Mashall munapedeza sana kwaizi film siko mojaa kabula ya ndoa na penzi la mototo wa boss na dada wa kazi nawa peda sana 💕💕💕🫶🫶🫶🫶🫶🫶🫶🫶🫶🫶🫶🫶🫶🫶🫶🫶 yani Mimi na ishi uganda
Mungu akupe funzo zaidi kelvin pamoja na team yako Kwa sababu tangia nianze kuwafuatilia Nina experience ya maisha na Nina Imani Kuna wengi pia wamejifunza nawatakia kazi jema manzotuadalia
kazi nzuri sana, donta tv family hamuja wayi kutuangusha hata siku moja, na njo maana hatuta choka kuwafatiliya sisi kamwe, shabiki wenu nikiwa south africa❤💪
Hongera kwa kazi nzuri nimepitia filamu zako zote nimejifunza mambo mingi san jinsi yakukaa na watu pia kwa ndoa kelvin mungu akubaliki na akupe kunguvu kazi nzuri watching from saudi
Mungu akuinue kelvin nkupenda sana kaka aki filamu zako nazifatilia sana na zinanipea mafunzo mazito sana zanifariji moyo wangu I love you ❤❤❤ broo natazama nikiwa Kenya mungu azidi kuinua talanta yako ❤❤❤❤❤
Mara nyengine badilisha Jina ya filamu,ilioandika PENZI LA TOTO WA BOSS NA DADA WA KAZI,apo filamu inajielezea kabla tá kuangalia...Weka madjina mafupi fupi.😮❤ Sha kumalizia munatumia muda muingi sehemu moja. Muwe munabadilisha madjina
Nmejifunza mengi tangu nianze kuwatch hiki kipindi Kelvin iyo talent uikeep it up bro God bless you so much
Mashall munapedeza sana kwaizi film siko mojaa kabula ya ndoa na penzi la mototo wa boss na dada wa kazi nawa peda sana 💕💕💕🫶🫶🫶🫶🫶🫶🫶🫶🫶🫶🫶🫶🫶🫶🫶🫶 yani Mimi na ishi uganda
Nimefurahiya fundisho la validation ya juu
Congratulations for you kelvin khan🎉🎉🎉🎉🎉 tumepataaa ujumbeee❤❤❤
Asante
Kevin,wewe ni kati ya the best actors we have in East africa.hongera sana
Team kelvin muw mnawahish jamn tunamiss San Kaz yen ❤❤❤❤
Mungu akupe funzo zaidi kelvin pamoja na team yako Kwa sababu tangia nianze kuwafuatilia Nina experience ya maisha na Nina Imani Kuna wengi pia wamejifunza nawatakia kazi jema manzotuadalia
Amina 🙏
P
kazi nzuri sana, donta tv family hamuja wayi kutuangusha hata siku moja, na njo maana hatuta choka kuwafatiliya sisi kamwe, shabiki wenu nikiwa south africa❤💪
Asante sana
Naomba nafasi na Mimi please@@Dontatv255
mbona mwendelezo Amna kaka
Lina
Kelvin nakukubali Sana mkovizur mno yaa mpaka ndoa yangu imekua mpya sasa kupitia nyie yaa nafurahiya ndoa yangu 🎉🎉🎉❤❤
🎉🎉🎉🎉
❤❤❤❤
Yanga
Mungu ni mwema ❤
Kweli
❤❤❤❤❤❤❤much love to you James endlea kkuza kipaji na kelvin usimuache mtafika mbali insha'Allah 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Amina acha unafki Kelvin hakupendi
Wallah hii movie nitamu sana na inamafundisho ndaniyake iwapo nimwanzotu ila nimepata utundaniyake", more love guys 🥰🥰
Sawa inakuja part 2
Kelvin nakukubal San. kaka yetu brown umemwach wap jmn mnapendezana sana🎉🎉
Hongera kwa kazi nzuri nimepitia filamu zako zote nimejifunza mambo mingi san jinsi yakukaa na watu pia kwa ndoa kelvin mungu akubaliki na akupe kunguvu kazi nzuri watching from saudi
I mean akupe nguvu
Asante sana
