@@SwalehSelemaniKabisa ,ni kujitoa ufahamu,mtu mzima anaropokwa maneno ya ajabu ajabu ,hata kitendo Cha kuvuta ka..si na kutema mbele ya camera si ustaarsbu!
Acha kukalili Kuna maradh meng tu ukiacha kutumika dawa bac umaut waweza kukufika ingawa kifo hakina Kinga... pressure ukiacha dawa ni hatar, sukar ukiacha dawa ni hatar VIDONDA VYA TUMBO ukiacha dawa ni hatar n.k ......hii itakusaidia kdg akil mgando ww
Yaan marehemu hata kuzikwa Bado iyo mitandao mnaijua Leo na nyinyi wandishi wa habali angalieni na maswali mengne watu wapo kwenye majozi we unaongea kuhusu pididy 😢😢
Wengi wenu hapa hamjamuelewa huyu mzee...wengi mnachukua point mbaya mara kichwa hakiko sawa....huyu mzee kuhusu nasib abdul yani kwa wanahabari ni waache uchonganishi na kuhusu kifo cha dida hajauliwa na diamond wengine wana yodhania dida alikua yuwaumwa..point nyengine marafiki wengi hawana maana wanakushawishi ujinga
Ishi na watu vizuri, ukipatwa na tatizo wanakusaidia hapo nimekukubali mzee wangu,,,waliopamoja na Mimi tumwage makopa
Mzee Hongera sana kwa Hekima ulio nayo 💯
3:26 apo alipotema makohozi ndo kanichosha 😂🙌🏽🙌🏽 alafu na akchualeee zake😂😂😂
😂😂alipojitema kikohozi amenikata stimu
Karama za kuimba nyimbo za mahaba,kuvaa mabangili na kujichora mwili siyo karama za Mungu. Hizo ni karama za ibilisi. Ila poleni kwa msiba
Subhana’Allah mzee kachanganyikiwa na msiba dada yake
Anajitoa ufaham tu
😂😂😂😂
Hivi wanapataga wapi nguvu zakuongea wafiwa jamani
Kujitia hamnazo hkuna kuchanganyikiwa zee la achuali
@@SwalehSelemaniKabisa ,ni kujitoa ufahamu,mtu mzima anaropokwa maneno ya ajabu ajabu ,hata kitendo Cha kuvuta ka..si na kutema mbele ya camera si ustaarsbu!
Ana watoto sita,,,wa saba alimkataa na sasa ni wazir😂😂😂😂😂😂😂😂😂utasema hyu mzee mzima kwel😅😅😅😅😅
Mzima sana ila anajizima data
😅😂😂@@chrispinantabaye4866
Poleni wafiwa. Mbona mnamsumbua huyu baba jamani. Mwacheni atulie
😂😂😂😂Nimecheka
@@GatekaFatmamm najikaza nisicheke ila vinachekesha
Mzee kawanyoosha wambea wote😅😅 mzee ana akili sana huyu❤
Huuyuu mzee kunapoint kaongeaa nying japo watu humumuelew
Allah amsameh makosa yake Amin nampenda sana khadija shaibu
😂😂😂 duu kaongea ila huyu mzee anaongea kikumbwa sana hadi ujue utumie kazi aise
Subhana Allah.mzee msuba .ucongee sana
Huyu mzee ameongea points
Huyu wasimuhoji tena kwasababu hajui kuficha kitu😂
Yaaniiiii @@LucyNgowi-m5z
Kweli gani
Huyu kaka jamani au kaka wakufikia 😢 rest in peace dida
huyu mzee km alikua anasubiria waandish wamfikie🤣🤣🤣🤣🤣
Kwa kweliii maana amefunguka hatariii
Yaani
Yaani
😂 nakubal
Kabisaaa
Mzee kaongea kweli japo mnamuona kama hajielewi
Mzee itabidi akalie kiti cha dida hapo wasafi bila Shaka chibu interview imeisha iona hiyo 🎉
Mzee baba yuko vizuri kwa kujibu maswali
Jaman huyu mzee Mbona kama akili yake haiko sawa
Sawa mzee Achwaleee
Aah ACHWALEEEE "ACTUALLY"😹😹
😂😂😂
😂😂😂
Bora umeongea mzee Wang MAANA mondi angesemwa SANA
Nze nakupenda bure❤❤❤
Kwenye kila tukio awepo msemaji, Huyu Doto magari senior kazingua
Pole,jaman hata wasafi hawakumjengea nyumba jaman,mbona uswaz san
Nilichogundua jamaa ni mzima, sema amezidisha uchangamfu, kwa sababu yote aliyoyaongea ni ya kweli!
