A'm frm kenya l work at Qatar ma boss wetu nanatufanyia hivo juu wao wako na pesa enwei hongera kwa movie nzuri yenye mafunzo mengi sana🎉🎉uezi jua mipango ya Mungu no gani leo ni wewe kesho ni mimi
FELLY kutoka kenya bt for now in saudia, Kweli kabisaa usidharau mtu.yoyote ama kunyanyasa mtu.juu.ya pesa zako cz ujui mungu.amepanga nn kesho ama dakika moja mbele...cz mipango ya mwanadamu ajuae ni mungu tu❤ inatufunza mengi tu tena mazuri.hongera kwa wote
Usiwe unaludia ludia bhn inaboa!❤
Mimi natazama movie nkiwa Saudi nmependa sana inafundisha kwakweli hky ninjuri❤❤❤❤❤❤🎉
Saudia sehemu gani ndugu yangu?
Aiseeee mambo matamu sana hongera sana mwamba maana najifunza mambo mengi sana kupitia movie zenu😘😘
I'm from Tanzania....this movie is very nice I like it❤
So nice ilove it I watching from kabuku tanga TANZANIA.
@@alhajiimamu3696 salimia watu wa tanga...Nawapenda sana
Nimejifunza kitu kikubwa sana kwenye hii move leo Asante sana kaka
A'm frm kenya l work at Qatar ma boss wetu nanatufanyia hivo juu wao wako na pesa enwei hongera kwa movie nzuri yenye mafunzo mengi sana🎉🎉uezi jua mipango ya Mungu no gani leo ni wewe kesho ni mimi
Karibu sanaa boss
Ikona mafunzo mema?
❤❤❤ nimeipenda bureeeeee❤❤❤🎉
Nimeipendasana Kaka ❤ 🇧🇮
Naitwa mshefa kutoka mombasa movie imetisha,mafunzo mazuri🎉🎉
FELLY kutoka kenya bt for now in saudia, Kweli kabisaa usidharau mtu.yoyote ama kunyanyasa mtu.juu.ya pesa zako cz ujui mungu.amepanga nn kesho ama dakika moja mbele...cz mipango ya mwanadamu ajuae ni mungu tu❤ inatufunza mengi tu tena mazuri.hongera kwa wote
Your welcome
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@@geniusswahilimovies Thanks
Vvghevthyyghihj
Hakika meipnd mjifnz ky
Kama u.m etoka TikTok kuja kufatilia move hii tujuane🎉🎉❤❤
Daa nimejifunza kitu kikubwa sana hapa Asante nime enjoy sanaaaaa❤❤❤
Hii move imeniliza aiseeh 😢😢🎉❤❤
Hoho life is a long Journey 😔😔😔
Movie zuli sn mimi Burundi mutukujie ❤❤❤
All the way from Zenji#Marashi ya Karafuu❤🙌❤🙌🔥🔥
Imeni Fanya niliebjamani❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Bonge la funzo na unaweza kutazama hata na watoto. Endelea kutuletea vitu vikali Mwamba.