Nimewahi navile nilikuwa naingojea finally ishaa toka❤❤❤❤
Asante ❤
oy kaka mnapendeza sana wewe na loveness👌👌👌👍👍👍
😅😅
Nakubal Sana broo Kaz Zako kelvin mungu akubalik na akuzidishie kipaji chako mara dufu🎉🎉🎉🎉🎉
Wow😮 kazi nzurii next episode please
Kelvin napenda Sana movie zako aswa Ukiwa na lovenes jamani kazi nzuri 😊
Kelvin tuna tak part 2 iyi film Niya bien San🥰
Mungu hakupi vyote uyu ravnesi mzuri rakini anamatege😂😂😂😂 km umeon nirivyoona mimi naombeni Iike 🎉🎉🎉🎉🎉😂
Uumbajii wa mollah
@@fatumahashimmcheni9610 wandiomn nikasema mungu hakupi vyote
@@fatumahashimmcheni9610 kwaiyo😏😏
Nmependa
Naam dear japo binadamu tunaukosoa umbaji wake@@fatumahashimmcheni9610
Mwendelezo uwai,kinakitu umenifunza kaka kuusu mapenzi nabiashala❤❤❤❤❤npo apa nasubili muendelezo
Penzi la mtot was Bos na dada was kaz
Yani mamb ni moto💫💫 ila ikianz kufik ep ya 5 t munaanz kupunguz mda muach iviv ila chukuw mauw yak kelvin🎉🎉🎉🎉🎉
Sawaa
Unyama mwingi mzee baba na wakubali sana team donta love from ❤❤❤ Drc Congo Lubumbashi 🇨🇩💙💙🇨🇩🇨🇩💥💥💥
yani nagupenda sana wemuka Kelvin ❤❤❤
🔥🔥🙌
Amjawai nifail team kelvin ❤❤❤ tamu sana na lenye mafunzo ,,,,shabiki from kenya
Am here with Yu dear
Kaka nimekukubari sana apo kwenye gari ndani uyo dem alivyo kuwa anakushobokea afu wewe unakausha apo umeua sana kaka 🔥🔥 yaan kiboss 👏👏
Kerivini 32:01 wewenibwabwa tu💪🔥💯👹👺🌝💀😈👿👽🥶🤮😰😤pianizuchutuwewe😢
I liked the conversation of the two ladies lived together,under one roof.....this world is full of lies...Nd disappointments.😅😅😅
😂😂❤
Sijawahi kucoment but leo naomba mungu akulinde na akusimamie ufanya makubwa zaid ya hayo🥰🙏🙏🙏
Kelvin you use to appear very smart keep it up kaka na pia kazi zenu ni njema
Brother watu wanaulize Mariam ndio mke wako Wanda? Nipe jibu kk
Nassara naye penzi lake kelvin ua alipati,,kazi njema lakini kelvin kenya tuko imara na twa ngoja mwendelezo kaka
❤❤❤
Wow mr kelvin nainjoy sana kuona movie zako ❤❤❤❤❤🎉🎉
Kazi nzuri ❤❤mob love from Kenya 🇰🇪🇰🇪
Jaman Donta raha sana yaan kitu juu ya kitu ❤❤❤
Kabisaa
jmn napend movie zak kelvin
Mawaida mwafaka👌👌👌 next ije kwa mpigo na usicheleweshe tafadhali ♥️
Sawaaa
Love you
Sawaaa
Namkubali sana Kelivin wagapi wanamkubali nione like
Napenda kazi yenu kelvin mna mafunzo mengi mazuri kwetu tukizingatia movie zenu❤❤❤
Kinjana wewe unatisha KBS movie zako nzuri sana KBS tena ni shauri mzuri ❤❤🎉😊 🙏🏼🔥
Navutiwa sana movie zako kaka kev
Mapenzi sio pesa Mapenzi ni muunganiko wa hisia baina ya mwanaume na mwanamke asante kaka kervin
🔥🔥🙏
Kama dawa kama kawa mapenzi so pesa kabisaa m2 asidanganye💯💯🇳🇴🇳🇴🙌🙌💜💜
Kelvin huwa unanifurahixha xaan huo mximamo ulionao
Upendo ❤ toka 🇧🇮.. Hii itakua bonge la Movie.. Big Congrats Brother Kevin Khan.. 👏
Asante sana
Duuh!! Kwa kweli movie Kali sana
Asante sana
Kluvn
@@Dontatv255jamn kak
Upo ap
@@Dontatv255up ap
Hongela Sana kwa kazi nzur sanaa Kelvin pokea mauwa yako 🎉❤❤😂😂
Nakubali donta tv,Kelvin big up bro,nipitieni guys to grow pamoja.