Wewe😮
😂@@Awlo-g6d
Jamaa liko sahihi kabisa,ingawa baadhi wanaliona kama dishi fulani hivi,ila liko active sana
Kumbe Mzee Abdul Sio Nyange😂😂
Mzee ukweli umeongea pwent shida waafrika atupendani sana waandishi punguzeni mambo ya kuoji pidid mmezidi sana mpaka kelo.
“pwent” ndo nn?
Waandishi ,sio profesional ,mnamuona mzee hayupo sawa ,mpo bize na content,mnataka alopoke
Wewe ndiye akili ziko nusu. Mzee kaongea point
@@NtamamiloGibson sawa
Mzee sijui kajikuta nani haapo jamaniii😅
@@magrethmbuma3045 mihemko tu na umli umeenda walitakiwa wamuache
Mambo ambayoo waandishi amtaki kusikia mzee anawambia ukweli amtaki kusikia
Dida aliathirika na kubadil wanaume vile sishangai hapa mwenye D mbili tu ndo atamwelewa mzee,,anyway all in all r.i.p safar ya wote
Unaweza ukakaa ndan ukaletewa
Siyo kweli nakupinga! Kuna watu wameolewa mara 7 na wapo tu
Samahan nieleweshe hii D 2 maana yake Nini?
Huyu mzee Ako sawa wakumuelewa watamuelewa tu
Jamani
How the P'diddy😂😂😂😂
😂😂😂😂
Say why p did?
Mzee hujulikani kwenye familia ya Dida kaka yake wakuzaliwa nae yupo😂😂
Dida, p Diddy Roz ndauka , jamani angalia watu wa kuwahoji live 😂😂😂
😂😂😂Alipotema KIKOHOZI amenikata stimu, daah,.. Diamond wakala mkubwa wa shetan atawatoa kafara watangazaj wote humo
uyu mzee anaakili sana na waandishi kama hamjapata elimu waandishi hamtaelimika niwatu wachache wenye kuongea ukweli mnapenda tu umbea na kudanganywa
Fact😊
😂😊 MBONA MZEE ANAONGEA VIZURI SANA
Ila tuwepole nimsiba wetu sote mana sote niwaja nakwake tutarejea .....kulu nafesi itaonja umauti
Mungu amsamehe mazmbi yake
Mzee anatema kohozi kwanza 😂😂
🤣🤣syo achuale.ni Actually 🤔
Rest in peace Dida ❤❤❤
Mmmmm. Bas msimhoji sana mzee. Muacheni
Muwe mnaweza ku control interview
Mmh mbona kama hayupo sawa😢
Vidonda vya tumbo na ubongo wapina wapi?.
Hujui kama vidonda vya tumbo vinaua? wewe unahisi ni nini sasa
Mtu kaongea ukweli,ukishidwa kumwelewa sio tatozo lake ni la ubongo wako na mwalimu wako😂.
Taarifa zako tushazipata huna akili vizuri 😂😂
Aaah Akchuale
Huyu mzeee jameni tuko msibani😮😮😮😢😢😢😢
Ila p diddy katajwa sana wiki hizi mbili
Eeeeh katika hii dunia omba Allah akupe hekma na busara
Huyu mzee anaongea ukweli mchungu baci tuu.
Apumzike kwa amani
Huyu mwenyewe anameza dawa kasema. Jamani Dida dawa mbona alikuwa hanywi.
