HOUSE GIRL EP 05 | S4 | LOVE STORY 💞💕

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 дек 2024

Комментарии • 163

  • @lavenderokunani
    @lavenderokunani 4 часа назад +31

    Wanao amini Tasha ataona pita na like

  • @PopoMwangudya
    @PopoMwangudya 4 часа назад +16

    Team fulus nmekuwa wa kwanza mnipe likes zenu from Kenya 🇰🇪 🇰🇪🇰🇪

  • @ahmednassor6887
    @ahmednassor6887 3 часа назад +8

    Mambo yamebadiliaka moyo umenipiga pah aloshutuka nakauli ya baba Tasha like hapa

  • @mohamedlopa8410
    @mohamedlopa8410 3 часа назад +23

    Utakayesoma hii comment mungu akubaliki uweze kuhamka salama kesho asubuhi 🤲💯🤲💯💢🤲💫💫💫🤲💫💫💫✍💫✍✍✍🤲💯💢💥💯✍🤲🤲🤲🤲🤲💫💫

  • @افلينافلين-ي9ك
    @افلينافلين-ي9ك 3 часа назад +5

    Sania. Ww Mungu akubariki sana. Uyo candy nishindikana hachoki

  • @MwanasitiHenzi
    @MwanasitiHenzi 4 часа назад +7

    Wakwanza leo ❤

  • @HappyCityMap-vs2tr
    @HappyCityMap-vs2tr 3 часа назад +7

    Wanao furahia zaid house girl❤❤ kwa muendelezo mgonge likes pls

  • @AnsaB-j2m
    @AnsaB-j2m 3 часа назад +4

    Jamani mr Tasha kubali kutimbiwa na babako

  • @WardaSuleimn
    @WardaSuleimn 3 часа назад +7

    Assalam aleykum kwa kila anayosoma coment hi allah amuepushe kwa kila baya ktk usiku huu inshallah 🙏🙏🙏

    • @MwanapiliCharo-s2n
      @MwanapiliCharo-s2n 2 часа назад

      Waleikum msalam warahmatulilla Alhamdulillah 🤲🤲🤲 Amiin yaraabbi

  • @SadaDjuma-e9b
    @SadaDjuma-e9b 2 часа назад +1

    Amani ya Mungu iwe juu yetu sisi ote tunaofuatiliya hii movies ya BUSATI TV, nina Imani mpo salam nyinyi ote, ninamuomba Mungu atupe Riski nyingi za Halali n, Afya njema n, atupe Nguvu zakupambana na Kazi zetu zakila siku napia, Mungu atulinde na Vijicho na Husda za walimwengu na mabalaa napia atupe mwisho mwema kwa Huruma zake Aaaaameeeen 🤲 🤲

  • @CynaiderAsuka-c9j
    @CynaiderAsuka-c9j 2 часа назад +2

    Team habibu, hayeti tujuane kwa kidole. Wenye mko Abha khamisi msheti team tasha.

  • @Haleema-dg5bo
    @Haleema-dg5bo 3 часа назад +4

    Huyu kendy namchukia sijui kwann ila n mv wacha ikae 😂😂😂😂 mm niko kwa family ya Mr tasha nampenda sania alikuwa mwema sikuiz ata anamshangaa tu kendy chizi

  • @FinindyFiana
    @FinindyFiana 3 часа назад +3

    Sania eti mungu wangu😂😂😂afu Sania sikuhizi unaitwa kamkondee😂😂

  • @valentinembwika2321
    @valentinembwika2321 3 часа назад +2

    Kazi zuri

  • @TrizahJefah
    @TrizahJefah 3 часа назад +3

    Tunawapenda Sana busati tv❤🎉

  • @BertilleBertin
    @BertilleBertin 3 часа назад +2

    Wakwanza kutoka Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮nawapenda❤❤

  • @RahimaAa-g2v
    @RahimaAa-g2v 3 часа назад +3

    Busat tv chukuen maua yenu 🎉🎉🎉❤❤❤

  • @NilphatRamadhani
    @NilphatRamadhani 3 часа назад +4

    ILA CANDY ANAKELA JAMANI KWANN ASIPATE HATA AJALI AFEE TUPUMZIKE KUMUONA JAMANI TUMEMCHOKA 😂😂😅

    • @MalkaNinik
      @MalkaNinik 2 часа назад

      Subhana allah ni commet yavp hiyo na hii move tu

  • @mapesaomary-ip3vf
    @mapesaomary-ip3vf 3 часа назад +3

    Mnaokuja mbio uko kumbuken uku mbele kuna folen pia 😂😂😂😂😂 tumewai bhana 🎉🎉🎉🎉❤❤

    • @NoorEesa
      @NoorEesa 3 часа назад

      😂😂😂😂😂😂

  • @FelistusKimanzi-f2g
    @FelistusKimanzi-f2g 3 часа назад +1

    Kazi njema

  • @annstamciawanzila2652
    @annstamciawanzila2652 3 часа назад +2

    Inazidi kunonga🎉🎉 hongera sana busati tv,naomba mtuletee vipande viwili viwili kama hapo awali❤

