PENZI HASARA EPISODE 25 ❤ Full Movie | New Bongo Movie |Swahili Movie | Love Story

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 дек 2024

Комментарии • 173

  • @AlawiaSaid-w2f
    @AlawiaSaid-w2f Месяц назад +6

    Mturudishie Ben wetu jamani

  • @FurahaChristine-g8w
    @FurahaChristine-g8w Месяц назад +4

    Nawa penda sana lakini mutu rudishiye Ben mwenyewe huyo anakrera hayendani n'a movie kabisa

  • @JaneBinyanya
    @JaneBinyanya Месяц назад +3

    Nampenda Tina sana ila huyu Ben hapana ...halafu dada za Ben wana shda chungu mzima na Dafa wao Aisee ila Sefu atakipata roundi hii🤣🤣🤣 ....sijapenta Mimi much love Tina❤️❤️❤️❤️

  • @MwaJuma-x3t
    @MwaJuma-x3t Месяц назад +1

    Kz nzuri mashallah amcheleweshi❤❤❤

  • @Fah-pz8of
    @Fah-pz8of Месяц назад

    Hongeleni kwa kirutubisho cha penzi hasara epds 26 tunawashukulu kwa haya

  • @MozahFamily
    @MozahFamily Месяц назад +2

    Mturudishie beni wetu jamani

  • @Pat139enZaeadic
    @Pat139enZaeadic Месяц назад +1

    Ally na moyo wako huo mungu akuzidishie waaah c rahisi 😢 much ❤❤

  • @ZawadiJuma-t8z
    @ZawadiJuma-t8z Месяц назад +3

    Mmh uyo ben wasasa bora mungeweka mwingine huyo hata uo uben wenyew hauwezii minywele tyu😂

  • @Giftjuma-y6c
    @Giftjuma-y6c Месяц назад +2

    Naipenda xn ii movie uwa awaichelewexh yn ❤❤

  • @AnithaNahimana
    @AnithaNahimana Месяц назад +1

    Hongera tena ira uyo beni ana kera sana duu

  • @Dr_nanjase
    @Dr_nanjase Месяц назад +1

    Huyu ben wa sasa anaonekana kabisa amna show bila busta awez kaz 😂😂😂😂Kachoka choka had kuongea yenyewe ni shida tyuh...

    • @kenzkey
      @kenzkey Месяц назад

      Asante sana kwa comment yako

  • @BeatriceMorgan-dd5ou
    @BeatriceMorgan-dd5ou Месяц назад +3

    Jmn Kelvin alud Ben uyo apana uzur wa movie umeisha

  • @SalamaCharo-q6k
    @SalamaCharo-q6k Месяц назад +1

    Ooh nafasi y ben ni uyu honger pia marastar

  • @MariaZawadi-z7f
    @MariaZawadi-z7f Месяц назад +3

    Ben Ben.. Mludishen

  • @TimaBofulo
    @TimaBofulo Месяц назад +2

    Mleteni Ben w mwanzo jamni

  • @Sumaiaingabire
    @Sumaiaingabire Месяц назад

    Fatuma wa kwrii njoo uyoo jamani ♥️❤️ Ally bora angerudi nawew

  • @SalamaTaura
    @SalamaTaura Месяц назад

    Kazi nzuri mashaulllh 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @MaryamIsmaeel-v3i
    @MaryamIsmaeel-v3i Месяц назад

    Jamani leo kumenoga huku,zena kaumbuka huku,hawa marafiki wawili tina na mwenzie(?)wananifurahisha sana😂😂😂❤❤❤❤❤

  • @princessplatnum4416
    @princessplatnum4416 Месяц назад +2

    Kwa sasa imeshapoteza mvuto hiii kitu bila ben atuielewi

  • @hanifayassin6005
    @hanifayassin6005 Месяц назад +1

    Mngefananisha hata kidogo huyu awafanani kabisaaaaaa

  • @HoHo-l1r
    @HoHo-l1r Месяц назад

    Jmn .leo nawapa mauwa yenu yani mmetuletea movie yetu kwa wakati ❤❤❤❤

  • @DorcasNasimiyu-g4e
    @DorcasNasimiyu-g4e Месяц назад

    Jamani mujue tunapenda Ben akiwa. Anyway good job nawapenda 🎉🎉

  • @DivineIngabire-lj3sr
    @DivineIngabire-lj3sr Месяц назад

    Zena kwisha sulijifanya mujanja wakamufungia vyashala yake fety wona sasa malipo 😂😂😂pole