Mzee kuna kitu anahitaji kwa simba uyu mmmmmh Rip didah
Achwalii mzee yuko sawa😮
PIDIDI TENA😂😂😂😂
Kweli kabisa
Futeni jamani uyu hayuko sawa
Kwan kaongea wap vibaya
Inalillah waina ilaihi rajiun
aaaaaaaah mzee mambo ya pididi yanatoka wapi Sasa
Huyu sio kaka wa dida anataka kua mzee magoma
Vidonda vya tumbo fangasi zinaendaje kwenye ubongo mbwa huyu😅😅😅
Mzeeh alikuwa na fact sana
daahh huyu anaeleza habar za msiba au nn mnafanya mahojiano na mtu asietimamu
Point ni didaa aliachaa kumeza dawa.. kama hauna d2 uwez elewaa.. pumzka kwa aman.
Kama kweli
Acha kukalili Kuna maradh meng tu ukiacha kutumika dawa bac umaut waweza kukufika ingawa kifo hakina Kinga... pressure ukiacha dawa ni hatar, sukar ukiacha dawa ni hatar VIDONDA VYA TUMBO ukiacha dawa ni hatar n.k ......hii itakusaidia kdg akil mgando ww
@@hadijamsati8813fangasi kupanda kichwani ni H.I.v stage 4, huyo dada alikuwa anangoma imagine anasema mwenyewe kilichokuwa kinamuua yeye mwenyew anajua
Ovyo
@🎉hadijamsati8813
Achalwe 😂😂😂 mzeee hio kizungu😢
Ngoja awatemee kohozi usoni
Mzee kamwaga kuku wingi kwenye wali. Ajuae ajua 😂😂😂
Umeeleweka baba
Wa saba nilimkata naleo waziri Zanzibar 😂😂😂 mmmh ndugu kama hawa hata kwangu wapo 😢
Akichwale Ni kweli kabisa
Achualii😂
Mzee kanyoosha
Ila jmn uyu bb kaongea Kweli
mzee nampenda sana anaongea ukweli😄😄😄👍
Mbona kaeleza vzr jmn, aliacha dawa za vidonda tumbo
Nashangaaa sjaona wap kaongea vibaya
ILA UMELEWA😂
Mzee yuko sawa anaongeya ukweli kabisa
mzee kanchekesha hahaa
Yaan marehemu hata kuzikwa Bado iyo mitandao mnaijua Leo na nyinyi wandishi wa habali angalieni na maswali mengne watu wapo kwenye majozi we unaongea kuhusu pididy 😢😢
Aaachwalii😂😂😂😂😂😂
Dhuuh..jAmani hurumaa
P Didi Ni nn😂
Akchwale huyu kakaake dida kweli au? Mbn kacharukwa
Aiseeh 😭😭😭
Wengi wenu hapa hamjamuelewa huyu mzee...wengi mnachukua point mbaya mara kichwa hakiko sawa....huyu mzee kuhusu nasib abdul yani kwa wanahabari ni waache uchonganishi na kuhusu kifo cha dida hajauliwa na diamond wengine wana yodhania dida alikua yuwaumwa..point nyengine marafiki wengi hawana maana wanakushawishi ujinga
Innalillah wainna ilayhi raajiuwn
Aaa mzee kaongea bana
Wenye d.2 tumesha3elewaaa
Ah huyu mzee ni mzima kweli huyu duh
Anataka maokoto 😂😂😂😂
Huyo babu mtoeni hana maongeaji huyo jamani.
Kilichomuua didah alishindwa kuendelea kunywa dawa ya vidonda vya tumbo fangasi ikaenda kwenye ubongo na bandama tumekuelewa mzee asante
Wenye D 3 tumewlewa .
Kuna Nini sijaelewa niambie kafanyaje @@mynambwambo2072
Kuna Nini sijaelewa niambie kafanyaje @@mynambwambo2072
Kuna Nini sijaelewa niambie kafanyaje @@mynambwambo2072
@@mynambwambo2072 Na tumeelewa haswaaa
NA KUBWABWAJA KOTE HUKU KUMBE HATA UDUGU HAWANA 😅😂😂😂
Kama wadudu walipanda kwenye ubongo hiyo n vvu ndo inatabia hiyo steg 4
Ndio ndioo
❤❤❤❤❤❤❤
😂😂😂😂hatary mpaka pdd😂😂😂shenzi kweli huyu