KIMENUKA!! USALITI NDOA YA PROPHET IPM/NITAUA MTU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 ноя 2024

Комментарии • 121

  • @FidelineBitendanwa
    @FidelineBitendanwa 18 дней назад

    Congratulations my pastor,ushuuda Mkubwa, tena mzuri🎉🎉🎉🎉

  • @rashidmaulid7312
    @rashidmaulid7312 Месяц назад +8

    Kuna na vipande ktk clip hii vilitakiwa vikatwe kutokana na heshima aliyonayo Mchungaji.All in all nimekuwa nikimfuatilia sana na namwomba Mungu Amuongoze ktk njia Yake.

    • @Yangaone-h8j
      @Yangaone-h8j Месяц назад

      yaa nikweli kabisa

    • @sein.208
      @sein.208 Месяц назад

      Amiiiiiiiiiiin yaa Rabby

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 Месяц назад +1

      Hana Heshima yeyote Bure tu

    • @julianapeason6254
      @julianapeason6254 20 дней назад

      @@trophywilson7211 tatizo binadamu wa leo hawataki kusema ukweli, wanataka wamsifie mtu hata kama nyendo zake zinaonekana wazi sio sw kulingana na nafasi yake

  • @FananaSalumu
    @FananaSalumu Месяц назад +3

    Ubarikiwe mtumishi wa mungu mimi mwenyewe nilikua mwislam nina changa moto sana kwa mme wangu

    • @ukhtyrayyan7884
      @ukhtyrayyan7884 Месяц назад +2

      Ulikua muislam kwaiyo ushatoka kwauislam kwaiyo ilo kafiri litakalokuowa hautapata matatizo wacha ufisadi tangu mwazo wee mwenyewe hujitambui

    • @nurumohammed1310
      @nurumohammed1310 Месяц назад +1

      Changa moto ndio ikakufanya uritady innaliilah waina ilahi rajuuni 😭😭

    • @kadhyanassor5046
      @kadhyanassor5046 28 дней назад

      Ndo maana Allah akasema atatujaribu ....na hayo ni moja wapo ya majaribio ni kufudhu au kufeli...

    • @amiriforjesus8689
      @amiriforjesus8689 27 дней назад

      MWAYA DADA MUNGU AKUTIE NGUVU KATIKA JINA LA YESU KRISTO

    • @amiriforjesus8689
      @amiriforjesus8689 27 дней назад

      MIMI MWENYEWE NIMEOKOKA KUTOKA UISRAM NAMUONA MUNGU WA KWERI ARIYE UMBA MBINGU NA ICHI NAMUONA KWAKWER

  • @emmanueljohn4018
    @emmanueljohn4018 27 дней назад

    mi si master sema amina aaaaaah nimekuelewa Prophet inshort ukweli wako ni somo kwetu

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 Месяц назад +13

    Huyo ni mfanya biashara ktka jina la Yesu.
    Hana tofauti na yule Mkongo kiboko ya wachawi😮

  • @carolinemuli-ht4zx
    @carolinemuli-ht4zx 22 дня назад

    Mungu amempa Lilian mume ana upendo wa kikristo zaidi

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 Месяц назад +4

    Kumbe Nguvu inaanza kupungua Pepo linavamia Pole pole,Hapo tunapata Kitu

  • @lilianmungure8374
    @lilianmungure8374 26 дней назад

    Mungu ni mkuu sana,hongera mtumishi

  • @selevasiamahinja554
    @selevasiamahinja554 Месяц назад

    Amina mchungaji ulikotoka ndiko tulikotoka .Mungu ni mkuu sana .

  • @redemptajerry5446
    @redemptajerry5446 17 дней назад

    mkwe na mimi nakusikiliza mtu wa Mungu
    ..

  • @julianapeason6254
    @julianapeason6254 Месяц назад +8

    kufanikiwa sio kuwa na pesa, ni kuwa na afya njema, amani, upendo wa kweli, uvumilivu na kusameheana. Uvumilivu una malipo yake kuliko chochote kile, subra ina malipo yake,thats all abt success

    • @merymusa9376
      @merymusa9376 Месяц назад +1

      Sasa utakula nn

    • @julianapeason6254
      @julianapeason6254 Месяц назад

      @@merymusa9376 Mungu hajawah mnyima mtu chakula. Unachotakiwa ni kula unachopata sio unachotaka au unachotamani moyo

    • @marymm3186
      @marymm3186 23 дня назад

      aaaaaah, nakubari mucungaji,we musema ukweli kabisa,na tunakupenda sana

    • @Laizer3
      @Laizer3 23 дня назад

      Endelea kula maharage kila siku.😅

    • @julianapeason6254
      @julianapeason6254 20 дней назад

      @@Laizer3 wewe bado unawaza tumbo, tamaa ya vyakula ndio inawapeleka watu hadi kutoa kafara za damu, jua kwamba wakati mwenzio amelala akicheua vipaja vya kuku huku akililiwa na damu za mama na baba yake, kuna alielala kwa kunywa maji lakini ana furaha ya hali ya juu. Wewe usile maharage kula nyama utengeneze magonjwa na uue wazazi wako wote illuminati atakufurahisha

  • @pastorprospermlembasayunip500
    @pastorprospermlembasayunip500 24 дня назад

    Prophet unachekesha sana, nimependa sana.

