Wanadamu tuache majivuno tuache kibri kifo kinakuja ni vipi kinatukuta tumejiandaa vipi ona dada dida Leo anaitwa marehemu Mimi na wewe hili jina linatungoja mda wowote yaarabbi tujalie mwisho mwema
@@mamuamtoto wewe mimi sio mvaaji wa nguo fupi na sizipendi ila wazinzi ,wa shirikina,wa Levi, wachonganishi mjini ni hao wavaa hijabu mtu ana watoto 4 bila ndoa na wa baba ini na hijabu abandon, waamini ushirikina na hijabu hawabandui,wa chonganishi na hijabu hawatoi
Maamul ni maamuru Dida wangu😢😢😢 Yes nakumbuka alihojiwa zaman akasema yy c mpez wa taarab.sana bongo flavour ka mie lkn akiwa ktk kipnd chake cha mitikisiko ya pwan na mashamsham alkua moto aliipenda kaz yke.unaweza usijue kitu lkn ndo kaz ulopewa ukapita nayo ka upepo shwaaaa😂😂😂
Aaah hapo kwa mtume doctor kumbuka hapana mtume na fatma alianza kufa mtume sasa amtume alilia wapi? Mtume alilia alipofiwa na Mtoto wake Aliyeitwa IBRAHIM mtoto aliyezaa na Masuuria wake MARIA KIBTIA
Tena dokta kumbuka kataa san uyo damondi feemasoni uyo kamtowa kafar uyo Babu Idrisa piya aondoke man atafata yy kafar iyo bado mdogo uyo Idrisa man wamuache uyo lokole wao
Ww huna akili Alf unakoment utumbo ambao huna uhakika Nao na waitwa Amina ...kila mmoja atakuf na kifo kinampta yyte yule ww huko kwnu wtu wko wkifa pia n Diamond mbn clouds kna mmoj miez ilopta alikuf pia n Diamond acha dhana mbay cio vzr kumptia Mtu tuhuma
Kamtow dida kafara kakuplani ww utaziba bengi baada ya miak mitatu akutiw kafar kwa Ajali yagar yan usishubutu dokta kumbuk kufanya kazi kwa uyo freemason mondii
Mashallah tabarak allah dc kumbuka allah akubarik brother 😢😢😢😢😢
We nae kama mjinga mungu ambaliki kwa kipi halicho fanya
Kumbuka sio mnafki😊❤
Wanadamu tuache majivuno tuache kibri kifo kinakuja ni vipi kinatukuta tumejiandaa vipi ona dada dida Leo anaitwa marehemu Mimi na wewe hili jina linatungoja mda wowote yaarabbi tujalie mwisho mwema
Amen😢
Aamina 🤲🤲
Ameen
@AidathReyongeza:Yah,na pia tufate Allah alivotuamrisha na kuacha aliyotukataza kama kuvaa Hijab na Nguo za heshima sio nguo fupi.
@@mamuamtoto wewe mimi sio mvaaji wa nguo fupi na sizipendi ila wazinzi ,wa shirikina,wa Levi, wachonganishi mjini ni hao wavaa hijabu mtu ana watoto 4 bila ndoa na wa baba ini na hijabu abandon, waamini ushirikina na hijabu hawabandui,wa chonganishi na hijabu hawatoi
Poleni sana wana familia ya dida na wanahabar wote na watnznia kiujumla
Doctor Kumbuka 🇰🇪 tuna kukubali sana uzibe pengo la Marehem Didda
Allahuma Amiin
Mtume alivyo fiwa na mwanawe Ibrahim ndio alilia sio Fatma. Fatma alikufa baada ya mtume kufariki.
Hakika
Na Rukaiya alimzika mwenyewe
Kama kuzikwa nikwenda pepuni,basi Na pepo inamngoja kwa baraka,dida amezidiwa jaman
Mansha Allah upewe mwisho mwema umeshinda ata wale wanao tumika pamonja nae🏃♀️
Noma sana mitikisiko karibu mnivunjee Mbavuu nyinyiii
Dr.Kumbuka Samahani umekosea,Mtume (S.A.W.)amekufa mwanzo amemuacha bint yake.
Nilitaka kushangaa mtume alimzika mwanae Rukaiya
Hata ukakesha kuswaliwa na huyo mufti kama hukujiandalia mema mwenyewe huna lolote😂😂😂😂
Doctor kumbuka hapo kwa mtume Mohammed S.A.W ndio alianza kufa kisha akafuata bint ake fatma
Hajuwi ndini nikuropokwa tu
Kweli Profet Mohammed(s). May anakususdia mtoto wa Mtume Ibrahim he was 2 years..
