya
Mida gn jaman hii😂😂😂😂lkn kibwagizo cha leo n zuuu,,,halafu leo bodaboda kachinja nn.........warereeeeee nawapenda snaa ❤
jaman namm leo sijachelewa sana naombeni japo like kidogo tu
Kwani hizi like ni chakula jamani
Hahahaha saw kipenzi tunakupenda❤❤❤
@@GetrudeChengula 😂😂
Hii iko moto mpaka karibu watu wote wana mtafuta zuu kwakweli atapatikana na akipatikana kichaa kwisha❤❤❤
Kula chuma icho hakuna siri ya wa2 wawili ngoja muone best yenu candy atakavyozalilishwa na best yake
Guys namiss zuu please naomba kesho kumuona aky maua yenu haya🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉kenya 🇰🇪 we love our neighbour ❤❤❤❤❤
Tim sania mpoo naomben like zenu jaman
Nimechelewa lakn nimefika naomba like zenu jmn❤❤❤❤
Baba Kai ni mbonge la HB maan nimemuona kweny series ya koneksheni NI mwendo wa suti tuu, yuk vzr
waah kila mtu anamtafuta zuu .jaman mizimu y bibi inafanya kaz❤❤❤ munipee like bx
Pole sana dada ambaye huzai usikate tamaa kuzaa ni majaliwa ya mungu
Nani ana upendo wa dhati Kwa zuu Kam alivo baba Kai naomba tujuwan Kwa like hapa!!
Eeeh number 10 Leo mungu asifiwe sana❤❤❤❤Nawapenda sana nyie wote
Cheza na mapenzi wewe sania fanya uwezalo zuu akue sawa umpeleke kwa kai roho safi hii ni kali buana natamani iishe 2030😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Leo wakwanza nipewe like zangu
Likes 🎉🎉
Mwenye bahati mbaya atalike sipati
Upate like umeigiza ww? acha shobo bwana
Jak@@silviaamakweliukweliutajul8395jajunya cha nyambutavyuvya biragucha😂😂😂
leo wa kwanz NAOMBENI like
𝐇𝐚𝐩𝐚 𝐢𝐦𝐞𝐟𝐢𝐤𝐚 𝐧𝐝𝐢𝐨 𝐩𝐚𝐭𝐚𝐦𝐮 𝐱𝐱𝐚 𝐰𝐚𝐩 𝐥𝐢𝐤𝐞𝐬 𝐳𝐚𝐧𝐠𝐮😂😂😂😂
𝐂𝐚𝐧𝐝𝐲 𝐧𝐢 𝐦𝐰𝐞𝐧𝐝𝐨 𝐰𝐚 𝐤𝐮𝐚𝐠𝐚 𝐮𝐭𝐚𝐣𝐢𝐫𝐢 𝐮𝐦𝐚𝐬𝐤𝐢𝐧𝐢 𝐮𝐧𝐚𝐤𝐮𝐡𝐮𝐱𝐮😂😂😂🤣🤣🤣🤣
Likes zangu na mimi jamani Leo mPema nimewai
Mm nilikuwa naona nimerauka kumbe wenzangu mumelala hapa😂😂😂
Wachawi wa imaya ya busati mnatupostia move usku usku 😅 kaz nzur maua yenu 🎉🎉
Hatari
Jamani munipee like na mm leo basi 🙏🙏hata tano
Kuna scene zengine wanaongea sana director please angalia hili juu target ya mda inaisha haraka na inaisha tayari
Ni keeping visivyo vya msingi wanavipa mda mrefu
@@Nashoni1996 kabisa yani
Hili tumeliongea Sana lakini hata hawarekebishi
Kabisaa wanaongea mpaka wanaboa
Jamani house girl ni nzuri ila jitahidini kutoa kwa wakati naombeni ikiwezekana hata vipande viwili kwa siku
❤❤❤
Zuu 😢ako wapi tafadhalinii tupate zuu plss apone ❤ yule mama boss wakeko roho unyama ............sana mungu awalaniii...milele 😢😢😢😢
Ni lazma Leo mnikome nimekuwa wa kwanza ku comment
Ila candy bana,ati kwan nyie mmeamua kufanya kweli😂😂😂 🙌, aaaaweeeeh 😅...ushoga umekua uyogaaa😊 ama kweli udugu kazi ushoga heka heka # bodaa nawe umenikosha,tania auza mchele ataka mteja aende na mfuko,khaaa! Busati tv hatareeee🎉🎉🎉🎉
Hata mkituma sakumi ya asubuhi tupo tayari kibisa,shoga mwenzi kishamramba😂😂
Hahaha kazi anayoooo
Wakwanzaaaaa hiooooo❤❤❤❤
Leo nimewahi like zangu jamani ❤❤❤
Nipeni like zangu hatakama nimechelewa
Nc movie ❤❤
Hapa Zuuh sisi Tunamleta, We mzee utazunguka saana, 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Zuuh yupo zake kule amemeza Panadol Za Kenya😂😂😂 👽👽
Omba omba wa like mumesha Anza kuomba angalien move
Daaaah nimeisubili Sana jamni Ahsantee kwailo ❤❤🎉❤🎉❤🎉
😂😂😂😂Mnaomba sana like, si muangalie kwanza
Waambie
@@Phoebenafula yaani ni changamoto
Nampenda kendy sababu amevaa uhusika wake vilivyo alafu ananhaya😂😂😂 kiukweli wanifurahisha dada❤
Daaah hii kali nawapenda sana gyz inakaribiea nlipotarajia❤
Namu ❤❤nimependa sana kabisa🎉🎉aduwi wa rafiki yako ni rafiki yako❤❤ongera san🎉🎉🎉
Nani anae tamani kai jinsi anavo mnyemelea zuuu chumbani kwake
Nyanya kaendea mjukuu wake.kweli uchungu WA mwana aujuaye mzazi❤❤❤🎉🎉🎉
Hongereni sana busati tv🎉🎉🎉❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪
Nilikuwa nasubiri kabisa !