  • @kenedygeorge255
    @kenedygeorge255 Месяц назад +2

    IPM Sauti yako ni ya uimbaji pia I think uachie gospel songs nakuambia zitaenda mbali sana

  • @jimmymafufu7394
    @jimmymafufu7394 Месяц назад +1

    Mwamba IPM respect nimependa mahojiano songa mbele nigga tumechelewa sana

  • @kenedygeorge255
    @kenedygeorge255 Месяц назад +2

    Aise hii video naomba iende viral iko na ucheshi mzuri sana . hakuna kufichana 🤣😂

  • @besttrendingcovers1838
    @besttrendingcovers1838 Месяц назад

    Barikiwa sana mtumishi

  • @emmanueljohn4018
    @emmanueljohn4018 27 дней назад

    africa ni shida unaweza mwambia i love u mpaka kuku(Noted)

  • @uwezawamungumkuu.amaniafrika
    @uwezawamungumkuu.amaniafrika Месяц назад +1

    Wanaume mwenye akili timamu kabisa atajiua kisa mwanamke tena uliyo mkuta hata bikira alisha poteza na kupita na wengine na uenda hata kazalishwa na wengine. Akili matope. Siwezi kamwe. Leo ukifa anaolewa tena hata asubiri 40 azipiti .Alafu watoto wako wanateseka. Wanaume jitambueni. Asante.

  • @MarySteven-h8c
    @MarySteven-h8c Месяц назад

    Kweli kabisa mtumishi wa mungu ubarikiwe sana

  • @joycekambuga6286
    @joycekambuga6286 Месяц назад +1

    Mtumishi uko vizuri unaongea ukweli mtupu.

  • @Noorabdulrahman-x1d
    @Noorabdulrahman-x1d 22 дня назад

    Innalilah waina ilayhi rajiun

  • @peacemwesiga
    @peacemwesiga 23 дня назад

    Ipm ni mwema anahuruma sana Mungu akubariki na uzao wako

  • @nurumohammed1310
    @nurumohammed1310 Месяц назад +2

    Huyu mchungaji anarafudhi kama muislam kama vile kupitia madrasa mashallha

    • @fatmazullu4933
      @fatmazullu4933 Месяц назад

      Kwani hujasikiliza vizuri nawee?

    • @OfficialA83640
      @OfficialA83640 28 дней назад +1

      Muislam huyo kasoma madrasa juzuu 30 ipo kichwani kaenda kutafuta maisha tu ipo siku Allah atamridisha nyumbani In'shaallah

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 28 дней назад

      ​@@OfficialA83640Ati kutafuta maisha😂😂😂
      Anakula za wajinga, ila hela hiyo siku akirudi Uislamu hizo hela hauzitaki, hairuhusiwi kua janja janja kuwapiga wajinga hela

    • @cuthbertmwaibella5031
      @cuthbertmwaibella5031 26 дней назад

      alikua mwislam

    • @cuthbertmwaibella5031
      @cuthbertmwaibella5031 26 дней назад

      ​@OfficialA836hawesi kurudi huyu40

  • @JoyceNowara
    @JoyceNowara Месяц назад +2

    Nampenda sana huyo Mtumishi nikifika Tz nitamtembelea

  • @emmanueljohn4018
    @emmanueljohn4018 27 дней назад

    nimeipenda iyo

  • @AgnesKalinga-ku5se
    @AgnesKalinga-ku5se 27 дней назад +1

    WAISLAMU ACHENI UBINAFSI MUNGU SIO WENU PEKEE, MNAJIONA SANA WATAKATIFU MTASHANGAA SANA YESU ATAKAPOREJEA CJUI NYUSO ZENYU MTAZIFICHA WAPI OLEWENU😞😞🙄🙄🙄

    • @mamachris6811
      @mamachris6811 27 дней назад

      Huko Arusha sala tano wameua mtoto na vitu vingi vimepatikana humo 😏😏😏😏

    • @SamiraMakame-w9c
      @SamiraMakame-w9c 24 дня назад

      Kiama kitakapofika nanyie mtaona ukweli ipi dini ya haki.

