Real next forward 1.Our doughter Zuchu,ukitaka kuolewa na huyo kijana na mkadumu nayeye,usiingilie kazi zake kabisa.hakuna mwanamke anayeweza kukaa na huyo kijana angu,kama utaonyesha dalili za kumwingilia kwenye kazi zake/kutaka kumtawala.
Yaan mwanamke akiwa na mahusiano na mwanaume ila kutwa nzima yeye ndo anajitangaza jua tu hamna mapenzi hapo. Mwanaume ndo huwa anaclaim mwanamke na si vingine
Acha unafiki zuchu hapo amekubali kama diamond ndio bwana ake? mbona wewe una roho ya kichawi khaaa! utake usitake kweli ni bwana ake dalili zote zinaonyesha hutaki kufa
Ndugu zangu mungu akiwa upande wako akuna aliye juu yako nakimbuka hawa watu Mara ya kwanza walikuwa wamejiwekea kuwa wcb fo life yeani akuna maisha mengine ukitoka na kwel q boy aliondka akaenda kuteseka akaondk rich mavoko akaenda kuteseke gemu ikamshinda boss tukubalini t2 hawa akuna ndoa yoyote ni kiki ila harmo jmani tujifunze kwake achana na mabaya yake mungu akiwa upande wako daah hatari na atawasumbua sana mende na domo!!!! Hahahaaaaaa
aki mapenzi wewe nikikupata akiiii😂 …. but i hope hatakuwacha manake …love is allover your face and you blush a lot … happy for you zuchu🥰😍😘
Waau interesting
Pw
Zuchu uzazi anao aje kwNga Nampa wki ataz kilnki 0:00 @@isaboymoja3071
Niambiye kwa jinako
Mungu akutangulie zuchu la ni mapenzi ya kweli
ayo mahaba kweli au mnapasua kweli kama kweli moo kwenye mausiano kweli mungu awabaliki muoane
Real next forward
1.Our doughter Zuchu,ukitaka kuolewa na huyo kijana na mkadumu nayeye,usiingilie kazi zake kabisa.hakuna mwanamke anayeweza kukaa na huyo kijana angu,kama utaonyesha dalili za kumwingilia kwenye kazi zake/kutaka kumtawala.
Love is real,,kwa wenye wanaonyesha mapenzi ya dhati❤
Yaaaniii mpaka rahaaa mumenifanya nafwatilia utadhani nalipwa vile love you zuchu en it will be my happiest day if I tol its true ❤❤❤❤
Zuchu umemua kumpenda Mondial we mpende❤❤🎉
Mdogo wng Zuchu ucjal ktk Mapenzi usione aibu km kwl unampenda Diamond kutoka Moyoni mwako hakuna tatizo sema tu Ukwl... Mashabiki zako tunawapenda Woote
We love you zuchu ft diamond platnumz
Upu Uzi mtupu
Zuch we unanikosha co kidog natamani one day nimu face live yn ach2💃💃💃🤪🤪cecil cute
Nakuelewa Sana zuchu mdada mrembo ❤️❤️❤️❤️❤️
Mung akulind
Hizi kiki noma ,tarehe 14 zuchu atakuja na mchumba wake halafu Diamond aje na wake halafu wanyonye hela za watu 🤣🤣🤣🤣🤣
I conquer with u dear. Very right
kabisa ni kkkkkkkk muno
Waaa ruclips.net/video/TUOdgz-OVfA/видео.html
Namu miss dada Didah 😭😭😭
Da zuuu ume nenepa mashallah 🤲🏾
Zuchu leo umepigwa nakitu kizito kichwani 😂😂😂😂😂
Aki vile huyu dem ni msupuu
...she deserves better
jitahid sister zuchu utafanikiwa❤❤❤❤❤
Mapenzi imefanya Zuchu akae confused bana😂😂😂 premium tears pro max loading
Diamond platnumz ana mmm drive poa je rayyvanny l really feel for him 🌹
Nakupenda Sana dada ang
Daah watanzania Juma 🤣❣
Wachaweeee pigaa kelele kwa zuchu akee nakubalii sanaaaa
zuchu is cuuuute!! wooooaa!
Alibarikiwa na face mashala 🥰
So cute
Mungu akubarik zuch
Kisima nyanda nyandamajabala 2023
Mungu awata nguliesa na zuch nadimo nd
This just for trending nothing else
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣chuchu wangu leo umepatikanaaaa
Nampenda sana zuchu😢😢😢😢😢
Zuchu nakupenda sana
Keep up your good work
Jambo zuchu mie. Njina yangu Aline marie 'nakupe'
'daka sana
1:20
😁😁😁😁😁😁 Dida nakupenda sana napatikana Kenya.
