Kaka Kevin please came back umalize ulicho kianza 😢😢samahani ila huyu Rass is a no go zoone nowaahahala twaaga kipindi sasa😮kaka kevin kama BEN upoooooo❤
Acha makasiriko nawewe maji ukiyavulia nguo sharti uyaoge😅😅😅 ...mbona mama grace mapunda kaenda kwa Mungu baba lakini watu bado wanaitazama Huba...je nawao waache??
Ndo nilikuwa najiuliza Kelvin wetu anaezi kuwa msaliti mba apa nakutembewa na wanawake namna iyi kumbe nima tepeli nyinyi sio Kelvin tulikuwa mujuwa wamu donta
Tayari mshaharibu kila kitu wahusika ambao ni vipenzi vyetu hatuwaoni kuanzi ben na yule mdogo wake ben wakike tuliewazoea kiukweli mimi kwenye hii season kilichokuwa kinanipeleka ni ben peke ambae ni kelvin sidhani kama nitaendelea na hii movie
Labda ule alikuwepo mbele haiko Kelvin Nani uyu wa wakusuka nyele mwe banaanza ita benny ? Balikamata picha ya Kelvin bakaitiya humu ili tufwate mouvie zao nyinyi ni matepeli na tunaenda shiiaaaaa
Naskiya munapiga kelele kelvin arudi lumesahau kama anakazi nyingi zakwake ilikua anasaidiya wenzake ili tuwa sapoti kazi yao ebu tuwe waelewa tufate mafunzo jamani plz musiangushe wenzetu😢
WANAOTAKA BENNY HALISI (KELVIN) TUKUTANE HAPA. GONGA LIKE🎉🎉🎉
Nipeeni likes jamani Team strong 🥰🥰wangapi tunataka kelvin wetu arudi😢😢
mm apa💝💝💝
Me naona asirudi ili huyu ben wamchongo anavoachwa na Tina nakwenda ka Ali ñisimuonee huruma😅😅😅😅😅😅😅
@JoyceKayombo-y3g 😂😂Acha tungoje tuone Ali akijua mke wake anatembea na Ben kutaenda aje
Ben arudishwe kwa kwel
@winnerbasil7369 huyu aki hapana
Kwakweli hainogi bila kelvin lakini fetty akitoka na zena namimi naaca kuyitizama
Tina sijapendaaaa❤❤❤❤
Hapo chacha ngoma uwanjani 😂kusema kweli munanifurahisha kila kona ni moto 😂
Kaka Kevin please came back umalize ulicho kianza 😢😢samahani ila huyu Rass is a no go zoone nowaahahala twaaga kipindi sasa😮kaka kevin kama BEN upoooooo❤
Bwan malast nilijua mondi😂😂 ila unajua mngemfany mchepuk wa lina alaf mkatuach beni wetu
Beni wa mchongo mmetisha jamani
Jmn kelvin uko wapi mbna move bila wewe hainogi bana Rudi 😢😢😢😢😢 na mbna watu wanabadilishwa ka nguo 😂😂😂😂 jmn ila big up team penzi hasara
Hawa watapoteza watazamaji maana wanabadilishwa sana
Wote mnaosema hamtaangalia tena kisa kutowepo kelvin hebu acheni mbona imekuwa kelvin kelvin kila mara acheni kuangalia bhan😢😢 mnaboa
Kelvin arudi tafadhali
Boss ally nakupenda bure kaka uko good sana
Timu tina na Ali jaman tujuane kwa like
Jaamani kwanini mulimutowa Kelvin Sito angalia tena movie yenu.
😂😂😂
Acha makasiriko nawewe maji ukiyavulia nguo sharti uyaoge😅😅😅 ...mbona mama grace mapunda kaenda kwa Mungu baba lakini watu bado wanaitazama Huba...je nawao waache??
😅😅😅
😂😂😂😂 exactly 💯
Ndo nilikuwa najiuliza Kelvin wetu anaezi kuwa msaliti mba apa nakutembewa na wanawake namna iyi kumbe nima tepeli nyinyi sio Kelvin tulikuwa mujuwa wamu donta
Huyu beni hajapendeza kama mwenyewe kwa kweli ❤haya kazi iendele 😂
Tupatie beni wetu kevin
Hii ndo yangu kuangalia yamwisho, movie zaivi zinaboaga sanaa Sasa kelvin muketoa wanini
Mulivyo mtowa Kelvin mungemuweka Kp kwa7bu wanafanana lakini uyo rasta man awaendani kabisa😂😂😂😂😂😊
Kabisa😢😢😢
@EuniceOyamo yaa😊😂
Bila kelv sasa hii movie imeshakuwa mbaya sema kwel
jman nampenda ally hatar
Wow wapenzi hatali penzi hasara epsd 25 asante
Tayari mshaharibu kila kitu wahusika ambao ni vipenzi vyetu hatuwaoni kuanzi ben na yule mdogo wake ben wakike tuliewazoea kiukweli mimi kwenye hii season kilichokuwa kinanipeleka ni ben peke ambae ni kelvin sidhani kama nitaendelea na hii movie
@QueenShayo-u3h ndio nilitumwa na mamako kuma lako wewe nisitoe maoni yangu ujidai kimbelembele umeshindwa kutoa yako mamako wewe
Labda ule alikuwepo mbele haiko Kelvin Nani uyu wa wakusuka nyele mwe banaanza ita benny ? Balikamata picha ya Kelvin bakaitiya humu ili tufwate mouvie zao nyinyi ni matepeli na tunaenda shiiaaaaa
Ben wamwanzo arudi, napenda msemo wake "imeisha iyo!"