  • @RehemaNyange-q1g
    @RehemaNyange-q1g Месяц назад +1

    𝐌𝐚𝐬𝐢𝐤𝐢𝐧𝐢 𝐤𝐢𝐫𝐨𝐛𝐚 𝐜𝐡𝐚 𝐦𝐚𝐤𝐚𝐚😅😅😅

  • @Annajumwa
    @Annajumwa Месяц назад +1

    ❤❤❤❤nzr half munawahi sn hongeren❤

  • @LevinaMacha
    @LevinaMacha Месяц назад

    Msicheleweshe muendelezo😊😊😊

  • @Piliseleman-v6r
    @Piliseleman-v6r Месяц назад

    ila lina unakikosha sana😂😂 tina nakupend sana unavy ongea🎉😂❤

  • @LoiceKatana-ci1tx
    @LoiceKatana-ci1tx Месяц назад

    Waaa imeishia matamu sana aki zena umeumbuka jamani 😂😂😂

  • @nesaahaji1329
    @nesaahaji1329 Месяц назад

    Jamani leo zena kapatikana🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️ sijui ataficha wapi sura yake

  • @KhadijaRamadhan-f2b
    @KhadijaRamadhan-f2b Месяц назад

    Tena kasema kaka kale sijapenda😅😅😅😅😅😅

  • @AmisiKagos
    @AmisiKagos 26 дней назад

    Yani kazi zr sn neno moja tu niya ben wa sasa ana,aribisha movie mumu rudishe ule wa mwazo

  • @franckwilliam-l3z
    @franckwilliam-l3z Месяц назад

    Kazi nzuri, ila mili na ben muwarudishe

  • @AishaRashed-m5o
    @AishaRashed-m5o Месяц назад

    Duuu fetii kumuharimbia mwezakoo ndoaa

  • @GraçiaShabani
    @GraçiaShabani Месяц назад

    Sefu eti umeniaribia ujana wangu shiaaaa😂😂😂

  • @NajmaSaid-sb2lh
    @NajmaSaid-sb2lh Месяц назад +1

    Sf ameharibiwa uvulana wake 😅😅😅😅 jamani 😅😅

  • @AnnuTlhhema
    @AnnuTlhhema Месяц назад

    Hongern kwà kazi nzuri

  • @JamilaBocha
    @JamilaBocha Месяц назад

    Kazi nzuri ❤❤from kenya

  • @priscilla-z5n
    @priscilla-z5n Месяц назад

    Huyu haendani na Tina kabisa wapi kelvin🎉😂

  • @SakinaHassani-xm7ti
    @SakinaHassani-xm7ti Месяц назад

    Heee kiroba Cha mkaa Leo umebadili wali nyama😂😂😂 umechoka na tembele

  • @BeatriceMballa
    @BeatriceMballa Месяц назад

    Hivi wanasoma coment kweliiii tunamuitaji Ben au ndio mmeshamfunga kwa kuingizia kampuni hasara,alafu ilo li Ash nalo

  • @Mariam-p9x1x
    @Mariam-p9x1x Месяц назад

    Jamani Fatma . Zena atakutafutia maadui uyo utekwe ohoooo
    Ila Zena mzuri ila twabia ndo hivo jaman anashare na mdog wake

  • @AbibaSalleh
    @AbibaSalleh Месяц назад

    Kazi nzuri sana 🇧🇮🇧🇮

  • @Piliseleman-v6r
    @Piliseleman-v6r Месяц назад

    ila watu wamu wabahir kula chipsi kavu too😂😂kunua kuku aaah😂

  • @PhymonAdrian
    @PhymonAdrian Месяц назад

    Mm sk beni akirud nd nitaendelea kuchek movie 😢😢

  • @ZanuraMsury
    @ZanuraMsury Месяц назад +9

    Jama Beni yuwap uyo Vp na ayo manywere

    • @jamilashabani8580
      @jamilashabani8580 Месяц назад +1

      😂😂😂😂😂 Anaiona Aibu,, kuja fumanio

    • @jamilashabani8580
      @jamilashabani8580 Месяц назад

      Lina unakopa Penzi 😂😂😂😂😂

    • @princessplatnum4416
      @princessplatnum4416 Месяц назад

      Wamemtoa huyo mwenye lasi ndoanacheza kama kevy

    • @RizikiZiki
      @RizikiZiki Месяц назад

      Walipitisha tangazo wakasema yendo mugombozi wa beni

    • @husnatsuma755
      @husnatsuma755 Месяц назад

      Ben yuko jela❤❤😂😂😂😂😂

  • @OmanAl-s9l
    @OmanAl-s9l Месяц назад

    Jmn beni wetu tunamuitaji humu ndani arudi mana izo rast na tattoo atuwezi kumtambulisha