    • @mamachris6811
      @mamachris6811 23 дня назад

      @@SamiraMakame-w9c haya ngoja tusubiri 😆

    • @khamisomar5659
      @khamisomar5659 23 дня назад

      Isome biblia vzr utafute kwa kina je yehova ni nani na yesu ni nani?!

  • @zenasmjema4050
    @zenasmjema4050 25 дней назад

    Umekua mkweli sana 🙏

  • @EliakimEnock
    @EliakimEnock Месяц назад +1

    Mwambieni IPM katika siku alizo nifurahisha japo kaniacha hoi kweli kweli

  • @JoyceNowara
    @JoyceNowara Месяц назад +1

    Mungu ni mwaminifu kweli

  • @aidanjeremia4241
    @aidanjeremia4241 22 дня назад

    Ila IPM nimecheka sana maana upo seriously na humung'unyi maneno

  • @emmanueljohn4018
    @emmanueljohn4018 27 дней назад

    ka star wa picha la kiindi aaaaaah govinda ......aisee nitakuja kanisani kwako siku moja itakayofaa

  • @JoyceNowara
    @JoyceNowara Месяц назад +1

    Kweli kabisa mimi mwenyewe ni Nabii nimekaa kwa ndoto ya mateso miaka 20 na zaidi na Kweli ni likosea maisha

  • @JoyceNowara
    @JoyceNowara Месяц назад +1

    Barikiwa sana kwa kumsifia mkeo

  • @swahilitherapytv3846
    @swahilitherapytv3846 24 дня назад

    Alitokewa na shetani, akadanganyika kuwacha Uislamu.

  • @emmanueljohn4018
    @emmanueljohn4018 27 дней назад

    kweli kabisa mtu wako unapomwona unajua toka ndani na si vinginevyo

  • @edinalihedule7609
    @edinalihedule7609 29 дней назад

    Mungu wangu mbona kalio😂😂

  • @marryrudovicky3847
    @marryrudovicky3847 Месяц назад

    Nakuona mtumishi ata sisi bado tupo Mungu anatupigania

  • @Maerys-xm8xt
    @Maerys-xm8xt 28 дней назад

    Mchungaji, mtihani!

  • @Dadi-c4h
    @Dadi-c4h Месяц назад

    Mtangazaij wa radio ushid fm

  • @nurumohammed1310
    @nurumohammed1310 Месяц назад +2

    Hahahaaaa mchungaji ww mmmmh

  • @carolinemuli-ht4zx
    @carolinemuli-ht4zx 22 дня назад

    Waaaa 😂😂😂😂😂😂😂IPM

  • @Mayasa-o2w
    @Mayasa-o2w 28 дней назад

    watu.kama hawa.mh.hua.wanakuaga.na yalio.nyuma ya.pazia.ukiyajua weeeee😮😮

  • @emmanueljohn4018
    @emmanueljohn4018 27 дней назад

    Maono thats right Prophet

  • @AsteriaMontgomery
    @AsteriaMontgomery Месяц назад

    😂upo sawa kbsa

  • @fediliaulomi4969
    @fediliaulomi4969 Месяц назад +1

    Kumbe kondoo wanaliwagwa😂😂

  • @edinalihedule7609
    @edinalihedule7609 29 дней назад

    Na kipako anapaka 😢

  • @ukhtyrayyan7884
    @ukhtyrayyan7884 Месяц назад

    Kumbe ulikua muislamu inalillah wainaillah rajiuni ndomana upo vizrui ukieongea ila umertand subhanallah kaka anagu dini yaki niuslam

    • @nurumohammed1310
      @nurumohammed1310 Месяц назад

      Daaah ww umenifungua macho nilikuwa najiuliza huyu mbona kama muislam kama kaenda madrasa vile kumbe alikuwa muislam subhanallah

    • @MtanganyikaTanganyika
      @MtanganyikaTanganyika 28 дней назад

      Mtume alikua mfanyabiashara wa watumwa ambao waliitwa waiisilamu hakuna dini ya haki

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 28 дней назад

      ​@@MtanganyikaTanganyikaUna andiko, mimi nijuavyo watu weusi mmepewa imani kwa njia ya utumwa. Waefeso 6:5