  • @DM.2200
    @DM.2200 4 часа назад +1

    Busati mwahitaji pongezi kwa kutochelewesha kazi mu wachapakazi sanaaaaaah 👏👏👏👏🎉🎉🎉🎉

  • @felistafelis567
    @felistafelis567 3 часа назад +4

    Jamani Leo nimewai sana Naombeni like hata kumi bc ,pia mnipitie 🥹

  • @موناعبدالله-م1ت
    @موناعبدالله-م1ت 53 минуты назад

    Mshindo jumannne ndani ya filamu nimependa iii❤

  • @IreneKanyi-nw1ey
    @IreneKanyi-nw1ey 2 часа назад

    Candy simpendi, kwani hachoki heri akufe akizaa 😂😂😂

  • @SalinaSherono
    @SalinaSherono 3 часа назад +2

    Tasha Mungu atakusaidia 😢😢😢 babako yako

  • @ElianeNininahazwe
    @ElianeNininahazwe 2 часа назад

    Kendy kwakweri 😆😆😆hayoyote ulipitia hujajifunza tu 😂😂😂

  • @Saumu-vr4bc
    @Saumu-vr4bc 4 часа назад +1

    Kitu hewani MashaAllah wanabusati

  • @حليمهالبلوشي-ز5ث
    @حليمهالبلوشي-ز5ث 3 часа назад +2

    😢😢😢😢😢😢❤❤❤mwisho waubaya aibu kibendu

  • @ChancelineNimpaye
    @ChancelineNimpaye 2 часа назад +1

    Jamani huyu Candy mim simpend jaman😩😩🫣🫣

  • @JokhaSaleh
    @JokhaSaleh 4 часа назад +2

    Wapili❤

  • @Franciscah-ks5zq
    @Franciscah-ks5zq 2 часа назад

    Jamani kai manyoa kamuita sania leo kamkonde😂😂😂,,,, sania mama hutoshi😂😂

  • @MariamMustafa-w8e
    @MariamMustafa-w8e 3 часа назад

    ❤❤❤❤❤❤❤Na wapenda sana wana busati tv

  • @FaidaYoreki
    @FaidaYoreki 2 часа назад

    Kendy haja pona bado🙆🙆🙆🙆

  • @NaimaNyau-qn2fc
    @NaimaNyau-qn2fc 3 часа назад +1

    Mtuwahishie jmn tuone kibendu na kai kinachoendelea ❤❤❤

  • @ChjksHave
    @ChjksHave 3 часа назад +2

    😢😢😢😢Yani kwa kendi mnazingua bhana mkimpa ushindi tena

  • @elizabethmahenzo7220
    @elizabethmahenzo7220 3 часа назад

    Nice movie ❤❤❤

  • @SaumuWanje
    @SaumuWanje 2 часа назад

    ❤❤Mupo vizuri

  • @ShamimShamy
    @ShamimShamy 3 часа назад

    Sania❤❤❤❤ nimependa ustahamilivu wako kwa kay na kendy wakiongea, lkn kendy mbona hupendi kay awe na amn derkt twaomba. Amn kwa kay❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @MwanapiliCharo-s2n
    @MwanapiliCharo-s2n 2 часа назад

    Sania mwambie ukweli kai siumerejea kwenye dini 😅😅😅

  • @Roze-so4he
    @Roze-so4he 3 часа назад

    Kazi tamu

  • @NuruRashidy
    @NuruRashidy 4 часа назад +2

    Team house girl mpo

  • @PreciousTusajigwe
    @PreciousTusajigwe 4 часа назад +1

    Wa kwanza sasa baad y mda mrefu

  • @EvethaSimba-i1c
    @EvethaSimba-i1c 2 часа назад

    Mama tasha acha kurudi nyuma msikilize tasha anachokisema Mungu atafanya wepesi jamani Tasha wetu atapona,Candy ananiboa jamani na mambo yake hayo,halafu sania pole sana jamani maana candy anakutoa jasho,Candy bibi atakuja kukuumbua utabaki na aibu