  • @MarthaSimoni-x1y
    @MarthaSimoni-x1y 26 дней назад

    Ila linah na seif raha sana😂😂😂

  • @stellamwakyusa7929
    @stellamwakyusa7929 Месяц назад

    Wanaume jamani khaaa marioo tupu kwa hii tamthilia. Mmmh 🙆🙆

  • @LIZYSWAI
    @LIZYSWAI Месяц назад +1

    Mh kiukweli tunamtaka beni siv mh huyo at hatumwelewi

  • @MwaJuma-x3t
    @MwaJuma-x3t Месяц назад +1

    Hata mm cjachelewa jmn hata moja 2

  • @ZuberiKanini
    @ZuberiKanini Месяц назад

    Jamani Kelvin alienda wap tunamiss sana

  • @furahaangelique775
    @furahaangelique775 Месяц назад

    Nawapenda jamani ❤

  • @Devisbakarsefubakarisefu
    @Devisbakarsefubakarisefu Месяц назад

    tunamtakaa beni wa kweriiii na mili wa kwer

  • @AbubakaryKigao
    @AbubakaryKigao 22 дня назад

    Jaman somen comment bas tunamtaka ben na sio huyo rasi 😂😂😂😂

  • @stellamwakyusa7929
    @stellamwakyusa7929 Месяц назад

    Huyu kaka anadanga jamani khaaa hari wanaume 🏃🏃🏃

  • @GloriaStefan-dw8ev
    @GloriaStefan-dw8ev Месяц назад

    🎉🎉nice job

  • @nadiatanzania
    @nadiatanzania Месяц назад +1

    Nataka Ben hapa 😢

  • @NosiataDfd-k5g
    @NosiataDfd-k5g Месяц назад

    Safe ananifurahisha kweli amekuwa kiroba Cha mkaa

  • @DanielManuelMissa
    @DanielManuelMissa Месяц назад +2

    Ben uko wapi

  • @BlessingAjida-kl9ez
    @BlessingAjida-kl9ez Месяц назад

    Huu ben hatumtaki rudisheni ben mwenyew

  • @EbindaWelubi-p4s
    @EbindaWelubi-p4s Месяц назад

    Jamani Kelvin Lavenes kakukataza kuendeleza movie ao

  • @GraceVISAMAYANI-gj1xm
    @GraceVISAMAYANI-gj1xm Месяц назад

    Cefu unavyoangalia, unanichekesha sana,

  • @SdFft-j5g
    @SdFft-j5g Месяц назад

    Lina bwana, hyo pesa unayoipata kidogo hko kazini ndo unataka kuonga ka ben10🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @Timehamad-o1j
    @Timehamad-o1j Месяц назад +2

    Jaman Kevin yukowap

  • @Roze-so4he
    @Roze-so4he Месяц назад

    Kazi tamu

  • @mauwabanda2746
    @mauwabanda2746 Месяц назад

    Kazi bomba

  • @anthonylukala3637
    @anthonylukala3637 Месяц назад

    Niliipenda hii movie kwa sababu ya kelvin aka ben daaah sasa mmetuletea marasita duuub jamna