Tisha sana. 🎉
Funzo funzo😢😢❤❤❤❤
Appreciate it mdogo wangu 🙌🔥🔥
Hi movie ayse nitamu kweli thanks 😂❤🎉😢
Ninzuri sana kwakweli, Anuarite Congo 🇨🇩🇨🇩
Love it from kabuku tanga
Movie nzuri sana,,,,,, Margaret kutoka 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nimejifunza kitu asante sana dj❤❤❤
from Kenya very. nice❤❤❤❤
Dah mov tamu mno jmn❤❤
So good God bless you ❤👍
Thank you bro you've tought me the very important thing through this movie I'm from Zanzibar
❤❤❤❤ mbona mnatutumia kamuvi kafupi hivyo jamani me nimeipenda jamani me naitwa Salome napatika Sumbawanga 🎉🎉❤❤❤❤🎉❤
Movie nmeipenda ❤usiache kutuletea na nyengne km hizi znazofunza
Nice move thanks brother❤😂😂❤❤🎉🎉🎉
Nimeipenda san❤❤❤❤
Nimeipenda sana nangalia hii nikiwa 🇰🇪
Jaman move kar mno nimejifunza vtu kupitia hi movie Asante
Thank you bro you've tought me the very important thing through this movie
Ninzuri sana❤❤❤
Nice move, sometimes dream is teaching in your life
Naitwa shan kutoka kenya but saii nko Saudi nimeipenda sana
Nime penda sana hii movi tena nimejifunza kitu😢😢
mamuu kutoka kenya 🇰🇪 naiangalia nikiwa Oman 🇴🇲 😋 I like this movie
Huu jamaa anaigiza vizuri❤
Jaman hii move jnaitwaje
It's so nice i❤ it
Safi kazi nzuri... Ila kwenye summary inakuwa ndefu sana unarudia unarudia mno
Nimejifunza sana hii move jamani
Naangalia nkiwa Saudia Arabia mabos muko na dharau sana
Movi nzuri nimezipenda yaan daah
Iyi Movie imenikumbusha mbali sana
Katika movie zote nilizowahi kuziona hii inafunzo kubwa sanaa
Nmezkubar Kaz zenu nzur sana
Nmejifunza kitu,❤❤❤
Nimependa ❤
Nice movies, ime nifunza kitu. Nime ipenda xana, ina itwa jina gani
Mambo mazuri😊
Daah movie nzuri sana
Nimeipend hatr❤
Juma msharubu natokea zanzibar naangalia nikwa zanzibar
Nimependa sana 🇲🇿🇲🇿🇲🇿❤
imejifunza mengi naangalia nikiwa Tz
Mi napenda Sana move Zako ila Unaniboa kurudia Rudia
Pole sana sister uliopo oman najua hilo tatizo lkn angalia ulipo toka ipo siku utafurahia
Nimeipenda sana inafunza
Mimi naitwa ISHIMAEL niko kwenye mtaani Nakuru movie iko na mafundisho poa tunangojea ingine
Naitwa habiba nipo mkoa wa mbeya nimeipenda sana inafudisha
Aaaaaa Wakuhaya😂 Karibu
😂😂😂😂😂😂 Jmn nimecheka uyo derevr
Naitwa silvia natokea tegeta Tanzania so nice ilove it
Tegata wazo
HASANTEE nimejifunza kitu hasa maboss wanavo tunysnyasa wafanya kazi wao
Zuri sana. ❤❤❤
asante dj
Movie nzuri sana
Move nzuri ❤❤
Amen inamafundisho yadhati
I love it❤❤❤❤❤
nimeyapenda mapenzi ya chlistian na shaloni nashauli waoane
Duh aiseeh 😢😢😢
Nimejifunza ukifanikiwa usiwe na dharau kwa watu wote mdogo kwa mkubwa 🙏
Nimeipenda inafudisha san
Good bro
Move y kwannza kunitoa chozi😢 au bs🎉
Iyi movie IS very nice i like it
Unsilimulia polepole sana ongeza spid
Nimeikubali saana kutoka tz + znji
Nimeipenda
Farida natokea kenya 🇰🇪🇰🇪natizama nikuwa saudi 🇸🇦🇸🇦
Your welcome
Kabisa love you farida
mambo farida uko saudi sehem gani
Napenda pigo zako
Asante pia karibu sana
❤❤❤ from 🇧🇮🇧🇮🥰🥰
Imenifunza kuwa kila Jambo na wakat wake na Jambo zuri ilina ishara kutoka kwa mungu
🙏
Aseee unarudia rudia hadi knoma hadi inapoteza uzuri
Movie mzuri sana hii tunazid kujifunza
Nimejifunza Jambo kubwa Mno kweli Maisha hayana fomla ! Sara Joseph palangyo pande za meru !a Arusha Tanzania
Khasante saan
Daaah iyo nyumba ya masikini ss nyie kuna masikini wengine ni matajili ivi mmefika kwe2 au😅
Nimeshindwaa kijua Tajili na maskin
dah reality bro thanks
Dah imefundisha vingi ii movi usimdharau MTU usie mjuwa
move tamu sana.
Naita Déborah Na furahi sana
Movie 🎦 tamuuu san
Naangalia nipo Simiyu
waambie waache ujinga watafute hela 😃😃😃😃