HONGERENI KWA MAANDAMANO MAZURI LAKINI JEE, TUNAZINGATIA NENO LAKE KWA VITENDO, YA KWAMBA KWA JINA LAKE KILA GOTI LITAPIGWA? TUJITAFAKARI KWA KINA JINSI YA KUMPOKEA HUYU MUNGU WETU. TUIREJESHE ILE MILA YETU YA KIBANTU KUPIGA GOTI NDIYO HESHIMA YA MWISHO
Kanisa Moja,Takatifu katoliki la mitume... Tumsifu Yesu Kristo
Edwin Kajuna ubarikiwe sana mpendwa wangu
Milele Amina ❤️❤️❤️❤️
Ahsante YESU KWA UWEPO WAKO KATIKATI YETU KTKA TAIFA LETU 🙏🙏🙏❤️❤️❤️
Celina Michael ubarikiwe sana mpendwa wangu
Father kagombe hongera baba nimekuona.
@@AnnaThobias-r5u ubarikiwe sana mpendwa
Wow Wow... sooooo beautiful, love from Kenya
Thairuwan Amina ubarikiwe sana mpendwa wangu
Hongereni Yesu chakula na kinywaji kweli atusaidie katika maisha yetu
Kira Eugene ubarikiwe sana mpendwa
Ee Yesu wa Ekaristi uponye majeraha tuliyonayo ktk maisha. Kwa kweli Mungu anatukuzwa nasi tunatakatifuzwa
Yasitha Philipo ubarikiwe sana mpendwa wangu
Hongereni Sana kwa hazimisho la Ekarsti takatifu, Ni kweli maandamano ya ki historian✍️🙏🏼🙏🏼
Cecilia Mabula Amina ubarikiwe sana mpendwa wangu
Mungu ni mwema
Anchila Musigura Amina ubarikiwe sana mpendwa wangu
Tyk hongereni kwa madhimisho ya Ekaristi Takatifu hakika Katholic lipo kwenye Misingi imara nawafuatilia kutoka Mpwapwa kwa Sasa.
Martin Sambaa kutoka Mpwapwa Dodoma Mungu akubariki sana mpendwa wangu
Yesu wa ekaristi tunakushukuru ponya mioyo yetu kaa ndani yetu na sisi tukae ndani Yako Amina
Sabina kushoka Amina ubarikiwe sana mpendwa wangu
Ashukuriwe mungu wa mbinguni
Angel Mshami Amina ubarikiwe sana mpendwa wangu
Wabarikiwe
Angela Sule Amina ubarikiwe sana mpendwa wangu
Asante yesu uwepo wa yesu wa ekarist❤❤❤
Candy Marandu ubarikiwe sana mpendwa wangu
Mungu atubariki sote
Method Agrey Amina ubarikiwe sana mpendwa wangu
hongera kwakongamano la ekaristi
Yustchuwa Ahsante sana mpendwa wangu
Tu nakupenda sana Yesu wetu tuimarishe ktk imani
Edina mtayoba ubarikiwe sana mpendwa wangu
Jmn mambo yalikuwa safi sana Ekaristi takatifu ni chakula na kinywaji cha uzima
Ubarikiwe sana mpendwa wangu
Amen ❤❤❤❤
Titus Mwithya Amina ubarikiwe sana mpendwa wangu
Nimefarijika sana.
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Magdalena Magere Amina ubarikiwe sana mpendwa wangu
Asante Yesu kwa kunikomboa kwa gharama yenye thamani isiyolinganwa ya damu yako takatifu
Judith Gervaz Amina ubarikiwe sana mpendwa wangu
Praise to God
Sheby Luwumba Amina ubarikiwe sana mpendwa wangu
Yesu wa Ekaristi naomba ukanisaidie katika mapito yote nayopitia
Anthony Bruno Amina ubarikiwe sana mpendwa wangu
Najivunia Kanisa Catholic.Asante Yesu sifa kwa Yesu.
Sister Rosa ubarikiwe sana mpendwa wangu
Amina❤
Ruth Joseph ubarikiwe sana mpendwa wangu
Amina sana
Triphonia Kondrad ubarikiwe sana mpendwa wangu
Kihisitolia kweli
Haswaa ubarikiwe sana mpendwa wangu
❤🎉🎉🎉
Euphrasia Shirima ubarikiwe sana mpendwa wangu
Machozi ya furaha yananitoka nikiangalia hii Jesus
Josephine Kimaro ubarikiwe sana mpendwa wangu
Proud to be catholic
Yasinta Joseph ubarikiwe sana mpendwa wangu
Hilo ndilo Kanisa Takatifu Katoliki la Mitume shangwe Tanzania yote
Herman Nzwalla ubarikiwe sana mpendwa wangu
Jioni alhamis Yesu na Mitume wakaja karamuni ya kondoo na mkate
Emmanuel Rwehabula ubarikiwe sana mpendwa wangu
Najivunia kuwa mkatoriki
0:17
Mary Celina Kuyi ubarikiwe sana mpendwa wangu
HONGERENI KWA MAANDAMANO MAZURI LAKINI JEE, TUNAZINGATIA NENO LAKE KWA VITENDO, YA KWAMBA KWA JINA LAKE KILA GOTI LITAPIGWA? TUJITAFAKARI KWA KINA JINSI YA KUMPOKEA HUYU MUNGU WETU. TUIREJESHE ILE MILA YETU YA KIBANTU KUPIGA GOTI NDIYO HESHIMA YA MWISHO
Stella Lugongo ubarikiwe sana mpendwa wangu
Tupo pamoja katika kumtangaza KRISTO,
Saada Adam ubarikiwe sana mpendwa wangu
Kaa nasi Bwana
Spenciozar ubarikiwe sana mpendwa wangu
Ee yesu waekarisiti kaa nami
Ubarikiwe sana mpendwa wangu
Kongamano jema
Grace Buhatwa ubarikiwe mo
Pendwa wangu
Sakramet kubwa hiiyo twaiheshimu kifudii na sheria ya zamani............
Hance Magembe Amina ubarikiwe sana mpendwa wangu
Asante Mungu ilikuwa siku nzuri sana tulibarikiwa wote
@@editharmalingumu ubarikiwe sana mpendwa wangu
Kanisa moja katoliki la mitime
Paul Rwechungura Amina ubarikiwe sana mpendwa wangu
Wote wasomi hao duuu katoliki aisee kanisa imara Sana
Maximilian Gunze Amina ubarikiwe sana mpendwa wangu
Ahsnte yesu
Ubarikiwe sana mpendwa wangu
Laudetur Jesus Christus
Eenatua Rweyongeza Amina ubarikiwe sana mpendwa wangu
Mungu wetu ni mwema
Rosemary Malya ubarikiwe sana mpendwa wangu