  • @aishajuma7128
    @aishajuma7128 3 часа назад +1

    Wee Kai usingemsikiliza

  • @AngeArakaza-i1s
    @AngeArakaza-i1s 3 часа назад +1

    Nimewahi Leo lake zangu

  • @RahmaMaulidy-lm2gc
    @RahmaMaulidy-lm2gc 3 часа назад +2

    Nimewahi na mm

  • @akimanamariam4451
    @akimanamariam4451 Час назад

    Uyu candy simupendi😂😂

  • @GloryWoisso-s1o
    @GloryWoisso-s1o 2 часа назад

    Watu w on time🎉

  • @ggfwtgg1652
    @ggfwtgg1652 3 часа назад

    Kazi safi sana bwana busati i❤❤

  • @NeemaNdelekwa
    @NeemaNdelekwa 2 часа назад

    Jamani fupi sana😂😂😂

  • @Juliety-v3o
    @Juliety-v3o 2 часа назад

    Jaman Sania ad a naona aibu kend anavyosema uongo

  • @rahmaqasim5143
    @rahmaqasim5143 3 часа назад +1

    Leo sijaachwa nyuma kabisa

  • @MariaSalim-u5z
    @MariaSalim-u5z 3 часа назад +1

    Kama kweli Sania amebadilika nilazima atasema ukweli wote kuhusu mimba ya cendy

  • @JaneJane-h2i
    @JaneJane-h2i 2 часа назад

    Jamen walio sema tuihishee season 3😂😂😂😂😂 mulitaka tusione utama jamen😂😂😂😂😂 tunao enjoy season 4 tujuane lakini huku Saudi Arabia BARIDI EHEEEEEE

  • @RehemaJuma-o3r
    @RehemaJuma-o3r 4 часа назад +1

    Nimewahi Leo ❤❤❤ jmn

  • @Zeinabmea
    @Zeinabmea Час назад

    Candy na mimba yake 😂😂😂😂😂

  • @ShiwaNdamo-w7z
    @ShiwaNdamo-w7z 4 часа назад +1

    Leo ni WA kwanza nipeni liki zenu

  • @HalimaAli-h4r
    @HalimaAli-h4r 4 часа назад +2

    Wa kwanza nipeni like 😂😂😂😂

  • @HagabimanaIrène
    @HagabimanaIrène 3 часа назад +2

    Leo niko wa 471 jamani naomba na mie mnipe like

  • @BabuJuma-ix1mv
    @BabuJuma-ix1mv 2 часа назад

    SANIA ANAKAZI SANA 😂😂😂😂😂

  • @gracenyevu8082
    @gracenyevu8082 4 часа назад +1

    Much love from kenya 🇰🇪🇰🇪

  • @mickychuku6444
    @mickychuku6444 4 часа назад +1

    haiishi mpaka iishe si tumeamua kununua utumbo tusiogope nzi😅😅

  • @JudithMuhingi
    @JudithMuhingi 4 часа назад +1

    Wa Kwanza from Kenya

  • @SomyaS-q9t
    @SomyaS-q9t 3 часа назад +1

    naleo nimerauka jamani

  • @HananAdnani-v6d
    @HananAdnani-v6d 4 часа назад +1

    Tulikuwa tunasubili kwaamu ❤❤❤

  • @FelistusAdhiambo-o3p
    @FelistusAdhiambo-o3p 2 часа назад

    Nawapenda sana Busati family na niko nanyi bega kwa bega

  • @KhadijaMuhammad-v7m
    @KhadijaMuhammad-v7m 4 часа назад +1

    Tasha kubali huyo ni baba yako mzazi

  • @HoHo-l1r
    @HoHo-l1r 3 часа назад +1

    Yani hili candy shetani 😈😈😈 kabisaa yani huo uwongo hata haya huna Sania mdogowangu achana naye huyo asije akakuingiza kwenye utaila wake bule akabakwe huko akamcngizie kai wawatu...

  • @MaryDama-b2r
    @MaryDama-b2r 3 часа назад +1

    Wow Leo nime kuwa wa 15 💪💪 kazi nzuri

  • @MariamHamisi-ti9vb
    @MariamHamisi-ti9vb 3 часа назад

    Jmn candy wacha kuongea uongo mpk naanza kukuchukia sasa 😢😢😢kibendu unauponza mashemeji zako umewaacha wapigana wafata kai😂😂😂😂😂😂