Chiko chiko chiko nime kwita mara 3 😢😢😢kuwa na hofu ya Allah basi unatoa maneno makali kiasia hicho kwa mkeo kweli😢😢😢😢😢😢masha Allah navile uko na mke mrembo 🥰🥰🥰
Kaz nzuriiii ila wanachelewa bhn unawek kibando chako ukija mzigo bado 😅😅ila ndo Ivo na enjoy tyuu
Huu sasa ndo utamu wa move, move imefika patamu sana tunaomba msitucheleweshee sehemu inayofuata jamani tunaisubli kwa hamu
Achen kuomba like ndo maana zuu apon 😢 naomben likee
Chiko hata kama tumia busara basi maneno makali kwa mkeo ye sio muumbaji tambua
Huyu chiku nae anavyo mjibu mkewe 😢ajui km kuzaa nimajaliwa ya allah 😢😢mungu awafanyie wepesi wanawake nyote ambao amjapata watoto Kuna wengine wanapitia changa moto Sana
Tangu muombe like mumenunua magari mangapi 😂😂😂😂😂
Hahahaha wapo kwenye folen wanafata magari yao
@@user-ln3nu4tt5y ahahaha jaman 🤣🤣🤣
Sisi timu zuu tuko kimy wameanza kugeukana wenyewe tunasubiri mabomu yao yalipuke
Tu pmoja my
Jamani cand ameyakanyaga
Baba sikia vile unaambiwa mm naona Sania atakulea zuu kuwa mpole team bangi uku wangapi jmn😊😊
Movie yenye Iko simati sana n nimeipenda sana
Candy kitakurambaaa ss anyway lipe like hata kumi please🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
😂😂yani sema mnajua kurauka Sana🙌
Haya sasa mutu n'a shoga yake mambo yanataka kunoga apa ndo patamu sasa ❤❤❤
😂😂😂kimenuka huku marafiki wamegeukana Kila mtu anatoboa Siri Shania wewe 😅😅ebu tuletee zuu wetu jamani alf Kai manze amechange😢 anyway wanapenda waigizaji wangu ❤❤❤
Mpo vzr san Alf Kendy anajichekesha chelesh litamukut jambo
Jaman zuuu wangu ni the best woman nakubali kichizi love this girl
Wenye wababa like apa
Pole mwanamke mwenzagu kwa kusakwama kwa sababu ya kuzaa
Jaman nipeni hata like 10 zinatosha
Kumekuchaa😁😁😁like vipi wadau
Ya leo tamu Sana jaman nyie noma❤❤
Konde boy coming number one yau yau🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Nimekupenda bure sania❤❤❤❤
Na mm leo nimejitahid kuw wakarib san nawapend saan mno 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Sania bwana et moto umewashwa sherry
Mnaoomba like mushike adabu zenu ombeni pesa ndo chamaana shenzi nyny
😂😂
Wa kwanza leo
Sawa
Kazi
Njema
Nimependa
Kazi
Yenu
Asante sana 🙏🙏🙏
Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪
Movie
Nzuri
Tamu
❤❤
Nimefurahi
Asant san Ira munawek usik saan kwer mubadir kwer vipnz ❤
Zuu amekua madini Kazi kwelikweli❤️❤️
🙏🙏🙏
Hi ndo house girl ukisikia nyegne photocopy🎉🎉🎉
Lkn MPO GOOD 👍 KTK HII TAMTHILIA MMEJUA KUINGIZA.
Mpo bize kuomba like Mgumba anataka kupewa mudathiri Yahya
Jaman jamn kila movie inaenda kuwa pambeeeeeeeeeeee♥️
Ila candy bwana yatalushinda h😅😅😅😅😅
Jamani next episode zuu apatikane 😢😢😢
Naona kuna Moto kunaenda kiwaka episode 33
Sania basi akanuaga we candy nilikwambia kam bitakurudia ngoja sasa kidogo lakin busati munatufanya tusilale kabisa 😂😂😂😂
Yani watu hawalali wanasubiri Hadi Saa nane😂
nani kaona boda boda alivochangamkia tenda😂😂😂 any way soon zuu atapona 😂😂
Pole sana nilishaipitia hii hali Allah akupe subra nilishaipitia kukosa kuzaa
Zuuu utakuwa sawa habbty wanguuuu❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
Mbona ss ivi mnacherewesha moves
Zuu lazima apatikane mimi nataka candy aibike😂😅 kicheko Cha candy iko
Jaman Hii muv nataman isiishe tam mno mmejua kuicheza ❤❤