Inatuhuzunisha sana tukikumbuka kifo Cha Dr. JPM pole saw me a Mwalimu Janeth Kwa kuondokewa na Mwenzi wako. JPM anaendelea kuishi nasi daima kwakuwa tunamwona kwenye kazi alizozifanya tangu akiwa Waziri wa Wizara mbalimbali Hadi alipokuw Rais. Rest in Power DR. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI
Kazi nzuri T.O.T, Hizi ndio nyimbo za maombolezo za kutia moyo, WAFUNDISHENI na WENGINE Tungo za maombolezo zinavyotungwa, na si kukimbilia studio kuwa wa kwanza kutoa wimbo
Hakika mungu mtie nguvu mama Janet magufuli kwa kupoteza kipenzi chako,,,,hii nyimbo haiachi kunitoa machozi kwa kweli.Raha ya milele umpe mtumishi wako ee Bwana,,,,,na mwanga wa milele umwangazie,apumzike kwa amani....Amina
Mwenyezi Mungu tunakuomba umpumzishe Aliyekuwa Raisi wetu wa Awamu ya Tano Mahali Pema Peponi,Ameen.Hakika TOT Wametuimbia Nyimbo Nzuri Zenye ujumbe mzuri na wanastahili pongezi
Oww Poleni sana tena sana ndugu zetu watanzania.. Siyo Nyinyi pekee mumepoteza kiongozi ila ni East Africa na Africa kwa jumla.. Poleni sana kutoka hapa Kenya... Hii nyimbo has really made me very very emotional, truly Maghufuli was a man of value & quality... Mola amrehemu. RIP our hero, RIP our lion, rest in peace the son of the soil......
@@caycameout2play Asante dada for you kind response. Guess I still go watch his videos on you tube and how he run his beautiful country. I'm so sad seeing the things he fought for & died for creeping back into the country. Truly all of us do and will continue missing that wonderful mzalendo & statesman.... Asante dada for you kind response.
Nyimbo zilitungwa kwenyemsiba wa Baba wa Taifa Mwalimu Julias Kambarage Nyerere. Apumzike kwa Amani Baba yetu wa Taifa. Mwalimu Julias Kambarage Nyerere.
Kiongozi aliyekuwa supavu namulilia mpaka sahii john , hata mume wangu alimfuata 2022 imagine kifo kwa kweli😭😭😭 🇰🇪 from kenya napitia mazishi yake mpaka roho yangu imekataa kupona mungu nifariji nisi overthink nigonjeke
Kama unajua maumivu ya kufiwa na umpendae usikiapo huu wimbo lazima kwa mbaaaliii utapata machozi yanayolengalenga machoni TOT band hakika mko sawa mmejua kuwafariji wengi.
Raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa aman amina😭😭😭😭😭😭 daima tunakukumbuka baba kipenzi cha watanzania dar inauma sana pumzika sana
Laiti ungeliamka ukaona Watanzania wanavyokulilia😭😭Nenda Baba nenda Magu Mwendo Umeumaliza pumzika Kizazi tutasimulia!! Nimekumbuka Viongozi waliotuacha katika taifa letu wakiwa Madarakani 1.Edward Moringe Sokoine(Waziri Mkuu1984)Enzi za Hayati Baba wa Taifa 2.Dr.Omary Aly Juma(Makamo wa rais)Enzi za Hayati Mzee Mkapa 2001 3.Dr.John Pombe Joseph Magufuli (Rais wa Tanzani2015-2021)Watanzania tunakulilia😭😭😭🤲🤲🤲
Daaah mola nakuomba uangalie mambo mazuri yote mzee magufuli aliowafanyiwa watanzania wanyonge ...umsamehe tu thambi zake na umpe upumziko mwema amin
Na mkumbuka sana babaangu manguu angekuwepo umeme usingehe katwa ovyoo baba ludii jamn
2023 still unbelievable magufuli alituacha...from 🇰🇪 kenya
Leo Wanyonge hawana sauti Baba...R.I.P JPM.😮
Inatuhuzunisha sana tukikumbuka kifo Cha Dr. JPM pole saw me a Mwalimu Janeth Kwa kuondokewa na Mwenzi wako. JPM anaendelea kuishi nasi daima kwakuwa tunamwona kwenye kazi alizozifanya tangu akiwa Waziri wa Wizara mbalimbali Hadi alipokuw Rais. Rest in Power DR. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI
Kazi nzuri T.O.T, Hizi ndio nyimbo za maombolezo za kutia moyo, WAFUNDISHENI na WENGINE Tungo za maombolezo zinavyotungwa, na si kukimbilia studio kuwa wa kwanza kutoa wimbo
Kabisa yani uu wimbo kama wa jhn komba😭😭
Waambie kaka, wanatuimbia bongo flavour wanasema wanaomboleza
Asante sana bora umesema ww maana nyimbo za mapenzi wanaimba kwenye maombolezo duuuh kweli kaz ipo
Hakika mungu mtie nguvu mama Janet magufuli kwa kupoteza kipenzi chako,,,,hii nyimbo haiachi kunitoa machozi kwa kweli.Raha ya milele umpe mtumishi wako ee Bwana,,,,,na mwanga wa milele umwangazie,apumzike kwa amani....Amina
Sitasahau hii siku. Kama bado unalia kama mimi hii 2022 like
Kwakweli daaaaa
Mie hii 2023 na bado chozi linanitoka 😢
Yani jamani
Mm nalia machozi utazani kafa leo baba r.i.p jpm mungu ndo anajua
We acha mpka leo nina kidonda moyoni mwangu,, 😭😭
😭😭😭😭 Natamani iwe ndoto maumivu ni makali hayaelezeki Mungu tusaidie tulikupenda sana baba yetu 😭😭😭 pumzika baba
Misingi uliyoiweka iwe dira ya maendeleo ya nchi hii. Pumzika kwa amani shujaa wa nchi yetu na Afrika.
