DUNIA (EP 25 ) BEHIND

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 дек 2024
  • #Duniaseries #mudymuzungu #tamthilia #Manyanya #kanji #Duniaep26

Комментарии • 33

  • @UyanjoSima
    @UyanjoSima 17 дней назад +12

    Mudi anajua kuigiza jaman apewe maua yake🎉🎉🎉

  • @MamittaSophy
    @MamittaSophy 16 дней назад +1

    Jamani ninchoka kusubiri..toweni bxi ...fan from Kenya ..# love Dunia..Manyanya pokea salaam akiwemo na vai..lov u guyzzzz...

  • @JonsiaMgachi
    @JonsiaMgachi 14 дней назад +2

    Mudi m nakupenda na siwezi ishi bila wew ❤

  • @HarunaLameck
    @HarunaLameck 15 дней назад +1

    Muudy kuubwaaa. Paka ra bi taausi Noma sana

  • @Samiyabahatinanti
    @Samiyabahatinanti 2 дня назад

    🤣🤣🤣mudi kweli nimkevi mbona binamfanana 🤣🤣🤣mishangazi muuwane basi ivi kweli maman mzima anaweza kupenda mwanaume iko sawa na mwanawe siyo kweli🎉🎉🎉

  • @HappinessSolomon-t5z
    @HappinessSolomon-t5z 14 дней назад +1

    Aaaah mud part yako unaiwezea na unaitendea haki kabisaa

  • @MilembeLugwila
    @MilembeLugwila 10 дней назад

    Nampenda had naumwa

  • @hawasilangala7514
    @hawasilangala7514 12 дней назад

    😂😂😂😂😂Aiseee mambo yenyew ndo ivi hongereni sana❤🎉

  • @Chebaibaiever
    @Chebaibaiever 12 дней назад

    You can't believe he is sober 😂😂

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m 16 дней назад +2

    😂😂😂muddy utalipa mbavu zangu😂😂😂

  • @dalalimzava9727
    @dalalimzava9727 16 дней назад +1

    Jamani mudi yupo vizuri sana

  • @EuniceSimon-c9h
    @EuniceSimon-c9h 17 дней назад +1

    Muddy ana visaas😂😂😂😂

  • @BernadAyubu22
    @BernadAyubu22 17 дней назад +1

    wanachelewesha sana

  • @KidMula-ln8hc
    @KidMula-ln8hc 17 дней назад +2

    Mnachelewesha xana bhn mpk tunachoka

  • @RahelRajabu
    @RahelRajabu 16 дней назад +1

    Hapo hapo hola mnachelewesja jamn

  • @AnnetteAnne-og8cp
    @AnnetteAnne-og8cp 10 дней назад

    Muddy muzungu😂😂😂

  • @SostineWanyonyi-p7t
    @SostineWanyonyi-p7t 16 дней назад

    Muddy utaniua😂😂😂😂fan wenu kutoka Kenya

  • @DennisMarega
    @DennisMarega 12 дней назад

    Muddy muzungu

  • @verdianavalentine6242
    @verdianavalentine6242 17 дней назад +3

    Mudy anavunja watu mbavu jamani

  • @shadhiriissabweraboymanda7732
    @shadhiriissabweraboymanda7732 13 дней назад +1

    mwenye hii story kaupiga mwng saana kukiandaa kipande cha manynya na kumptia manyanya.
    manyanya ni fundi na part yake ni muhimu saana na hap ndpo mulipowashndwa waigizaj weng wa bongo.
    muddy na mke wako mumeupga mwng saaana bila kumsahau sweet-heart wa manyanya wewe ni zaid ya MKATA UMEME mbele ya manyanya.
    hii movie guys mumekimbiza hakuna wakushndanane kwa miaka hii ya karibun Tz.

  • @VeeVaileth
    @VeeVaileth 16 дней назад +1

    Jamn nimechoka kila saa kuingia kuangalia kama hii movie imetoka jamn mbn mnatufanyia hivo

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m 16 дней назад

    Jordan nae na mishangazi yake😂😂😂

  • @babuallyrajab8701
    @babuallyrajab8701 17 дней назад +1

    Kumbe wanapigwa ukweli😢

  • @JanethMadole
    @JanethMadole 17 дней назад

    Tunasbiri mpaka tunachoka

  • @ElizabethGidion-g9r
    @ElizabethGidion-g9r 17 дней назад

    Jamani tunasubiri sana paka tunasahau

    • @Muna-en4yq
      @Muna-en4yq 11 дней назад

      Maskini Fatma Wa watu hii yake Kala mibao duuh😂

  • @MwasitiShonasho
    @MwasitiShonasho 17 дней назад

    Muddy jaman

  • @SwalehSwaleh-e9p
    @SwalehSwaleh-e9p 17 дней назад

    Kabisaaa

  • @FatmaMohammed-o4q
    @FatmaMohammed-o4q 17 дней назад

    Ila mudi

  • @KezaRosine
    @KezaRosine 16 дней назад

    Kama imeisha simutuambie