Pameanz kuchangamka😂😂😂😂😂
Hii kipindi ilikua nzur lkn hii kubadilisha watu ishatoa hamu kabisa,,kelvin ako wapi ssa
Mbn Benny wa mwazo na sahiz vitu viwili tofaut jmn kwwnn
Lkn kaka Ali mzur❤❤
Kaz nzur sana🥰🥰🥰🥰
Mm apa natal alud ❤❤❤❤❤
Kelvin kafungwa kwakuteketeza mali ya wazazi wake ndomana hatumuoni sema muanze kuchangisha ili tumchukuliye zamana
Jmn yani benny wetu ata rudiya tena nita acha angalia movie yenu 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 we congo muko wapi
Turudishieni Ben wetu original 😢
Mbona beni hyu sie mnatuchanganya jamani
Wamrudish Calvin wt
Kazi nzuri 🎉❤❤❤❤❤🎉
KELVIN Kwaniamekuwanini ❤❤❤❤❤❤
Kazi nzuri mashaulllh 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Tamu sana ila twataka Kelvin afanye hpo part ya Beni yni alikuwa anaenjoy😅jamani
Unalo dada seme kweli yako usimfiche Aly 😂
Mbna si hyu ben tunamjua😮😮😮
Mimi nataka arudi kwasababu Kevin ni MTU was michongo
Ali uko na mtihani mabibi😅😅wawili kua makini
Ila tina nakupenda bure na fauna wako mnanichekeaha mau🎉🎉🎉🎉yenu
Tunamtaka Kelvin jmn😢😢😢
Mnanishambulia sana jmn mm ndo benny rasta man😂😂
Yaan hadi naenjoy kuangalia hii move mpo vizuri sana na hamcheleweshi adi raha big up Mr Alliy
Tunamtaka Kelvin wetu arudi kabisa kama haludie sita yitizama tena ao ku like wapi by by by 👋👋👋👋👋👋👋
Vipi tena ben amekuwa marasra
Kazi tamu
Kweli hii move hainogi bila kelvin
Ben wetu yuko wapi jman😢😢😢
Huyu fauna kama anamtaka huyu project director😅😅😅😅😅
Kelvin awezi Rudi alisha timiza ahadi na faty ,
Uyo ndonani tena😂😂😂😂
Mbona majanga jamn kulikon kutubadlishia kelvin ndo anafaaa hapo ata hajapendeza
Sasa huyu benny gan mnatuleteq jmn😢
Inaburudishq❤❤❤❤
Much love ❣️❣️
Ata mimi naitaji kelvin arudi lasi hivyo Ichi Cha mwisho kuangali
Naskiya munapiga kelele kelvin arudi lumesahau kama anakazi nyingi zakwake ilikua anasaidiya wenzake ili tuwa sapoti kazi yao ebu tuwe waelewa tufate mafunzo jamani plz musiangushe wenzetu😢
Turudishieni mir wetu na kelv
Jamani hii movie wanawahi Hadi raha🎉
Wale ambao akili zetu sasa ivi zinawaz mtt wa boss tujuane
Sikuiz wanamtumia kelv watu ili tuangalie tukishanz kunigew wanamtoa
Mludishe Kelvin bwana
Wacha nikaangalie Distance kamwe
Mili nimekupenda bure kwa mamuzi yako. Baki tuu na zein
Mutubslishia Sana watu
Yaani mnabadilisha watu moja kwa moja ghai
Wako vizuri no kuchelewesha
Yan imeanza kuboa ki ukwel bora Kelvin arud
Jamani hadithi yenu mzuri lakini kutoka Kwa kelvini ambaye ni beni mmenikata kweli jamani
Move hainogi turudishien kelvin Jamn 😢😢😢😢😢😢😢
Umeona ee kelvin ananogesha na atamdogowake kelvin ambae nimjamzito sijjui kwann wamewatoa
Kelvin, Ben amebadilikaaaa😂😂😂
Kumekucha😊😊😊
Kaka Asa beni kawaje Tena huyo wakati Alikua Kavin nyie mafala kweliii
Ben narasta tena jamani khaa hainogi😢
Mh huyu Beni duuh
Tina kama tina your are so good
Congrats to boss Ali and Fetty
Ben .Ben .Ben nakuita Tena.....
Safari sn zen🎉🎉🎉🎉
Kusema ukwel ben huyu wa sasa apana kwakwel
Kwa nini hali ya Ben inazidi kudhohofika, ya ako mgonjwa nini??? 😅😅😅
Mm Uyo Ben c Kelvin naomba Kelvin arundi buana
Kelvin arudi, tayari mume aribu kwani alienda wapi uuyu Kelvin?
Hii sita yitizama tena kama Kelvin haimo hamuta niona tena nayitizana ao na like kabisa munikome kabisa
Inuweni wenzeni inamana hamujuwi kelvin anakazi nyingi zakwake
mchezo mumeuharibu mlipo mtowa kelvl
Mnajitahid sana kuwahisha jamn had laha
Nilikuwa na ushauli jitaidini sana kwenye swala la mwanga mkiwa ndani
Na wasibadilishe sana waigizaji wanapoteza mvuto wa movie
@@olicej7837 kwa mfano beni imepoteza mvuto
Huyu beni wa sasa mbona cmuelewi
Kwani BEN MWENYEWE YUKOWAPIII
Mnana singuwa huyo siyo Beni wa mwanzo huyo ni wa mchongo
Sheh!😢bila Kelvin hapana 🤔
Kelvin rudi huyu Kelvin mpya anakera
Jmn mbona Ben alikuwa ni kelvin huyo. Mwingine imekuajee
Kelvin arundi jameni
Sijawah coment lakin Ben arudi bhn (kelvin)