Mwenyezi Mungu tunakuomba umpumzishe Aliyekuwa Raisi wetu wa Awamu ya Tano Mahali Pema Peponi,Ameen.Hakika TOT Wametuimbia Nyimbo Nzuri Zenye ujumbe mzuri na wanastahili pongezi
Nimemkumbuka komba .......PUMZIKA JPM KAZI YAKO IMEBAKI ALAMA
Hata mimi hapa machozi yanatoka,Mungu ampokee mbinguni
😭 leo tena nimeutazama huu wimbo
Kifo chake kiliwaumiza Wakenya 🇰🇪 kwa jumla. Buriani our Hero, our mentor ,Dad and King of African continent we will miss you dearly ❤️
Nenda baba, 😭😭😭😭 daaah!kapumzike baada ya kumaliza kazi dunian Mungu akupe cheo tena chakuongoza malaika 👋👋👋
🤣🤣
Mungu anaweza sana atatufariji Watanzania tusiogope kama ali vyosema Baba yetu katika uhai wake
Daaah naumia sana naposikiliza huu wimbo, tone yake inaumiza sana 😭😭😭😰😰😥😢 daaah hadi leo TAR.20.10.2022 nalia sana
Oww Poleni sana tena sana ndugu zetu watanzania.. Siyo Nyinyi pekee mumepoteza kiongozi ila ni East Africa na Africa kwa jumla.. Poleni sana kutoka hapa Kenya...
Hii nyimbo has really made me very very emotional, truly Maghufuli was a man of value & quality... Mola amrehemu.
RIP our hero, RIP our lion, rest in peace the son of the soil......
Ameeeen...😭😭🙏🙏
You are the hero Dr. You fought the good fight.You've finished the race,you kept.Rest in peace Icon.
Thank you so much for your kind words, jirani. Just came across this video a year later, and we still grieving for JPM. May he RIP
@@caycameout2play Asante dada for you kind response.
Guess I still go watch his videos on you tube and how he run his beautiful country. I'm so sad seeing the things he fought for & died for creeping back into the country. Truly all of us do and will continue missing that wonderful mzalendo & statesman.... Asante dada for you kind response.
Dah!! Sijui watanzania tulikosea wapi mpka tukapata pogo Hilo😭😭😭😭😭😭😭😭💔💔💔
Pumzika kwa Amani Rais John Joseph Pombe Magufuli. ♥
Daima tutakukumbuka RIP Rais wetu mpendwa Magufuli. 2025
RIP baba ,, hizi ndizo nyimbo za maombolezo
Wimbo huu umewaliza wengi.ngoni" tone" ipo juu !
