Kuishi kwako ni kristu na kufa ni faida, kwa mkristu kawaida kufa kwake kusinzia😢😢😢pumzika kwa Amani mama yang wewe ama hakika kifo ni lazima ,,,Mungu mwenyezi nakuomba unijalie mwisho mwema mm na msomaji wa comment hii
Kasauti Kako tu nilishagakapenda toka zamani mno kipenzi cha wengi😘Itoshe kusema pumzika kwa amani Ewe Mama Kawelle💔haki umejua kuniuma jaman Alianza Marco wa Zabron Singers,Akafata Dida ukaja na wewe tena jamani kiukweli Mwenyezi Mungu atusamehe lakini anajua mioyo yetu ni ya nyama yeye ndiye muumbaji namuomba aendelee kukupa tumaini tu!
Kumbe Patrick siyo mwanae hongera sana kwakumuwezesha mtoto kufikia hapo alipo fikia hakina ulikuwa mama bora hata kwa watoto wa ndugu zako aliwawezesha❤❤pumzika kwa amani
Ama kwl kila mtoto ni mzuri kwa mamaake na haijalishi chochote, mziwanda wa tessa ana sura ya kiume na first born wa tessa ni mzuri kwa sura kama mamaake
@faithpaulo119 sasa nan hapo hna elimu ss au ww maana lugha yko lkn pia hukufahamu inaoneshea ulikua unasoma skuli ya jion ushakula ugali na tembele latelea tu tumboni mwalimu akikusomesha unatoka mbweu ya dona
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
❤
@@globaltv_online saw
Dada Greece jamani wewe
Who else is here today after her death 😢 RIP mum❤
Nice word mpaka nahisi faraja Mana ulitambua umuhimu wa Mungu katika maisha yetu..R.I.P mama yetu Tesa
Daaa jaman, inaum😢😢😢
Hii safar kweri haikwepeki jamani siamin kama hata mimi ni mpitaji kwenye hii dunia eeeh mungu atujalie mwisho mwema
Eee ndugu kufa ni hakika
Aminiii
Amina
Iyo kubali ndungu kufa ni faradhi
Ameen
Kuishi kwako ni kristu na kufa ni faida, kwa mkristu kawaida kufa kwake kusinzia😢😢😢pumzika kwa Amani mama yang wewe ama hakika kifo ni lazima ,,,Mungu mwenyezi nakuomba unijalie mwisho mwema mm na msomaji wa comment hii
Dah! Inalilahi wainnailayh rajioun
Hakuna kitakacho bakia pumzika kwa Amani umetangulia tutaonana baadae !
Jamani sio siri nilikuwa nampenda Sanaa Marehem Grace! Nikimuona kwenye move nasema huyu dada mzuri nampenda Ila m,mungu kampenda zaidi’hakuna jinsi
EEE! Uuuuwiii
Amen🙏🏾
Jamaniiiiii 😭😭😭😭😭😭💔 safari hii nimeumia San 😭😭😭😭😭😭😭😭
Mungu akupe furaha ya milele Mbingu upumzike kwa amani Amina umetuumiza wengi tulikupenda
Masha Allah tesa mungu akakupe kauli tabithi tulipenda ila mungu kakupenda zaidi umetuacha n maswali mengi tesa😭😭😭😭😭😭😭
Ila huba wamezidi wanapenda sana maigizo ya vifo rip tesa!!
Sanaa uchuro tuu
Kasauti Kako tu nilishagakapenda toka zamani mno kipenzi cha wengi😘Itoshe kusema pumzika kwa amani Ewe Mama Kawelle💔haki umejua kuniuma jaman Alianza Marco wa Zabron Singers,Akafata Dida ukaja na wewe tena jamani kiukweli Mwenyezi Mungu atusamehe lakini anajua mioyo yetu ni ya nyama yeye ndiye muumbaji namuomba aendelee kukupa tumaini tu!