    • @mossyfimbo3577
      @mossyfimbo3577 26 дней назад

      Ndugu yangu Imani inakuja kwa kusikia na si kuona hakuna aliyeona tumekua tukisikia izo Imani kutokea kwa wazazi wetu na kufundishwa na hizi Imani sijui kwa Africa kama imefika miaka mia 2 au mitatu sidhani lakini wazazi wa nyuma huko tukirudi nyuma waliamini Mungu yupo lakini wakiamini vitu fulani fulani sasa warabu walivyokuja na biashara zao za watumwa wakaleta Uislam na Wazungu na walivyokuja kuchukua watumwa nao wakaleta Ukristo mpenzi wangu Hakuna aliyeshuhudia si wazazi wetu na kila aendae harudi tunaishi kwa kusoma Hadithi hatukushuhudia bali tunaamini Mungu yupo lakini Imani kila mtu Ishimu alichoamini mwenzio tuishi kwa upendo Mungu anatunyeshea mvua woote kila mtu sawa alivyojaliwa bahati mbaya kila aendae harudi kutuletea salam Mungu Mwenyezi aliyetuumba woote ni wake hebu tuache hizo ubaguzi yeye atubagui woote ni wake kila mtu asubiri siku hiyo mpenzi wangu tutajua huko huko mbi chi ipi na mbivu ipi lakini hapa chini ya jua kila mtu Amini vyake Imani ni kitu very sensitive Dear tuache hizo

  • @mushumbaeric4916
    @mushumbaeric4916 28 дней назад

    Anayevumilia ni maskini tajili anaamua mke akimzingua anaua na yeye anakufa

  • @AliMohamed-w3b
    @AliMohamed-w3b Месяц назад +8

    Tafadhali tueleze ninani aliyekupa unabii? sababu enzi za manabii ziliisha

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 Месяц назад

      Yeye hakupewa anadai alikutana Na Yesu Msikitini ila anatupiga Za Uso anakoelekea kubaya

    • @AliMohamed-w3b
      @AliMohamed-w3b Месяц назад

      @@trophywilson7211 Nadhani anatumia njia hiyo kutefutia nayo maisha na umaarufu

    • @AliMohamed-w3b
      @AliMohamed-w3b Месяц назад

      @@trophywilson7211 Nadhani anatumia njia hiyo kutefutia nayo maisha na umaarufu

    • @ernestsinje9700
      @ernestsinje9700 Месяц назад +1

      Sio muhimu sana swali lako

    • @rozijackson4467
      @rozijackson4467 Месяц назад

      Unabiii ni roho ambayo Mungu anaweka ndani ya mtu ,hata wewe pia Mungu anaweza kukupa Roho ya unabiii ,hata sasa manabiii wapo ,

  • @Jibambeshow254k
    @Jibambeshow254k 28 дней назад

    Hio power yenu niyakuwafanya wajinga watoe sadaka alafu mjinufaishe daah amakweli Dunia,alihama kw wislamu kisa maokoto hamnajipya

  • @emmanueljohn4018
    @emmanueljohn4018 27 дней назад

    YUKO SAWA

  • @Maerys-xm8xt
    @Maerys-xm8xt 28 дней назад

    Mchungaji balaa tupu.

  • @MwanaishaShattry
    @MwanaishaShattry Месяц назад

    Shokamoo ni salam tu sio adabu.

    • @ukhtyrayyan7884
      @ukhtyrayyan7884 Месяц назад +1

      Shikamoo ni adabu tu salam ni kuamkinaa kwa mamkizi mema aliyoyataka Allah nayo nikisema Asalam Alaykum warahmatullah wabarakatuh vipi

    • @nurumohammed1310
      @nurumohammed1310 Месяц назад

      ​@@ukhtyrayyan7884shikamoo ililetwa na watumwa wanakusudia kusema shika moyo wangu mimi ni mtumwa wako

  • @edinalihedule7609
    @edinalihedule7609 29 дней назад

    Mbona kikwapa🙄

  • @rosemarymwakitwange6257
    @rosemarymwakitwange6257 Месяц назад +1

    Yaani Mijadala ya Ngono Kwa shangwe kwenye public? Fake prophet!

  • @fediliaulomi4969
    @fediliaulomi4969 Месяц назад +1

    Pasta ana maneno matamu na kondoo watakunyemelea tiripu hii

  • @bonita329
    @bonita329 26 дней назад

    😂😂😂😂😅

  • @KakajoeProsper
    @KakajoeProsper 9 дней назад

    Mchungaji, unanipa raha kwa majibu yako

  • @ElizabethFumbuka
    @ElizabethFumbuka Месяц назад

    Ww si unakemea tu?

  • @ameenamohammed4413
    @ameenamohammed4413 Месяц назад

    mashaallah

  • @Jassmin-media-official
    @Jassmin-media-official Месяц назад

    Kwahiyo una interview mwenye TV peke yake?

  • @AliMohamed-w3b
    @AliMohamed-w3b Месяц назад +3

    Maongezi yako niyakihuni na sio yakinabii

  • @RabiaIddi-ci2uz
    @RabiaIddi-ci2uz Месяц назад +1

    Mchungaji na wewe hebu jifunze kuyavalisha chupi maneno yako sasa ni ustarabu gani huo unaongea bila tafsida? adabu huna😢😢