    • @AhmedA-zw3jv
      @AhmedA-zw3jv Месяц назад

      Maneno haya siyo mageni jijini labda Kwa wageni WA JiJi hili

    • @aliceudoba3672
      @aliceudoba3672 Месяц назад

      Kelvin yupo donta tv yupo ndani mahabusu 😂😂

  • @JazilahMunna
    @JazilahMunna Месяц назад +2

    Tina na Ben uyo minywele ata hamuendan

  • @RebyShabani-i3b
    @RebyShabani-i3b Месяц назад

    Pls mturudishie Ben movie itanoga zaidi

  • @olicej7837
    @olicej7837 Месяц назад

    Tupige kelele adi wamtoe huyu mwenye lasi wamtoe arudi benny mwenyewe 😂😂😂😂

    • @kenzkey
      @kenzkey Месяц назад

      Sitoki

    • @olicej7837
      @olicej7837 Месяц назад

      @kenzkey 😂😂😂😂tutakutoa kwa lazima 🤣

    • @aliceudoba3672
      @aliceudoba3672 Месяц назад

      ​@@olicej7837beni kafungwa

  • @Hilderkarema
    @Hilderkarema Месяц назад

    Wa kwanza team strong gather here🎉🎉🎉🎉🎉

  • @MariaZawadi-z7f
    @MariaZawadi-z7f Месяц назад +1

    Huyo lass hatumtak

  • @mercyakech
    @mercyakech Месяц назад

    Wakwanza leo kutoka Nairobi 😊

  • @pendoemmanuel-u9r
    @pendoemmanuel-u9r Месяц назад

    Watisa like zangu❤❤❤

  • @AllianceMahirwe-z1k
    @AllianceMahirwe-z1k Месяц назад +2

    Béni aliye anza mbone siyouyu?

  • @RebeckAunt
    @RebeckAunt Месяц назад

    Akunasiri duniani Zena ona sasa mpango wa fatigue na ben inakuvunjia unyumba

  • @muzimbeyu
    @muzimbeyu Месяц назад

    Ben arudi kevii please 😢

  • @farharali-s4z
    @farharali-s4z Месяц назад

    Mujuwe kama kila mkibadilisha wahusika ndo mnaharibu

  • @EzraMugambi-h6g
    @EzraMugambi-h6g Месяц назад

    Mm mwenyewe nilianza kufuatilia because of Ben huyu simpendi

  • @EunicemouriceMourice-qe3rw
    @EunicemouriceMourice-qe3rw Месяц назад

    Nawapendaaa naaa tenaaa amucheweleshagi

  • @AbyMuzinga
    @AbyMuzinga Месяц назад +1

    Mbona ben atumuone jamani

  • @DanFestus
    @DanFestus Месяц назад

    Hiii ndio comment yangu YA mbili Kwa hiii movie,nadai Kelvin e.g Ben

  • @VictoriaNkole
    @VictoriaNkole Месяц назад

    Good job next pleaz

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki Месяц назад

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @SwalehSelemani
    @SwalehSelemani Месяц назад +1

    Kwani Tina izo nywele hazibadikishwi

  • @faidhaharuni9221
    @faidhaharuni9221 Месяц назад

    Ally nampenda kwakweli mtaarabu

    • @RizikiZiki
      @RizikiZiki Месяц назад +1

      Yani anaonekana hata kiualisia nimpole

  • @FurahaChristine-g8w
    @FurahaChristine-g8w Месяц назад

    Lina sef huyo ni mjanja kwako ona mbali dada yangu

  • @AishaSalem-g2v
    @AishaSalem-g2v Месяц назад

    Kimeumana😢

  • @MariamAbdul-n7s
    @MariamAbdul-n7s 6 дней назад

    Director umepuyanga, leo Tinna anamuuliza Benny if anajua yeye ni ndugu na Zai, benny anasema ndio then Tinna anakaza kujua ni nani kamwambia Benny wakati walipotoka kumwona baba benny alimkuta tinna na ally na tina alimweleza benny yeye mwenyewe

  • @MsumaryMsumary
    @MsumaryMsumary Месяц назад

    Goog job❤❤❤❤

  • @KahindiNyevu
    @KahindiNyevu Месяц назад

    Bean jameni uko wapi tunamtaka kelvin arudishwe kwenye movie

  • @JumaShambalai
    @JumaShambalai Месяц назад

    Duh nimeifumania😂😂😂

  • @MariaZawadi-z7f
    @MariaZawadi-z7f Месяц назад +1

    Mludishe Kelvin

  • @Kenmazengo
    @Kenmazengo Месяц назад +1

    Movie mmeanza kuiharibu kwani mwamba ben yuko wapi?

  • @DanielManuelMissa
    @DanielManuelMissa Месяц назад

    Ben kama aonekane sitafuatilia tena I move

  • @NesforaMgaya
    @NesforaMgaya 2 дня назад

    Wamemuficha beni

  • @GraceVISAMAYANI-gj1xm
    @GraceVISAMAYANI-gj1xm Месяц назад +1

    Ben ,Rudi uku jameni

  • @SaumMohamed-z9h
    @SaumMohamed-z9h Месяц назад

    Ila Ashi kumbe na wanaume wanasusaga 😂

  • @KelvinMaloba-q8t
    @KelvinMaloba-q8t Месяц назад

    Wacheni maziala please ben Yuko wapi

  • @NeemaMbuji-i7s
    @NeemaMbuji-i7s Месяц назад

    Huyo Ben mbn hata hanogesh move mludishen kelvn kweny nafas yake