Jaman Tesa😭😭 Mwenyezi Mungu akupumzishe kwa amani
Daaaah kwangu imekua kama ndoto tessa nimeumia sana kwa kifo chako rest in peace mumy 😭😭😭😭
Pumzika kwa Amañi kwa Mungu🎉🎉🎉
Daaa jamani kweli kifo hakina huruma 💔😭😭 Mbele yako nyuma yetu pumzika kwa amani 🙏
Tukimuombea Dua mait tutangulize rehema kwanza maan hakuna atakae ingia peponi kwa kitu chochote ni amali njema na rehm za ALLAH
Kweli kabisa😢😢😢😢
Weee hamadi mkiristo na pepo wapi nawapi ikiwa hamkubali mtume na hawaamini magizo ya mungu yadini ya kiislam
Mkiristo na Pepo wapi, Be serious Boy
Ooh jamani umeondoka na kipaji chako,asante kwa maneno yenye hekima umetuachia kwa hii interview,pumzika kwa amani wajina
Ôooh!Tesa mungu akupe kauli thabiti
Kumbe Patrick siyo mwanae hongera sana kwakumuwezesha mtoto kufikia hapo alipo fikia hakina ulikuwa mama bora hata kwa watoto wa ndugu zako aliwawezesha❤❤pumzika kwa amani
Hajawahi kuwa mtoto wake
Othman Njaidi ni mtoto wa Hidaya Njaidi, sio Grace
Anamabinty wawili happy na Rita
Umemfananisha na hidaya njaidi
Mwanammke mwenye tabasamu zuri kabisa Mungu amlaze mahali pema peponi
Nimerudi tesa umeniacha nalia 2 kwa usia wako maneno yko mazito yalio toka kinywan mwako mungu akutie nuru kwenye kaburi lako oh tesa nalia umetuacha😭😭😭😭😭😭😭😭safari njema❤❤❤
Kiukweli nimeumia Sana, pumzika kwa Amani kipenzi 😭😭
She was very beautiful yani natural beauty
Mama kawele jamani mungu ampumzishe kwa amani nilikuwa nakupa mno
Nilikuwa nakupenda pia kipenz changu
Nenda salama mama maana ni safari ya kila mmoja 😭😭😭
Mungu akulaze mahali pema peponi
Yani anavosema mi mrembo mzuri na tabasamu zuri ❤❤❤❤yani tesa jamani umetuacha kirahisi bwana
Duuuu wanadamu wana maneno ila Mungu wetu analo NENO, walisema umeenda kufanyiwa sajary duuuu🙆🙆😭😭😭😭 R.I.P
Kumbe hakuna haja ya kumdharau binadamu mwezio hii safar hakuna atakaeikwepa😢😢😢😢
Mungu akumpumzishe kwa amani ulijua kuitumikia nafasi yako grace mapunda
Ukiogopa unampa nafas shetani,ukijiamini shetani anaogopa
daaaaaaa huyu mama nilikuwa nampenda sana huyu mama mungu mpe kauli thabiti yaAllaah
Poleni sana ndugu yangu Heppy na Rita Mungu ni Mkubwa
Mama kipenz cha mashabik .😢😢😢pumzika kwa aman 😢😢😢
Wasaanii wengi munajisahau munaitumikia Dunia San kuliko akhera wakat akhera ndiko kwenye maisha yet ya kudumu
Je wewe ni msafi usihukumu
Acha kuhukumu we siyo mungu rip tesi
Mkiambiwa ukweli mnasema mnahukumu sasa kawaambia vp amewambia mnaingia motoni
Hawa mahakimu jmn
Wanadamu wote wanajisahau, sio wasanii pekee
Sasa mtu akifa ndo mnapost nahojiano yake mbona enzi za uhai wake hamkuweka mtandaoni😢 binadamu bwana
😭😭😭 pole sana jenifa
Daaaaaaaah Tesa jmniiii 😭😭😭😭😭
Mama happy 💔😭
Mungu pumzisha roho ya tesa mahala pema pepon
Aki huyu mama anaongea vizur kwa hekima
Wisdom words yaani Mama mwenye Hekima RIP Mummy😢
R. I . P Tisa 😭😭😭
Mama alikuwa anajuwa kuongea vizuri
Kweli wewe ni mrembo. ❤ Rest in peace. Inasikitisha
Daahh Kifo 🙌. Rest in peace Grace mapunda 😢😢