RIP JPM. 🇹🇿🙏🏾
Mungu akupokee John Pombe Magufuli,😭😭😭 hakika tulikupenda Baba Yetu jembe letu, tutakukunbuka sana, mtetezi wa wanyonge
Jaman inauma rakini hatuna jisi tumuombee kwa muqu baba mwenyezi amupokee kwa amani aiweke roho pema peponi amina
Pumzka kwa Amani baba yetu kipenzi wanao tunalia mnoo 🙏🏿🙏🏿🙏🏿😭😭😭🤲🤲🇹🇿🇹🇿🇹🇿💔💔
20/07/2021 nilikwa namkubali sana huyo mwamba
Hakika dereva amefariki akiwa kwenye usukani wa gari lenye speeeeeeeeed Kali.Ee MUNGU tunaomba umpe nguvu dereva aliye pokea usukani huuuuu
Namuona komba kwa mbaliiiiiii R. I. P komba bado tunakuenzi
Magufuli mwamba mungu akupunguzie mabaya mtoto wa watu tulikupenda ila mungu kakuendaa pia
Usemavo wimbo watanzania tunakukumbuka kweri mungu muweza Asante mungu
kwa kweli wimboo huu unaliza
3yrs now
T.O.T is the best band in our country ina nyimbo nzuri zinazo weza Kuwa liza watu
Kwakweli uyu Mzee magofuli mi mpaka Leo wagha nikimbukuka machozi alituacha bado tunampenda sana lakini Mungu alimpenda zaidi
Nyimbo zilitungwa kwenyemsiba wa Baba wa Taifa Mwalimu Julias Kambarage Nyerere. Apumzike kwa Amani Baba yetu wa Taifa. Mwalimu Julias Kambarage Nyerere.
Nyimbo nzuri yamaombelezo ongera sana, R.I.P mzee maguvuli.
this is the song.... ukisikiliza unafeel kabisa !! Apumzike baba etu Magufuli Tumelia sana Mungu atusaidie tusikufuru
Totband Wapo. Vizurisana
Apumzike baba yetu
Apumzike baba yetu
Hakika Magufuli tumekukumbuka... Ooooiiiiii Mungu utuokoa sisi watanzania
Wimbo toti unakumbusha niwaze sana
Mungu ampumzishe mpendwa wetu kwa amani!!!!
Hongela kwa mtunzi .
R.I.P our president, hero of Africa, our Lion, our fighter against enemies who steal our tresures and calls us poor.🙏🙏😭😭😭😭✝️✝️✝️😥😥🙆♀️🙆♀️🤦♀️🙋🏾♀️
Endeleà kupumzika peponi Rahisi magifuli...mimi ni mkenya lakini nilimpenda sana Rahisi Magufuli 👋 😥
Nmekukumbka xn baba yangu mungu akupmzixhe kwa aman
Daaaaah 😭😭😭😭😭😭😭😭huu wimbo unaliza sana hakika baba tunakumiss
Am so sorry, hata mm bado nalia mpaka dk hii😭😭😭
Watanzania tulikupenda sana lakini nae mungu alikupenda zaidi
Kiongozi aliyekuwa supavu namulilia mpaka sahii john , hata mume wangu alimfuata 2022 imagine kifo kwa kweli😭😭😭 🇰🇪 from kenya napitia mazishi yake mpaka roho yangu imekataa kupona mungu nifariji nisi overthink nigonjeke
ULIWAPA HESHIMA WANYONGE WAKAIFAIDI NCHI YAO NENDA BABA UKAPUMZIKE BAADA YA KAZI NGUMU ULIOIFANYA
this songs carries the day, nenda salama baba
Kama unajua maumivu ya kufiwa na umpendae usikiapo huu wimbo lazima kwa mbaaaliii utapata machozi yanayolengalenga machoni TOT band hakika mko sawa mmejua kuwafariji wengi.
Daaah nazidi kuumia sana
Bado tunakulilia baba rest easy champ 2023
😭😭😭😭 Nenda Magufuli Nenda Baba Umeumaliza Mwendo 😢😢😢😭😭🙏
Lala salama jembeletu Magufuri🙏🙏
Legend wa Africa tunashukulu umetutoa matongotongo sisi watanzania.
Mungu akulaze mahali pema peponi amina hayati magufuli alikuwa mtu wa watu
Pole mummy.Mama maria yuko nawe.🙏🙏🙏👑
Amiin
Mungu akupunguzie azabu amen
Pole mama janethi na sisi pia tunajipa pole tumepoteza
Ni pigo kubwa kwa Wana Tanzania atuna kikubwa zaidi ya kukuombea kwa Allah akulaze Mahal pem pepon
Wimbo huu unahuzuniaha Sana.
Ogopa kufiwe na mwenza
A nice song,, hii ndo nyimbo sasa
Mwenyenzi Mungu amrehumu DR P. Magufuri
Jamani mama amechoka kabisa ,mungu mkumbuke
Mama Janet aliniumiza sana katika huu wimbo hakika,,,,wimbo ulijaa maneno mazito,,,,nakuombea kwa mungu mama yetu,,, mungu akutie nguvu mama magufuli
Simanzi katuachia nenda salama baba yetu R.I.P Mzee MAGUFULI
We remember my soger💔💔😭😭😭😭😭😭😭
Sitakuja kusahau siku hii pumzika baba yetu😭😭😭😭😭
Apumzike kea baba yetu kipenzi tutkukumbuka daima magufuli kipenzi cha wengi
dah!!