  • @IsaiahOscarWanjala
    @IsaiahOscarWanjala Час назад

    Candy wewe ni mbwa sana

  • @Mwanamisi-q2v
    @Mwanamisi-q2v 4 часа назад +1

    Wakwaza leo wanaotamani tasha amjue babake yupo hai

  • @EuphyReciour-o7t
    @EuphyReciour-o7t 4 часа назад +4

    Mimi c wakwanza lakini naomba laiki😅😅😂

  • @Mwanajumahassan-tg3zg
    @Mwanajumahassan-tg3zg 3 часа назад

    Hahahaha😂😂😂😂😂 busat hoyee 😂😂😂 candy

  • @SamwelMadaga-qm7hq
    @SamwelMadaga-qm7hq 4 часа назад +1

    Kwanza mm leo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @SaraJames-b2q
    @SaraJames-b2q 3 часа назад +1

    Hamlali jmn duuu

  • @rehemachongolo8386
    @rehemachongolo8386 2 часа назад

    Mama Tasha ana wakati mgunu wa kuhakikisha anaweka wazi suala la baba Tasha usizunguke.

  • @yosouphatmohamed7468
    @yosouphatmohamed7468 51 минуту назад

    Movie imepoteza radha fanya uhusika wa Candy na kibendu mmekosa story 😢😢

  • @Najmahnyangasi
    @Najmahnyangasi 3 часа назад

    Kazi nzuri sana nawapenda bure ❤❤❤❤❤❤❤❤❤ na huyu mr ganyae nimemkumbuka niyule alie analala na mwanae jaman 😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @Mwanamisi-q6y
      @Mwanamisi-q6y Час назад

      😂😂😂😂jmni kwan wamjua😅😅

  • @IreneMndolwa
    @IreneMndolwa 3 часа назад

    Jamani kwan zatiti na candy nani kaanza kupata ujauzito ni swal tu lkn

  • @swabrinaawardhi7989
    @swabrinaawardhi7989 4 часа назад +1

    Wakwanza Leo

  • @UmayyaMunisi
    @UmayyaMunisi 3 часа назад

    Hili candy jmn kai kaza watakuheshimu😊 ata huyo kibendu cjuy kibendo pumbaaaf wanaboa

  • @JaneJane-h2i
    @JaneJane-h2i 2 часа назад +1

    Merry Christmas and happy New yeah

  • @MamadembeleLadouce
    @MamadembeleLadouce 4 часа назад +1

    ❤❤❤❤❤ nawapenda san from Zambia 🇿🇲

  • @djbngudukwimba5682
    @djbngudukwimba5682 4 часа назад +1

    Mpaka iishe

  • @KuvunaGonda
    @KuvunaGonda 3 часа назад

    Tasha mngu atakupigania 2

  • @Zainab-v2q2o
    @Zainab-v2q2o 3 часа назад +1

    Candy unakera sana

  • @Hoel19LulesA
    @Hoel19LulesA 2 часа назад

    Ww mama uliambiwa na Tasha kuwa ww ni haraka kuamini mtu bila kutambua. Hivyi ushamwamini bwana kuwa atakuwa msaada kwa mwanao utajuta badaye

  • @JuliethLughuyu
    @JuliethLughuyu 2 часа назад

    yaani cendy simpendi

  • @edinahwesley8895
    @edinahwesley8895 4 часа назад +1

    Mm wa kwanza likes zangu please

  • @bayubaheallydelly-rn2zv
    @bayubaheallydelly-rn2zv 4 часа назад +1

    Wakwanza jmn nipe like

  • @MwajumaMwakabwale-x9n
    @MwajumaMwakabwale-x9n 4 часа назад +1

    Leo wa kwanza

  • @MariamMchomvu-q3s
    @MariamMchomvu-q3s Час назад

    Kumbe tasha ana baba jaman amemfanyia mabaya yote hayo kumbe mwanae

  • @AryonWambui
    @AryonWambui 42 минуты назад

    Yn khai na zuu hawatafurai kupata mtoto wao kwa Amani hivi candy umerongwa au ndo nn sasa jmn kumbali ulibakwa na rafiki za kibendu lkn ww kuhakikisha unawavurunga tu zuu na khai jmn hivi wapo wa haina hii sio kina candy

  • @IrineMuseti
    @IrineMuseti 3 часа назад +1

    Kai atakubali mimba y kendi ama la

  • @OdemariPita
    @OdemariPita 4 часа назад +1

    Wa pili

  • @HadijaVinyu
    @HadijaVinyu 4 часа назад +1

    Wakwanza Leo naomba likes na mm🎉🎉🎉🎉🎉

  • @NeemaEli-wl1dz
    @NeemaEli-wl1dz 4 часа назад +1

    Wakwaza leo naombeni laiki

  • @Liliankerubo-ye1le
    @Liliankerubo-ye1le 2 часа назад

    Mamake chrish bila ww house girl sio house tena 😂😂😂