Mungu' amjaalie Mufti wetu aise ni wapeke saaana
Mtume alifiwa na mkewe Khadija,rekebisha hapo
Kumbuka muongo mtume aliwaibkufa yy ndio Akaja mwana Fatima acha uwongo musome dini ebu muelewe😢😢😢na mtume alipo kufa alimwambia mwanae kwamba akifa yy afate yy na aikubali
Anamzungumzia Ibrahim alitangulia kabla ya mtume s.w
Kumbuka usiende❤❤❤
Ata asipoeda wasafi itadumu milele
@@ShirfaDigubikeHakuna kitakacho dumu milele zaidi ya Allah pekee yake
Maamul ni maamuru
Dida wangu😢😢😢
Yes nakumbuka alihojiwa zaman akasema yy c mpez wa taarab.sana bongo flavour ka mie lkn akiwa ktk kipnd chake cha mitikisiko ya pwan na mashamsham alkua moto aliipenda kaz yke.unaweza usijue kitu lkn ndo kaz ulopewa ukapita nayo ka upepo shwaaaa😂😂😂
Lalala mwanae Qasim sio Fatima Fatima amefariki baadae
Pole kumbuka
Aaah hapo kwa mtume doctor kumbuka hapana mtume na fatma alianza kufa mtume sasa amtume alilia wapi? Mtume alilia alipofiwa na Mtoto wake Aliyeitwa IBRAHIM mtoto aliyezaa na Masuuria wake MARIA KIBTIA
Shukran nilikuwa nikitafuta jina la mtoto aliye zaa na maria kibtia Leo nimelipata shukran sanaa
Kuteleza imo ndugu zangu,asnt pia kwa kurekebisha
Alianza fatma mtume akalia maswahaba wakamuuliza kwanini analia akasema amshudia kaburi likimbana
@@Shamol-l8lRukaiya sio fatma
Dida kapata bahati aise kuswaliwa na mufti sio mchezo aise
Hii haisaidii kikubwa ni amali yake amejiandaaje kuonana na mola wake? Hilo ndio la msingi .
Bahati gani?kinachohesabiwa n amali zako tu,,hamna cha mufti wala rais
Jamani tusomeni Dini ya Kiislamu kwa kwenda Darsa na pia kusikiliza Masheikh kuliko kusema tu bila ya Uhakika sio Vichwa vijae Nyimbo tu.
Dokta kumbuka kakosea jina tu,kamtaja fatma badala ya umukulthum na ruqayya ambao walitangulia kufa kabla ya Mtume SAW
Allah anaandika?
Dokta kumbuka kubali uzibe pengo unaweza tunakuamini
HAPO WCB SUZIE BALE ANAWEZA AKASOMEE TUU ANAJUA SANA BALE
Kweli maana pale kwenye kipaza anabidi elimi
Lile chizi 😂😂😂 haliwezi lina tabia kichaa
Mwez mchanga yule
@@emmylightbrian2497😂😂😂
Nilipenda mziki wa taarabu kwa ajili ya DiDa...na alinisababisha ni pende Wasafi Radio kwa kipindi kimoja cha Mashamu Shamu tu.
Dr kumbuka wewe wacha hizo.. diamond alikwambia lini
😂😂😂😂Uyu kumbuka mwongo sema anatamani akazibe pengo la dida
Fatma hakufa kabla ya babaake
Nakubuka mlikuja vingunguti doctor kubuka na dida na yule mdada jike dume jaaman yufjrahi sana kumuona dida akishuka kwenye gar aina ya noa
Allah amsamehe mazambi yake nasi atusamehe
@@Rehemajumanne-qy5mkAmeen
Kama MTA kumbuka wewe kumbuka na idrisa pale mlipo kumbusha kuhusuana na dida kurejea Kwa mungu basi niujumbe na ukumbusho tosha kwenu na KWETU cc
Sorry dear
Quand on lit vos commentaires, traduits en français, on ne comprend rien, expliquez moi svp, Dida a eu quoi, pour partir tôt comme ça. Rip dida.😢
Sio fatima ni Abdullah mtume l kafa fatima yuhai
N ibrahim si abdhullah😂
Mbona mtangazaji sauti kama uchebe
Umewaza km mm
Dr kumbuka mtume hakumlia fatma fatma alikufa bada yakufa yeye
KUMBUKA HATUKUTAKI WASAFI KWENDRAAA DOMO KAYAA DR KUNDULAA
Mtume alifariki kabla ya binti yake fatma labda useme sayyed na ally ambaye mumewe fatma yeye ndo alilia alipofariki fatma
Tena dokta kumbuka kataa san uyo damondi feemasoni uyo kamtowa kafar uyo Babu Idrisa piya aondoke man atafata yy kafar iyo bado mdogo uyo Idrisa man wamuache uyo lokole wao
huna akil
Ww huna akili Alf unakoment utumbo ambao huna uhakika Nao na waitwa Amina ...kila mmoja atakuf na kifo kinampta yyte yule ww huko kwnu wtu wko wkifa pia n Diamond mbn clouds kna mmoj miez ilopta alikuf pia n Diamond acha dhana mbay cio vzr kumptia Mtu tuhuma
Wee jinga kweli
😢😢😢😢😢😢😢😢
Kamtow dida kafara kakuplani ww utaziba bengi baada ya miak mitatu akutiw kafar kwa Ajali yagar yan usishubutu dokta kumbuk kufanya kazi kwa uyo freemason mondii
Ww n mjinga sana
Hili suala LA, wanawake kutoenda makaburini LINAUMIZA NA SILIWEZAGI. Kuna ka msimamo kangu nilikaweka ili haya yasinikute
Sio zambi mwanamke kuzika ila walikataza sababu mwanamke anaroho ndogo walikua wanalia ad wanaingia kwenye kabuli nao wazikwe ndy ikakatwaza
Hta kwenye bibilia waliozika ni vijana sio wanake
@@PiliSalehe-lt9ultukifata vitabu vya dini ni makosa mwanamke kwenda kaburin
Matendo ya mitume 5-6 waliozika ni vijana sio wanawake wala watu wala wazee ni vijana,someni bibilia
@@halimahbwelele694 kuweka mwili ndani ni kazi ya wanaume ila kuhuzuria maziko hapo makaburini wanawake walikuwepo
Dr usiende wasafi baki kwa.magizo
N majizzo bac c Magizo