Kaka hii movie ni tamu mwanzo hivi huko katikati itakuwaje hongera sana donta tv pia muda mmeongeza kidogo ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Hi.
Big up bro naimn tutaenjoy n tulikua tumemmiss loveness maan hakua ktk series y SIKU 1 KABLA YA NDOA YETU so nafurah kumuona tena
Mtaenjoy sana akikisha aukosi ❤
Dando tv
Waooo kitu kipya ico piga kelele kwa Kelvin khan 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Piga kelele😂
Woyooooooooooo kwa donta tv from 🇰🇪 nawapnda bure❤❤❤❤❤@@Dontatv255
Eeeeeh
Soooooooo good
@@Dontatv255msiwe mnachelewesha basi kutoa move
Jameni kama wewe ni mshabiki wa KELVIN weka like❤❤❤❤❤
❤❤🎉
Waooo Kelvin Mimi sijah kupata hata like moja naomba jamani
Hunipatatu
kazi nzuli
movie nzuli sana
Woooow nasra ndan ya nyumba nimefurah kumuona
❤❤❤
Napenda sana dontas movies. Nawaminia sana from kenya
@@Dontatv255napenda muvi zenu jaman mungu awajalie
Love Ness ulikuwepo wapi we mdada tuli ku miss mno karibu tenaq❤🎉
Xaw kk iko vizuri good kaz nzur kelvin ukiw na loveness❤❤❤❤
Asante sana
@@Dontatv255 ukiwa na lovness mambo good
mie ombi langu naomba nijue itakuwa inatoka siku gan na muda gan
Kazi nzuri San kak ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Napenda sana kuangaria movie zako Kevin Kaz Yako ipo vizur sana
Movie nzuri nawapenda sana ❤❤❤😂
Asante sana
Movie ninzuri ila watupe ep ya2
@@Dontatv255 So nice❤❤🎉🎉
Ndio
Huyu nasla msimtupe tena n mazuri tena mrembo.akue kwenye series nyingi za dontas pliz
Safi sana 🎉🎉🎉 Kelvin 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 watching from saudi Arabia
Napenda sana kazi yako kelvin hongereni sana sana 🤗
Weeh nafurahi sana kukuona kelvin I wish one day we will meet Mimi niko Kenya
Sijawahi kucoment leo nisku yngu y kwnza bt hongera sna kelvin movie zko nzuri tna tamu na zinafundsha vitu vingi sna hsa kwnye ndoa
Shukran Kwa kulete nassra nilikua na miss sana nassra nakupenda sana na kelvn nakupenda sana kutoka kenya
Asante sana
nzuri san mnafny vzr xn
mbn alikufa 😂😂
Wow nilikuwa nimeitegea Kwa hamu na ghamu akiiiiiiiii
Kazi nzuri...ila achiyeni episode ifwuatayo kwa uharaka itakuwavizuri zaidi
Kelvin nakuamini sana kaka yangu wenye wanampenda kelvin like zenu apa❤❤🎉
❤❤❤❤❤❤
😂 People that fix shut 😭🖕🏽🤜
Ooo dada nasra kafik jamon nampenda san dada nikisem kipindi kauwaw hhhh sitomuon ten ❤❤❤❤❤ nawapenda san
Jamani nzuri sna kabx tutaifuata kka kelvin ushauri wenu bado tunauhitaji mbalikiwe❤❤
Asante
Kazi nzuri jamani 🎉🎉🎉🎉
Asante sana
Nimejivunza kitu kutoka kwa Kelly katika movie zote napata mafunzo mazuri sana ubarikiwe n mungu
Mko vzr mungu awajalie mtoe move nzr.zaid