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Nakupenda san dada angu D
mbona pambe❤❤❤
Zuchu big heartbreak like thunder coming the dude ain’t for settling down 😤
❤️
I like watching TV for Diamond
Wah diamond nakupenda sana
Wasafi iko POA kinoma
I feel sorry for Zuchu 🤔😭troubles knocking her way
Exactly
😂😂😂😂
And the way she's young,why would anyone fall for this guy
😂😂 it's her turn
Akona simba
Hongera da zuuu
Mnavyomnanga huyu mtoto wallah
Courage vraiment
na si wanamwenjoy zuchu jameni
Jamn uxijixumbue we muombea Mungu 2 wako yupo na atakuja na sio kufox mapenzi jamn
Nyie watu mnajua kuvchimba mtu balaa😂😂
Aki zuchu n the way I believed in you but anyway love is blind ata Mimi nikiyapata mahaba ndindindi nitayapokea
Khaaa Ila juma mmbeya chek anavyochungulia mpk miwan kapandisha juu
Keep up ure wrk
❤❤ndio ivyo
Hiyo ndo love
Mh jaman zuchu na diamond nimepena sana nyimbo yenu ya nitasubiri
Duh mungu wangu namuhurumia
Juma Umezd umbeya Banaaa
Tanzanians ni Wall Paper si Screen Saver😂😂😂
😂😂😂
Hawaradi bana😂😂😂
@@auxinahgloria4537 kama hawajaita photoshooti wamejaribu akii
@@zeitunnoor2759 😂😂
@@auxinahgloria4537 😂😂😂😂
Keep it❤❤❤
mungu amtie wepesi
kweli njaa inatisha yani wanahoj kama hawajuw kinachoendelea, duh! hii nchi bhana
Umeona eh
si hata mwijaku kaletwa na njaa kwa wasafi bet! hata wewe ungekua wasafi ungechunga unga wako pia
Ngumu nyeusi kumeza
Zuchu acha kusinzia kila mda
❤😢
wow na penda sana
Zuchu wanyambie wakuondokee
Hahahaha zuchuu hapo kwa didaaa umenasaaa.juma lokole.idrisaa aahaaaaa wee zuchuuu c upigee hyooo cm jamaniiiiiiii.
Yaan mwanamke akiwa na mahusiano na mwanaume ila kutwa nzima yeye ndo anajitangaza jua tu hamna mapenzi hapo. Mwanaume ndo huwa anaclaim mwanamke na si vingine
huo wivu
Acha unafiki zuchu hapo amekubali kama diamond ndio bwana ake? mbona wewe una roho ya kichawi khaaa! utake usitake kweli ni bwana ake dalili zote zinaonyesha hutaki kufa
Roho chafu muone
Nakubal hyo kk
Maskini Zuchu....he has another one... Pole history will just reapt it self... Wake up b4 is to late
Wasafi team ya kiki hakuna ndoa wala ndoana hivi ni vitu vimepangwa na vitaonyesha tu udhaifu wenu tarehe 14
I love it
Wallpaper umepatikana leo,mimi nitaanza aji kumuweka boss wangu Wallpaper 😆😆😆
Hongel mdad
Mnaharasse zuchu aki😂😂😂😂
Kuna watu wanafiki ila hapa zaidi.. Afu aka kasichana c kangeenda kusoma tu cjui kaa anajua kizungu mapenzi hatari
Zuchu Asante
Wanahabari na udaku
Nakubari zouchou
Aki mrembo sana
Zuchu naomba kaz
Mapenzi imefanya Zuchu akae confused bana premium tears pro max loading
Waooo ilove you
Napenda dida akisema Boss wake amemsave Nelly tu
Muthanyga. Mutua
Zuchu unafanana uko Na mimba
Jamani juma ana wivu
Juma lokole una umbea wewe jamani zuchu ❤️🤣
Wow nice
Amazing
Me nmeshinda kUmwangalia zuchu macho azin expression na kwa ukweli, yasema yote bwana.
Ehh zuchu na diamond ni danger
Hamna cha boss apo
Nice One
Mko na utiaji Sana Yani mwachimba mpka mpate yasohusika
Kwr bwan
Amna.wanapendana.san
Mambo vipi bronther
Ndugu zangu mungu akiwa upande wako akuna aliye juu yako nakimbuka hawa watu Mara ya kwanza walikuwa wamejiwekea kuwa wcb fo life yeani akuna maisha mengine ukitoka na kwel q boy aliondka akaenda kuteseka akaondk rich mavoko akaenda kuteseke gemu ikamshinda boss tukubalini t2 hawa akuna ndoa yoyote ni kiki ila harmo jmani tujifunze kwake achana na mabaya yake mungu akiwa upande wako daah hatari na atawasumbua sana mende na domo!!!! Hahahaaaaaa
kabisa
Mbona Basi Makonde na Chui wapo 🔥 Sana kwenye game ilhali Washaondoka Kwenye Team🤔
shobo tu na ww cheefu
Boss kapumzika muacheni😂😂
nkt zari any time
😂😂😂 zuchu mommy don't worry😅😅
Lovely 🌹 zuchu
Very great
Zuchu trouble is knocking
Rahaa sanaa
Diamondi jeunpenda
Nice
Juma rokole unajua sana