EDO KUMWEMBE ASIMULIA SIMU ALIYOPIGIWA NA DIDA "NILIKUWA NAMTANIA NITAMUOA"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 ноя 2024

Комментарии • 33

  • @Naju645
    @Naju645 Месяц назад +9

    Didah mm mwenyewe siku fikiria kama atazikwa nawatu wengi namna. Ile aise nilijua tutakao umia wachache tu lakini kumbe ana bondi kubwa nawatu mashaallah Allah amuondolee adhabu za kaburi

    • @lydi791
      @lydi791 Месяц назад

      Matendo yake mazuri njo ya mesababisha wengi tumiye

  • @BarbaraPatience-qt9cc
    @BarbaraPatience-qt9cc Месяц назад +2

    Jamani Dida wetu aaaaaah bado inauma Sana😭😭😭😭

  • @gabrielmwambogo3891
    @gabrielmwambogo3891 Месяц назад +2

    dah aisee

  • @lindambilinyi6253
    @lindambilinyi6253 Месяц назад +7

    Bas mshafanya kuwa content mpumzishen huko khaaaaa

    • @CholoMwamba
      @CholoMwamba Месяц назад

      Apo kazini kwake lazima wamzungumzie kwani ww inakuuma bac utakuwa mchawi ww kenge

    • @hamiduOmar-o8r
      @hamiduOmar-o8r Месяц назад

      Umeliona hilo yan baada tumuombe dua tunazid kufanya upuuzi wa km kumfanyia biashara marehemu maana hii kutoa matangazo na picha zake ni km kumzaririsha vike ifike hatua tumuachie Allah na maamuz aliyoyafanya juu ya mjaa wake

  • @shabanponera2895
    @shabanponera2895 Месяц назад +1

    Pole broo

  • @jescalutegonsombnambyakoda6719
    @jescalutegonsombnambyakoda6719 Месяц назад

    Momi😢 Bado siamini mwenzenu MUNGU nisamehe

  • @prince-li6kw
    @prince-li6kw Месяц назад +2

    Why celebration.

  • @khalidhaibe9492
    @khalidhaibe9492 Месяц назад +1

    Kusimulia mahusiano sio mbaya ila marehemu ameacha mtoto ambaye tunawajib wa kumuangalia.story peke yake haitoshi

  • @selemanikipembac5686
    @selemanikipembac5686 Месяц назад +2

    Ttz amusemi mpk m2 afe wabongo 2peane 🌺 2kiwa hai hayo yot dida asikii

    • @svt3
      @svt3 Месяц назад +1

      Kumbuka ni mmoja ya watu walimupea mauwa yake tangu miaka ya nyuma na walipo kosana bado kumbuka alikuwa nampa Didah heshima na shukrani baadaye waelewana na kusameheana na urafiki wao ambao ulikuwa kama kaka na dada ukaendelea mpaka leo kumbuka anasema asilimia 50% ya mafanikio yake ni Didah

  • @Naju645
    @Naju645 Месяц назад

    😢😢😢

  • @RazaquePedro
    @RazaquePedro Месяц назад +2

    𝕻𝖔𝖑𝖊 𝖘𝖆𝖓𝖆😢😢😢

  • @tumainimwaifunga3884
    @tumainimwaifunga3884 Месяц назад +3

    Hata mi sikuamini, niliuliza Kwani leo siku ya Wajinga? Mnazusha kifo cha Dida? Nikaambiwa kweli kafa. Nilisikitika mno, na hata simjui

  • @ruqaiamohammed345
    @ruqaiamohammed345 Месяц назад +5

    😢😢😢mungu angemchukua mwijaku akamuacha didah 😭😭

  • @linnerphilip4260
    @linnerphilip4260 Месяц назад

    Mchaga kwemye huzun hatuknj nne😮 hvoo

  • @aishahaji3128
    @aishahaji3128 Месяц назад

    Ja,ani huku znz yuko mtu mzuri wa kipindi hiko

  • @MariamIbrahim-h7p
    @MariamIbrahim-h7p Месяц назад

    Sory

  • @lightwilliam4443
    @lightwilliam4443 Месяц назад

    😢