Missing my beloved president
KUWE NA KUMBUKUMBU YA MAGUFULI DAY TANZANIA KAMA NI VIGEZO BASI VIANGALIWE. ALIFANYA MAMBO MENGI YA KIHISTOLIA MWAMBA HUYU. P.I.P MPENDWA WETU J.P.M.
Raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa aman amina😭😭😭😭😭😭 daima tunakukumbuka baba kipenzi cha watanzania dar inauma sana pumzika sana
Ni ngumu sana kusahau Mungu tunakuomba umpumzishe kwa amani John Pombe Magufuli raisi wetu mpendwa, bado tunalia jamani
Jemedari wa wawanyonge Mungu ailaze roho yako mahali pema peponi,ameen.
Hii nyimbo dah... Tuwekeeni na zile nyingine 😭😭😭😭
You are the hero!! Dr. JPM rest in peace.
A real African son with African spirit, May God rest his soul in peace
Mama Mungu akupe moyo wa ujasili
Tutaonana siku moja huko juu Mungu akutanguliye baba
Narudi tena aseee😢😢 hatutakusahau
Hakika JPM UTAKUMBUKWA DAIMA. UMEYUACHIA ALAMA KUBWA KWETU; MUNGU AKUWEKE MAHALIPEMA PEPONI. Amina.
Rais wangu ni Magufuli 😭
Huyu mwingine Mimi hapana.
Acha fujo sasa
Yesu ni Mume wa wajane. Mama yetu Janeth usilie😭😭😭
Mungu kweli alijua kutuchapa fimbo😭😭
Dah pole mama Janethi ni ngumu kusahau ki ukweli huu wimbo napenda kuusikiliza adi machozi hunitoka
Magufuli my favorite
Kama kweli mulimpa sumu awali mukaona haitoshi mummalize kabisa inshaallah mungu atawaonyesha kwauwezowake
Wimbo.unanikumbusha.mambomegi.sana
Mungu akubaliki Sana
Pumzika baba yetu na Rais wetu wa Taifa
Jamani viongozi wetu tufate mazuri arioacha Mzee mwenda zake
Tunakukumbuka jembe ya Africa
Poleni watanzania tuko pamoja wakati huu wamasimba
Pumzika kwa amani jembe la watanzania.❤
MUNGU AKUBALIKI na akupe kauli thabiti
Pumzika kwa amani shujaa wa Africa, I haven't seen another person mourned like this almost worldwide 😭😭😭😭😭rest in eternal peace
Rip
Eeemungu ulimchukua kwelituu aaah inaniuma sana atasijui lini nitasahau
Daaaa, yaani nimemkumbuka John Komba maana sauti mlemle, Rest in Peace Jembe letu
Kabisa
Yaani hawa walipikwa kweli kweli ktk"tune" za kingoni! Utasema ni Komba mwenyewe ndo anaimba! Na hii ndiyo nyimbo yenye hadhi ya maombolezo kweli!
TOT kwa kweli namkumbuka Jabari wa mziki captain Komba Maguli ni Mshumaa uliyozimika ghafla Hatuna namna
Siwezi kuisahau siku hiyo mpaka nenda kaburini kwani nilimupenda sana Rais wangu.
Laiti ungeliamka ukaona Watanzania wanavyokulilia😭😭Nenda Baba nenda Magu Mwendo Umeumaliza pumzika Kizazi tutasimulia!!
Nimekumbuka Viongozi waliotuacha katika taifa letu wakiwa Madarakani
1.Edward Moringe Sokoine(Waziri Mkuu1984)Enzi za Hayati Baba wa Taifa
2.Dr.Omary Aly Juma(Makamo wa rais)Enzi za Hayati Mzee Mkapa 2001
3.Dr.John Pombe Joseph Magufuli (Rais wa Tanzani2015-2021)Watanzania tunakulilia😭😭😭🤲🤲🤲
Mkapa na Jk Nyerere hawakuwa madaraka mpaka wanafikwa na mauti
Great memories of JPM our all time African Hero.RIP.
😭😭😭😭😭😭miaka 3 Sasa daaaa😭😭😭😭
Mungu amurehemu ukoariko
Hizi ndio nyimbo za maombolezo.
Sio wale wengine wanaimba bongo flavour wanasema wanaomboleza
Siyo za akina fulan
Hahaha 😃 😃 😃 kweli kabisa wanafanya kazi kubana puwa
Ngoni tune ipo juu !💪🇹🇿👍
R.I.P president Magufuli your a real African hero.