Pumzika kwa Amani Tesa tutakukumbuka daima 😢😢😢
Nilipenda sana huyu mama,may her soul rest in peace
Pole yetu wote tuliyekuwa tunampenda
Cinderela
Uliuact ki kweli nakukubali kweli
Nakupenda tesa wangu 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Jaman tesa wangu
Tessa nagupenda Sana Sana ❤❤❤❤❤
Daah Munguu baba
Pumuzika kwa Amani mama 🙏🙏🙏🙏🙏
Tessa kweli mrembo ila mapema sana Rest in peace Grace mapunda 😭😭
Tumuombee Dua kwa Allah kwa rehema zake yeye Allah km ni muislam ampe kauli thabit
Jamani dahh
Rip Tesa mimi natoka kenya shabiki mkubwa wa Huba
Ooh no rip Tesa
Allah atusameh madhaifu yetu ,tujitahidini kujua tutaiacha Dunia namamboyake ,basi memayetu ndio.muhim Kwetu 😢
jaman unacheka vizur naumia tu kuona leo umefumba macho
ako funny sanaa uyu dada mungu amsamee ucheka tu yeye kila wakati
Nilimpenda dii😢
😢😢😢enda Salama kabisa maman tesa muna fwatana n'a mamiton mbona
Nilikupenda ucheshi Tesa
Pumzika kwa amani😢😢
Jani cloud yupo wapi
😭😭😭 pumzika kwa Amani grec mapunda
Pumzika kwa amani mum😢😢😢
IRP mpendwa wetu tulikupenda lakini mungu kakupenda zaidi
😅
Tulikupenda ila mungu kakupenda zaidi pumzika kwa amani
Rest in peace 🕊️ Tesa
Pumzika kwa amani mama😭😭😭😭
Nimeumia sana jamani daahh
😢😢😢hii Kwa sote kwake tutarejea
Weye mtangazaji unakwenda msibani hara kitandio kujifunika huoni hata aibu vinywele kama vizizi vya mgomba mtu mzina hee Mungu atupe mwisho mwema
Kwani hapo ni msibani jaman
Rip tessa jaman 😢😢😢😢
😭😭😭😭 rip mom
Hata siamini jamn
Pumzika kwaamani mama
Nampenda anavyocheka rip
Rest in peace Grace Mapunda 😢😢😢
Ama kwa hakika tutakukumbuka 😭😭😭pumzika kwa amani dada Grace
Mi mbona sielewi jamaniiii... Hii lnterview ni 3hrs ago... Alafu naona rip nyingi kafa ukweli ama kafa kwenye movie tu
😢😢ni ukweli sio maigizo
@AsiaAthumani-ew1gv nimeona kwa kweli😭😭
Ama kwl kila mtoto ni mzuri kwa mamaake na haijalishi chochote, mziwanda wa tessa ana sura ya kiume na first born wa tessa ni mzuri kwa sura kama mamaake
Wivu huo
Inalilah wa inailah rajuun
Jamani cloud yupo wapi?
Kaacha
Yupo Marekani cjui canada
Rip Grace.
Rest in peace mumy
Innalillahi wainna ilaihirajiuun
Pumzika Kwa amani allha akupunguzie azabu ya kaburi
Jamani team wangu
Munguwangu amekufa?
Dah jamn mama RIP
Alifanya nini jamani
INNAH LILLAH WA INNAH ILLAYHI RAJ'IUN 😢😢😢😢
Munamoombea tu aende peponi alazwe peponi peponi mtu analzwa kwanz kwa amali zake matendo yake na kikubwa awe muislam
Kwaiyo waislam tu ndio wanapenda peponi eti?
We akili yako ni mavi
Waislam woote niwatu wamotoni mukiiona pepo niko palee 👉
@@NOELAMAKOYE-qs7eusasa unaona peponi ataingia aliokua sio muislamu
@faithpaulo119 sasa nan hapo hna elimu ss au ww maana lugha yko lkn pia hukufahamu inaoneshea ulikua unasoma skuli ya jion ushakula ugali na tembele latelea tu tumboni mwalimu akikusomesha unatoka mbweu ya dona
Alikua ameshaanza kuchoka jaman,apumzike kwa amani😢😢
Innalilah wainailaih rajiun
Jaman 😢😢
Angalau Kun baadhi ya picha kajistir