Kama alishindwa kujiondolea mwenyewe basi atakuwa amepata hasara!hakuna Dua itakayo msaidia kwa sasa!iwe fundisho kwako pia mana kifo ni mawaidha tosha!
Astaghafirullah Sasa wataka kumukumu Allah Sema Alhamdhulillah ndio tujiandae ni safari sio akifa mtu marufuku muanze kusema ooh mungu sijui fimbo rungu
Hii show alikuwa anaumwa au ndio safari ilikuwa karibu. Alipoa sana hiii siku, hakuchangamka kama alivyokuwa zamani kawaida yake. TUKUMBUKE KIFO JAMANI RIP
Kifo ni fumbo na pia tuwe tukijitasmini kunako hiyi mitandao jaman tujifunze pia bora snura kazindukana mapema allah atuwekey wepes na atupe moyo wakukumbuka kifo tujiandae tuwe ni wenye kukumbuka kutubu jaman inna lillah wa innailah rajun
Hakika mauti ni mawaidha tosha. Dada zang wakiisilamu tujitahidin kujistiri leo mwenzet ameondok duniani pich zake nyingi hakujihifadhi kuanzia kichwa mpk miguuni. Kifo chake kitupe funzo kuwa mauti huja hafla na hayachaguwi mdog wala mkbwa wala msanii wala mtu wa kawaida. Allah atupe khatima njema.
Hayupo tena bt sauti yke bdo ipo duniani na mashikioni mwawengi inaumiza ila Allah alimpenda sn cz yy ndio aliyetuletea na amemchujua ombi langu hiz cleep zake zote zitolewe mitandaoni cy lazima niombi
Mungu akuondolee adhabu ya kaburi dada yetu
Kama alishindwa kujiondolea mwenyewe basi atakuwa amepata hasara!hakuna Dua itakayo msaidia kwa sasa!iwe fundisho kwako pia mana kifo ni mawaidha tosha!
@@IbniAbbas-yz3kt Kwahiyo wewe umeshamuhukumu?
Yani uko namlqzimisha Mungu wakati ahijawa lego lake
Amina tumuombeeni sn dua ndio kula yke aliko kwa muumba wetu
@@IbniAbbas-yz3ktsahihi
Jaman siamn adi Sasa Allah umeamuwa kutupa fumbo innalillah wainnlilah rajuni punzinka da dida😭😭😭
Astaghafirullah Sasa wataka kumukumu Allah Sema Alhamdhulillah ndio tujiandae ni safari sio akifa mtu marufuku muanze kusema ooh mungu sijui fimbo rungu
😢jamani fumbo sio fimbo@@MuniraShughuli-kc7vj
Hii show alikuwa anaumwa au ndio safari ilikuwa karibu. Alipoa sana hiii siku, hakuchangamka kama alivyokuwa zamani kawaida yake. TUKUMBUKE KIFO JAMANI RIP
Kifo fumboo na huoni afyaaa y mwili piaaa, alipoozaaaa...mtoa roho anakutembeleaaa siku 40,kblaaa y kifo chako
😭😭😭@@JumaHassan-qh5gi
@@JumaHassan-qh5gi Kumbe sikuwai siku 40. Mungu tujarie afya njema
Kifo ni fumbo na pia tuwe tukijitasmini kunako hiyi mitandao jaman tujifunze pia bora snura kazindukana mapema allah atuwekey wepes na atupe moyo wakukumbuka kifo tujiandae tuwe ni wenye kukumbuka kutubu jaman inna lillah wa innailah rajun
Hakika mauti ni mawaidha tosha. Dada zang wakiisilamu tujitahidin kujistiri leo mwenzet ameondok duniani pich zake nyingi hakujihifadhi kuanzia kichwa mpk miguuni. Kifo chake kitupe funzo kuwa mauti huja hafla na hayachaguwi mdog wala mkbwa wala msanii wala mtu wa kawaida. Allah atupe khatima njema.
Ameen ameen ameen...
Aaamiin yaa Rabb
Ameeen
Allahumma ameen
Watu ndo wanazidi kucharukwa kabisa
Ila hiki kipindi tyr kimeshapoteza mvuto 😢😢
Inalilah wainailahi rajiun Allah ampe qauli thabiti maana hata tukiongea sana bado haisaidii
Innalillahi wainna ilaihi raajing'uun Allah amrehem inshalah Amiin
Allah akuondoshe adhabu za kaburi ammyn
Yani hapa alikua hana furahaa kujilazimisha tuu alafu mbona anaeka tama mara kwa mara 🥲🥲🥲🥲🥲🥲🥲inalillh wainaillh rajuun pumzika kwa aman dada
Jmn km anaishi vileee daaaah
pumzika kwa aman dada yangu kipenzi🤲
Naishiwa nguvu wallah
Dah😢😢😢😢
Mungu ampe kauli sabiti
Hayupo tena bt sauti yke bdo ipo duniani na mashikioni mwawengi inaumiza ila Allah alimpenda sn cz yy ndio aliyetuletea na amemchujua ombi langu hiz cleep zake zote zitolewe mitandaoni cy lazima niombi
😢 rest well our dear Queen 👑
SIAMINI DIDA HATUTA MUONA TENAA, SIKIA SAUTI HIYO 😭😭😭😭😭
Inalilah wainaillah rajiiun Allha ampe kauli thabit Allhauma amini
Ameen ameen ameen...
Huyu aliku hana raha kbsa
Alhamndulilah kull hal
Innalillah wainna illah rajiouun
Pumzika kwa amani dida shaibu😢
Ao kina juma wanavoitikia jamn😂
Mungu.amrehemu.
Allaahumma aamiin
Inna lillah wa aina lillah rajiun
Ila alikuwa kapungua uyu alikuwa anaumwa kidogo kidogo
Dah jmn Dida😭😭💔💔
❤❤ mungu kakupenda saidi
😂😂😂😂 nimecheka aisee uko mwishon kweli iki kichwa kibovu r .i.p dada
Innalilah rajiun
Poleni wafiwa ila dada jaman ktk post zote sijaona ata moja ktk maadili ya dini tujiandae na umauti
Kipindi cha mwisho Didda alivaa T shirt nyeupe yenye mistari mekundu, tarehe 19/9/2004
Wewe ndio nmeongea ukweliii
2004 ya kwli haya@@Zulekha-j8g
Jmn mm mala ya nwisho kumsikiliza ile siku alikua anamfanyia mahojiano ndaro,asma,na mama chanja
Wanawake wa kiislam waache kutumika kwenye mitala, wanaume wanawatumia kingono kwa jina la dini, kataeni kuolewa wake wengi, wanawanyanyasa kijinsia
Hat hao wasioolewa mitala nao pia wanaume zao wanawake wanje tele
Ujui kitu wew fata unachokiamin acha ujinga
Kataa wewe .ila dini yetu imeruruhusu tukatae kwann hovyoo
Na hao mlojaza vimada mnajitia kusema mke mmoja kumbe Mia moja
Halafu kapungua tofaut picha mwanzo
Ata ivyo anaonyesha alikuwa anaumwa sema tuu mtu awezi kuongea mmbo yake Mungu amrehemu
Wanasema akifa nabii anafufuka Nabii ila kwa pengo la Dida sidhani kunawakuliziba
Astaghafirullah
Mung ampokeee
Rip dida mchopsi jamani hii dunia aisee
😭😭😭
😮
Mwakamwaka
SASA WW UNACHOCHEKA NI NINI SASA!.?
😂😂😂😂
😢😢😢😢😢😢
Alikonda
Alhamndulilah kull hal
😢😢😢😢😢