Yani huwa napenda sana move zako hasa kwenye move ikiwa naloveness❤❤❤❤na kelvin
Asante sana
@@Dontatv255❤❤❤
Kelvin kazi zako ni og nakukubali xnaa🎉🎉🎉🎉
Asante sana
😢😮😮😮😢
Nasra nilikuwa nimekumiss sana karbu sana tupo Wana familia ❤❤❤❤❤
Kajaa ❤
Waoooooh nilikuwa nimekumic jaman nasra❤❤❤
Thanks 🥰
@@Dontatv255nampenda sana nasraaa
Nimependa ushauri Kelvin kuhusu mapenzi hongera sana much ❤️ from 🇰🇪🥰🥰🥰🥰🥰
Alie sikia tobaaa aweke koment hapa❤❤
Mungu akuinue kelvin nkupenda sana kaka aki filamu zako nazifatilia sana na zinanipea mafunzo mazito sana zanifariji moyo wangu I love you ❤❤❤ broo natazama nikiwa Kenya mungu azidi kuinua talanta yako ❤❤❤❤❤
Asante sana
@@Dontatv255congrats
Gonga like hapo kama unamkubali kelvin na donta TV ❤😂😂😢😮
Asante
@@Dontatv255 jamani nataka niigize nanyi mnapatikana wapi jamani
Iko powa Sana ❤️❤️💯
Asante
Nimeanza leo kuwafatilia nawapenda sana mpo kwa ajili ya kutufunza ❤❤
See kazi nzur😊😊😅😅😅😅😮😮
Pongezi kwa kweli mko vizuri.
Asante sana
Nimewahi leo naomben like zang kazi nzur jaman tuwape mauwa yao🎉🎉
Sawaa
Hongereni sana kaz nzur
Kaz nzuri 🎉
@@rebekakajange8096n
Poa
Lissa again nakapenda sana haka karembo
Nakubali sana kelvin team 🎉😮😢🎉😮😮😢😅
Kazi nzuri sana kaka, napenda filamu zako kelvin
Kipaji kikubwa kaka unacho ... pambana 🎉🎉🎉🎉🎉
😢
Hususwan akiwa na loveness inakuwa pambee hongera kelvin
💓❤️💓movie nzur big up donta tv
Asante
Nakubali donta tv like kwangu
Hizoo
Napenda sana movie zako nikiwa kenya
Muendelezo ikuje harak hij movie tamu sana❤❤❤
Nilisubir sana🎉
Imetoka tayari
Mr kelvin for sure you are such a blessing and teaches us more Mungu akubariki tena Zaidi kaka ❤❤❤
Asante sana 🙏
Wanaume wote wangekuwa serious kama kaka Kelvin
Ingekuwaje 😂
@@Dontatv255Dunia ingeona Mbinguni🤣🤣🤣
Wow mashallah pongez kwa wahusika wote❤❤❤🎉🎉🎉
Jaman iyo ya leo xio pw timu kelvin mungu awaongoze mbele zaid❤
Kazi nzuri sana kaka
Sijachelewa sana wana donta tv naombeni likes zangu😢😢😢😢
Sawa karibu
Mara nyengine badilisha Jina ya filamu,ilioandika PENZI LA TOTO WA BOSS NA DADA WA KAZI,apo filamu inajielezea kabla tá kuangalia...Weka madjina mafupi fupi.😮❤
Sha kumalizia munatumia muda muingi sehemu moja.
Muwe munabadilisha madjina
Sahihi.
Mwanzo muzuri sana, ndo nimeinja movie
Penda sana Kelvin ❤❤❤ tafuta mke mwengine uoe
Kelvin Nakupenda sana
Asante sana ❤
@@Dontatv255kelvin unajuwa ndugu unapiga kwenye mshono kk
Wah leo nasla alikua amepotea sana
good job bwana juliaus smith😊
Asante sana 😂
❤❤❤❤❤l Love you🎉🎉🎉
Jaman mjitahd bax ktoa vpande ving et tnawapenda❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Sehm zinazofut zisichekew 😢😢 ❤❤❤naipend san movie